Hongera SK media kwa kuwapa elimu watu wa CCM,,! Tanzania ltakuwa balaa kuliko lile balaa la Msumbiji juxi tu . Mungu tuepushe kuwa Sudan nyingine hii nchi ya Mwalimu Nyerere " kisiwa cha Amani," Amen.
Kwani nchimbi wewe ni msimamizi wa uchaguzi au? Tamisemi ndio wanatakiwa kusema hayo yaani unaanza kuuiba uchaguzi kabla maneno hayo ni kujitangazia ushindi nchimbi watanzania kwasasa tunajua kila kitu ila Mungu atawalipa kwa hizi hujuma
Chadema wanajitambua sana . Waliandikisha watu kidijitali siku nyingi sana . CCM walidhani wamejipanga vizuri zaidi ya Chadema kumbe mambo ni kinyume .
@@RockusssySanka kinachosumbua ni ile hofu na madhira waliyopata wakati wa awamu iliyopita. Kinyume chake watu wanayo shauku na utashi wa kugombea nafasi za uongozi na kuitoa ccm ktk uongozi. Ccm hawana hofu tena na Mungu sasa watu kama hawa ni hatari kwa sababu yumkini mungu wao si wa haki!! Ila leo ktk maombolezo nimemsikia mmojawao akisema duniani tu maua vyote tutaviacha!! Kumbe wanajua kwamba hawatakuwepo milele lkn bado hawana hofu na Mungu wa kweli
Wamesahau kuwa wamekuwa wakihangaika uck na mchana kuhakikisha upinzani unadidimia. Na hata sasa wanafanya juu chini kuua demokrasia haikui kwa kuengua upinzani.
Ccm munapoteza mvuto kila kukicha. Hatimae mukimaliza wanaowakosoa na kuwafunga midomo mutaanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe. Amini musiamini ni ccm ndio itakua chanzo cha ukosefu amani tz
Kwa takwimu za Nchimbi wao wameweka wagombea wengi na wapinzani wagombea wao ni wachache Sasa kwa akili ya kawaida tu wao wana wagombea wengi kwa nini wanafanya uhuni kuengua bila sababu za msingi hao ambao ni wachache ambao hawana madhara kwao kutokana na wingi wao. Hivyo hapa CCM wanaogopa siasa, hawawezi kushinda kupitia sanduku la kura ndio maana wanafanya huu uhuni wa kuengua wapinzani ili wabaki wao tu. Watanzania tuamkeni kupinga uhuni huu maana sasa wamezoea.
Kwa kutoa takwimu amekuwa puppet kwa nini Nchimbi usimwite puppet wa Samia shallow mind and poor thinking have you heard him speaking about anybody out of facts and reality au ni uchonganishi tu
Hii nchi kama ingekuwa bado inatawaliwa na wazungu wakoloni wangeendesha chaguzi za haki bila dhuluma kuliko hawa wakoloni weusi mithili ya wala nyama za watu ni walafi halafu hawatosheki.
@@DiwaniMwafongo wewe unataka kidanyike nini? Nawe ni kati ya waliokuwa wamefungwa magerezani pia kuharibiwa mali na biashara zao au ni mshabiki ambaye ukiitiwa kutoa hoja au kuandamana kwa amani unasema hainihusu? Kulia hata wana wa Israel walilia hadi sauti zao zikasikika kwa Mungu akashusha mapigo kumi kwa Farao hadi akasalimu amri!! Kulia ni kawaida kwa sababu hauna silaha hivyo unapiga kelele ili umma ujue madhiraa unayopata
Wewe sio mwana chadema wanachadema wako makini na wanataka kulikomboa hili taifa kutoka kwa wabinafsishaji Maliasili zetu za Tanzania wameuza loliondo bandari wanyama nk tuamke watanzania
Unataka waingie msituni je unadhani utakuwa salama huoni yanayotokea Congo Sudan na Somalia vinginevyo usingetoa maneno ya kipumbavu kiasi hicho hujui kuna mataifa yako tayari kufadhili vita uko gizani Nyerere alisema kama huwezi kuwapiga wazomeeni lilikuwa neno la kinabii wasipozomea watashika silaha na silaha haina macho itanitafuna itakutafuna
Ngurumo, kwa muktadha huo huo WA taarifa za uongo huyu naye WA chadema asemi uongo? Ushauri wangu kwako .... Ili content zako ziwe na maana jaribu kutuwekea ushahidi Wenye mashiko na siyo maelezo ya hawa viongozi wakuu ... Kwa maana hii rahisi Tu kila kiongozi atataka kujenga wingo WA kuaminiwa. Hebu usiwe unaegemea upande ukifanya hivyo hakika content zako nitakuwa na maana Sana tofauti na hivyo sitaki nikupongeze zaidi ya kusema utakuwa NI sehemu ya upotoshaji maana mitazamo yako unaegemea upande mmoja
Hongera ngurumo mwandishi wa habari unajielewa upo vizuri nakupenda kwa ukweli wako Mungu akulinde
Hongera SK media kwa kuwapa elimu watu wa CCM,,! Tanzania ltakuwa balaa kuliko lile balaa la Msumbiji juxi tu . Mungu tuepushe kuwa Sudan nyingine hii nchi ya Mwalimu Nyerere " kisiwa cha Amani," Amen.
CCM ndio wanaogopa uchaguzi hawana jipya watu wamewa choka my
Siasa ilikuwa nzuri wakati wa kikwete, mkapa,hata wakati wa Mwinyi.. lakini democracy yetu inakwenda nyuma..kuna siku watachoka
Nchi inaangamia hii.wakoloni weusi hawa ni kama nguruwe walafi.unaambiwa bora ukoloni wa mtu mweupe kuliko huu ukoloni wa mtu mweusi.
NAKUMBUKA ENZI ZILEEEEEEEEEEEEEE INAYOSEMEKANA KISHINDO CHA WAKOMA🤣🤣🤣🤣🤣
Ansbert ,mungu akuimarishe na akulinde,unanipa madini adimu kwa gharama ya bando!,amen.
Ccm inaogopa uchaguzi ulio huru na haki!
HIVI HIZI TAKWIMU MBONA HAZILETI MANTIKI....NANI KAMPA MH. NCHIMBI HIZO TAKWIMU ZISIZO NA UHALISIA!
Ccm na Serikali yao ndio wanao ogopa Uchaguzi maana hawapo tayari kushinda kupitia sanduku la kura.
Kwani nchimbi wewe ni msimamizi wa uchaguzi au? Tamisemi ndio wanatakiwa kusema hayo yaani unaanza kuuiba uchaguzi kabla maneno hayo ni kujitangazia ushindi nchimbi watanzania kwasasa tunajua kila kitu ila Mungu atawalipa kwa hizi hujuma
Chadema wapo juu CCM chini
Kwa nini mnaandika majina ya watu waliyo kufa na watoto. Kama kweli mna mtaji vijiji mitaa vitongoji viko wazi. Nyinyi waongo mkubwa.
Ilitakiwa mumaweke hadharani hao walio kufaa,
@@mbagalacharambe114uko outdated hayo yalishatibitishwa siku nyingi
Maskini siasa za nchi hii Mungu atashusha laana kwa wanaozivuruga.
Daima mbele nyuma mwiko.
Chadema wanajitambua sana .
Waliandikisha watu kidijitali siku nyingi sana .
CCM walidhani wamejipanga vizuri zaidi ya Chadema kumbe mambo ni kinyume .
@@RockusssySanka kinachosumbua ni ile hofu na madhira waliyopata wakati wa awamu iliyopita. Kinyume chake watu wanayo shauku na utashi wa kugombea nafasi za uongozi na kuitoa ccm ktk uongozi. Ccm hawana hofu tena na Mungu sasa watu kama hawa ni hatari kwa sababu yumkini mungu wao si wa haki!! Ila leo ktk maombolezo nimemsikia mmojawao akisema duniani tu maua vyote tutaviacha!! Kumbe wanajua kwamba hawatakuwepo milele lkn bado hawana hofu na Mungu wa kweli
Mmeua,mmeteka mmetisha watu,mmepoteza ni Nani wakuwaamini upumbafu
Baba Ansbert huwa sijutii bando yangu kuisha, unatupa mwanga . Mungu endelea kumlinda baba huyu.
Wamesahau kuwa wamekuwa wakihangaika uck na mchana kuhakikisha upinzani unadidimia. Na hata sasa wanafanya juu chini kuua demokrasia haikui kwa kuengua upinzani.
Hata Mimi nilimshangaa sana kwa kuongea uongo mtupu inamaana hayo maeneo mengine hayaishi watu au?😂😂🙌
Ccm munapoteza mvuto kila kukicha.
Hatimae mukimaliza wanaowakosoa na kuwafunga midomo mutaanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe.
Amini musiamini ni ccm ndio itakua chanzo cha ukosefu amani tz
Ccm wanaogopa uchaguzi,na wanajua hawakubaliki!
Nilishangaa sana takwimu za huyo katibu
Sasa kama mna idadi kubwa kuliko upinzani kwa nini mnaengua????!!!??!!!???
Wee Nchimbi ujue kwamba ukimaliza kusema hayo, Kanisa liko mbele yako ukafanye yaliyosemwa na Nape na baadae ukayakanusha Kwa ulimi wako. Shame!
Emmanuel maana yake ni
" MUNGU PAMOJA NASI".
CCM HAINA MVUTO
Chama hicho ni ccm
Nakweli ndomaana inatumia police Ili waendelee kutawala
Chukua Chako Mapema
@@silasmponeja 😂😂😂😂
Hakuna uchaguzi hapo. Ni upuuzi tu😢😢😢
👍✌️👊.
BALOZI NCHIMBI....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWAKO BINAFSI NA CCM YOTE KWA KUHUJUMU MCHAKATO MZIMA WA UCHAGUZI!
Takwimu against propaganda who is right
dar
Kwa takwimu za Nchimbi wao wameweka wagombea wengi na wapinzani wagombea wao ni wachache
Sasa kwa akili ya kawaida tu wao wana wagombea wengi kwa nini wanafanya uhuni kuengua bila sababu za msingi hao ambao ni wachache ambao hawana madhara kwao kutokana na wingi wao.
Hivyo hapa CCM wanaogopa siasa, hawawezi kushinda kupitia sanduku la kura ndio maana wanafanya huu uhuni wa kuengua wapinzani ili wabaki wao tu.
Watanzania tuamkeni kupinga uhuni huu maana sasa wamezoea.
Nchimbi anaongea uwongo madhabahuni!
Tena anaongea uongo bila aibu.
Hivi wanasoma komenti kweli?
Na alie sema hivo ni lisu
Puppet wa mbowe, Mungu anakuona
Kwa kutoa takwimu amekuwa puppet kwa nini Nchimbi usimwite puppet wa Samia shallow mind and poor thinking have you heard him speaking about anybody out of facts and reality au ni uchonganishi tu
Mdaa utasema to waache
Hii nchi kama ingekuwa bado inatawaliwa na wazungu wakoloni wangeendesha chaguzi za haki bila dhuluma kuliko hawa wakoloni weusi mithili ya wala nyama za watu ni walafi halafu hawatosheki.
Bado wimbo ni kulia Lia......
What next ...?
What next????
CHADEMA tumezidi kulia Lia..
@@DiwaniMwafongo wewe unataka kidanyike nini? Nawe ni kati ya waliokuwa wamefungwa magerezani pia kuharibiwa mali na biashara zao au ni mshabiki ambaye ukiitiwa kutoa hoja au kuandamana kwa amani unasema hainihusu?
Kulia hata wana wa Israel walilia hadi sauti zao zikasikika kwa Mungu akashusha mapigo kumi kwa Farao hadi akasalimu amri!! Kulia ni kawaida kwa sababu hauna silaha hivyo unapiga kelele ili umma ujue madhiraa unayopata
Wewe sio mwana chadema wanachadema wako makini na wanataka kulikomboa hili taifa kutoka kwa wabinafsishaji Maliasili zetu za Tanzania wameuza loliondo bandari wanyama nk tuamke watanzania
Kigaila hakuwa analia. Alikuwa anatoa takwimu zinazohusu uchaguzi serikali za mitaa.
@josephwilliammnyune5464 l adore CHADEMA, lkn tutalia sana, kaka?
Another forceful means is needed, really!!
Unataka waingie msituni je unadhani utakuwa salama huoni yanayotokea Congo Sudan na Somalia vinginevyo usingetoa maneno ya kipumbavu kiasi hicho hujui kuna mataifa yako tayari kufadhili vita uko gizani Nyerere alisema kama huwezi kuwapiga wazomeeni lilikuwa neno la kinabii wasipozomea watashika silaha na silaha haina macho itanitafuna itakutafuna
Ngurumo, kwa muktadha huo huo WA taarifa za uongo huyu naye WA chadema asemi uongo?
Ushauri wangu kwako ....
Ili content zako ziwe na maana jaribu kutuwekea ushahidi Wenye mashiko na siyo maelezo ya hawa viongozi wakuu ...
Kwa maana hii rahisi Tu kila kiongozi atataka kujenga wingo WA kuaminiwa.
Hebu usiwe unaegemea upande ukifanya hivyo hakika content zako nitakuwa na maana Sana tofauti na hivyo sitaki nikupongeze zaidi ya kusema utakuwa NI sehemu ya upotoshaji maana mitazamo yako unaegemea upande mmoja
Sisiemu wote ni makapi tuu