Gideon Paul Magangira
Gideon Paul Magangira
  • 16
  • 1 011 009
GIDEON PAUL UMENITAFUTA
GOSPEL ARTIST TO THE WORLD
มุมมอง: 227

วีดีโอ

GIDEON PAUL MAGANGIRA
มุมมอง 33028 วันที่ผ่านมา
THE GOSPEL ARTIST FROM TANZANIA TO THE WORLD
Gideon Paul Magangira - Nafurahia
มุมมอง 6742 หลายเดือนก่อน
T GOSPEL ARTIST FROM TANZANIA
Unifae - GIDEON PAUL MAGANGIRA (TESTIMONIAL SINGLE ) official Lyrics Video
มุมมอง 6K10 หลายเดือนก่อน
Unifae - GIDEON PAUL MAGANGIRA (TESTIMONIAL SINGLE ) official Lyrics Video
Unatawala (official audio)
มุมมอง 4Kปีที่แล้ว
Unatawala (official audio)
Pumzi Mavumbini - Gideon Paul
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
Melody composer: Gideon Paul Song Writer: Gideon Paul Production: Nsajigwa Moderns Artwork: Cuthbert Julius
Je! ni Nani? ft Zoravo (official Audio)
มุมมอง 974Kปีที่แล้ว
Melody composer: Gideon Paul Song Writer: Gideon Paul, Zoravo Production: Nsajigwa Moderns Artwork: Cuthbert Julius
Gideon Paul Magangira - Mwanakondoo (Re-Uploaded)
มุมมอง 1.2K2 ปีที่แล้ว
Gideon Paul Magangira - Mwanakondoo (Re-Uploaded)
Gideon Paul - Peke yako
มุมมอง 2.6K2 ปีที่แล้ว
LYRICS Verse 01 Peke yako unastahili wewe ni Mungu, Unatenda mambo makubwa sana, Wewe ni Mungu. Peke yako unastahili Yesu. Weee eeh eh ni Mungu! Unaponya magonjwa yaliyoshindikana, yaliyoshindikana, yaliyoshindikana. Peke yakooo ooh ooh! Chorus 01 Peke yako unastahili (Pokea sifa Yesu) Wewe ni Mungu (Unatenda mambo) Unatenda mambo makubwa sana,(Yaliyoshindikana) Wewe ni Mungu. (Bwana peke yako)...
Gideon Paul ft Henrick Mruma - Ndani Yangu
มุมมอง 2.8K3 ปีที่แล้ว
SONG: YESU NDANI YANGU (Yohana 6:- 56) Chorus 01. Yesu yu ndani yangu na mimi ndani yake Verse 01 Yesu yu ndani yangu nami nimo ndani yake, Natembea na Mungu. Amenipa mamlaka juu ya n’ge na nyoka. Natembe na Mungu. Amenipa mamlaka juu ya mambo yote Nina nguvu, nina nguvu za Mungu. Chorus 2 Uko ndani yangu, niko ndani yako . Verse 02 You left the throne of glory, to become a sucrificial Lamb. Th...
Gideon Paul ft Goodluck Msuya - Sijaona
มุมมอง 9K3 ปีที่แล้ว
SONG LYRICS Intro (Gideon Paul) Huuuuu yeyeye yeye yeeh! Sijaona wakufanana na wewe Huuuuu uuuuuh uuuuh! Sijaona wakufanana na wewe! Verse 01 (Gideon Paul) Je ni nani? Mwenye nguvu kama zako Sijaona Wakufanana na wewe Mwenye uweza mamlaka kama yako baba eeeh Sijaona wakufanana na wewe (Goodluck Msuya) Aliyeumba Mbingu bila nguzo yeyote Sijaona wakufanana na wewe Uliumba lakini haukuumbwa Sijaon...
Gideon Paul - Mwanakondoo (Official Video 4K )
มุมมอง 2.3K4 ปีที่แล้ว
#Gideonpaul #Gospel #Tanzania Gideon Paul Revelation 5:12 and they cried with a loud voice, saying, Worthy is the Lamb! slaughtered, to receive power and riches and wisdom and strength and honor and glory and blessing. Music by Mordecai Nsajigwa Music Production - Mordens Music Video by Faithwardbrand Video directed by Director Danny Call 255 718843374
GIDEON PAUL MWANA KONDOO(LYRICS)
มุมมอง 1.4K5 ปีที่แล้ว
Song writer: Gideon Paul studio:Moderns Music the song based From the book of Rev:5-6 Ufunuo wa Yohana 5:8,12 [8]Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai wanne na wale wazee ishirini na wanne wakaanguka mbele za Mwana-Kondoo, kila mmoja wao ana kinubi, na vitasa vya dhahabu vilivyojaa manukato, ambayo ni maombi ya watakatifu. [12]wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, k...
GIDEON PAUL Umenitafuta
มุมมอง 8406 ปีที่แล้ว
Follow me on Instagram @gospelboygideon
GIDEON PAUL - CHAGUO LANGU (WEDDING SONG / NYIMBO YA HARUSI)
มุมมอง 3K6 ปีที่แล้ว
wedding song Written and Performed by: Gideon Paul Magangira Music Produced by: Nusder. Video Produced by: Bigthink Entertainment. Video Directed by: Jaywinner
GIDEON PAUL Haleluya
มุมมอง 8767 ปีที่แล้ว
GIDEON PAUL Haleluya

ความคิดเห็น

  • @maryanthonymgubari8784
    @maryanthonymgubari8784 วันที่ผ่านมา

    🙏🏽

  • @JoelMkwawa
    @JoelMkwawa 2 วันที่ผ่านมา

    Munguuu nikiendelea kutafakari matendo yakooo ni makuu sana nakupenda sanaa huu wimboo umenitoa kwenye kipindi kigumuu sana ila utabaki kuwa munguu tu

  • @williammabanga6515
    @williammabanga6515 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana Kwa kazi hii.. Mungu azidi kuibariki Kazi hii..

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld 2 วันที่ผ่านมา

      @@williammabanga6515 Thank you, my brother

  • @dogodiamondbahati4250
    @dogodiamondbahati4250 2 วันที่ผ่านมา

    My brother… hi song 🔥🔥🔥

  • @FrankSindanoOfficial
    @FrankSindanoOfficial 2 วันที่ผ่านมา

    Nice one

  • @givenemmanuel7824
    @givenemmanuel7824 2 วันที่ผ่านมา

    👌🏾👌🏾🙏

  • @EricD-cj2yi3ep1i
    @EricD-cj2yi3ep1i 2 วันที่ผ่านมา

    Nice song❤️🙏 Much love from Kenya

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld 2 วันที่ผ่านมา

      @@EricD-cj2yi3ep1i Thank you so much share it please 🙏🏾

  • @sarahakinyi2104
    @sarahakinyi2104 4 วันที่ผ่านมา

    Nice song I have come through present kai

  • @veronicanissa588
    @veronicanissa588 15 วันที่ผ่านมา

    Pamoja na yote mungu umenivusha, nipo hapa kushukuru

  • @humphreypeter5641
    @humphreypeter5641 19 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba video ya hii nyimbo Mtumishi

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld 19 วันที่ผ่านมา

      @@humphreypeter5641 Nipe siku 60 tu utaipata

    • @humphreypeter5641
      @humphreypeter5641 19 วันที่ผ่านมา

      @ Amina ubarikiwe na Bwana Yesu

    • @jacksonlumumba5654
      @jacksonlumumba5654 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@gospeltotheworld 53 days to go😂

  • @maryanthonymgubari8784
    @maryanthonymgubari8784 19 วันที่ผ่านมา

    As anteeee Mungu akubark Mwanangu❤

  • @aquilatechblogs5109
    @aquilatechblogs5109 23 วันที่ผ่านมา

    Great

  • @maryanthonymgubari8784
    @maryanthonymgubari8784 23 วันที่ผ่านมา

    Barkiwa

  • @zachariandama8447
    @zachariandama8447 26 วันที่ผ่านมา

    Kuna Clip ya harusi nimeiona ikipingwa hiii nyimbo nimekuja kuitafta What A Song 🔥🔥🔥🙌🙌🙌

    • @gospeltotheworld
      @gospeltotheworld 26 วันที่ผ่านมา

      @@zachariandama8447 🔥🔥🔥

    • @zachariandama8447
      @zachariandama8447 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@gospeltotheworld Ubarikiwe Sana Kaka 🙌🙌🙌

  • @witneskindole9451
    @witneskindole9451 28 วันที่ผ่านมา

    Wimbo niupendao❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wenseslasdjumasuleymantv8849
    @wenseslasdjumasuleymantv8849 28 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @princessdiana4589
    @princessdiana4589 หลายเดือนก่อน

    Je? Ni Nani WA kufafana na wewe ? I love that part 🎉❤❤😅

  • @dynadjuma
    @dynadjuma หลายเดือนก่อน

    Sir sir sir 😭🙌 I don’t know what to say. You really have something unique and very powerful kaka🙌 I haven’t seen your copy!!! More grace MOG🙌

  • @mirriamdelight
    @mirriamdelight หลายเดือนก่อน

    Good song

  • @FelisterNyamle
    @FelisterNyamle หลายเดือนก่อน

    Amen christians please let us be people of God

  • @Madamsylvianyamanda
    @Madamsylvianyamanda หลายเดือนก่อน

    🎉🎉 Hayupo wa kufanana na Mungu❤

  • @fridaholoo
    @fridaholoo หลายเดือนก่อน

    A blessed song...amazing...ilove it❤

  • @stephnorah9625
    @stephnorah9625 หลายเดือนก่อน

    This song is❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @Queen-gv8ot
    @Queen-gv8ot หลายเดือนก่อน

    Weweeeeeh🎉💃💃 wakowapi wale wanaomsifu Mungu kama mimi🙌

  • @LucretiaSiasi-jl5pg
    @LucretiaSiasi-jl5pg หลายเดือนก่อน

    Hongera sana brother nimeipenda iyo chorus ya kwanza..hakika unafanya kazi nzuri bravooo I remember at sinon ttc

  • @LucretiaSiasi-jl5pg
    @LucretiaSiasi-jl5pg หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana kijana nyimbo nzuri

  • @dogodiamondbahati4250
    @dogodiamondbahati4250 2 หลายเดือนก่อน

    My Brother 🔥🔥🔥🔥

  • @JacksonMagangira
    @JacksonMagangira 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉 AMEN kubwa

  • @wisdomtibagye3689
    @wisdomtibagye3689 2 หลายเดือนก่อน

    Me I want to know why you removed the song from Spotify 😢😢😢 Such a wonderful song

  • @NeriaPeter
    @NeriaPeter 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ it's Jesus Christ who loves me. Amina glory to God!

  • @CarolyneMutuku-c6e
    @CarolyneMutuku-c6e 2 หลายเดือนก่อน

  • @SaraMgimba
    @SaraMgimba 2 หลายเดือนก่อน

    Ni Yesu aliye tutoa Mambini tulio kuwa mateka washetani nitakupenda Yesu milele

  • @MireilleKamabaragata
    @MireilleKamabaragata 2 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa 🎉🎉🎉

  • @witneskindole9451
    @witneskindole9451 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @tkmElectronics
    @tkmElectronics 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @aploniamalley1832
    @aploniamalley1832 2 หลายเดือนก่อน

    Nafurahia kwa mana huyo ni Mimi 🎉❤❤❤aliyenipenda ni Yesu 💪🏻 my favorite part of the song

  • @njambigift7520
    @njambigift7520 2 หลายเดือนก่อน

    Kwan ni Nani mwingine wakufanana nawe.mungu kma wee.tiktok let's gather herr.zaravo big up u bless my spirit🎉❤

  • @SuzanNgussa
    @SuzanNgussa 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera sanaa kaka yetu....hakika ujumbe huu ni dhahabu kwetu ❤

    • @SuzanNgussa
      @SuzanNgussa 2 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤🎉

  • @daynessswai916
    @daynessswai916 2 หลายเดือนก่อน

    Umenikinga na ajali mbaya zaidi ya Mara 5 😢 Ee Mungu nakushukuruu Hakika hakuna Kama wewe😊

  • @agnesjohnson2393
    @agnesjohnson2393 2 หลายเดือนก่อน

    Very Touching song🙌🏾😇🙏🏾

  • @Blandinemerveille4g
    @Blandinemerveille4g 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @IsaacManga-k7s
    @IsaacManga-k7s 2 หลายเดือนก่อน

    Just waoooooo 😊

  • @Josephprosperofficial
    @Josephprosperofficial 2 หลายเดือนก่อน

    Powerful ministration brother

  • @LisahKihali
    @LisahKihali 2 หลายเดือนก่อน

    🔥

  • @JacksonMagangira
    @JacksonMagangira 2 หลายเดือนก่อน

    ,,💥💥💥💥💥💥💥❤❤

  • @denismasawe
    @denismasawe 2 หลายเดือนก่อน

    Oh... hongera sana kaka 🎉🎉🎉🎉🎉 nimewahi kuimba hii nikiwa sijui kuimba nani na sikuwahi kujua nilisikia mdada mmoja aliimba tu hiyo chorus.....ubarikiwe sana kwa huo wimbo na ujumbe mzuri

  • @happinesssebastian8833
    @happinesssebastian8833 2 หลายเดือนก่อน

    Wahooo ni wimbo mzuri sana kaka

  • @hazelnimoz684
    @hazelnimoz684 2 หลายเดือนก่อน

    Still here 2024...his a bigger God

  • @EvangristerChonya
    @EvangristerChonya 3 หลายเดือนก่อน

    Am receiving my prophecy through this song 🙏 🙏 🙏