𝐉𝐀𝐇𝐀𝐙𝐈 𝐌𝐎𝐃𝐄𝐑𝐍 𝐓𝐀𝐀𝐑𝐀𝐁 Leyla Rashid Maneno Ya Mkosaji (Official Video) produced by Mzee Yusuph
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
- #MzeeYusuph #JahaziModernTaarab #SlideDigital
(C) Slide Digital
Mzee Yusuph and Jahazi Modern Taarabu / Safina Madern Taarab Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Mzee Yusuph: ffm.to/mzeeyusuph
Jahazi Modern Taarab: ffm.to/jahazim...
Safina Modern Taarab: ffm.to/safinam...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Na 2024, 27 April tupo tunasikiliza
Nipe like kama upo hapa 2024
💓💓💓💓💓🥰🥰🥰🤪🤪🤪
"ulinidharau ukaniona si wa maana kwa uwezo wako, ukasahau wazuri wapo wengi sana wa zaidi yako. Nimempata muungwana anae nijali mie mapenzi yake dhamana twaheshimiana sie."
Wangapi tunaskiza Taarab 2023. Mikono juu
🎉🎉🎉
Nipo hapa2023
@@fatmaramadhan762 👍🥰
✋✋
@@fatmaramadhan762😊😊😊qm
Nan mwingin anaisikiliza mwaka 2024 mwezi wasita tar 4 gonga like hapa
Gud sana hii song adi leo hii 2024 pmjaaaa
2024 nazidi kuskiliza mziki wa mwambao kutoka Bujumbura-Buyenzi!
2024 bado msiki mtamu zaidi sana
Mashallh mashallh leila Rashid 🤣🤣🤣🤣💕❤️💯💯💯 naendeleya kuisikiza wimbo wako 💯💯💯💯💯💯👍👍👍👍👍👍👍
Hizi ndio taarabu za mwisho mwisho kwa sisi tunaojua taarabu
Haswaaa❤
Haswaaa
mnakumbuka wapi
Kumbusha mbali sana walai @@ah-lamnassor2811
Sure 💯
I really admire Leila's Voice & her dancing moves all matches with the rhythm thus reminds me of Night Weddings in Mombasa I used to attend always!
Wapenzi wa taarab mpo
+254 Kenya 🇰🇪
Usinange mashirika yaliyo pita yame pita kwa huyu na thamini ka ndio ukaona nataka ta.,,,,, ❤️
Mzee Yusuf kwa utunzi tu upo vzr bro
Reminds me of in early 2000 in college going Travetain Hotel every week for taarabu
Alafu leyla hapa alikuwa mjamzito
Hii nyimbo ni best Kati ya nyimbo zake zote leyla rashid
Kilokushinda kukila bora c kitie hilaa, nilikua wako ukashi ndwa kunitunza nimempata mwezako namliwaza, sio Siri anafaid tena nampa raha honey,
Maneno ya mkosaji hayanikoseshi raha ya kunywa maji❤❤❤
Mzee yusuf ,Leila Rashid na khadija yusuf mashAllah mnakipaji jahazi modern taarab🔥
Tupogo 2024 with Different Emails 😂😂 kila mwaka
Vile nimeweka saut mpaka mwisho nilipo gundua kumbe tumepanga nyumba moja na x wang halaf nimeolewa yy anaishi na dem bila ndoa bas najimwayamwaya ndan had nahis joto 😂😂
Vichuna wa kipwani mpo wapii??
Nakwambia usisikitike
Na wala
Usihangaike daaaah!!!
Tamuuuu😅😅😅😅😅😅
Hakika ulichokishindwa kukila usikikie hila nilikuwa wako ukashindwa kunitunza
Nikweli
2024 very very nice taarab❤
Jamaniii.mambo hayo.kuna wtu wanadharau Dana wanawake mwisho was cku.analalama na kukitia Hira🤣🤣🤣
Nimempata muungwana anaenijali mie, mapenzi yake twaheshimiana siee, nilichosau Sina sitarudi kwako wewe, maneno ya mkosaji hayanikoseshi raha ya kunywa maji
2023 tupo hapa ❤️.
Tupo✋✋
Nilichosahau sina, sitorudi kwako wewe usipite kutukana umeyatupa mwenyewe. aaah patamu hapo
Pambee tuu maneno mazuri hayooo,,👌👌
Nalikubl hil song miak 1000000000
Maneno ya mkosaji ❤❤❤❤❤👍🇰🇪
Mpaka kesho Tunasikiliza
Ukiniona niko naye hatutaki joto... Love it
Mbona nimejaribu kudownload inakataa jamani nitaipata vipi mm nataka audio ya huu wimbo plz
Vidmate
@@ulengajunior7190 sawa, Asante acha nijaribu
Wow very nice song mara kukumi kwasiku nasikiliza huu wimbo 😂
Noma Sana maneno ya mkosaji.
11:17
Acha kabisa
Asante dada wimbo wako unanikuna
Kwa huyu nathaminika ndio ukaona natakata😘😘😘pambe tu
Sitarudi kwako wewe usipite kutukana❤❤❤❤
Mpk Sasa naipendaa
Muishikwa Salma inshaallah
Ulinidharau ukaniona si maana kwa uwezo wako ukasahau wazuri wapo wengi sana wazaidi yakooo 🔥🔥🔥
Xikd
Bigapu
God
Beautiful Hamisa brought me here.she danced to this song beautifully and gracefully. I love her
Lo ò9poi u uuuuuuuui:v"ccccccccv c
Ci5tt888
Ttttty/y88 u
Malikia nyimbo zake nazikubali sana
Same 🤣🤣🤣🤣
2024 tu hapa
Swadakta
Siunauja sisi watu wa pwana watu wakujiachia reyra wapi
Taarabu hii kali haizeeki ❤❤❤
Hukosei dada
Me watching in September 2024
Umeitupa bahati tena usinitiee joto 🚯🚯
❤❤2024 nice songs 🎵 👌
Chezea mmakonde wewe
Ww una wako nami nna wangu maneno ya nn vijembe vya nn HEHEHEIYAAAAA❤
Jilipendwa ❤️❤️❤️
penzi letu hayavunji
Kitambo sana 😘😘
Kwa raha zetu
Kwa raha zetu
Usini nange mashirika yaliyo pita yamepita
Leila oyee ❤️joha kassim analia😂😂😂
Leo tareh 29.11.2023
Hii video irudiwe
Leemamyoro
Yan reyla mm hapa weee umeniweza nalipenda hli song so mchenzo allah buress u🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💕💓
Aisha mashauz
mashauz🤣🤣🤣🤣🤣🤣
John komba
Mambo ayoo
Jaman mm naitaka hiii
Wangapi tunaskiza 2023 taarab
This is my best song I love you guys
Thanks dada unazijua nyimbo nzuri.
Hidayahhaxxan
2023 nimefika 😍😍
That's great
2024
❤❤❤❤❤🎉
❤
hawatoshi❤❤❤
Mamb
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤💃💃💃💃
31jbk8r has been the first
mashaaAllah malkia 🔥🔥🔥
Pambeeeeeee
My fav 🎶
Naipenda hatari
Niweke no stop taharabu
Hizi ndo taarab unasikiliza mpaka unasikia raha
acha kabisaaa jamani
Tena hasaa 😍😍😍😍
Mzee yusuph vinanda hivyo
Hauchokia kusikiliza nice sound
Leyla kama umemuimba mmewako wa kwanza
2008 dah remind me alot, in TANGA💔😭
Nipo apa komando wa taarabu
Nipo nasikiliza
Mpo wadau ndo zetu
❤❤❤❤
😍👌👌👌😘😘😘😘❤❤❤❤
Ma SHA ALLAH ❤
HAtali sana