Taarab: Fungu la Mungu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 226

  • @MariyaM-p9e
    @MariyaM-p9e 7 หลายเดือนก่อน +28

    Bado nasikiliza 2024 nipen like

  • @allymjato8980
    @allymjato8980 2 ปีที่แล้ว +4

    Katika Nyimbo Za Jahazi Alizoimba Leila Rashidy Hii Huwa Naipenda Kuliko zote Alizowahi Kuimba Hii Nyimbo Inaishi Miaka 10000 Bila Kuchuja wallah.

  • @DevotaKatumba
    @DevotaKatumba 7 หลายเดือนก่อน +15

    2024 nipo hapa ❤

  • @samiyaismail7602
    @samiyaismail7602 3 ปีที่แล้ว +11

    Ila fungu la mungu sikosi 💃💃💃💃nyie kufeni na choyo mtaisoma 🤗🤗🤗kwa mchana na usiku namuamini qudusi weee my love mie kwako nyang'anyang'a nitoke niende wapi wakati raha zakooo zinanitosha

  • @azizaomary4604
    @azizaomary4604 5 หลายเดือนก่อน +10

    Malkia Leila Rashid❤❤ 2024

  • @danielfute9193
    @danielfute9193 ปีที่แล้ว +14

    2024 narudia hapa

  • @masukijones5152
    @masukijones5152 2 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwenye kinanda huyo mwamba ni moto wa kuotea mbali. Hii nyimbo imenikumbusha mbali sana kipindi nmemaliza form 6 mwaka 2012

  • @rehemanjoki532
    @rehemanjoki532 ปีที่แล้ว +8

    2023 still listening to this song ❤

  • @faridaiddi104
    @faridaiddi104 5 ปีที่แล้ว +18

    Mungu knipa kaurinjema niongee na waja kwann wasnipende
    Rayla oyooooo
    Wakuache

  • @agnessmateo9233
    @agnessmateo9233 3 ปีที่แล้ว +5

    Mzee umetuwangusha sana mashabik wako, zaman ulikuwa ukitunga vitu vya mahana. Ebu sikiliza mashahili ya zaman kwanza mpaka uchoki kusikiliza wala kuangalia.

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimejikuta leo nasikiza hii taarabu mala kumi kumi ila kwa mungu ni ngumu hana hiyo sampuli

  • @honeymakeovertzmakeupartis3451
    @honeymakeovertzmakeupartis3451 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu kanipa kauli nzur niongee na waja kwanini wasinipende 👌

  • @rjjr5938
    @rjjr5938 4 ปีที่แล้ว +23

    Toka 2007 mpaka 2020 fungu LA mungu sikosi

  • @gloriamariadesouza9375
    @gloriamariadesouza9375 2 ปีที่แล้ว +2

    Niko Moçambique nimeipenda sana hi nhimbo wagina wa muanangu Leila

    • @nulatmpemba4080
      @nulatmpemba4080 2 ปีที่แล้ว

      😆😆😆wstachinja mpk nyau hawatofanikiwa walaaaa👌

    • @paulkyalomusyoka8934
      @paulkyalomusyoka8934 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@nulatmpemba40800

  • @famaosouth8768
    @famaosouth8768 5 ปีที่แล้ว +22

    Walla what a nice Taraab..who else is listening update

  • @NajmahBakari
    @NajmahBakari ปีที่แล้ว +1

    Ahsante leila .Langu sikio ❤❤❤❤

  • @martinswai8031
    @martinswai8031 4 ปีที่แล้ว +3

    Napenda sana mdomo wake ulivyo bomba kuanzia nje hadi ndani

  • @shabbyammacy9382
    @shabbyammacy9382 3 ปีที่แล้ว +10

    2021 nmejikuta leo nasikiza taarab tu

  • @fleojoseph722
    @fleojoseph722 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dada qnqjua sana yaan huwaga navaa headphone nakula ngoma zake taarabu za zamani nzuri

  • @mald6998
    @mald6998 4 ปีที่แล้ว +6

    Upo 2020 niwaone jomn🙆‍♂️😘ubinadam kazi😏

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 5 หลายเดือนก่อน +4

    Nani ameirudia tena mwaka huu

  • @AnchanchembaNchemba-qp8py
    @AnchanchembaNchemba-qp8py ปีที่แล้ว +3

    Ainda gostando dessa música até hoje 🇲🇿🇲🇿❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @aminakazogolo2229
    @aminakazogolo2229 11 หลายเดือนก่อน

    Ila la Mungu fungu lake sikosi🙌🏽🙌🏽Leyla❤️❤️

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 ปีที่แล้ว +2

    ❤️❤️❤️haya wapenzi wa malkia Leyla tule burudani na malkia 💞💞💞👌👌 heheheyaaaa!

  • @patrasisrael7566
    @patrasisrael7566 6 ปีที่แล้ว +12

    I love this song coz ilitufanya tukafika manationals during music festivals nkiwa high skul

  • @mymagie6352
    @mymagie6352 4 ปีที่แล้ว +1

    nasema kumamake ehe,mungu sikia vilio vyetu taarabu irudi on air mwee tunateseka sie mashabiki jaman 2020..

  • @esterjohn7182
    @esterjohn7182 5 ปีที่แล้ว +6

    Kauli ya mola silaha nzitoooo,,, alipangalo ndilo litokua amen

  • @bellah7467
    @bellah7467 3 ปีที่แล้ว +3

    Nime tafuta wimbo huu sana wee asanta leo naupata taarab oyeeee😍😍😍😘

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 ปีที่แล้ว +5

    Reyla daima nakupenda kipenzi sauti pambe mashaallah..😍😍😍

  • @weldonkibet2548
    @weldonkibet2548 4 ปีที่แล้ว +8

    Good song Leyla, reminds me of trip to Zanzibar 2014 ....

    • @isackmbade3181
      @isackmbade3181 ปีที่แล้ว

      Mimi hua inanikumbusha safari yangu moja nilikuaga Geita Katoro usukumani huko ndo nyimbo ambayo nilikua naiskiliza katika kipindi cha miezi mitatu chote nilichokaa kule nilienda kutafuta maisha

  • @righitkileo
    @righitkileo ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤Mola fitina hataki❤❤❤❤q❤❤❤❤❤❤

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 3 ปีที่แล้ว +24

    Nani bado anasikiliza hii tujikumbushe kidogo

  • @Mzuri_002
    @Mzuri_002 ปีที่แล้ว +2

    2023 still bangerr❤

  • @kokombwana8625
    @kokombwana8625 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakumbuka Handeni,nikiwa ndani ya basi la Hajees

  • @afrykanqwin
    @afrykanqwin 14 ปีที่แล้ว +28

    addicted to this song :)
    i love it!!!..if only i could have the lyrics.

    • @mohamedikazumari638
      @mohamedikazumari638 3 ปีที่แล้ว +1

      Xaghutxx. Ikplgfwr

    • @naimatemba8061
      @naimatemba8061 ปีที่แล้ว

      Nampenda sana huyu dada jamani bado nasikiliza nyimbo zake

  • @1969jamila
    @1969jamila 14 ปีที่แล้ว +7

    Roho za wanaadamu kimaihsa mi nifeli, ila kwa Mungu ni ngumu hana hiyo sampuli. Haaaaaaaaaa! maneno makali kama ncha ya msumari!!!!!!!:)

  • @mwassyazeez3240
    @mwassyazeez3240 4 ปีที่แล้ว +4

    Maishallah bi Leila ,saut mama👌👌😘

    • @mudyboko2567
      @mudyboko2567 4 ปีที่แล้ว

      000pp0000000000000000000000000p00000000000p00000000000lpl00000000000000000000000000p000000000000000000000000000000000000

    • @mudyboko2567
      @mudyboko2567 4 ปีที่แล้ว

      0

  • @samiyaismail7602
    @samiyaismail7602 3 ปีที่แล้ว +2

    Pigeni zenu fataki aloandika hafuti waja hamna nafasi mola fitina hataki nang'ara kila wakati umieni zenu nafsi ❤️💕❤️💕💔

  • @lilianmakeo5161
    @lilianmakeo5161 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kanipa kauli nzuri niongee na waja kwann wasinipendeeee👌

  • @samuelwangui7757
    @samuelwangui7757 2 ปีที่แล้ว +3

    💖my all time favorite kibao murwa aisee💖

  • @mwanakherymohamedy6970
    @mwanakherymohamedy6970 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubinadamu kazi kweli kweli👌

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 ปีที่แล้ว +4

    All the days this song must have an historical.keep on trying all the singers participated.

  • @sophiammasa6387
    @sophiammasa6387 7 หลายเดือนก่อน

    2024 Naipenda hi taarabu

  • @irinecharles7443
    @irinecharles7443 6 ปีที่แล้ว +1

    Dada Leila mwenyezi Munguamekujalia Sana kuanzia Shem mpaka uimbaji

  • @defence254
    @defence254 ปีที่แล้ว +1

    Naupenda sana huu wimbo

  • @ayikearafahcissy1497
    @ayikearafahcissy1497 ปีที่แล้ว

    2024 it's like a new Banga for me ❤❤

  • @mirajijuma-ti2yg
    @mirajijuma-ti2yg ปีที่แล้ว

    Inanikumbusha mbali sana iv hawa viumbe waliifia wap

  • @kemyphilip4000
    @kemyphilip4000 3 ปีที่แล้ว +5

    Gonga like apa 2021-2022💥💥💥

  • @murungimusa6998
    @murungimusa6998 4 ปีที่แล้ว +7

    Listening now now 2020

  • @samiaismail1805
    @samiaismail1805 3 ปีที่แล้ว +11

    2021 nipo na malkia 💞 you sister

  • @fatmaali3232
    @fatmaali3232 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashalla

  • @aminaomary1099
    @aminaomary1099 3 ปีที่แล้ว +1

    Safii sana leylaaa

  • @husnayusuph-rd2zb
    @husnayusuph-rd2zb ปีที่แล้ว

    Hii nyimbo haichuji jaman naipenda sana

  • @mohamedngalipa7183
    @mohamedngalipa7183 4 ปีที่แล้ว +6

    This song number oooone!!!

  • @MzeeSteve
    @MzeeSteve 13 ปีที่แล้ว +7

    kumbukumbu kutoka Zanzibar na pwani!

  • @kinayamohamed3127
    @kinayamohamed3127 4 ปีที่แล้ว +4

    Leila Rashid 🥰😘😍 We houdjissa Ma Sha Allah 😍 Houssouda Bali nawe 🥰

  • @maulidmvumbi
    @maulidmvumbi ปีที่แล้ว

    Asante mama wa milindimo ya pwani

  • @SideBaba-tb8qg
    @SideBaba-tb8qg 4 หลายเดือนก่อน

    Hii nakumbuka mbali sana yani 2010

  • @williamokwanus21
    @williamokwanus21 ปีที่แล้ว

    Mimi hapa Nairobi majengo

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 5 ปีที่แล้ว +3

    Leyla,,, nakupenda wewe, na nyimbo zako zote jaman

  • @mohammedsebarua8432
    @mohammedsebarua8432 3 ปีที่แล้ว +5

    2021 bado tupo

  • @DawoodIbrahim-o6o
    @DawoodIbrahim-o6o 9 วันที่ผ่านมา

    Mzee unatisha enzi zako

  • @mohamedmngoya9395
    @mohamedmngoya9395 4 ปีที่แล้ว +1

    Tamu Sana Dada Leyla Anajua

  • @fatmamrihani6828
    @fatmamrihani6828 2 ปีที่แล้ว

    2022 still listening this Master piece ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @leylamohamed9939
    @leylamohamed9939 ปีที่แล้ว

    2023 Wajina WANGU😍🥰

  • @angeltembo3165
    @angeltembo3165 4 ปีที่แล้ว +1

    Love you Leila wimbo mzuri

  • @crisscoome4704
    @crisscoome4704 2 ปีที่แล้ว +1

    Nzuri kwa zote

  • @eunicejemaiyo4543
    @eunicejemaiyo4543 5 ปีที่แล้ว +9

    Am in love with this song

  • @zamzamjumah8440
    @zamzamjumah8440 5 ปีที่แล้ว

    Ubinaadamu kazi kweli kweli leyla

  • @touzysela8060
    @touzysela8060 2 ปีที่แล้ว

    Kam adi leo hii bado unaipenda hii nyimb ebu acha like 2juane 2022 trh4 mwez wa8 3:36

  • @hanifahramzy2646
    @hanifahramzy2646 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli jamani ubinadamu kazi kwelikweli

  • @rehemayombe4342
    @rehemayombe4342 ปีที่แล้ว +1

    Mimi Rehema said nikododoma

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 ปีที่แล้ว +1

    Alooooooooooo 👌🏽👌🏽

  • @kanyamatransporter2282
    @kanyamatransporter2282 4 ปีที่แล้ว +2

    Jahazi mnatisha !!

  • @PizzaBoy-kd9ot
    @PizzaBoy-kd9ot 3 วันที่ผ่านมา

    Ama kwel ubinadamu kazi

  • @salimaomalishaibu6001
    @salimaomalishaibu6001 4 ปีที่แล้ว +5

    Ilaa lamungu fungu lake sikosi maneno matamu hayoooo 11/4/2020

  • @mokingzilathebosszilathebo7834
    @mokingzilathebosszilathebo7834 5 ปีที่แล้ว +1

    Fungo la mungu sikosi wana zanzibar mpoo

  • @RaqimoriginalfilmRAQIMORIGINAL
    @RaqimoriginalfilmRAQIMORIGINAL 2 หลายเดือนก่อน

    Chenga hapa zakare ni zahabu

  • @zamdashasha2741
    @zamdashasha2741 11 ปีที่แล้ว +13

    taarabu zuri saaana dada

    • @rehemajuma8871
      @rehemajuma8871 5 ปีที่แล้ว +1

      Zamda Shasha yang Ni hatari

  • @brendangesa7144
    @brendangesa7144 8 ปีที่แล้ว +9

    I love this song fungu la Mungu

  • @Selewa28
    @Selewa28 5 หลายเดือนก่อน

    Nipo 2024

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 ปีที่แล้ว

    4/8/2021 kwangu naona km ndio kwanxa imetoka leo Zaman mlikuwa mnaimba mno lakin now mh

  • @samiyaismail7602
    @samiyaismail7602 3 ปีที่แล้ว

    Kauli ya mola silaha nzito alipangalo ndilo litakalokua bure hila na roho za joto mimi kuwa neema 🙄🙄🙄🙄kaaazii kweli kweli

  • @mtondokibibi897
    @mtondokibibi897 7 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh ubinadamu kazi..siuongo bi Leyla

  • @radhiabaibe4324
    @radhiabaibe4324 9 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah da leyla uko juu hongera sana

  • @henrymdogoo4158
    @henrymdogoo4158 5 ปีที่แล้ว +2

    Nizuri Sana taarab

  • @tothmanjr6317
    @tothmanjr6317 4 ปีที่แล้ว +1

    Wape wape dalela wenye roho dhaifu

  • @IssaAlly-lp4uf
    @IssaAlly-lp4uf 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee ulikua unatunga na mziki sauti zinaendana

  • @nulatmpemba4080
    @nulatmpemba4080 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂 mutachinja mpk nyau kwa roho mbaya zenu mungu hayupo pamoja nanyii.uongo uongo jamaniii?

  • @ramapa1
    @ramapa1 12 ปีที่แล้ว +7

    Apana moja, Jambo

  • @Nujaymah
    @Nujaymah 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤💙💙💙💙

  • @julianadodiimetisha5808
    @julianadodiimetisha5808 5 ปีที่แล้ว +1

    Nishajaliwa mie hapo huwa napapend sna

  • @linahsongolo138
    @linahsongolo138 3 ปีที่แล้ว

    raha jipe mwenyewe

  • @KassimKizundu
    @KassimKizundu 11 หลายเดือนก่อน

    2024 apa upon love song ❤❤🔥🔥

  • @danielmuana4191
    @danielmuana4191 2 ปีที่แล้ว

    Hatarii

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 2 ปีที่แล้ว

    Nipo hapa 2022 kazi kwelikweli

  • @nurunazary8139
    @nurunazary8139 ปีที่แล้ว +1

    2023 25 September

  • @asmamkwama2826
    @asmamkwama2826 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabixa kuishi na watu kaz

  • @selemanmisuke9129
    @selemanmisuke9129 3 ปีที่แล้ว

    Taarab hazichuji hakika huo ndo ukweli

  • @rahimalewe2835
    @rahimalewe2835 ปีที่แล้ว

    nyimbo naipenda hii dah