VITUKO VYA MASANJA MKANDAMIZAJI MSIBANI/KIFO AKITAKI UTANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • VITUKO VYA MASANJA MKANDAMIZAJI MSIBANI/KIFO AKITAKI UTANI

ความคิดเห็น • 72

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 ปีที่แล้ว +6

    Dah sichokaji kukusikiliza bro Masanja, kweli kila ninapoangalia najikuta siku yangu inakuwa happy .Barikiwa bro

  • @richardsolomoney490
    @richardsolomoney490 5 ปีที่แล้ว +4

    NANUKUUU Godzilla LABUDA MANENO YANGU WATAYAELEWA SIKU NIKIFA#STAY kwr masanja

  • @josephswai6725
    @josephswai6725 3 ปีที่แล้ว +3

    Masanja tunaomba semina Kwa vijanaaa arusha tafadhali kama ukiona msg yangu tuzungumze plz

  • @magynzioka1122
    @magynzioka1122 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂Masanja ana ongopa kifo hadi shetani ana mwongopa kabisa😂😂😂😂

  • @emanuelpaulo5280
    @emanuelpaulo5280 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtmishi

  • @helmankafuka6507
    @helmankafuka6507 5 ปีที่แล้ว +8

    Kama umesikia kwetu hakuna vyandalua gonga like

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 2 ปีที่แล้ว

    Kwel ww ni mchungaji asie na maono! Ina maan unataka kuaminisha watu kuwa mtu akifa anaenda mbinguni? Hovyo kwel! Changanya akili bro!

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 5 ปีที่แล้ว +6

    Masanja nakugawa bure

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 5 ปีที่แล้ว +2

    Masanja we kiboko

  • @sultanvdeo4996
    @sultanvdeo4996 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimecheka kwa sauti.....😁😁😀😀😀😀

  • @peterkatete5645
    @peterkatete5645 5 ปีที่แล้ว +3

    Ni uhalisia usiopingika. Mungu wetu hujibu maombi mapema ila hatuelewagi kabisa.

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 4 ปีที่แล้ว +1

    Aki masanja wewe nimoto wakuotea mbali😁😁😁😁😁🇰🇪🇲🇴🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @maidamwaipopo9603
    @maidamwaipopo9603 ปีที่แล้ว

    Kweli lkn mwansasu aliimba siku akilala lala mauti hakuna awezae kumuamsha akalala kweli

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda hiyo

  • @evambughuni9276
    @evambughuni9276 5 ปีที่แล้ว +4

    Hahaa masaja umenishinda tabia.

  • @philberthatanas1531
    @philberthatanas1531 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwetu pazuri nimeshapakumbuka nimesha pakumbuka

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 ปีที่แล้ว +2

    Masanja ni gifted and talented kuleta furaha

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 5 ปีที่แล้ว +3

    Duuu masanja

  • @ngosha1tv321
    @ngosha1tv321 4 ปีที่แล้ว +1

    Da!!!! Nataman kufanya comedy na ww kaka,, ntafrahi Kama itawezekana

  • @GloriousRestorationTV
    @GloriousRestorationTV 5 ปีที่แล้ว +5

    How can I get kemea pepo T-shirt ?

  • @dhssgs6360
    @dhssgs6360 5 ปีที่แล้ว +2

    Ha ha ha ha sina hamu ya kurundi kwa baba

  • @fredykephacy9230
    @fredykephacy9230 5 ปีที่แล้ว +3

    safi masanja sasa tishert

  • @mosesfungo4902
    @mosesfungo4902 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbn GK yupooo bado ??!!!

  • @alidomiseven4139
    @alidomiseven4139 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ata kwabure sihendi

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisaa, nikidifu2😀

  • @aminasaid5131
    @aminasaid5131 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah Raha sana MUNGU akutie nguvu

  • @babadee4785
    @babadee4785 5 ปีที่แล้ว +3

    Ila Biblia inasema jiwekeni tayari maana hamjui siku wala saa. Tafsiri yake ni kwamba mtu uwe tayari wakati wowote ule ukiitwa uwe na uhakika ma uendako. Paulo anasema kuishi ni Kristo kufa ni faida, mtumishi wa Mungu haogopi kufa kwa sababu anajua wapi anakwenda baada ya kufa kwake.

    • @lameckmwinuka8550
      @lameckmwinuka8550 5 ปีที่แล้ว

      Amen bro

    • @luganomwambulukutu5311
      @luganomwambulukutu5311 5 ปีที่แล้ว

      Ila sio kujiombea kufa

    • @calebmasaba5815
      @calebmasaba5815 5 ปีที่แล้ว

      @@luganomwambulukutu5311 Yes..sio kujiombea kifo

    • @kalufunyangenyakinyungu5087
      @kalufunyangenyakinyungu5087 4 ปีที่แล้ว +1

      Ila usijiombee kifo kwa makusudi na msisitizo inakuwa kama unamfundisha / unamuamrisha Mungu akufanyie utakayo ww kati tumeshaambiwa kesho yetu hatuijui zaidi ni kujiandaa kwa kutenda mema tu,ko Masanja mm naamini yupo sahihi.

  • @alexjudica8668
    @alexjudica8668 5 ปีที่แล้ว +2

    Masanja we ni kituko

  • @phoebemmanga299
    @phoebemmanga299 5 ปีที่แล้ว +7

    Yaani Masanja umesema kweli. Ukiimba nyimbo za huzuni huzuni huwa inatokea mambo ya huzuni. N.k.

  • @ushindieliya278
    @ushindieliya278 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice sana

  • @godluckmwandumbya8648
    @godluckmwandumbya8648 4 ปีที่แล้ว

    Masanja umenifulaisha

  • @genimaige6023
    @genimaige6023 5 ปีที่แล้ว +2

    duuuu kulia natamani kucheka natamani dah bora nicheke tuuuu😁😁😁😁😁😁😁😁 masanja ni shida

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 5 ปีที่แล้ว +7

    ndio maana me naimba nyimbo za Kupandishwa thamani,,,,na kuipeperusha bendera ya Yesu2

  • @sembasitianayinzaki1253
    @sembasitianayinzaki1253 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaaaa! Masanja bwaaana

  • @kinasatz7266
    @kinasatz7266 3 ปีที่แล้ว +1

    Masanja bwana 😄😄

  • @neemamhongole2801
    @neemamhongole2801 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaaaa!!Masanja UNANIVUNJA MBAVU!!HEEEE!

  • @mossesisaack5066
    @mossesisaack5066 2 ปีที่แล้ว

    ukweli mtupu mtumishi wa Mungu

  • @ashoramwanja3131
    @ashoramwanja3131 4 ปีที่แล้ว +1

    Atari

  • @alexjudica8668
    @alexjudica8668 5 ปีที่แล้ว +1

    Masanja we ni kituko

  • @yustinhhari5085
    @yustinhhari5085 5 ปีที่แล้ว +3

    truth in funny way

  • @rabiaramso1087
    @rabiaramso1087 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaani masanja umenifanya nicheke jmn wewe kaka weweee mmmh msukuma hajuti kukupata

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣Yaani masanja

  • @jazirajazira8116
    @jazirajazira8116 2 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 ปีที่แล้ว

    Masanja mdogo wangu umenichekesha mpaka bac ubarikiwe sana!

  • @dicksonmaiko3486
    @dicksonmaiko3486 5 ปีที่แล้ว

    Hivi ndio watu wenye hekima kama sanja watakavo weza kumiliki na kutawala kwa furaha

  • @jeniferalloyce2576
    @jeniferalloyce2576 4 ปีที่แล้ว

    Jamani bavu zangu mm. Masnj

  • @asifiwevincent3938
    @asifiwevincent3938 3 ปีที่แล้ว

    Hii ni kweli masanja

  • @neemachima2469
    @neemachima2469 5 ปีที่แล้ว

    hahahaa had nimecheka kwa sauti majansa kweli vituko

  • @lucaslaurent2920
    @lucaslaurent2920 3 ปีที่แล้ว

    Duh! Masanja!

  • @deniswabantu4645
    @deniswabantu4645 5 ปีที่แล้ว

    Ata ww ip0 Siku usipinge MAneno sawa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂

  • @naeemmuneer8546
    @naeemmuneer8546 5 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN 👋🙌👋🙌🙌🙋🙋💓👏👏💓🙋🔥🙋💓👏🙌🙌🙋🔥🙋💓👏👏

  • @floraanthony4406
    @floraanthony4406 5 ปีที่แล้ว

    hahaha masanja acha vituko

  • @peterjackson5307
    @peterjackson5307 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @naomimgori8382
    @naomimgori8382 4 ปีที่แล้ว

    😂

  • @princesinko4073
    @princesinko4073 5 ปีที่แล้ว

    Yaani wewe masanja unautani mwingi

  • @tesinaelectronics8228
    @tesinaelectronics8228 5 ปีที่แล้ว

    Amennnn

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 ปีที่แล้ว

    Kabisa

  • @ellyjacob9897
    @ellyjacob9897 5 ปีที่แล้ว

    Brother uko sahihi kabisa

  • @stanleyhenrish1055
    @stanleyhenrish1055 5 ปีที่แล้ว

    Sitaki kusika hizo nyimbo hata kidogo