Arusha mpo vizuri huo ni ubinafsi na uroho wa aridhi huyu bariki ataimaliza familiya na shamba litakuja kumilikiwa na watu wasiyojua hata hiyo aridhi ilinunuliwaje
Huyo mama nimchawi kawaloga wafe arisi hata mumewe atakua yeye alimuua kweli mgonjwa hata chakula mtoto wamume wako amezapiwa mpende mume wako hakua ametulia mtoto hanakosa atamke alitomgozwa akaambiwa hana mke bambana na mume mke na mtoto hanashida wewe watoto wako unajua wataolewa nanani tuache roho mbaya huyo mama alikua na roho mbaya mdiyo maana baba akaowa mwingine
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Hz sahani natural nazipenda
Mngefanya hivo mapema naalivyokuwa anaumwa angepona@@Yana_queen1
Asee uumtaa sio wa kuhama kabisa
Wanakula wenyewe kwa raha zao wengine wamejifungia ndani kwa shida zao😂😂😂
Vizuri sana nimewapenda kwa umoja wenu na Mungu hawabariki sana
Machozi yamenitoka vyenye mnapendana na sahani zenu i wish namie nipate majiran kama nyie 😢😢🎉 bravo
Daa kwa nin wamemzalilisha ivoo ndomana unaambiwa ndugu sio sanyingine ishi tu na yoyote vizur
Vizuri sana muko na umoja kweri
Msisahau huyo ng'ombe 😂😂😂
Arusha mpo vizuri huo ni ubinafsi na uroho wa aridhi huyu bariki ataimaliza familiya na shamba litakuja kumilikiwa na watu wasiyojua hata hiyo aridhi ilinunuliwaje
Wallah wewe cameraman umemzoom babu wa watu wanakula kama mtoto mpaka nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwani hakuna plate hata kwa jirani😂😂😂😢😢😢😢
Arusha mna umoja mzur sana tena chinjen na ngombe kabisa
Huu mtaa nimeupenda sana mnaumoja mpaka raha😂😂😂😂
Arusha hadi raha inapendeza sana umoja mlionao nao Mungu awabariki
R. I. P Baridi 😢
Bariki
Mungu awabariki kunandugu wakiwa namaisha wanajisikia sena seeeee mavi yao washenzi sana nawenyewe watakufa kumamayo zao
Yaan watu mnaushirikiano kweli Hadi Raha jamani Arusha ni moto sana .
Afande kashindwa kuvumilia 😂😂
😅😅😅😅😅arusha mikono juuu✋🏻✋🏻✋🏻✋🏻
Arusha Raha sana
Yaan wamekosea na ngombe ilikua wachinje kwa kweli 😂😂😂
Ng'ombe watachinja siku ya kuzika
Bora jani la mgomba, ila beseni hapana.
Huyo mama nimchawi kawaloga wafe arisi hata mumewe atakua yeye alimuua kweli mgonjwa hata chakula mtoto wamume wako amezapiwa mpende mume wako hakua ametulia mtoto hanakosa atamke alitomgozwa akaambiwa hana mke bambana na mume mke na mtoto hanashida wewe watoto wako unajua wataolewa nanani tuache roho mbaya huyo mama alikua na roho mbaya mdiyo maana baba akaowa mwingine
Uku kwetu nimbaya tu enyewe daa awasubutu😂😂😂😂
Masikin polen jamaa wa marehem kweli maskin Hana thaman kwa family majiran ndo wanapambana dar😢😢😢😢😢
Kmera man mungu anakuona ulivyommulika uyo babu
😂😂😂😂
😂😂😂
Arusha n arusha
mnanambo, kimalindi na banda la mbuzi kuchochea ndizi ziive
Arusha akuna kulea ujinga ukizengua na ww unazenguliwa
Umoja ni nguvu,
Nimecheka kama mazuri wallah si kuna ng'ombe wangechinja kabisa
Mn vitu vyite vya mm ake
Uyo mpishi vp mbona kama chenga kwa mbaliiii
Arusha nawapendaga sn
Mbona kama ni comed msibani jamanii 😂😂
Wachinje na ng’ombe jmn
😂😂😂😂hii Kali
Ndy
Ixo sahan sasa
Chuga tuandamane uombe inchi yetj
Mmhhh Sasa Hiyo Family wanajifungia Ndani Wazima kweli Au Wameraani Aaahhhh AISSEH Haibu Sana Kwa Family 😢😢😢😢😢😢
Huu mtaa sihamii 😂😂😂
Hakika huyu ni bariki amebarikiwa,upendo mkubwa hakuwa na tatizo na mtu,RIP Bariki
😂😂😂😂
😂😂