HILI HAPA SOKO LA USIKU KIGOMA NI KAMA MCHANA, JIONEE BIASHARA ZINAVYOFANYWA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 มิ.ย. 2021
- Kuelekea Nandy Festival siku ya Jumamosi hii hapa Kigoma kuna hili la kufahamu kuhusu soko la Usiku linaloitwa Soko marungu lililopo Kigoma soko hili huanza Biashara Muda wa SAA 10:30 jioni mpaka SAA 5 usiku ambapo wafanyabiashara hupata fursa za kufanya Biashara zao. PLAY kuona Video
Safi sana, naiona Kigoma, naikumbuka Lugufu Camp, from USA.
Walahunze wewe
Tupambane 🇹🇿💪
Mungu ni Mwema
Kigoma Rahaaaa🥰🥰🥰
Mwarabu umetisha
Mashaallah riziki popote ALLAH akikupangia ndio utapata
Mimi Sina la kusema Mimi ni mhemeaji🤔🤣🏃 tuendelee kula ndizi
Hili soko lingetufaa sana sisi wahangaikaji kwani kama linaana saa 10 jioni hadi saa 5 usiku imekaaa poa sana. Kigoma mko poa wapambanaji.
Ndio lile aropambania baba levo au sio
Ndohili
Napa miss sana apo 😩😍
Kigoma mpo vizuri solo mpaka usiku!!!
Homie sweet homie. Napapenda nimepamis
Mic you nyumban
Napaelewa Sana malungu
Kazi ya baba Levo hiyo
Soko la baba levo
mama rama nakupenda
Heti corona Hakuna corona wala baba yake corona 🙏🇹🇿
Bonifas nakpata ndugu herembe moja
Bidhaa kAma zote
Ahh kama muhemeaji kula ndizi namie nakuja kuhemeya soon
Kigoma sehem nyingi soko lajioni kuna gungu kuna kwa not ujiji sunuka simbo kiufupi tushazowea masoko ya jioni
Yani wanamasoko barabarani
dar dar tu sina kazi ila sihami ng'oo
Wekaa naDar yako akunasoko lausiku🤣🤣🤣
@@fatemaligalawa1918 🤣🤣🤣🤣🤣😘
@@ndukulusudikucho_ wekomaa na bongo yako minaenda kula Migebuka weushazoea mishikaki ya Mbwa🤣🤣🤣
@@fatemaligalawa1918 leteni ule ugali wenu usiosongwa huku , uzuri wetu huku tunakula kila kitu
@@ndukulusudikucho_ kwaniunafikili mm waukobas nikuenda kuhemeatu🤣🤣🤣
Ebana royco ya mkanda imefika mpka kigoma sio mchezo
KIGOMA VIJIJI VINGI MASOKO USIKU.NIMEONA KIJIJI CHA SIMBO NAO WANAFUNGUA USIKU
Tupambane 🇹🇿💪
Mungu ni Mwema
mama rama nakupenda