Kwakweli Tanzania tunahujumiwa sana ivi hili bunge hapa linajadili jambo gani hili? Yaani wabunge wanalipwa posho ya kikao kwa kujadili ujinga huu maeneo yanafahamika ni ya TBC hapo badala ya serikali kuipa jukumu taasisi hiyo amri ya kuyawekea ulinzi mnakaa nakujadili
Spika ana akili sana ndio maana wengi wanashindwa kuelewa
Mama shikamoo
Kazi kweri mbunge letu 🇹🇿
Hivi ndivyo ata shule vitabu vinakuwa na maandishi mengi yanayozungumza kitu kilekile
Kwakweli Tanzania tunahujumiwa sana ivi hili bunge hapa linajadili jambo gani hili? Yaani wabunge wanalipwa posho ya kikao kwa kujadili ujinga huu maeneo yanafahamika ni ya TBC hapo badala ya serikali kuipa jukumu taasisi hiyo amri ya kuyawekea ulinzi mnakaa nakujadili
Acha dharau,inazungumziwa eneo la Mali au taasisi ya umma ambayo wewe,Mimi na wengine inatuhusu.
UKIKUTWA NI KOSA UKIGOMA NA KUONDOKA NI KOSA LA PILI
Trespassing ni kosa linalojitegemea ,makandokando ya kumtaka kuondoka ni kama alipewa kibali
Acheni kupoteza muda nyie,maji hakuna ,umeme tia maji tia maji, mfumuko wa bei ndiyo vitu vya kujadili hapo mnajadili nini hasa?
Bunge lilisha poteza dira kitambo sana
Sasa Bunge la chama kimoja
Ahhhh kwakweli wanavituko
Huyo muhuni wa kuingia ndani na kutangaza duh mbona haiko sawa
Hamna kitu hapa