ROHO MTAKATIFU NDANI YETU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • Yohana 14:15-14:31
    15 “Kama mnanipenda mtatimiza amri zangu. 16 Nami nitamwomba Baba, naye atawapeni Msaidizi mwingine akae nanyi siku zote. 17 Huyo ndiye Roho wa Kweli ambaye watu wasioamini hawawezi kumpokea. Watu kama hao hawamwoni wala hawamfahamu. Ninyi mnamfahamu kwa kuwa anakaa ndani yenu na ataendelea kuwa nanyi. 18 Sitawaacha kama yatima. Nitarudi kwenu. 19 Baada ya muda mfupi watu wa ulimwengu hawataniona tena, ila ninyi mta niona; na kwa kuwa mimi ni hai, ninyi pia mtakuwa hai.
    #pastorsunbella #rohomtakatifu #realityofchrist

ความคิดเห็น • 36

  • @AngelBenny-te3uz
    @AngelBenny-te3uz ปีที่แล้ว

    Amina mtumishiii mungu akubarikii ni kwelii ata mimi uwa kabla kityu cjocjote hakijatokea kibaya au kizuliii lazima nipewe taarifa iwe kwa hisia au kwa ndoto naomba mungu anikuzee kiroho niwe zaid ya apa na nikae katika njia yake kwanzia sasa na mda usiokua na kipimo

  • @MkamaMrembe-vr8ch
    @MkamaMrembe-vr8ch ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi napenda mafundisho yako

  • @philipojangama
    @philipojangama ปีที่แล้ว

    AMEEN

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏 pastor blessed Sanbela kyando...nimewamis Sana mkuje Kenya siku moja

  • @wanjikuthamana6101
    @wanjikuthamana6101 ปีที่แล้ว +1

    Thank you Pastor for the your Teaching am blessed 🙏🇰🇪

  • @vicentkilonzo924
    @vicentkilonzo924 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ericdanson252
    @ericdanson252 ปีที่แล้ว +1

    Mafidisho mazuri Santa.Mungu azidi kumpatia Mtumishi Wake baraka telee.

  • @zainabumagwira4298
    @zainabumagwira4298 ปีที่แล้ว

    Daddy 🙏🙏

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว +1

    I love the holyspirit, am nothing without him. I need him more than oxygen.

  • @realivanbreaker
    @realivanbreaker ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa 🙏

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 ปีที่แล้ว +2

    Amen mtumushi barikiwa sana

  • @NeemaMgaya-ez9un
    @NeemaMgaya-ez9un 9 หลายเดือนก่อน

    Aminq

  • @langolambinguni8653
    @langolambinguni8653 ปีที่แล้ว +1

    Amina amina Amina,atukuzwe Mungu aliye ndani yako pastor

  • @MpopeaseluamilkiMilki-gh1km
    @MpopeaseluamilkiMilki-gh1km ปีที่แล้ว

    Amen baba iyoo Ni kweli

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Love Holy Spirit 👏
    hallelujah

  • @paulmwangi294
    @paulmwangi294 ปีที่แล้ว +1

    Amen hallelujah

  • @vedastogwido5311
    @vedastogwido5311 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa 🙏 MUNGU akubariki mtumishi

  • @Jastus100
    @Jastus100 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana Man of GOD

  • @jimmyjohn8184
    @jimmyjohn8184 ปีที่แล้ว

    Ninabarikiwa sana na utumishi wako mtumishi Sanbela Kyando. Mungu akubariki na kukuzidisha zaidi na zaidi

  • @jacklinevenant1129
    @jacklinevenant1129 ปีที่แล้ว

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa vizuri sana mchungaji. Barikiwa zaidi kwa mafundisho mazuri 🤲🙌

  • @cutemamy9602
    @cutemamy9602 ปีที่แล้ว

    Love Holy spirit 🕊️🕊️
    Be blessed Dady Bella🙏🏾💗

  • @ruthwagwene4550
    @ruthwagwene4550 ปีที่แล้ว

    Waoh neno zuri! Glory to God! Uzidi kuongezeka sana Pastor!

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว

    Najifunza mimi😢

  • @deborahogega4600
    @deborahogega4600 ปีที่แล้ว

    Thank u man of God.I love HolySpirit so much be blessed.

  • @ntakirutimanasteven7004
    @ntakirutimanasteven7004 ปีที่แล้ว

    i'm proud of you my Pastor

  • @Cizarwica-nu4vo
    @Cizarwica-nu4vo ปีที่แล้ว

    Baba sumbela mimi Niko Congo lakini mahubiriyako yananijenga natamani hâta nikuone

  • @elizabethlazaro3941
    @elizabethlazaro3941 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @irenefrank2644
    @irenefrank2644 ปีที่แล้ว

    Je? pia shetani anaweza kukuonyesha Mambo ambayo hayajatokea?

  • @irenefrank2644
    @irenefrank2644 ปีที่แล้ว

    Kwa maana hiyo mpka uwe na level kubwa rohon ndipo unawezaona Mambo kabla hayajatokea swali langu ni hili je roho mtakatifu anaweza ongea na mtu kwa njia ya ndoto au kwa mawazo ?pia ikiwa bado hujaokoka unaweza kujua Mambo yanayotaka kutokea ?je huyo pia ni roho mtakatifu

  • @emilibraison2410
    @emilibraison2410 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @tatukadope7213
    @tatukadope7213 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @mimopaul2430
    @mimopaul2430 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @innocentnsengimana1600
    @innocentnsengimana1600 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @agnessvicent6591
    @agnessvicent6591 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @davidmoses7970
    @davidmoses7970 ปีที่แล้ว

    Amen