KUKUPENDA SANA NDIO KOSA LANGU - SADIK TAARAB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @hawamashallahmkubwa5416
    @hawamashallahmkubwa5416 8 ปีที่แล้ว +2

    kukupenda sana ndio kosa langu sitofanya tena naapa kwa mungu ujumbe umuendee tonny olwande

  • @shenazshiraz1063
    @shenazshiraz1063 7 ปีที่แล้ว +4

    kukupenda sanaaaa...kuukupenda sanaaaaa ndio kosa langu...sitofanya tena naapa kwa mungu .......niliyoyaona niliyoyaona yametosha kwangu 🎵
    nikikumbukia ...naona uchunguuu 🎵nimekupokea kwa hiari yanguu ......kumenichongea kukupenda kwangu 🎵
    Nakupenda sanaaaaaa kama roho yanguu....nawe ulinena wangu peke anguuuuuuuuuuuu....nawe ulinenaaaaaa wangu peke angu ..

  • @ibrahimmohamed9513
    @ibrahimmohamed9513 7 ปีที่แล้ว +2

    Wallahi hii ndio khasa Taarab inayo leta hisiya

  • @sadaseif2640
    @sadaseif2640 6 ปีที่แล้ว +2

    Mugizaji tuu hii nyimbo ina wenyewe

  • @fatumadoyo6222
    @fatumadoyo6222 5 ปีที่แล้ว

    kukupenda sana ndio kosa langu sitofanya tena naapa kwa mungu

  • @ruwedasalim8695
    @ruwedasalim8695 8 ปีที่แล้ว

    kweli kabisa kukupenda sana ndilo kosa langu .imeniingia rohoni

  • @farkhanmohammed2368
    @farkhanmohammed2368 7 ปีที่แล้ว +8

    kumenichongea kukupenda kwangu.... basi ctofanya tena naapa😭😭😭!!!

    • @abdallahmahamud9498
      @abdallahmahamud9498 7 ปีที่แล้ว +2

      farkhan mohammed kwa nini?

    • @farkhanmohammed2368
      @farkhanmohammed2368 7 ปีที่แล้ว +3

      kwasababu hakujali mapenzi yangu na ndio yaliyonichongea mpka kuhisi giza zito mbele yangu...😣@ Abdallah Mahamud

    • @najeebjumabhalo6152
      @najeebjumabhalo6152 6 ปีที่แล้ว +1

      farkhan mohammed mtoto aloaswi kwao akirudi huwa bora.

    • @mohammedathman4501
      @mohammedathman4501 5 ปีที่แล้ว +1

      Usifanye hivyo

  • @user-tb4qw1pn7t
    @user-tb4qw1pn7t 6 ปีที่แล้ว

    Huu mwimbo umenikumbusha mbali. Sanaaaa

  • @bongotulivu7151
    @bongotulivu7151 9 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah!! another nice song from Sadiq.
    May Allah preserve you!!

  • @suadyassin8798
    @suadyassin8798 6 ปีที่แล้ว

    daahhh hii nyimbo imeniingia sana

  • @halimanabir2380
    @halimanabir2380 5 ปีที่แล้ว

    nikikumbukiaa naona uchungu wallah

  • @aboudmilla9384
    @aboudmilla9384 7 ปีที่แล้ว +1

    sitofanya tena naapa kwa Mungu

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    ni kweli kabisa akijuwa unampenda ndio huku fanyiya vituko

  • @zahramunir8596
    @zahramunir8596 7 ปีที่แล้ว

    kumenichongea kukupenda kwangu..

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 ปีที่แล้ว

    nzur saana jaman

  • @hailinhelen329
    @hailinhelen329 8 ปีที่แล้ว

    mhh nimekoma yaani sitofanya tenaaaaaa naapa kwa mungu....

  • @hudamohammad9264
    @hudamohammad9264 6 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa hiyonyimbo

  • @lth_x4602
    @lth_x4602 6 ปีที่แล้ว

    Naipeiyitaarabu njomarayangu yakwanza naisikia ilainanifunza...mngu nikikumbukia naonauchungu aposahihikabisa 😢😢😢😢😢

    • @lth_x4602
      @lth_x4602 6 ปีที่แล้ว

      Naipenda sana

  • @halimanabir2380
    @halimanabir2380 6 ปีที่แล้ว

    sitofanya tena wallah

  • @hbbtysaid1163
    @hbbtysaid1163 7 ปีที่แล้ว

    Hehee afadhali tusioneshe kama twapenda

  • @halimafarid9854
    @halimafarid9854 7 ปีที่แล้ว +1

    Nikikumbukia naona uchungu nimekupokea kwa hiyari yangu

  • @faizunmohd9572
    @faizunmohd9572 7 ปีที่แล้ว

    nice song.254

  • @hawamashallahmkubwa5416
    @hawamashallahmkubwa5416 8 ปีที่แล้ว

    mashallah nice song

  • @ibrahimmagonga9934
    @ibrahimmagonga9934 6 ปีที่แล้ว

    Eiwaaa maneno hayo yana pita rohoni

  • @absiyeah2142
    @absiyeah2142 6 ปีที่แล้ว

    Nani huyu Sadeek. Sauti na wimbo ya ajabu badi hatumwoni.

  • @abuudhabi8949
    @abuudhabi8949 9 ปีที่แล้ว +1

    sadiq nice song

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    nikikumbukiya naona uchungu

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    nikikumbukiya naona uchungu 😣😅

  • @ashagood3909
    @ashagood3909 5 ปีที่แล้ว

    naomba mwenye hi nyimbo hi 0718263886

    • @allycake5912
      @allycake5912 5 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @chubeally5293
      @chubeally5293 5 ปีที่แล้ว

      Don't regret love...and once your show much love for someone its cost ahead..take care.

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    ni kweli kabisa akijuwa unampenda ndio huku fanyiya vituko

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    nikikumbukiya naona uchungu

  • @fatmaalmazrui9934
    @fatmaalmazrui9934 6 ปีที่แล้ว

    nikikumbukiya naona uchungu 😣😅