NIFANYE NINI - SADIQ TAARAB

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 72

  • @funny_keed2738
    @funny_keed2738 2 ปีที่แล้ว +4

    Mashallah nyimbo nzuri Kuna nyimbo natafuta siipati "Nuru imekuja Dubai biliaib nyota yangu" naomba unipatie

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah. Unasauti mzuri sana. Haichoshi kusikiliza.

  • @user-rr2xd3ev3s
    @user-rr2xd3ev3s 8 ปีที่แล้ว +2

    raha ya penzi utulie. usipe jirani kusema kusema. nyimbo inanikumbusha mbali sana woow

  • @rahmasalim4227
    @rahmasalim4227 5 ปีที่แล้ว +5

    Raha ya mapenzi utulie...siwape jirani kusema sema👌👌

  • @jenifamkoyi5884
    @jenifamkoyi5884 4 ปีที่แล้ว +3

    Usiwape jiran kusema sema

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 ปีที่แล้ว +3

    Ah zilipendwa hizo safi sana

  • @nicksonnyale5951
    @nicksonnyale5951 3 ปีที่แล้ว +2

    Allah awenawe daima

  • @medialrajhi8341
    @medialrajhi8341 7 ปีที่แล้ว +1

    kusema kweli utauwa watu kwa maneno yako na sauti yako ukiimba nyimbo zako watamani isiishe uimbe tu.

  • @aymalahmed7682
    @aymalahmed7682 8 ปีที่แล้ว +3

    mashaallah sadik nyc song

  • @mwaka308said7
    @mwaka308said7 2 ปีที่แล้ว +2

    Minal fayzin....

  • @chikushukuru4325
    @chikushukuru4325 3 ปีที่แล้ว +1

    Imisss more Zanzibar Aman

  • @sabahaajumaa634
    @sabahaajumaa634 7 ปีที่แล้ว +3

    sadik unanitoa chozi huu wimbo dah u can broo

  • @ashuashu3843
    @ashuashu3843 5 ปีที่แล้ว +1

    Nifanye nini unatakaaaa

  • @mohammedduale9258
    @mohammedduale9258 2 ปีที่แล้ว +1

    MASHALLAH say MASHA Allah seems its own rhythm.

  • @rashidngwawile9062
    @rashidngwawile9062 2 ปีที่แล้ว +1

    Pendo kama lako lina mashaka. Hata hayawani hutabika. Bora tu utamuke.nini unataka. Maana raha ya mapenzi utulie usiwape jirani kusema sema

  • @RamadhaniMabwani-tv8zg
    @RamadhaniMabwani-tv8zg 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisaa maneno matamuu

  • @kinyutatonha8831
    @kinyutatonha8831 4 ปีที่แล้ว +2

    Unasikiliza nyimbo hadi shetani anakaambali maana kuna Maneno matamu na yanayo funza yaani yenye maana

  • @mohammedduale9258
    @mohammedduale9258 2 ปีที่แล้ว

    Raxma na Rahaa ya Karafuu.

  • @zuhuraally4146
    @zuhuraally4146 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @kevinokonji2990
    @kevinokonji2990 7 ปีที่แล้ว +2

    kweli kabisa bora liwe

  • @faulatafahmi7733
    @faulatafahmi7733 8 ปีที่แล้ว +3

    MaashaAllah u can sing bro

  • @siyamyovela4356
    @siyamyovela4356 4 ปีที่แล้ว +1

    Raha jamani enzi hizo

  • @hawamirajisadiq5156
    @hawamirajisadiq5156 7 ปีที่แล้ว +2

    mm nataka nikukodi unipigie nyimbo za taarab asilia Nina shughuli . VP utapatikana mwezi wa nane inshaallah

  • @ericmanyota1727
    @ericmanyota1727 19 วันที่ผ่านมา

    Natafuta nyimbo fulani inayosema, "Hodi ulo ndani nana nakuamkua, nana hali gani yako wamurua....." Ni majibizano kati ya mwanamume na mwanamke. Nadhani iliimbwa na Rashid na Malika, kama sitokosea

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 8 ปีที่แล้ว +3

    jamani moyo wangu mieeee

  • @shinunasultan8082
    @shinunasultan8082 7 ปีที่แล้ว +7

    Raha mapenzi utuliye usiwape jirani kusema sema

  • @mohammedduale9258
    @mohammedduale9258 2 ปีที่แล้ว

    Wapee vindonge vyayo.

  • @abdulnsserjameelmohammed146
    @abdulnsserjameelmohammed146 4 ปีที่แล้ว

    Hajiiiiiiiiiiiii sadiq

  • @muniramussa6108
    @muniramussa6108 3 ปีที่แล้ว

    Nikiwa sikuoni nashuhulika.hata majirani hunungunika😫😫

  • @HamisiSaidy-jk4is
    @HamisiSaidy-jk4is 9 หลายเดือนก่อน +1

    Nice

  • @amathajoseph536
    @amathajoseph536 4 ปีที่แล้ว +1

    Imetoa machozi

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 4 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 2 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 4 หลายเดือนก่อน

    💖💖💖

  • @nuwayrishalnadaby3339
    @nuwayrishalnadaby3339 7 ปีที่แล้ว +1

    Raha ya mapenzi utulie

  • @mwansitiabubakar2977
    @mwansitiabubakar2977 3 ปีที่แล้ว +2

    Pendo kama lako linamashaka hata hayawani hutaabika MashAllah

  • @masudyrashid8156
    @masudyrashid8156 4 ปีที่แล้ว +1

    Vijuzuu kwapani sa 8 mchana iyo

    • @zenaal-baalawy3262
      @zenaal-baalawy3262 3 ปีที่แล้ว

      Masudy Rashid@😄 Unakumbuka kumbe enzi zile za saa nane mchana wa burudani, na vijuzuu vyetu mbio chuoni lol!😄

  • @saidaabdalla5098
    @saidaabdalla5098 3 ปีที่แล้ว +3

    🤩😍

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 8 ปีที่แล้ว +5

    zanzibar raha

  • @farajhamis13
    @farajhamis13 2 ปีที่แล้ว

    Jaman

  • @halimafarid9854
    @halimafarid9854 8 ปีที่แล้ว +2

    santee sadiq nic song

  • @rajabusalehe4327
    @rajabusalehe4327 8 ปีที่แล้ว +2

    poa sana

  • @qeenlatty5380
    @qeenlatty5380 7 ปีที่แล้ว +1

    kuwa sikuoni nashughulika

  • @muniraseif925
    @muniraseif925 8 ปีที่แล้ว +2

    imetulia

  • @suhaylakassimsuhaylakassim819
    @suhaylakassimsuhaylakassim819 7 ปีที่แล้ว +2

    WIMBO MZURI JAMAN PLEAS NAOMBA NITUMIWE WHATSSAP +96894915404

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Suhayla Kassim Suhayla Kassim unaweza kuidownloa tu mbona.

  • @halimanabir2380
    @halimanabir2380 6 ปีที่แล้ว +1

    pendo km lako linamashaka ata awayani utaabikaa waogopa nini kutamkaa unalolitaka bora liwe mwenzio siwezi kutesana

    • @tariqalkindi8045
      @tariqalkindi8045 4 ปีที่แล้ว

      Wow i got it translated in Google very beautiful lyric

  • @khadijamtingwa9087
    @khadijamtingwa9087 7 ปีที่แล้ว +2

    nitumie wsp huwo wimbo umeniingia968 94958314

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 7 ปีที่แล้ว

      Khadija mtingwa hahah, umekuingiaje?

    • @MaharukyCom
      @MaharukyCom 7 ปีที่แล้ว

      Khadija mtingwa ukitumiwa nitumie

    • @mohdalriyamy1106
      @mohdalriyamy1106 6 ปีที่แล้ว

      Khadija mtingwa na omba hiii kwenye no hii 0623969523

    • @rahimaally6471
      @rahimaally6471 6 ปีที่แล้ว

      Kuna mtu jamani keshatumiwa hii nyimbo ajibu na mie naitaka plz

    • @tariqalkindi8045
      @tariqalkindi8045 4 ปีที่แล้ว

      Best who sang this song is makame Faki May his soul rest in peace i am sure you will love it more from Makame i can share with you if you like khadija

  • @amathajoseph536
    @amathajoseph536 4 ปีที่แล้ว

    😭

  • @samalsayd5389
    @samalsayd5389 8 ปีที่แล้ว +1

    Hakika zakonga nyoyo

    • @zszs6171
      @zszs6171 8 ปีที่แล้ว

      Sam Alsayd

  • @chukwani
    @chukwani 8 ปีที่แล้ว +2

    nice one

  • @farajhamis5832
    @farajhamis5832 4 ปีที่แล้ว

    Mh