My bro nakukubali sana Mr. TID we mkali uko very clever uanafatiliaga interviews zako sana big respect leo ndio nime watch ile movie yako kwa mara kwanza music uko poa acting haubahatishi mashaAllah+252 Somalia 🇸🇴
Wakiambiwa ukweli wanasema eti ni madawa.Sikizeni kinachotoka mdomoni mwa mtu msimtazame mtu.Hata wahenga waliotangulia hawakuwa na sura nzuri wala hawakuwa mastar lakini maneno yao yanaishi milele na milele
Tid respect man Now you talk the point.. Open minded Keep opening the truth Exclusive untold since... U deserve to be called legend.. U came so far... Bongo flava u made it bro
Loooooo haki ya mungu huyu TID nilikua simjui vizuri sana nikimuona namna vingine sana kumbe masikini sio hivyo alikua tu hapendi unyanyasaji.. I believe you are a star i mean African star. Mungu atakubariki. i like to see u back to the game. Current stars generation wameniboa sana masikio yananiuma na kichwa kinauma. Come back bro TID. Allah is with you.
Ila TID maana ya legend sio lazima uwe mzee. Legend comes from Latin word legere... means TO BE READ. watu wanajifunza kutoka kwako. extra ordinary accomplished💪KUWA LEGEND NI HESHIMA SANA. ila bongo unafiki mwingi
From Kenya and I understand what TID is saying.mziki wa TZ ulikuwa on point tangu jadi hawa walifingulia kina diamond njia na wengine wengi.but sasa mnawadrop...dah.luv lady jaydee any day
Fact bro big up TID Waharie hao wakujuwe wewe ni nani Really top in dar Ma Men#Maendeleo hayaji kwa Chuki Bali ni mshikamano wa Umoja wa Ukweli.Uganda haiji juu kimziki kwa sababu wanachukiana wenyewe kwa Wenyewe MTU Kama Talent Mozey Radio wamemuuwa kwa Chuki tu bure kwa sababu ya kipaji chake Alojaaliwa na Mungu so Sad na Uganda hawatapata best vocalist kama Radio Forever.wabongo tusiige huko tusome kwa Waganda
Nimekukubali! When the song is played all the time. Ure bound to like it. Anybody who is intelligent will accept T.I.D. Na hao watu anaowazungumzia waitwa MAFIOSO! mafioso their every where around the world.
NILIWAHI FIKIRI KABLA MAMBO HAYAJA HALIBIKA KIASI HIKI LEO T.I.D ,BUI BUI , DIAMOND, Z ANTO, IN ONE TRACK HATA KAMA INGEKUA NA PRODUCTION MBOVU SWAGS TUUUUU ZINGEPUSH HAWA JAMAA WANA VITU VYA KIPEKEE NA VNAUZIKA #TRUE TALENT HAIFI....
Kuna wale watoto wa arusha wanapewa sana shavu lkn hawana uwezo kama wa fid q....wanabebwa sana....mnyamaaaa huyo tid ndio watu wakwanza kufanya music na filamu bongo na watu wakanunua.....awa clouds ndio mwisho wao.
kwanza wanacho kiimba m ata sikielewi kabisa nyimbo zinafanana na ndio mana azi iti unaiskiliza siku mbili tu, nyimbo ushaichoka lkn zeze mpaka Leo bado inaishi Mzee baba nakubali sana ngoma zako tid aka mnyamaaaa
Real broo uko sawa kabisa watu wanaowapandisha ndo hao nyimbo zao wanalazimisha ziwe nzuri unasikiliza baada ya siku mbili nyimbo yake ishachuja wakati nyimbo zenu mpaka sasa tunazo kwa simu duh hakuna upendo badala yake ubazi zinztufisha hapa
TID ...umefeli unaona aibu akuna ulichokifanya kwenye mziki una hela ata haslay umpati kwa hela igeni kwa diamond na navykenzo ww ni legend unaogopa kuitwa legend kwa sababu unefeli maisha
ni kweli kabisa tid vijana wasikuizi wanajiona watoto sana, utakuta brother, brother nyingiiii shika moo ndio kibao wanasalia mtu ambae ata miaka 40 ajafikisha m nawaona wachawi tu, siku izi wazee sio wachawi Bali sasa ivi asilimia 90 ya vijana wengi wa sasa ni wachawi eti wanajiona ndio wanaeshima sana kumbe wanakuloga kisaikoloji ili wakutoe kwenye chati ujione umezeeka wakati ata 40 years ujafikisha ni washamba tu, achana nao piga kazi Mzee baba mm nakubali sana mziki wko kaka
End of the day wanataka kumuua diamond sasa sjui wanataka kumueka nani 😂😂😂😂😁😀😀mnyama nimekusoma upo smart kichwani mimi nakuelewa since day one mzee baba!!
We hukucheza na mda bro!! Ulijua maisha hayabadiliki,, Ni kweli ulikuwa na kipaji sana ila tatizo lako kubwa ilikuwa dharau!!! Hata uwe maarufu kiasi gani , ukiruhusu dharau kuingia ni kazi bure !! Na kitu kingine ni kwamba You should not talk about Diamond ,, he has talent and he uses his talent appropriately, and he has a lot of currency than you do!! So acha kupiga mayowe bro!!! Waandishi wa habari wanakusanifu hapo, wanaona umepotea 🏌🏽♂️
Ni kweri.... Mziiki wa bongo unaharibu na watu flani.... Nyimbo zaw hazipigwi tena.... Na kusema ni mziiki wa zamani.... Kwa nini?? Wakati walifanya nguvu sanaa kwa kufanya mziiki wa bongo ujulikane na kufanya vijana wengi wauoe mziiki Kama unalipa.... Na ndoo mafanikiy ya leo....madogo wengi wamefanikiwa
INAUMA XANA KIUKWELI SIO SIRI UNAFIKI NA UKANDAMIZAJI UMEJAA KWENYE MEDIA NA MASPONSOR NA KWA HILI LA SAM WA UKWELI MEDIA ZETU ZIACHE UNAFIKI NYIMBO ZINAPIGWA MPKA MTU AFE SO SAD!!!😕😕😕😕😕
Dah upo sahihi mzee baba,nakuelewa sana
Kama unamkubal TID gonga like twende sawa
Adili Tuesday reo umeongea kweri ungana nadudu baya wewe
brooo u speaking the truth ...that's y I love this broo....
Duh 😁🙌🙌🙌🙌🙌 thanks for telling the truth. Nlimind Diamond kutoka cloud but I have an answer now, good for you Diamond😍😍😍😍
My bro nakukubali sana Mr. TID we mkali uko very clever uanafatiliaga interviews zako sana big respect leo ndio nime watch ile movie yako kwa mara kwanza music uko poa acting haubahatishi mashaAllah+252 Somalia 🇸🇴
Wakiambiwa ukweli wanasema eti ni madawa.Sikizeni kinachotoka mdomoni mwa mtu msimtazame mtu.Hata wahenga waliotangulia hawakuwa na sura nzuri wala hawakuwa mastar lakini maneno yao yanaishi milele na milele
This guy make sense....
Tid respect man
Now you talk the point..
Open minded
Keep opening the truth
Exclusive untold since...
U deserve to be called legend..
U came so far...
Bongo flava u made it bro
Loooooo haki ya mungu huyu TID nilikua simjui vizuri sana nikimuona namna vingine sana kumbe masikini sio hivyo alikua tu hapendi unyanyasaji.. I believe you are a star i mean African star. Mungu atakubariki. i like to see u back to the game. Current stars generation wameniboa sana masikio yananiuma na kichwa kinauma. Come back bro TID. Allah is with you.
T.i.d brazaa..... Umeongea vitu vizuri na vikubwa sana. Fact.
Salute pia kwa WasafiTv. Kazi nzuri.
Support.
Ila TID maana ya legend sio lazima uwe mzee. Legend comes from Latin word legere... means TO BE READ. watu wanajifunza kutoka kwako. extra ordinary accomplished💪KUWA LEGEND NI HESHIMA SANA. ila bongo unafiki mwingi
Ur songs r still my favorite bring one big show ya come back. ...bring it to Kenya we love you
Tid hamia Kenya ndugu yangu , here we value our people and our music , Kenya!!!! What a good example to give.
From Kenya and I understand what TID is saying.mziki wa TZ ulikuwa on point tangu jadi hawa walifingulia kina diamond njia na wengine wengi.but sasa mnawadrop...dah.luv lady jaydee any day
Fact bro big up TID Waharie hao wakujuwe wewe ni nani Really top in dar Ma Men#Maendeleo hayaji kwa Chuki Bali ni mshikamano wa Umoja wa Ukweli.Uganda haiji juu kimziki kwa sababu wanachukiana wenyewe kwa Wenyewe MTU Kama Talent Mozey Radio wamemuuwa kwa Chuki tu bure kwa sababu ya kipaji chake Alojaaliwa na Mungu so Sad na Uganda hawatapata best vocalist kama Radio Forever.wabongo tusiige huko tusome kwa Waganda
Nimekukubali! When the song is played all the time. Ure bound to like it. Anybody who is intelligent will accept T.I.D. Na hao watu anaowazungumzia waitwa MAFIOSO! mafioso their every where around the world.
MAFIOSO :THEIR IN EVERY INDUSTRY. 😱
Leo mnyama yupo fine sijui ramadhani Mashaalah In sikitisha hiyo list uliyoitaja ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tid naku kubali saana much love from Uganda ♥️♥️♥️
This guy is so marvellous.... Knowns what is what!!!! Mnyamaa
Interview za huyu jamaaa ni hamsha hamsha sanaa...Kanye west wa bongo
😂😂😂 nomaa alex patrick
alex patrick sure kabisa😁😁😁😁😁😀🙌
hahahaa
alex patrick
Kabisa kabisaaaaaaaa
hakika😁😁😁
Hapo kwa Q Chief kasema ukweli kabisa
th-cam.com/video/c7UamWLRqoo/w-d-xo.html
Ameongea kweli those days u wa rocking bro wake up an do it more
I get u and I understand well well
NILIWAHI FIKIRI KABLA MAMBO HAYAJA HALIBIKA KIASI HIKI LEO
T.I.D ,BUI BUI , DIAMOND, Z ANTO, IN ONE TRACK HATA KAMA INGEKUA NA PRODUCTION MBOVU SWAGS TUUUUU ZINGEPUSH
HAWA JAMAA WANA VITU VYA KIPEKEE NA VNAUZIKA
#TRUE TALENT HAIFI....
Mzungu mweusii hapo sawa but seriously u spoke the truth
Mimi nimemuelewa t.d na anachoongea ni ukweli na ni point tatizo kesho kutwa tutamuona anaenda kulia lia kwa ruge kuomba msamaha kama qchilla
I love u TID u said truth and love the way u believe on yourself!!!
umeongea kweli kabisa sio uongo TID LEO UMEFUNGUKA KWELI
Jamaa ananifurahisha mzee kigogo
TiD you ve been my favorite ever since....b4 of course sema media media
Nakukubali sana ,,,unajua muziki pia unaongea point
Nice presentation TID a rare diamond you are🤗
Tid is talking the truth...he will come bck stronger to the game.his fan from Kenya.
Nakukubali mnyama yaan leo umeongea point sana mzee baba
Kuna wale watoto wa arusha wanapewa sana shavu lkn hawana uwezo kama wa fid q....wanabebwa sana....mnyamaaaa huyo tid ndio watu wakwanza kufanya music na filamu bongo na watu wakanunua.....awa clouds ndio mwisho wao.
Tunaomba mtuwekee wasafi tv kwenye startimes lini mnaweka tunataka kufulai WCB fireeeeeee
Boaz Samwel ipo
Very true nimekuelewa sana mana hadi leo Koffii Olomide bado anafanya mziki na haitwi Legendary bali kuna vizazi ndio tofauti yao
Kweli kaka uko sahihi
Hongera kwa kusema ukweli uhuru wa music unakuja km wote mtaongea ukweli kuhusu wabaya wenu
Brother Top tell it straight up .
Interview fupi lakin, ina maneno mazito yenye uchungu ndan yake... #thebestTID
kwanza wanacho kiimba m ata sikielewi kabisa nyimbo zinafanana na ndio mana azi iti unaiskiliza siku mbili tu, nyimbo ushaichoka lkn zeze mpaka Leo bado inaishi Mzee baba nakubali sana ngoma zako tid aka mnyamaaaa
iyo aina tofauti na yare mambo ya simba na yanga mchezaji akitoka timu zao basi wanamwita mkongwe kisa 2 kacheza timu kubwa duuu
Its true T.ID mnyama unaakir kubwa sana
Your are correct many people have no about legend
Real broo uko sawa kabisa watu wanaowapandisha ndo hao nyimbo zao wanalazimisha ziwe nzuri unasikiliza baada ya siku mbili nyimbo yake ishachuja wakati nyimbo zenu mpaka sasa tunazo kwa simu duh hakuna upendo badala yake ubazi zinztufisha hapa
Kweli t. D Mimi napenda nyimbo za zamani sasa hivi wizi tu Kaka Hakuna nyimbo tena Naomba nimrudi kwenye gema
I understand you and I love your music
Mnyama huko sahihi sana, wanamziki wa cku hizi ngoma wiki moja unatupa ishakwisha
I can see wasaf u gona make good changes kwenge bongo flavor ooh wasaf do it for da sake of muziki wa tz
you speak truth bro...media baadhi ni mashetani wa music na wasanii
This guy is diplomatic
KIAMA CHAO KIMEFIKA WALE, WENYE ROHO MBAYA, SAFI SANA UMEONGEA UKWELI MTUPU HIZO TABIA ZAO ZA KUUA VIPAJI VYENU MUNGU KESHAWAONA
This dude is GENIUS 👏
Huyu jamaa ni msema ukweli siku zote na mtoa makavu tu, mtu charming sana
Mzee baba unaimba Nene, mbona unachokiimba hatukioni??? Jipendekeze sana wasaf lakn we utabak kua hvohvo mzee wa kulalama
Mnyamaaa interview zake ckosi kuangalia 🔥🔥🔥🔥🔥
Asanteeee mnyamaaaa
kweli tid 254 mko wapi
interview ya kizazi sana, big up Top In Dar
Ni kweli brother yote uliyosema sema ila punguza kulaumu media brow endelea kufanya kazi
TID ...umefeli unaona aibu akuna ulichokifanya kwenye mziki una hela ata haslay umpati kwa hela igeni kwa diamond na navykenzo ww ni legend unaogopa kuitwa legend kwa sababu unefeli maisha
Well talk So deep
hii imfikie Ruge na CMG yake pumbavu zake
uyu jamaa namuelewaga sana
Latifa Abdallah na madada wengine ni wa choyoo kama nyinyi hamutaki alikaa mtu fthari😅
point hongera
Jamani achaniongee ukweli mm nilikua napendasana kusikiliza hiyo media hucwezikusikiliza zingine zaidi yahiyo media. Bt tokawameachakupiga nyimbo zadimond nimewahama kabisa tenakwasasa ninayemsikiliza ni ayo pekeyake kwenyetv yake kwakweli leonimemuelewa yulekiongozi aliyesema usimuone huyujamaa anaongea sauti yaupole nitapelisana mwizimkubwa leonimemwamini. Kuua mzikiwadimond mmechelewa Sana mtawauwa haowachiniyake lkn kwasimbaaaaa mmenoa mtakufanyinyi maana kwasasa kilamtu anaisema vibaya hiyomedia mtaisoma namba mwakahuu mpambane naharizenu jamani mnawanyonya wanamziki mpaka wanataka kuachamziki, nyienanibwana harafunimtummojatu ambayenimshenzi. Naimanikabisa wafanyakazi Wahiyo media hawapendi tabia yahuyo boss wao lkn wafanyeje ndiowameshaambiwa hakunakupiga nyimbozamtufranifrani walakumuongelea,chaajabu wapowengine wanamuongelea kwenye mitandaoyao binafsi. Huyundio simbaaaaaaaa, umechelewa bosss diamond siwanchi hiiii imekulakwako,viongozi wanakushangaa wewe mtugani hutaki vjana waendelee, yaaani unafanya watu wasisikilize tenahiyo media kwaujinganawivu wakijinga. Shimooo T I D nimekuelewa Sana. Simbaaaaa nimotooooooo Hakuna atakaeweza kumzima. Poleweeeeee, nakupenda zamaladi karibu WCB hatunaga ubaguzi sieeeeeeeee, nyimbozoooote tunapigatu.
Kwa diamond hawatoweza kiukwel kwanz channel yao ndo kwanza inaanza kupotea
Ure damn right! Michael Jackson is a legend. I will repeat ure the most intelligent Musician in Tanzania.
ni kweli kabisa tid vijana wasikuizi wanajiona watoto sana, utakuta brother, brother nyingiiii shika moo ndio kibao wanasalia mtu ambae ata miaka 40 ajafikisha m nawaona wachawi tu, siku izi wazee sio wachawi Bali sasa ivi asilimia 90 ya vijana wengi wa sasa ni wachawi eti wanajiona ndio wanaeshima sana kumbe wanakuloga kisaikoloji ili wakutoe kwenye chati ujione umezeeka wakati ata 40 years ujafikisha ni washamba tu, achana nao piga kazi Mzee baba mm nakubali sana mziki wko kaka
Tisha sana mnyama #IApreciateU
UR THE BEST MAN THERE IS,THERE WAS AND THE BEST THE BEST THERE EVER WILL BE MNYAMA T.I.D
Wooow Tukipata Wasanii Kumi Kama Nyinyi Wasema Kweli Basi Tutasogea..... Big Up TID
uko sahihi sanaa TID fanyen mrudishee mziki wenoo aisee
Hmm message sent
sure you
End of the day wanataka kumuua diamond sasa sjui wanataka kumueka nani 😂😂😂😂😁😀😀mnyama nimekusoma upo smart kichwani mimi nakuelewa since day one mzee baba!!
We hukucheza na mda bro!! Ulijua maisha hayabadiliki,, Ni kweli ulikuwa na kipaji sana ila tatizo lako kubwa ilikuwa dharau!!! Hata uwe maarufu kiasi gani , ukiruhusu dharau kuingia ni kazi bure !! Na kitu kingine ni kwamba You should not talk about Diamond ,, he has talent and he uses his talent appropriately, and he has a lot of currency than you do!! So acha kupiga mayowe bro!!! Waandishi wa habari wanakusanifu hapo, wanaona umepotea 🏌🏽♂️
Kweli kabisa kaka..
mnyamaaaa.+254 yasikika sauti yako.KENYA
Radio mawingu fm nd mxhaixha @tumewasha
moja kwa moja kawawasha mawingu na team yaoo yoooooote,ruge na vijana wako mungu anawaonaaaaa wasanii wengi wanalia na nyie mawinguuu
ni kweli TID ruge uyo
ila mnyama bhanaaa hahahhahaa we mwana ni nouma napendaga saana interview zako coz huwa na enjoy kinouma
wenye Media wanataka kuabudiwa na mashabiki wamekuwa wanafki yaani hawaeleweki leo wanasifia kesho wanaponda
True bro live from Kenya this guy put bongo music on the map, true boy, clouds is just a cartel whose time is over
Noma sana aiseee!!
On point
Ni kweri.... Mziiki wa bongo unaharibu na watu flani.... Nyimbo zaw hazipigwi tena.... Na kusema ni mziiki wa zamani.... Kwa nini?? Wakati walifanya nguvu sanaa kwa kufanya mziiki wa bongo ujulikane na kufanya vijana wengi wauoe mziiki Kama unalipa.... Na ndoo mafanikiy ya leo....madogo wengi wamefanikiwa
Ingekuwa TV nyingine maneno mengi tusingeyasikia,Safi wasafi tv
Clous wapiiiii sema wcb
Naona kwa sasa wasanii wamesanuka big up wasanii amken
Kweli kabisa
Mimempenda TID kinoma noma he is saying the truth G ,
Goods sana, ila mzik mtam upo tu mpaka sasa.
fact kabisa nimekuelewa
INAUMA XANA KIUKWELI SIO SIRI UNAFIKI NA UKANDAMIZAJI UMEJAA KWENYE MEDIA NA MASPONSOR NA KWA HILI LA SAM WA UKWELI MEDIA ZETU ZIACHE UNAFIKI NYIMBO ZINAPIGWA MPKA MTU AFE SO SAD!!!😕😕😕😕😕
That true man
nimekubali
Diamond hata wafanye nn wamechelewa
Dah uko sahihi kabisa kabisa
Yupo sawa
Dah kweli bro
Noma sana, ila ujumbe umefika