Analewa kupunguza maumivu.Kumbuka huyo pia ni mjukuu wake.So usimnyooshe huyo babu kidole kosa kalewa.Na kumbuka yeye ndio kaupata huo mwili.So lazima kisaikologia anaumia.
😢😢😢yaan kila pahali n watu kujinjwa eh Mungu saidia hii dunia maana penye imefikia hapaeleweki . Pikipiki haitamfanya ajinche mtoto n kama ako na laana labda aliuwa ndio maana mapepo yakamwingilia.
Ningependa Serkalin Yngu Ya Tanzania Hii Mikoa 5 Itolewe Kabisa Kwenye hiii Nchii Maana Zinaichafuwa Nchiii Ya Tanzania 1)Arusha 2)Njombe 3)Mara 4)Iringa 5)Geita Zitolewe Katika Ramamni Ya Tanzania Zikajiungee Na Nchii Ya Burundii
Kwani kuna ibilisi gani kawaingia watu yarab😢haki tumekua wanyama kuliko wanyama wenyew. Hakuna wa kumwamini sasa hiv kila mtu muuaji, watu hawaogopi damu za watu Tena. Imekuaje?
Msipakane mafuta kwa mgomgo Wa chupa watu wanaibiwa magari hawakati wengine vichwa , huyo tu ndo nini kuna kitu hapo ndo maana hata mama Wa mtoto hakai hapo huyo babu na bibi mmoja walishindwaje kukaa na mwali na maisha hapo sio ya shida kiivo
Kila mtu ana namna yake ya kuomboleza kama amelewa basi amuache…yeye Ndo alikuwa akiishi na mjukuu wake Labda ni namna ya kupunguza maumivu yeye analalamika at the same time hajawahi kusumbuka kujua mjukuu wake anaishi wapi….!!!!
iko hivi hata hii familia ya huyo binti wanamatatizo kama watu hawakuwai kujitambulisha walipeleka katoto ka nn huko aseee..muuwaji anyongwe tu na mama mtu nae ahojiwe Aachen kutelekeza watoto
Mungu kumbuka rehema juu ya damu zinazomwagika bila hatia
Poleni sana na huyo aliyeuwa achukuliwe hatua kama amelukwa na akili si angevua nguo
Arusha kesheni mkitubu na kumuomba Mungu kuna roho ya mauti imeachiliwa huko haiwezekani kila siku mauaji😢😢😢
ARusha inatisha😭😭😭
Waache bangi
Nyokonyokooo ujinga tu.
Pole poleni mwanao kaingia ukoo wenye laana tena laana
Kama hana akili kwann asikate mboo yake
😂😂😂😂😂😂
Au kwann asimchinje baba ake 😢hii ni laana family zimekosa hofu ya Mungu
😂😂😂😂😂😂hizi comments lazima utacheka
🤣🤣🤣🤣🤣angeikata akaila
😂😂😂
Subhanaallah Innalillah wainailah rajiun 😭😭😭😭 Mwenyez Mungu tuepushe na hili balaa 😢😢😢😢😢😢
Kam Ana akil kwa nin asijiuw yey mwenyew achen kumtetea ndug yak aliyeuw kwa upang naye awawe kwa upang
uyo babu ni baba yangu mzazi achunguzwe vizur nay akamatwe
kabisaaa pande zote 2 iko shida wanafichaficha mambo
Analewa kupunguza maumivu.Kumbuka huyo pia ni mjukuu wake.So usimnyooshe huyo babu kidole kosa kalewa.Na kumbuka yeye ndio kaupata huo mwili.So lazima kisaikologia anaumia.
huyu baba inamaana.hajui tabia za binti ake mbona nae iko shida baba mtu muuwaji anyongwe kabisa ila na mwanamke alie zaa nae pia iko shida
Subhanallah......
Yesu mwema tunaomba utuokoe Wanao Dunia inatisha wanadamu tumeiharibu kwa matendo yetu maovu
Dah katoti kazuri hako ndo kamechinjwa alafu baada ya hapo yupo tuu huyo bb yake
Jamani kwa tukio hilo la unyama unyama hebu uko Arusha muwena na hofu ya mungu kwatukio hilo
Jamani watanzania nini kinaendelea 😢😢mbona mumekua wanayama vile
Mmmh mungu wangu maumivu aliyopat huyo mtoto 😢😢😢 kuna binaadamu huruma hawana jmn
Akili imemruka si angejiuwa mwenyewe
kabisa angejikata ata uume wake tujue kawehuka kweli
Jamani sasa kuna kitu kimekuja tanzania? Kuna shida
Mungu ahusike kwenye huu mkoa
😢😢😢yaan kila pahali n watu kujinjwa eh Mungu saidia hii dunia maana penye imefikia hapaeleweki . Pikipiki haitamfanya ajinche mtoto n kama ako na laana labda aliuwa ndio maana mapepo yakamwingilia.
Dah Arusha, Iringa, Mbeya mnatisha
Sio tanzania
@@Zuu673 Tanzania tunatisha, sijui tatizo liko wapi?
Mbeya mtukome
@@gracegeorge4848 wakukome wapi 😂
Subhaana Allah😭😭😭😭😭
Hii laana ya damu ya watu Arusha sio salama bangi hizi jaman kuuana kila siku mbona mikoa mingine watu wanavuta lkn sio hivi
Ningependa Serkalin Yngu Ya Tanzania Hii Mikoa 5 Itolewe Kabisa Kwenye hiii Nchii Maana Zinaichafuwa Nchiii Ya Tanzania
1)Arusha
2)Njombe
3)Mara
4)Iringa
5)Geita
Zitolewe Katika Ramamni Ya Tanzania Zikajiungee Na Nchii Ya Burundii
Mungu kuliko mtu achinje mwanangu bora anichinje mimi. AMA SIVYO PATACHIMBIKA
Kulewa mana alicho kiona akielezeki kilamtu ananamna ya kupooza machunguyake
Mauwaji kila kukicha arusha iv mnanin uko mna mapepo machafu ombeni mungu mpate kutubu
Kam karukwa na akili kwann asijiuwe mwenyw auwe mtot huy achinjwe nayeye
Mkoa unaoongoza kwa matukio ya kutisha kwa sasa ni Arusha
Mtuombee tuu jamani matukio yanatisha mno🙏🙏
Daaah 😢huyo cyo mzima
Jamani Katoto kazuri 😢 imeniuma sana😢😢😢😢
Kwann arusha inakawa na matukio kiasihiki jamani, watu wa arusha ufunge na kuomba sana utoa laana iliyoko katika mkuo wenu, dhambi zimezd
Kwan arusha mnaomb kweli mbon kam mung kawasahau San jaman rudin kwak nyiny ni kondoo wak mtakuw mmepotea jaman
Izo Imani Za Kitajili Izo Wenda Kaambiwa Funza Ndio Pesa Arusha Mkemeeni Pepo
Dah!😢 Matokeo ya kikatili yanaongoza mkoani Arusha!😭kwa kweli inasikitisha sanaaa,mtoto ameuliwa kikatili Sanaaaa!!😭 uyo baba katili.. anyongwe kabisa!🤬😠
Wanawake.kuweni.makini.navijana.huko.rombo.hawana.huruma
Tunaelekea wapi inauma sana😢
Mnaosem Bangi aliyewaambia hili tukio na bangi vinahusiana ni nani,pengine akili imemruka kama wanavyosem 😢
Jmn mtt mzur
Kwani kuna ibilisi gani kawaingia watu yarab😢haki tumekua wanyama kuliko wanyama wenyew. Hakuna wa kumwamini sasa hiv kila mtu muuaji, watu hawaogopi damu za watu Tena. Imekuaje?
uchungu wa mwana aujuae mzazi huyo sio mzaz
He arusha kuna nn kila siku mauaji
Innallilah wainailahii rujjiuun
Uyo baba na yeyee achinyweee popote alipo
Jaman watu wanatafuta watoto ninyi mnachincha kwel
Msipakane mafuta kwa mgomgo Wa chupa watu wanaibiwa magari hawakati wengine vichwa , huyo tu ndo nini kuna kitu hapo ndo maana hata mama Wa mtoto hakai hapo huyo babu na bibi mmoja walishindwaje kukaa na mwali na maisha hapo sio ya shida kiivo
Arushaeeeeer now imetosha tumechoka kusikia hizi mambo.
Ndugu tuwe na huruma na tumuogope mngu
Arusha ifike hatua mmrudie mungu maana mnajitia wajuaji kwenye 0 Bangi haijawahi kuacha mtu salama na poleni
Jamani hii Dunia kila kukicha watu wauwana
😢😢😢😢daah ! Dunia Dunia
😭😭 uwiiii jamani
Innalillah wainna ilayihi rajiun
Ayo matangazo yenu yanatumalizia bando
Arusha kila mtu ukimuangalia especially hawa vijana ni walevi walevi tu yaani hata asubuhi wamelewa. Sijui wanafanya kazi saa ngapi
Arusha ukiwa serious unaheshimika na kuogopwa
Mungu akusamee mdogo wangu najua si akili yako mungu
Jamani khaa wengine watupiwa uchawi..
Amadeus msela angu kabisa nimecheza nae utotoni nickname "LAGAA"
Inasikitisha ni mtaan kabisa
Arusha mna nn jaman
Dunia Iko mwiahon
Arusha mpaka ukatwe wahamishiwe kenya 😢
Huyo mdada alimuacha vipi mtoto kwa mkwe
Wadada hawataki kulea wakizaa tu wanapeleka watoto kwa bibi zao I'll wale maisha...hili liwe fundisho leeni watoto wenu
Atakama mtto sio wakwako ueezii muhuaa jamani kwanini wanaume wanakuwa wakatiri kisa awaendi Reba jaaamn 😭😭
Kwanini umpakazie mtoto ambae sio wake wakati baba yake yupo wanawake ndio mnasababisha
Arusha,arusha,arusha uwiiii
😭😭😭😭😭😭YESU tusaidie
Kila mtu ana namna yake ya kuomboleza kama amelewa basi amuache…yeye Ndo alikuwa akiishi na mjukuu wake Labda ni namna ya kupunguza maumivu yeye analalamika at the same time hajawahi kusumbuka kujua mjukuu wake anaishi wapi….!!!!
iko hivi hata hii familia ya huyo binti wanamatatizo kama watu hawakuwai kujitambulisha walipeleka katoto ka nn huko aseee..muuwaji anyongwe tu na mama mtu nae ahojiwe Aachen kutelekeza watoto
Hii balaaa
Mtu alie rukwa na akili anakumbuuka kudeki baada ya kufanya mauaji
SASA MTOTO NDO KAIBA TOYO? ALAFU MTU KAMA ANA WENGE NI KWA NINI AACHIWE MTOTO.?? 😢😢JAMANI NYIE. 😢
Aiseeee
Arusha jaman kuna matukio ya kutisha
Huyu babu aliyekuwa anakaa na mtoto mimi nina wasiwasi nae pia
Mh
Daaa
😢🙏
Arusha aisee wakatiliii
Kuna na mna mwanao umchinje
Uyobaba achinjwe nayeye maana inauma sana
Huyo ana njia yake,labda kamtoa kafara
duh☹☹☹
Kusaga tv
😭😭😭😭😭😭
mwamba sana
2:21
😢😢😢😢
Makubwa
Mmh
Uyo nabi aliopo apo anatuma maroho yauaribifu
We nawe huna point yeye amehusikaje hapo au ndio wale wale tu
Shida kumbambikiza mimba
Msiba huu jamn😭😭😭
😢😢
Kusaga tv
😢😢😢
😢😢😢😢😢😢😢😢😢
😢😢😢😢
😭😭😭