Safi sana kwa kumrudisha huyo dada anajua sana kucheza mrudishe na mwenzie walikuwa wote kwenye video ya Ngolo.Anaitwa LYALEKWA NA BHAJERUMANI NA LUCY NI HATARI
Kisima unaimba sanna hadi unakela wenye vivu watakuafa wanakufikilia tu we noma sanna hapa umepinga kiswahili kilicho nyoooooooooka safi sanna🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nyimbo Kali Sana Kaka Kwanza Umetisha kuanzia Font Na Edit Respect Brother Migera Kwa kazi Nzuri pia Kisima We Ni Fundi WA muziki yaniii mtunzi mzur🎉🎉🎉
Hakika majabala wewe ni star wa mziki huu hichi ni kipindi chako.. mm nipo DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 lakini najisikia kama nipo SHINYANGA mzee wewe ni kiboko sana!!!❤❤❤❤ Karibu congo wanakubali wewe shoo zako....
Aliepost hajui au ndo Kututamanisha mauhondo ngoja nizime Data kesho kabla ya Saa mbili nawasha chap sana pia big up kwa mwl migera na Mwalimu wa mashairi kisima nyanda majabala nawakula sana by Director jose,nick name Davido
Wewe ndiyo msanii uliejitambua na umejiandaa vizuri sana upande wote kwenye usanii mpaka nje ya kazi naomba ukae sana kwa baba yetu juma gasuka hata kama ufanikiwe vipi maana kama nikukufatilia nimeanza zaman toka kwa LIMBE Mpaka hapa kwa tindolano 😢 kama ni mateso wewe umeweza kuyavumilia sana na leo nipo PEMBA kikazi lakn kazi zako naziona zote
ngoma ya maaana sana hiiii sarut mwamba wa usukuman tujivunie nani kwetu ni wew kama diamond kigoma na ss tuna diamond upande wa wawasukuma saruti sana mwamba 🫡🫡🫡🫡
Kisima ❤❤❤❤❤ achia hiyo nyimbo nimeisubir chap
Waaaaaaaooooooooh🎉🎉🎉chukua maua yako kisima umeshindikana
Safi sana kwa kumrudisha huyo dada anajua sana kucheza mrudishe na mwenzie walikuwa wote kwenye video ya Ngolo.Anaitwa LYALEKWA NA BHAJERUMANI NA LUCY NI HATARI
❤❤❤❤🎉🎉🎉Kisima towa na Dunia bana tunataka dunia
kazi nzuri Mr
Achia ngoma hiyo nakuamin
brother
Achia hiyo brother kazi nzuri
Kaka hongera sana kazi haina makosa
Achia kitu blo❤❤
Daah Dj yusuph kasekese moja hiyo naisubili kwa ham
migela kafanya video nziri sana ndo ninachomkubari huyu mwamba director migela ni namba 1 kwa director wa kushut nyimbo za kisukuma
Naisubir
Goma Langu Pendwa Kabisaaa🔥
Achia ngoma hio kaka
Maqin cn jamaa ang huu wimbo wakwenda ❤❤❤❤
Ong'wa kishushu achia hiyo
Nice song from a great artist
WASUKUMA WE ARE WAITING THIS SONG TINDULANO 🎉
Kaka achia ngoma hiy
Acha ngoma ww
🎉🎉🎉🎉chukua maua hayo mwamba
@@MigeraStudio upo vizur sana kaka 💪
Achia hiyo ngoma
Kwanini aache ngoma🥁
Kitu ❤❤❤
Achia kaka
Kazi nzuri kisima chapa kazi
Kazi nzuli sana kisima
ashiya yimbo
❤❤❤❤❤❤🎉we ni balaaàaa sana mwamba❤❤❤❤❤❤🎉
Hii italeta nafuu kwenye biashara maan hali ilkuw imexhakuw ngum, hongera xn umetujal
kazi safi kabisa🎉🎉🎉
Kisima the great work niceeeee❤❤❤❤
Kaka samahani me pia msanii was bongo Ila mamb hayaendii Kaka naitaji kampanii yako
Good chukua maua Yako migera
Bomba kraaaaa
Brother aachia. Ngoma
Duh!! Mkuu apo kazii. Nzurii sana 🎉
Hongera kisima kwa wimbo mzuri
Naisubili Video kwaham sana ya Ngoma Kali TINDULANO Lakin pia naitaman sana Dunia pamoja nahiyo bhazunije by Paul kutoka Dodoma
hakika ngoma iko fresh
noma sanaaa kakaaa, nakubal lets go
Kazi kubwa sana hii kaka 🎉🎉🎉❤❤❤
Nakubali kaka kisima Ngoma Kali tindolano good job my brother
Kisima unaimba sanna hadi unakela wenye vivu watakuafa wanakufikilia tu we noma sanna hapa umepinga kiswahili kilicho nyoooooooooka safi sanna🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
king wa muziki, ni mwendo wa vina t,,,🔥🔥🔥🔥
kisima nakukubali sana kaka endelea kurekebisha tabia
Kazi nzuri❤
Ahsant kaka nimeisubili kwaham sana iyo Ngoma hongela kazi zuri sana
Kisima umenigusa kabisa moyo wangu alichokifanya ntidolano"
Ninachokiamini baliadi vipaji viko juu sana nakuona broo unakanyaga goma I LOV YOU kisimaaaaa❤❤❤❤❤❤
Imenguza kwer hii nyimbo 😂😂😂 hongera saan boss❤❤
Saa ngapi hapa Niko nimeiseti ikiiitikia tu kashamezwa achia sasa
Kisima ntuzu one bariadi mnara wa VODA THE KING
Kazi nzuri boss,,
Moshi nikiachia ngoma zako wanazielewa mbaya kabisa
Nyimbo Kali Sana Kaka Kwanza Umetisha kuanzia Font Na Edit Respect Brother Migera Kwa kazi Nzuri pia Kisima We Ni Fundi WA muziki yaniii mtunzi mzur🎉🎉🎉
Hakika majabala wewe ni star wa mziki huu hichi ni kipindi chako.. mm nipo DRC Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 lakini najisikia kama nipo SHINYANGA mzee wewe ni kiboko sana!!!❤❤❤❤ Karibu congo wanakubali wewe shoo zako....
Wafundisheeee mzeh hii ndo maana ya kitambo sana kwenye game
Naitwa bahati WA NZEGA nakubali sana kwa hii nyimbo
Bingwa wa game, hongera sana
Kazi nzur sana kaka❤
Nshamaliza kuangalia niamke nicheze sas😊
Aliepost hajui au ndo Kututamanisha mauhondo ngoja nizime Data kesho kabla ya Saa mbili nawasha chap sana pia big up kwa mwl migera na Mwalimu wa mashairi kisima nyanda majabala nawakula sana by Director jose,nick name Davido
Uhakika Man Big Love To you Hongera Kwa kazi Nzur
Nasubili hii
Hongera modi wa kisukuma unaelimisha jamii
Nakukubali sana mwamba wangu
Kaka nakukubal sana Yan hakika unaweza sana hakuna anaepinga ndio maana bazunije abanhu pye mpaka nunene osagile mweyi duh 🎉🎉🎉🎉
Umetishaa
Sasa mbna huiachii bro
Unyama sana🎉
Kisima wewe ni mwamba nakukubali sana kaka nipo Kenya
Mwana hii video Kali kinyama upo kahama ama bariadi kisima tumecheza disco vumbi sana mkali kule sanungu Kwa misangu
Heshima kwako kaka yangu❤❤❤❤❤❤❤
Leta ngoma jingene kaka hilo limetoboa by justine toka DSM"
Iko powa❤❤
The bing boss kisima ww nifundi broo❤❤❤❤ nakubali sana kaz zako hapa Leo majiran hawalali nipo na ntindulano 😂😂
Daaah ubunifu mwingi sana asee🔥🔥
Mashairi ya kimapokeo hiki kimenifanya niwe shabiki wako mkubwa Kisima Majabala brother unajua sana aisee 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Ngoma nzuri sana
Kaza boot hakuna kufeli
thank you I have been waiting for ❤️
Nyaaaaaanda majabala ila kwa heshima na taaadhima achia video 📹 ya BHAZUNIJE 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Nahisi itakuwa kali kuliko zote
Kweli aisee aiachiehiyo Bhazunije ninoma
Hongera sanaaaa Kaz zur home boy .
Nakubali Sanaa still now nafuatilia kazi yako Niko Dubai .
Karbu Dubai sanaa home boy
Yan hapa silali mpaka niione hii ngoma
fanya kazi kijana wetu baraka zote kwako
Mimi Ntemba nakubali sana
Mzigo ushachukuliwa mapema tindulano ila ni pisi Kali ni halali ndugu zako wakuchukie kisima
Hongera sana
Big up bro very smart song
Hongera sana rafiki yangu mm shabiki yako Niko nzera naitwa damas mgodi
kaka unatuwakilisha wasukuma unajua sana kisima ww ninoma
Safi Sana ngosha
Kaka wew ni🔥🔥🔥🔥🔥✅ mm naomba namb ako ya simu ninazawadi ako
Namba kaka
Umetisha Saana mkemia
Leo wakwanza hapa jamani nipeni like zangu❤❤
Nakuelewaga sana Kisima kwa ujumbe wako
Unaweza kujan
Dah 🎉🎉maua yako broo unawez
Nakubali sana kaka make hata niliko huko wewe2 Niko dar kigamboni kaka
Wewe ndiyo msanii uliejitambua na umejiandaa vizuri sana upande wote kwenye usanii mpaka nje ya kazi naomba ukae sana kwa baba yetu juma gasuka hata kama ufanikiwe vipi maana kama nikukufatilia nimeanza zaman toka kwa LIMBE Mpaka hapa kwa tindolano 😢 kama ni mateso wewe umeweza kuyavumilia sana na leo nipo PEMBA kikazi lakn kazi zako naziona zote
Na wapenda sana wew na amosi malingita make muko vizuri ila Kwan hamuwezi kufanya kolab mwaka huu
Jamani 2fanyien colab BAC huu mwaka kaka
Nakukubal xana achia ya bhazunije❤
Komaa mwanangu uko good
Chuma hichoooooo
Safi kaka
Bora imetoka maana niliisubiria kwa mda mulefu sana barikiwa
ngoma ya maaana sana hiiii sarut mwamba wa usukuman tujivunie nani kwetu ni wew kama diamond kigoma na ss tuna diamond upande wa wawasukuma saruti sana mwamba 🫡🫡🫡🫡
Nyimbo nzur