Yeyote hatakiwi kujiita mfalme kama hajachanguliwa na watu sisi ndio ntunajua kazi anayo pingana mtu na ndio ntunasa huyu ni mfalme kwenye asli tuko na mfalme bhudagala toka mwaka fulani jamaa anasbua hadi leo kuna wengine wanakurpuka miaka 3 akishaonekana na kuanguka kimya wanabako kuchungulia kwa mbaaali budagala king 👑 of African asili sukuma
Mzee wetu anachia mawe sisi ndo watoto wa usukumani kanda yaziwa tuko macho kwahii kazi hatulali saluti sana Mzee wetu budagala ushi sana Niko dar nakupata vyema sana napenda sana kusikia hizi mikito nakumbuka nyumbani kabisa 🙏🙏🏄😂
wewe mbasha wewe .kazi zako nazikubali sana ,kwa beat kali na vocal kali ,hasa kwenya hii nyimbo ya mbula bhudagala sauti yake imekaa nyema sana kuliko nyimbo zake zote,hongeleni sana ,by masebrain
Nyieeeeeeeeeeeee amkeni huku limewaka tena na mbula anaitwa king of sukuma songs ❤❤❤❤❤❤
Mpokeaji na msambazaji og morogoro yote!! Karibu salamiti
Mwanamalonja olengosha gete,, ekanza lyambula egolumaga bhochagi magembe bhayanda 🔥🔥🔥🔥
Kaka budagala kwenye muziki wa Asili, hatukudaii umeutoa mbali sana nakubal Mungu akubariki mno👏👏👏👏
Wewe ndiyo Mwalimu Wa Nyimbo za Kisukuma 🎉🎉
Magenhiro nakupata kaka ❤
@@Magenhiro habari za wapi Dada yangu
Wp wasukuma wenzangu tujuane kw like❤❤
Tupo
Inyeshe tu tukachanganyikiwe shamba
Saut nzuri inayoendana na wenyewe hongera kaka mungu akuzidishie ubunifu🙏🙏🙏🙏🙏
Imekuwa kama surprise legend is back again na Mbula kazi bomba sana
King. 🎉🎉🎉
Hongera sana buraza bhudagala ka wimbo. wako muzuri sana
kumekucha tena wasukuma gonga like hapo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wasukumaaa tujidai na lugha yetuu
wimbo mzuri sana kakaangu bhudagala mm nakupenda sana kama mshabiki wako broo
Bhudagala hongera sana kaka tunzo lazima upate basata inaanda tunzo yako
Yeyote hatakiwi kujiita mfalme kama hajachanguliwa na watu sisi ndio ntunajua kazi anayo pingana mtu na ndio ntunasa huyu ni mfalme kwenye asli tuko na mfalme bhudagala toka mwaka fulani jamaa anasbua hadi leo kuna wengine wanakurpuka miaka 3 akishaonekana na kuanguka kimya wanabako kuchungulia kwa mbaaali budagala king 👑 of African asili sukuma
Abhalemi dimane ❤
Bhudagala wewe ni mbalikiwa kwa idia kwetu wa sukuma wewe ni mrunzi wa kipekee ntale ni ntale duhu🎉🎉🎉
Mbula kazi nzur saana kaka yang
Mbula ya minzee safii getee nkoyi❤❤
Wimbo unaujumbe Sana, hongera sana father
kazi nzuri sana hongera sana kaka bhudagala kalibu kasoli bariadi
Kazi nzuri Kijana wa nyumbani🎉🎉
Lya luma hangi bhagosha bha mpeni
Wew siku zote upo kwenye ubora zaidi hongera sana❤❤❤❤❤ my brother.
Kazi nzuri brother bhudagala.....
Kwahinyimbo.achaniwe.wakwaza.kusikiliza.mana.bhudagalaa.namgubarisana.😮😮😮😮😮
Unaweza sana mzee wangu toka kitambo nakufuatilia 🎉🎉
Congole sana Bhudagala Mwanamalonja
❤bhudagaala njoooo utpgiee na ss hk njombe
ongeza dakika ziwe zinafika ata 12 hizo hazitutoshi mashabiki!!!!
Hongerai kwako kaka mambo mazurii
❤❤❤❤❤❤❤❤ kazi imepikwa ikapikika saf sana kaka
Kaka nukukubali sana
Bhudagala you made it congratulation brother Mbula is the best song I'm listening it from Mwamalize Simiyu One!
Wakwanza Kusikiliza Hiii Kazi Ya Kaka Mkubwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Nakuku balisan kaka simutu wa maneno mengi ila vitedo vinaonekana🌹💐
Hongera sana father wimbo unaujumbe sana
Ogopa HIZi ni zawachache wewe❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera sana nyimbo nzuri sana Kaka
Baba kazi nzuri
Haka nika diamond ketu kawasukuma kana idea nyingi sana duh...!!
😂😂😂
Hongera kwa wimbo mzur kaka angu bye madaha mwanamalonja
Kaz nzur nyanda obakambaa
🎉🎉🎉Kazi nzuri sana VIDEO jitaidi uwahishe ❤❤❤❤❤❤
Anko hapo umeachia jiwe la ukweli big up
Duu,bhudagala ni shida 🥰🥰🥰🥰🥰
Bhudagala kwakweli anae imba nyimbo za kufunza Jamii
Nyanda Ong'wana Malunja 🎉🎉🎉 Uyu nhu mna nkololo dungamanyha majimoto doli na Felix
Bhudagala mwaka huu ni namba moja ❤❤❤❤🎉🎉
Wasukuma tuwasapotiii wasaniii wetu hasa kwenye platform ZAO mtandaoniii🙌🙌
Mzee wetu anachia mawe sisi ndo watoto wa usukumani kanda yaziwa tuko macho kwahii kazi hatulali saluti sana Mzee wetu budagala ushi sana Niko dar nakupata vyema sana napenda sana kusikia hizi mikito nakumbuka nyumbani kabisa 🙏🙏🏄😂
Duuuu hii Ngoma ni noma sana aise🔥🔥🔥🔥🔥Big up sana Broh
Safi sana kaka kunagoma moja inaitwa gomisi tuwekee hewani
❤❤❤ budagala the best musician tz sukuma gang 💪🏾🔥🔥
Kwa sasa nipo dodoma kk nimeipata pia hii🎉🎉🎉🎉
wasukuma tupo vizuli sana❤❤❤❤
King of sukuma songs Big up sana bhudagala
Msanii kaimba mbula akiwa na maana ya mziki wake ukilia ubongo wake huwa unafurahi
Ujumbe mzuri sana wabhagehu
Good Job Kaka Bhudagala 🔥🔥🔥
Tuache unafiki mwamba mi huwa nawaambia watu kuwa huyu namba moja kwa song za kisukuma sasa ni♨️♨️♨️♨️♨️
Nikweli lakini kisima ni moto wa kuotea mbali
Mwanamaloja kaka kazi nzuli sana type vitu vizuli kaka bhudagala ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Mashine ya kisukuma hongera sana kaka
Kazi nzuri sana kaka yangu🎉🎉
Unafanya kazi nzuri sana
Komaa na vijana wako wa digital
Mdogo wako majabala anafnya vzuri kwenye digital
Hongera kwa kutoa nyimbo zenye ujumbe endelea hivohivo tuko pamoja
Legend, King au Leader
Ww na kijana Ako kisima mnatufanya tuinjoy
kaka sawa iko vizuri kaz
Uko vzr kaka piga kazi
Bhudagala ni mfalume kwa nyimbo za asilia ukweli ndo huo
Huyu ndiye king wa mziki wa asili anayebisha alaaniwe
wewe mbasha wewe .kazi zako nazikubali sana ,kwa beat kali na vocal kali ,hasa kwenya hii nyimbo ya mbula bhudagala sauti yake imekaa nyema sana kuliko nyimbo zake zote,hongeleni sana ,by masebrain
Waxukuma tubeben jembe nakwenda kupaban❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Safi sana mwana mpotevu ila umekuja vizuli👍👍
Amepotea lini au humfatilii tu
Msaani Bora kuwahi kutoka katika tasnia ya nyimbo za asili hakika wasukuma tutakukumbuka enzi na enzi
Nakuelewa sana king
Huyu Ndo Simba wa usukuman nyimbo za kisukuma wengine wafuate muite Mwamba Budagala.
Mmelala sio😂😂😂😂😂
Budagala, why are you a good teacher of singers in the Sukuma tradition?
Hongela kwako bulaza
KaZ nzur
Good song brother bhudagala
Much appreciated my brother.
Naon umeamua kwel kwel,,kichw xan ww💯
Nyanda obakamba ❤❤
Piga kaz kwend mble msanii w wasani kw nymb za asili,
Wimb una Ujumbe mzur
budagala nakupenda pamoja nyimbo zako za ujumbe
❤❤❤kaz nzur
Namkubal Sana bhudagala
Shikolo shilambu 🎉
Here we go 🎊 🎉 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Hawakuwezi wasanii wote asir
Kaz nzuri kaka
2naomkubali bhudagala ❤
Huu n moto wa kuotea mbali
King 👑 wawasukumaaaa
Nyimbo nzuri san🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaona watoto wanauchezea mziki awafundishe