KAZI KAZI: JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI ZA MSHUMAA KWA HARAKA NA ZENYE UBORA MKUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 31

  • @AnnelinaZablon
    @AnnelinaZablon 4 หลายเดือนก่อน +1

    Vzr

  • @footballinfluence8476
    @footballinfluence8476 2 ปีที่แล้ว +3

    Hope Tyga Anajua Sana Hongereni BUBOrankTV Kwa Vipindi Bora Kabisa

  • @tatually
    @tatually 10 หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @hyasinthakamugisha6338
    @hyasinthakamugisha6338 2 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mama

  • @juxious4992
    @juxious4992 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥

  • @janethkimuli7700
    @janethkimuli7700 ปีที่แล้ว +1

    Mpo wp

  • @GraceMasesa-py3tm
    @GraceMasesa-py3tm 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jinsi ya kuwafikia

  • @shillavaa765
    @shillavaa765 ปีที่แล้ว +1

    Where isher shop located?

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri lakini mbona hamtaki vipimo vya madawa na rangi

    • @nigananurunjema
      @nigananurunjema ปีที่แล้ว

      Hao ni waswahili hawawezi kukuelekeza Kila kitu Kama unataka kujifunza zaidi ingia kwenye channel za waghana na wanaigeria

  • @busnaoman9981
    @busnaoman9981 2 หลายเดือนก่อน

    Mie nahitaji batiki za biashar napataje

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Kwel anaongea vizur

  • @musasaid4413
    @musasaid4413 2 ปีที่แล้ว +1

    Habari upo wapi

  • @fabianmihale3715
    @fabianmihale3715 ปีที่แล้ว +1

    He hapo sijaona ukitumia kemikali ya costik na sodium inamaana havihusiki?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Namba zao mimi mwenyewe nilikuwa natengenezaga

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Mjomba wangu ni mtaalamu wa batiki aina zote na kuprint tishet

  • @dkmshuza9391
    @dkmshuza9391 2 ปีที่แล้ว +1

    Kindi makin sana hongera kwa bubo rank tv

  • @SesiliaTheonezius
    @SesiliaTheonezius 5 หลายเดือนก่อน

    Au Mimi sijasikiliza vizuri kwa ninavyojua batiki ya mshumaa ukishaichanganya madawa kwa maji ya moto utasubir yapoe ili mshumaa usije kuyeyuka ukapoteza maua au mwonekano wa batiki yako

  • @mwantumumagawa8894
    @mwantumumagawa8894 ปีที่แล้ว +1

    Naomba kujua mnapatikana wap?

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 6 หลายเดือนก่อน

    Ana kichwa chepesi kama mimi siku moja tu nilijuwa na nilikuwa natengeneza nauzw

  • @dosteakigula3077
    @dosteakigula3077 ปีที่แล้ว +1

    Mko wapi?

    • @buboranktv2112
      @buboranktv2112  ปีที่แล้ว

      Dar Es Salaam Karume

    • @AnnelinaZablon
      @AnnelinaZablon 4 หลายเดือนก่อน

      Naomba namba simu nahiji kujifunza kuchanya langi za secondary

  • @barakapalla8799
    @barakapalla8799 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba ya huyo jamaa