Hebu toweni majigambo yenu mfyatuu wekeni maisha private hizo. Hizo mambo kuna shetani wa wivu mutaibiwa ndoa baada ya mwaka chali chini Mbona bibi zetu na babu zetu hawakufanya haya.
Mm sio muumini wa kupost lkn kila mt afanye anavyojisikia. Hao mabibi enz zao hapakuwa na mitandao. Zamani watu maarafu walitokea magazetini kina Bibi Titi. Sasa unakuta bibi zako nao hawakuwa maarufu lazima kawivu kakunyemelee
😃😃😃😃😃😃 ukiwanapesa raha sana utapewa majina rukuk navicheko vyakila aina yan utapewa thaman nakila akutazamae jaman vjana wenzangu tutafuteni not aisee
Hata Mimi nimewapenda Maharusi hawa watarajiwa.
Maombi yangu furaha na ucheshi huu undumu katika ndoa yenu.
hongera sana my classmate makumira
Binti katisheerr!👌🏽 we love to see it.. now the groom😂😂😂 they’re besties 👏🏽👏🏽
Mwanamke mcheshi sana mashaallah
Hey lazima niolewe Tanzania ata kama ni Kwa ndoto😩💗
😂😂😂mj ako sawa kwa miondoko!
@@jackiebaini8432 jamani Fanya nipate mshikaji huko😂😂😂😂
@@sanaipeisenter9106 sawa sawa dadangu🙈🙈🥂
❤️ wifi mzuriiii jamaniiiiii
Wow I like this couple
Waoo ❤❤
Nimekapenda kadada kako charming
Bro umetisha sana
Woow.. Ata kaka angu anaitwa Michael Jackson... Ila kwenye kucheza Amna kitu
😄😄😄😄😄
🤣🤣🤣🤣🤣
Wamechaguana waziri tupu. Mbarikiwe
Hakika Mmependezana mno Mungu awabaliki Sana
Mtembo hatari ❤️❤️❤️😍😘
Wasenge sana najuwa jamaa atavhafua stage 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mc nae ni Michael kwa Juakali. Safi xaana.
Ama kweli n kupendeza
Mnakumbatiana Ivyo Mbele Za Watu Ata hamjaowana....Duh...poleni Sana Vijana Wenzangu Wa kizazi kipya....Mungu Awasaidie Sana.
Safi saaana nimeilewa hii
Ote wacheshi raha Sana Mungu awatunzie ndoa yenu
😂😂😂😂mkawe na kicheko miaka yote
Hawa ni marafiki naamn watadum,mana ndoa ya urafik ni rahic sanaaa
Saaana nawaombea piaa Wana raha na furana
Kabsa
@@innocentcleophace8583 ndoa ya urafiki co ngumu
Huwa na upendo wa kweli .
@@abdallahmakombo3866 ndy
Wamependeza sana
Hongera sana mate
Whaooo clasment wangu maico honger kwa kutuletea wifii
Mwambie wifi yako nataka nguo km hii nitatoa wp
@@khanniebaraka1515 mtafute inst anaitwa Jegasi_design ana shona balaa yn tn hy mby mbn kajionee mwenyew hk dear
Mangi Hiyo Sio Classment Ni
"CLASS MATE"
Classment tena manka 😅
@@nilansaid2927...
Hiyo Ni CLASS MATE...
Sio Classment...
Hongera binamu nice wanyira tuko vizuri japo sikuhudhuria ila Mungu akutangulie 🙏
Jaskon kwel kbs 😘😘😘
Bi harusi atakuwa nae ni Mc bila kukosea
Metisha sana
dada naece
Oops jmn wamependeza 😍
jamani we mrembo kwa picha tyuu.
Bwana harusi kunifurahisha
Ongeren Ila ninyi Ni waafrika
Michael Jackson wa buza.... Hajui kucheza
Uuuuuiiiii.hadi rahaaa
Nmependa nguo ya bibi harusi
Hata Mimi jamn naipata wp km hii
Ni nxr kwl hta mm pis
Atuambie tutatoa wp km hii
Hata mimi.nimechukua picha 😂
@@makulaikuku6909 Jamn aje aseme wapi ameitoa
katoto kamelainika jmaaaa ,kama ndizi bananaahahahahahah
Mmmmmmhhhhhhhaaaaa
Seen we'll
Hadi raha jaman
Acheni usenge
Bibi harusi huyuuuu
Mwanzo 2:18
😂😂😂😂😂😂
SIJUI NIWAMBIE UKWELI 🤣🤣
Mwambie
Hapana usimwambie! We piga kimya ye akapambane na hali yake huko
Irudiweee irudiweeeee irudiweeee jaman🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bi harusi Kapendeza had raha
Please use English guys I can't hear you
Very sorry from Tanzania
You are suffering from where?
@@nilansaid2927 hahahaaaaaa!
😄😄😄watu wakorofi badala ya kukalimani, Mnauliza apata shida akiwa wapi!😂😂
@@nilansaid2927 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾
Hebu toweni majigambo yenu mfyatuu wekeni maisha private hizo. Hizo mambo kuna shetani wa wivu mutaibiwa ndoa baada ya mwaka chali chini Mbona bibi zetu na babu zetu hawakufanya haya.
True
Mm sio muumini wa kupost lkn kila mt afanye anavyojisikia. Hao mabibi enz zao hapakuwa na mitandao. Zamani watu maarafu walitokea magazetini kina Bibi Titi. Sasa unakuta bibi zako nao hawakuwa maarufu lazima kawivu kakunyemelee
Mmependeza saaaana
😃😃😃😃😃😃 ukiwanapesa raha sana utapewa majina rukuk navicheko vyakila aina yan utapewa thaman nakila akutazamae jaman vjana wenzangu tutafuteni not aisee
😅😅😅😅♥️♥️♥️
Bongo bwana kumbe ndoa bado
aky s wed n xupu
😂😂😂✌
Obuya
Leteni pombe hayo mengine niyenu
😂😂😂
Kumbe chizi wako .subiri atakuwa cizi
Atakuwa chizi umekiri
dah noooma
😂😂
Utopolo mtupu
Wivu
SimbA
Ujinga mtu ndio wenu watu wa media ndio maana ndoa zenu hazidumu
Utajijua yako uliodumu iko wapi