UBUNIFU.. Bw.Harusi apewa zawadi ya J3 mpaka J2 . Zipo ndani ya Box hizo saba. UTAIPENDA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 มิ.ย. 2021
- Ni Sendoff ya binti wa Kinyiramba NICE hii style ya zawadi yake kumpatia mtarajiwa wake imekua ya kipee sana. Em tazama na ww then tupe maoni yako.
Subscribe @Mcgarab - บันเทิง
She is so intelligent... he is very luck
Brilliant Idea Nice
kudos to you 👍
Wow! Very intelligent lady
i love the confidence of the lady
Niceeee dada smart brain nimempenda bureeeeeee
Mnaomsema msisahau kumuombea
Dada msomi ,anajielewa safi sana.
Daaah aisee hongera dada
Wow I like this amazing gift
Wow it's soo amazing my friend
We baharia umepata mke, usizingue huyo demu yupo vizuri
Umlete shemeji chuga man 😁👏👏🎉🎉
Amen,I tap this annointing,that very soon I will be happy as my sister here,o God help me
Hongera bro.. bt unahitaji sana akili kuishi na mwanamke mwenye akili.
Hahahaa
Sio mchezo mwanamke kama huyo mmmh
Sio mchezo mwanamke kama huyo mmmh
Hatareeee
Nice is always creative tangu shule😂😂
Haya hizi ndoa za matangazo bwana ngoja waanze kulala bila nguo pamoja ndio watajua
Nawatakia maisha mema lakini lazima bi harusi apunguze ongea ila azidishe matendo
😀
Waongeaji wengi hawana matendo
Yaani kama wadada wa namna hii kama wapo duniani Mungu ni mwema
Hongera sana dada kwa upendo na baraka zote kwako🙏
I like ,it very creative
Good simple lady
Greaaaaaatt ♥️♥️♥️♥️
Mmhh izi ndoa za ma single mother zinasumbua sana, uwez kua binti na mume ujui penzi lake ukawa free ivo dah!
I have really liked this
Ina sence kubwa,mungu awalinde
Nice creative
True dada nimekuerewa sana
Huyu dada is very intelligent
Ubunifu mzuri sana
Waoo kaka kapata jikoo kwakwel
Gauni zuri,umependeza saaana mdada
Bi harus kachangamka htr
💕💕 kila la kheriii
Hongera sana
Mmendza Sana my dear
Hongera mike rafkiangu naikawe kheri💖
great 💪💪💪💪💪
Anaongea like jokate Mwegelo
Nilidhani mm tu nimeliona hilo
She looks like jokate even kuongea
Waooo nice
Nicee
Mungu awabariki sana katika ndoa yao...
87
Very creative
Ni nzur lkn mawazo yangu hii zawad ingetolewa na bwana kwenda kwabibi harus ingependeza zaid
Ni kweli ingenoga zaid angetoa mume na pia idea ni nzur zawadi cjazielewa
Send-off ni ya msichana, harusi ndio sherehe ya mwanaume
Saizi wanawake wanapenda kumtawala mwanaume ,ko hapo inaonekana mwamke ndio mpambanaji sio mwanaume mwanaume Hana kitu ni zilo wanawake wa kichaga wapambanaji wanateka waume zao hizo tabia mwiko
Ni kwel hiy challeng ilibid bi harusi apew na mumewe sio yeye kutoa kwasababu bwana ndie mtafutaj
Ni dalilj tosha kuwa mwanamke ndio kichwa,,,watu wanachekelea ukweli ni kwamba bi harusi kamzalilisha mumewe hapo ,,
Safi sana
Amen mubarikiwe
Fresh kabisa
Nice love
I wish you are the one ladies
Wow
Wow wow🤗🤗
Nimependa hiyo
The best wedding
Nimeioenda hiii bi harusii ❤🎉
Well and nice
Welldone
Naona kama dada Kafall sanaaaaa ,MUNGU AMSAIDIE ASIJE KATISHWA TAMAA NA MWENZIE ,
Nice
She is very intelligently
Jmn cjatoshe kipande cha insta nimezama You tube 😆😆😆😆👌
Mbwembwe tuu...
nakukubal sana mc mwita
Huyo bibi arusi au Mc
Bibi harusi Hongera nilifikiri jokate mnafanana sauti
Wow, this lady is so intelligent
Mwanamke anaongea sana baadala ya mme kuongea duuhhh !!! sisi tumezoea mwanamke ana aibu
Acha ushamba hii ni send-off
Hii ndoa ikifika mbali mje mnialike nitaqapa zawadi kubwa sana
Niceeee woow
Ila han heshima huy mdad
Jamaa atapigwa makofi na Hana pa kusemea aiseee
😂😂
Huyu dada ni ginias ukipata mwanamke km huyu hkk umetajirika
😁😄😂😃😀😅🤣😆 wanakuwaga wazuri nje
Akuna utajili kwenye maneno, utajili upo kwenye kufanya kazi na kuwa wabunifu na kusamini pesa iliyo ingia, sio hayo ya vingereza vingi na misali.
@@greynyoni7588 point
Anasound kama Jokate
Safi
Whaoooo
Mc gara nipitie pia nifike 100 subs
Every body say nice
Tunaomba namba gara b wengne hatutumii Ista
Bibi harusi mkavu huyu du
Very nice
Siku hizi maharusi wanaongea sana hakuna utii na kushuka kama zamani...
Ezikieri lewina
Hapa tumepigwa hahaha
Kwani mlisha ishi mkamaliza arusi
Uyu manz anajua
Hiyo empty ungeweka ngumi maana ngumi haikosi
Ameen
Amina sana mungu ataendelea kuwapingania ndoa safi sana
😂
Mbunifu kupitiliza
jaman bado kama huyu yupo kwel kwel kanogesha sio utan
Tupo, mwaka 17 kwny ndoa leo!
Voice like joket mwingero
Cjapenda hata
Ndoa yao inaonyesha mwanamke ndiye atakua kichwa mwanaume atakua mkia😂😂😭
Sure kabisa
@@sylviakisanga7507 umeona eeh
Hahahahaha
Kwani kuna ubaya gani? Acheni mfumo deme bhn hata mwanamke akiwa kichwa as long as hatendi dhambi kuna ubaya gani
@@nailengai7057 na wewe ni walewale tena
..
Mdada mwenyew anaongea sana hyo ndoa ataiweza kweli😂😂😂😂
😂😂😂😂
😃😃😃kwann jaman
Ameingia kwa bwebwe maisha hayataki hizo
@@kaguripenina63 ndo kaona aingie hivyo yeye,japo ayaingii hivi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waoooh ❤️
🥰🥰🥰🥰🥰
Ila dada anaongea huyu.. duuuu
Hivi huyu Kaka si ndo alimsifia Mama yake siku iyo 🤣🤣🤣 na watu wakamaind kumbe ni mchaga
Alimsifiaga wapi
Ereaaaaaaa
Huyu dada mmi simuwez anaongea sana sana
Sanaaa
Flola kihando
Jamn mbona sauti km Joketi
Sauti km ya joketi jmn
🙄