TUNDU LISSU AMWAGA MACHOZI WALICHO FANYIWA WAJUMBE WAKE, MNYIKA ASEMA "WAMEOMBA WENGI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 26

  • @MariamJeremia-u7e
    @MariamJeremia-u7e 11 วันที่ผ่านมา

    Usiogope kaka yetu mungu yuko na wewe,

  • @mohamedially5362
    @mohamedially5362 11 วันที่ผ่านมา

    Tundu lisu ❤❤❤❤❤

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 11 วันที่ผ่านมา

    Wanna mtuakipitishwa kwanjia yarushwa alizotoa juakabisa huyo nimwiz kamamwizi mwinginetu jambaz kama majambazi engine maanaatawatumikia watukwazurma

  • @HENRYNa-l5y
    @HENRYNa-l5y 11 วันที่ผ่านมา +2

    Yaan kamat ya uteuzi inataka kuteuwa watu mambumbumbu tuh kam wa CCM ili kila kitu wkiambiwa waseme ndio😢😢

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 11 วันที่ผ่านมา

    Huyotundu list anapiganiwanamungu nawatu wenyemioyosaf sasa wakitokea mashetanihumo wararushwa chadema baybay

  • @LawrenceAugustino-t4h
    @LawrenceAugustino-t4h 11 วันที่ผ่านมา

    Wanna mtuakipitishwa kwanjia yarushwa alizotoa juakabisa huyo nimwiz kamamwizi mwinginetu jambaz kama majambazi wengine maanaatawatumikia watukwazurma seraniireire huwezi zurum uchaguz ukutanenapesa ukaacha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 วันที่ผ่านมา

    Hana busara,siyo kiongozi😮

  • @sautikuu212
    @sautikuu212 11 วันที่ผ่านมา

    Lissu ameshashindwa hata kabla ya uchaguzi ndio maana kutwa kucha ni kulalamika tu.

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 11 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Tundu Antipas Mughwai Lissu Mungu atakusimamia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 วันที่ผ่านมา

    Lissu ni msaliti

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 11 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ungejifunza kwa mzalendo DR mipango

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 11 วันที่ผ่านมา

    Kwani kushinda ni dhambi?😂

  • @AminielMbise-cl3fq
    @AminielMbise-cl3fq 11 วันที่ผ่านมา

    Kelele siyo uogozi, Hasira siyo uongozi, Matusi siyo uongozi. Mbowe ni mjanja. Lissu ni msomi wa kimwili tu. Kiroho he is dead

  • @ObadiahMutambo
    @ObadiahMutambo 11 วันที่ผ่านมา +2

    Tutaandamana wote hatumtaki mbowe

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 11 วันที่ผ่านมา

    Kama mbowe akishinda chadema itakuwa ndoo mwisho maana itakuwa ni mchezo wa maigozo.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 11 วันที่ผ่านมา

    Wana ccm wanamtaka lisu eti jamani

  • @anordiobadia.nycsong8123
    @anordiobadia.nycsong8123 11 วันที่ผ่านมา

    Yani mbowe akirudi madarakani tena itabidi tuamini kuwa ccm inawajibu wa kuongoza nchi hii miaka buku

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 11 วันที่ผ่านมา

    Mbowe ni Mafia Sana alimuua Hayati Chacha Wangwe

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 11 วันที่ผ่านมา

    Hiki Chama Cha Chadema siyo Cha Mbowe,Mbowe ni Mafia yaani Muuaji Wachaga Wana uchu wa madaraka

  • @AminielMbise-cl3fq
    @AminielMbise-cl3fq 11 วันที่ผ่านมา

    MBONA NAWAAMBIAGA LISSU HAFAI HAMNUELEWI? MBOWE AWE MWENYEKITI KWA MIAKA MINGINE MICHACHE PHYSICALY AND SPIRITUALLY HE IS NOT FIT

  • @MorganLulandala
    @MorganLulandala 11 วันที่ผ่านมา

    Mbowe Damu ya Akina Rose Mayemba,Twaha Mwaipaya na Alphonce itakulilia

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 11 วันที่ผ่านมา

      Hujui lolote wewe

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya 11 วันที่ผ่านมา

    TUNDU LISSU a some halama za nyakati, LISSU anatamaa ya Madaraka, Lissu anabeza WENZAKE, Lissu ana Lugha chafu, according those bad character Anaelekea kushindwa vibaya sana,

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 11 วันที่ผ่านมา +1

      Orodhesha lugha zake chafu,kama wewe ni mwizi unataka akuite nani

    • @KopiscoIsaya
      @KopiscoIsaya 11 วันที่ผ่านมา

      @GambasonLuselegasi ushakua Addicted na LISSU so according to that reason,hata akifanya kosa huwezi kukubali kua ametenda kosa.kwahiyo wewe endelea tu kumuamini, otherwise Kaa ukijua kua LISSU ni msomi mzuri sana lakini hajaelimika hata kidogo, believe it or not.

    • @GambasonLuselegasi
      @GambasonLuselegasi 10 วันที่ผ่านมา

      @@KopiscoIsaya pole sana kwa nini Cmm wanamuogopa,niwe addicted yeye pombe,endeleeni kutoa rushwa