I just love the interview 😍pole sana kwa kuugua MUNGU ni mwema sana amekuinua na kukubariki na kukusahaulisha mapito magumu uliyopitia! Hata wanaougua sasahivi wapate tumaini ipo siku watanyanyuliwa kwa viwango vya juu sana
Nimependa na kufurahia interview hii kwa sababu natamani kufika mahali kupitia fani ya mc, kufanya makubwa na kutimiza ndoto zangu, Asante sana brother wangu Godfrey Rugarabamu.. mcsam_tz
Seminary+ualimu...lazima uwe na nidham🙌....hongera sana Mr.Michel....sikuwahi kujua kama ni Mc but nimeanza kukujua kama Mr.Michel...nakuelewa sanaaaa yan unafait mnooo kwa hiyo character🙌
Siku zote ujitahidi kujikabidhi mikononi Mwenyezi Mungu maana utawindwa saana na maadui wa mapambano yako. Lakini nina Imani mkeo na wapendwa wako wanakuombea hivyo
Gara b bila hata hajasema anamuonekano wa ki seminari sana ...dada zamaradi tunaomba intvw na fred vunjabei plz namuonaga nae yuko smart sana tunataka abcd za biashara
Mmmh wanaume wa mwanamke mmoja hayupo hapo anamfariji mkewe mtuu labda hajampata tuuu kula chips KIla cku haipo kuna tym ana miss ugali mlenga au ugali tembere🤭🤭😅
Yaan uyu kaka nampenda tu bure anamuonekano mzri mashaallah Allah akujaalie na Familia yako
Hongera sana Gar B interview ni nzuri sana, kumbe umesoma seminari ndio maana umetulia una adabu Mungu akubariki
I like the way gara b anavyoongea coz anaonyesha ni mtu wa hekima Sana, mungu aendelee kukusimamia ufike mbali zaidi 🙏🙏
Weeeeee shakila, kasema kaoaaa
@@olivemwamengonakilimombeya6951ww ndo umenichekesha sana😃😃😃😃 na sio Shakila!
I just love the interview 😍pole sana kwa kuugua MUNGU ni mwema sana amekuinua na kukubariki na kukusahaulisha mapito magumu uliyopitia! Hata wanaougua sasahivi wapate tumaini ipo siku watanyanyuliwa kwa viwango vya juu sana
Aminaa
Amina
MC GARA B ni mzuri napenda kazi zako, pole kwa changamoto ulizopitia
Nimependa na kufurahia interview hii kwa sababu natamani kufika mahali kupitia fani ya mc, kufanya makubwa na kutimiza ndoto zangu, Asante sana brother wangu Godfrey Rugarabamu.. mcsam_tz
Seminary+ualimu...lazima uwe na nidham🙌....hongera sana Mr.Michel....sikuwahi kujua kama ni Mc but nimeanza kukujua kama Mr.Michel...nakuelewa sanaaaa yan unafait mnooo kwa hiyo character🙌
My best MC of all the time,Interview ni hot 2Kill,Gara yuko vizuri kila Idara IQ kubwa sana.
Brother uko vzr Sana hongra kwa kipaji
Loved the interview.. Gara B You are awesome! Thank you again for playing a key role in the success of many celebrations.
Kasita My school /Regina Mundi umenikumbusha mbali sana ...Askofu Ndorobo our lovely director may God bless him
jamna regina Mundial umenikumbusha mbali sanaa
Interview Nzur sana.. hongera zama.. Hongera Garab
Pole Sana kaka yangu hakika mungu ni mwema tena anahuruma kwa waja wake wote
Hongera zamarad kwa kazi nzuri mpenzi mungu azidi kukuongoza.
Kaka mpiganaji
Wow wow mc Wa Dunia
A very cool and collected interview
Namupenda uyo Kaka anaoneka ni mupole sana bongo movi
You did well on your character as Michael, Inatufundisha sana
Nimeipenda hii interview. Zama unakonga nyoyo zetu hasa.
The interview was good and i love u both. Gara B ur the best
So nice nime enjoy kusikiliza gara b
Kiukweli.gara b sikua namjua...siku moja nMuona insta..nikasema uwiii mbona mkak mtamu hv jaman? Uwiiiii....huyu kaka ni 👌..sauti sasa😋,color uwiiii😍
Kweli,so handsome
Ohoooo 🤣🤣🤣
😁😁😁😁😁😁ww saut tuu upo hoi
🤣🤣jaman kina baba mijengo wenu wakipita humu watawauwa🤣
Kaoa huyu jamen
Hongera zake aisee I like the way anafanya kazi zake
Wow,,,,Mahenge ni kijijini kwetu pia,,,,,Kasita napafahamu sana sana,,,,nimezidisha kukupenda best
I love this papa hasa akiimba nakuja ya marioo..I like the way he sing😘😘😘😍
I love this guy for real he is so amazing 🇰🇪
Mariam ameoa huyuui jamen
@@olivemwamengonakilimombeya6951jamani simpendi kimapenzi na penda kazi yk na anayo kuwa mbele za watu....
Interview nzuri sana. 😘👏
I agree nora is very beautiful and emotional too, big up sana schoolmate
Duh mungu akujaalie kheri na pole changamoto zile zilizokupata
UKIJIAMINISHA UNAAMINIWA❤
So handsome. Anaigiza poa Ila mke anayeigiza naye ni pasua kichwa
😊😊😊daaah kumbe mc garab ni x seminarian
Hongera xana interview
Napenda san kazi zako Gar B,
Siku zote ujitahidi kujikabidhi mikononi Mwenyezi Mungu maana utawindwa saana na maadui wa mapambano yako. Lakini nina Imani mkeo na wapendwa wako wanakuombea hivyo
Waoooh Yaaani sitamani iishe👌 Gara b en Zamaradi💕
Leo sound,volume na mike zama' iko sawa,Kaka mzuri sana endelea vivyo hivyo na jobs zako na Mungu akujaalie pamoja na familia yako💪🌞🙏🇰🇪@Kenya.
You said you wife ia very very beautiful 😍 you're very very handsome too. Mmefanana. Mungu azidi kuwapatia furaha na amani katika ndoa yenu
Namkubali sana kwenye juakali
Mtu handsome, msafi saana
We tulia, kaoa huyu
@@olivemwamengonakilimombeya6951, kizuri kisemwe, najua ameoa
I love the interview 🥰🥰
Nakupenda Sana uyu kaka❤️❤️❤️❤️
Gara b una sauti nzuri jamni
Your the champion in this career mc Garab
Gara b bila hata hajasema anamuonekano wa ki seminari sana ...dada zamaradi tunaomba intvw na fred vunjabei plz namuonaga nae yuko smart sana tunataka abcd za biashara
yaaani naisubir haswaa
Nice interview
Nimeona tumbo da Zama..Hongera
Umeliona na weyee jmn mashaallah Alhamdulillah
Mungu amvushe salama natamani mtoto wangu mwenyewe siku moja
Gara Kama Gara B kubwa💯💯
Yuko vzr
Biger up
Barikiwa kaka
Mc garab ur the best
Umetisha sana Gara B
Good interview
Mpo vizuri sana
Kaka Michael,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💕
Ur talented gara B
GaraB una Seminary's look sana
Kabisa hata alivyonyoa
Huyu kaka pia ni comedian
Hiyo story yako, inaweza ikawa movie.
Dahh sir Gar B mwalimu wang wa History form two
Gara B 🔥🔥❤
Schoomate #DarSec ...Allah is always great
Usiseme wanaume wote hawajatulia wapo kama hawa kina gara b
Duuu acha we asije kukatazwa kulala usiku sunajua kama ndo mateso yake yanyumbani🤣🤣🤣🤣🤣
@@danismart8778 kwani na mc gara b anachepuka nje ya ndoa? Haha mbona unasema hivyo wacha wee
Hahahahaha, bado hajazaliwaa huyo ambaye aliyetuliaa.. sema tu ni kuwa anajua majukumu yake, hayo mengineyo, ni siri za kambi.. hahahahaa
Niliona story yake ya kuchepuka pale original East
@@nahyialetomia9284 nambie ilkuwaje?🤗
Nmependai interview
Nimependa Sana hii interview na pia huwa nakufatilia Sana gara B napenda Sana kuwa mc na nilikuwa nafanya kipind nipo shule ila sema bac tu
Na mpenda mc gara B jaman mkaka mzuri uyu
I have a passion on Mceeing and from your interview I heard you saying u train people....how can I join the classes
Sound engineer wenu a double cross kuna kitu hakipo sawaa
God is good
Sichoki kuitazama hii interview
Naungekua padre aisee ungechumisha watu Zambi maana ni hb
sauti yko tu gara
Best mc forever
🔥🔥🔥
Ananifurahisha na mke wake jamn
Nimekuelewa sana hapo kwenye nasaha
nkubali san gara B kubwa
👍👍👍👍🙏
Interview za kibongo watu hawasemi wamezaliwa lini!
Uko vizur saan gara b na pole san kwa kupitia matatizo hayo
Interview nzuri Garabati 😊
😂😂😂 Gara whaat,,Garabati
Yan unasema tutaenda kujua n kazi gan na ni nani wakati kabla ya kufungua video cover inaonyesha kila kitu
💥👍
[mwalim wangu
ZAMA Sauti yako inasikika kwa tabu sana
Kumbe muhaya dada ako mim
kumbe homeboy
inamaana ameacha ualimu
Dada zama camera yako haipo clear
Namkubali xana uyu mcgarb
Jamaniiii mkaka mzury uyuuu😭😭😭😭🤲mekupenda bureeee unavyoongea tuuu🤗🤗🤗
Mume wa Mtu
Kafanyaje?????
Da zama mbona dada wa kazi hautuekei
Eti garaBABA😂😂😂😂
Ulisema hutaji Vodacom jaman hongera Gara b Niko pamoja nawe
Gara alitakiwa aendelee na seminary bn coz naona kama ana element za upadri
Sasa nikitaka kujiunga na mkopo uwo nafanyaje jamani
Kwani we unaitwa nani rafki yangu.......Garabati 😃
Naitwa gara b nani gara b garabati 🤣🤣🤣🤣gara what?
@@ruqayaruqaya4283 garabat
Sauti ndogo
Mmmh wanaume wa mwanamke mmoja hayupo hapo anamfariji mkewe mtuu labda hajampata tuuu kula chips KIla cku haipo kuna tym ana miss ugali mlenga au ugali tembere🤭🤭😅
Utakuwa umetendwa sana jamani, wapo tu dear. Pole...its shall be well.
Saa itakuwaje