BREAKING: HUKUMU YA WALIOTUMWA NA AFANDE LEO, SHUHUDIA WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI, ULINZI MKALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @Account-n3x
    @Account-n3x หลายเดือนก่อน

    Safi sana na uyo mbwa koko uyo angekamatwa awekwe ndani

  • @mamkunyapraa3491
    @mamkunyapraa3491 หลายเดือนก่อน

    Yani ingekua wamemfanyia mdogo wangu mm ningetuma jini mtaroho hiliniji nilonalo wangejuta

  • @MonicaKaskaz
    @MonicaKaskaz หลายเดือนก่อน

    Walijiamini sana hongera serikali ya Tanzania

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 หลายเดือนก่อน

    Tusumbili mahakimu maana sheria vipengele vyake mhh.mpaka ushahidi hii mitandao nayo inamengi

  • @SarapiaMfoi-o2x
    @SarapiaMfoi-o2x หลายเดือนก่อน

    Mungu simama nasi

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l หลายเดือนก่อน

    Waaoo Wawa aachie tu wawape wapinzani mwanya na wao wakajaribu kuikalia serikali Jamhuli huenda tukapata unafuuu ,mtu anakamatwa na vithibitisho bado uchunguzi ,hivi angekuwa ni binti mheshimiwa vipi ?

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe หลายเดือนก่อน

    Hao nyau wanaweza wasifungwe walah rushwa itatawala

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 หลายเดือนก่อน

    Aliyewatuma mbona hatumwoni

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we หลายเดือนก่อน

    Sasa hayo ndio malipo yenu kwa tamaa zenu

  • @HisaniKasim
    @HisaniKasim หลายเดือนก่อน

    Funga miaka.100 awo mbwa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf หลายเดือนก่อน

    Shida hii nchi wasio na akili ndio wanapata ajira kwenye majeshi yetu ndio utasikia vituko vya kila rangi .😅😅😅

  • @PhilipoMwasha
    @PhilipoMwasha หลายเดือนก่อน +3

    Hawawezi kufungwa kwa sbbu vyombo vyetu vya kutoka haki ni dhaifu sana vimejaa rushwa

    • @zully756
      @zully756 หลายเดือนก่อน

      Kifungo cha maisha

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha หลายเดือนก่อน

      VITU vingine kujitakia tuu kujivua utu na kuumiza wazazi

  • @NasibuMusa-v9j
    @NasibuMusa-v9j หลายเดือนก่อน

    Hao wote walioshuka kweny gari la magereza ni watuhumiwa au vp

  • @AbrahamSamwel-i2r
    @AbrahamSamwel-i2r หลายเดือนก่อน

    Wanataka ushahidi😂😂😂😂😂 loooh!! Hii nchii bhna videos zinaonyesha sura na ubakaji unavoendlea but janja janja nyingiiii