MWANZO MWISHO, WALIOTUMWA NA 'AFANDE' WALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI, WAPANDISHWA KWENYE NDINGA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
    Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
    Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

ความคิดเห็น • 25

  • @jaylyzergang944
    @jaylyzergang944 21 วันที่ผ่านมา +1

    Hao hawastahili kufungwa Waleten mtaani mtukabidhi sisi wananchi Adhabu Yao tunayo sisi OMBI KWA SERIKALI🙏🙏

  • @ZaharaAdamu-r5o
    @ZaharaAdamu-r5o 16 วันที่ผ่านมา +1

    Sitaman kabisa kuona hii taarifa maana nakosa nguvu

  • @elizabethsangure4677
    @elizabethsangure4677 19 วันที่ผ่านมา

    Duh poleni

  • @SamweliMabera
    @SamweliMabera 21 วันที่ผ่านมา

    Jamani video ipo inaonekana ushahidi tosha mbona mnawachelewesha hao maboya

  • @GunguKikungu
    @GunguKikungu 14 วันที่ผ่านมา

    Jamani ushaidi upo haki ipo wapi

  • @DativaLeopord
    @DativaLeopord 22 วันที่ผ่านมา

    Vijana jamani ,ni nguvu kazi ya taifa hebu acheni madawa ya kulevya ,Nahisi hii mikaka haikutumia akili zake ni upumbavu na utaira unaotokana na dawa za kulevya tu

  • @stellanyamuhogota1832
    @stellanyamuhogota1832 23 วันที่ผ่านมา +1

    Aliewatuna yuko wapi😢

  • @madelinazawadi120
    @madelinazawadi120 23 วันที่ผ่านมา +1

    RPC mchaga,wabakaji wachaga😢😢

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 23 วันที่ผ่านมา

      Nahisi hata Fatu ni mchaga🙄

  • @AbuuKuziga
    @AbuuKuziga 23 วันที่ผ่านมา

    Tia ndan ao mafala ✊️✊️✊️

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 23 วันที่ผ่านมา +1

    Wanahaki gani hao washenzi

  • @jacksonmboya5320
    @jacksonmboya5320 21 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa mtetezi kwenye Hilo Jambo hata mtoto wako n lazima aje bakwa tuuu tena na idadi mara 2 ya wale

  • @ainessmbise1009
    @ainessmbise1009 23 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ata wageni waiogopa,eti wanajeshi wametumwa na afande tena mwanamke iyo ni laana kwenye familia ya afande na wanajeshi na wanataka kumficha uyo afande mama,

  • @YohanaMichael-sw8vj
    @YohanaMichael-sw8vj 22 วันที่ผ่านมา

    Na Alie watuma nae Atiwe ndani

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 23 วันที่ผ่านมา

    Je nayule boss wao nayeye kakamatwa au yupo kazini,maana tulisikia ni Police mwenye cheo. Nahao vijana tulisikia ni Police. Kama nikweli basi neheri tuseme Police wa 4 police.

  • @tanzaniawomenyouthempowerm267
    @tanzaniawomenyouthempowerm267 23 วันที่ผ่านมา +1

    Wachaga mnafeli wapi?

  • @JohnMdee-pm1qh
    @JohnMdee-pm1qh 22 วันที่ผ่านมา

    Wapigwe viboko 40 kuingia jela miaka 30 viboko40 kutoka iwe fuzo Kwa wabakaji wotee

  • @mapundawilliam370
    @mapundawilliam370 23 วันที่ผ่านมา

    Baadae taarifa ikabadirika eti wanajeshi, Police kuamuru wanajeshi mmmmmmh. Nnawaeiwasi

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 22 วันที่ผ่านมา

    hao askari gani mbona wa miili hivo si hatari hii

  • @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq
    @LusekeloMwakyalabwe-ux9xq 23 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwenye jezi si ndo alie kua anavuta bangi

  • @AminaJumaa-d4q
    @AminaJumaa-d4q 23 วันที่ผ่านมา

    Alietoa ajira mbona aonekani

  • @DonaldkilianiMmbaga
    @DonaldkilianiMmbaga 23 วันที่ผ่านมา

    Wachukuliwe atua za kinizamu

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 23 วันที่ผ่านมา

    Wabakaji m naona ni dili msafara kabisa.. Wajinga hao kweli mnapoteza gharama hivyo

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 23 วันที่ผ่านมา

    Wanahaki gani hao wajinga walijirekodi kabisa