BARNABA & DIAMOND WAKISHOOT 'HADITHI' | "PLATNUMZ ANAJIKOKI, MABEGI 200" - BANDA LA VIDEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 111

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +9

    Diamond hajawah fanya kibovu.. Mungu amuweke sana Big Platnumz

  • @alexandersangi1724
    @alexandersangi1724 2 ปีที่แล้ว +18

    Ichi kipindi kitakuja kufanya makubwa Sanaa kwa positive way.nazani wasaniii watajifunza Sanaa na Wenda watakuja kukataa mwamba asiingie location make wanaogopa kukosolewa

  • @adamsiwakwi8691
    @adamsiwakwi8691 2 ปีที่แล้ว +18

    Diamond platnumz anawang'arisha watu jamani MWAMBA KACHIL anakua mweupe saizi

  • @jackbk392
    @jackbk392 2 ปีที่แล้ว +2

    Oya mwamba naitwa Jack from Australia, ebu mujikosowe kwenye neno la kusema Africa is watching kwenda world is watching Asante!!!

    • @jackbk392
      @jackbk392 2 ปีที่แล้ว

      🇦🇺

  • @rajimadope6465
    @rajimadope6465 2 ปีที่แล้ว +7

    Diamond anaakili ya kibiashara kwenye hiyo glas nyekundu anabrand EP yake ya #FOA it's not fair aise

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 2 ปีที่แล้ว +1

      Mtu amegharamia kila kitu kujibrand kidogo tu mnaona ajabu

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +1

      Watoto wa masikini hajawah kuishiwa lawama

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว +4

    Sema Mama wa wigi anaupiga mwingi sana💯

  • @sanchostylist...9719
    @sanchostylist...9719 2 ปีที่แล้ว +4

    Wabongo Kw Kujudge...Anyways respect from Kenya...🙏😂😂😂

  • @stevenkahasha6777
    @stevenkahasha6777 ปีที่แล้ว

    Hii vidéo nili ipenda sana ! Nyimbo ina kaa pow sana ! Barnaba wewe moto

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +2

    DIAMOND NI BRAND
    MUDA WOTE YEYE NI MTU
    WAKUJITANGAZA NA NDIYO
    MAANA AMETOKEA NA KOPO
    LA -FOA sawa dada
    #AVATASTAR255 🎶🎶👈

  • @mbarakakondo4740
    @mbarakakondo4740 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejifunza ki2 kupitia hiki kipindi: usimzalau m2 kwa Kuwa unachokifanya yeye hawezi.
    kwa kumsikiliza! neno lake linaweza likakusogeza japo yeye hawezi kufanya.
    "Watu wanashauri vitu vizuri japo wao hawawezi kufanya mziki"

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 2 ปีที่แล้ว +6

    🔥❤🔥

  • @charlesbabag1424
    @charlesbabag1424 2 ปีที่แล้ว

    Dada wa nguo nyekundu yuko smart sana kauliza swali zuri hapo tulipigwa

  • @shamakisimba7991
    @shamakisimba7991 2 ปีที่แล้ว +7

    Simbaaaaa 🇨🇩🙋

  • @idenimasoudy8074
    @idenimasoudy8074 2 ปีที่แล้ว +11

    👏👏👏👏👏👏👏🔥

  • @clintonkiprotich6833
    @clintonkiprotich6833 2 ปีที่แล้ว +3

    Imara location you were not present..hiii episode iko chini

  • @mr.africanatural-super_sta1130
    @mr.africanatural-super_sta1130 ปีที่แล้ว +1

    Mbona jina la director hanscana halidisplay kwenye video?Na wakati wote wameshiriki?

  • @bidiiraidersband2622
    @bidiiraidersband2622 2 ปีที่แล้ว +4

    I love the song

  • @abdulndash9214
    @abdulndash9214 2 ปีที่แล้ว +4

    I like it

  • @muwongejohn2372
    @muwongejohn2372 2 ปีที่แล้ว +3

    Tume pigwa, alafu video inapo Anza tunaona jastin compos hatumuoni hascana vip naomba mnijibu

  • @leyaleya581
    @leyaleya581 2 ปีที่แล้ว +8

    It’s that lady make up for me 😂😂

    • @jenahando2747
      @jenahando2747 2 ปีที่แล้ว +2

      Hahaha I tell you!

    • @leyaleya581
      @leyaleya581 2 ปีที่แล้ว

      @@jenahando2747 She looks like Australia 🇦🇺 zombie ## horror movie

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @antoine5651
    @antoine5651 ปีที่แล้ว

    Cool

  • @ministersamurio
    @ministersamurio 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtu imara uko nondo mpk bas man🔥🔥🔥🔥

  • @sharpaliofficial7455
    @sharpaliofficial7455 2 ปีที่แล้ว +2

    Hapo kwa barnaba hamjapigwa hiyo location ni ya njee so egelikuwa ndani hapo tugesema tumepigwa but njee haina tatizo ni uhalisiya flani

  • @salawakishishi7435
    @salawakishishi7435 2 ปีที่แล้ว +1

    wanazingua mavidio queen 👑

  • @augustinomashine362
    @augustinomashine362 2 ปีที่แล้ว +2

    Video iko poa sana

  • @josephmollel4526
    @josephmollel4526 2 ปีที่แล้ว +2

    Nani amemwona boss kimaro kwa hili banda la video

  • @teacherstano
    @teacherstano 2 ปีที่แล้ว +2

    Waaa! 🇰🇪

  • @chaibomomadesaidechaibomom7244
    @chaibomomadesaidechaibomom7244 2 ปีที่แล้ว

    Tambuwa mwamba iyo video ya african byut diamond aliluwa ajava meno ya zahabu iyo ya adissi ameva meno ya zahabu ata nyinyi banda amuwoni 🔥🔥🔥

  • @stone7753
    @stone7753 2 ปีที่แล้ว +1

    Wow 😮

  • @pendotesha3914
    @pendotesha3914 ปีที่แล้ว

    Simba noma kwenye hii video

  • @gerry_macopper3808
    @gerry_macopper3808 2 ปีที่แล้ว

    Dada mwenye gauni jekundu we Mzur mwayaaaa

  • @slavemaster0867
    @slavemaster0867 2 ปีที่แล้ว +1

    Unyama ni mwingi gg ya leo

  • @gammavirotz9
    @gammavirotz9 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli hapo kwenye hizo pete na vidole ziko sawa

  • @nazitojoaorafael
    @nazitojoaorafael ปีที่แล้ว

    Nyinyi Noma

  • @jukwaalatech
    @jukwaalatech ปีที่แล้ว +1

    Sema maneno meng kuzid kipindi

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyo dada alosanuka kuhus FOA katisha

  • @fatimammowa8312
    @fatimammowa8312 2 ปีที่แล้ว

    Mhh huyu shoga alovaa Nguo nyeusi huo wanja wa nyusi 😂😂😂🇬🇧

  • @goldenvibeztz8579
    @goldenvibeztz8579 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwenye kikombe kwel tumepigwa @Mtu Imara

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 2 ปีที่แล้ว +1

    👌✌️hiii

  • @Saaa235
    @Saaa235 2 ปีที่แล้ว +2

    Kupitia video ya hadithi pia diamond anatangaza ep yake ya #FOA kwaiyo sioni kama kuna kipigo apo

  • @exclusive4528
    @exclusive4528 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyo mwenye kope kubwa ka mdoli wa kichina😆

  • @boutapacabou9180
    @boutapacabou9180 2 ปีที่แล้ว +2

    📸📸📸📸

  • @jacksonkalulu7328
    @jacksonkalulu7328 2 ปีที่แล้ว

    Tumepigwa

  • @ayoubkasililwakasililwa9453
    @ayoubkasililwakasililwa9453 2 ปีที่แล้ว

    What's up

  • @fabiodeteresawambily731
    @fabiodeteresawambily731 2 ปีที่แล้ว

    Bom trabalho

  • @paulonjozi1638
    @paulonjozi1638 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba ludi nazile 5 zabandan itakua imala sana💣

  • @anjerokimata6777
    @anjerokimata6777 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba mbn b mkubwa haonekan kwann???

  • @maishailiyasi2935
    @maishailiyasi2935 2 ปีที่แล้ว

    iyo ya maua maua najua ni ameshut hanscana maana anapenda shuti za maua uyooo

  • @officialclinraykenya9295
    @officialclinraykenya9295 2 ปีที่แล้ว +1

    Kichupa kizuri

  • @theramaweb7287
    @theramaweb7287 2 ปีที่แล้ว

    Kubwa la wachawiiiiiiiiii freemanson mdidimizaji wa wasanii
    Umemdidimiza hamonize mpaka leo hasikiki analima korosho kwao
    Umemdidimiza rayvany kwa mikataba ya kinyonyaji mpaka leo yupo muhimbili kalazwa hawezi kufanya tena mziki
    Unamroga rich mavoko akishika maiki tu mistari inapotea hawezi tena kuimba

  • @iddibin3979
    @iddibin3979 2 ปีที่แล้ว

    Simba namkubalii

  • @bandanahmiqassa
    @bandanahmiqassa 2 ปีที่แล้ว +1

    Eyebrows moja nono kama surrender bridge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nathankiwango2974
    @nathankiwango2974 2 ปีที่แล้ว +3

    Walete Tena m2 imara

  • @yasintadavid1296
    @yasintadavid1296 2 ปีที่แล้ว +2

    Simba ni mmoja2

  • @vinnymo8854
    @vinnymo8854 2 ปีที่แล้ว +1

    Tumepgwa

  • @swaibahhassan5056
    @swaibahhassan5056 2 ปีที่แล้ว +2

    Kuna wanja hapo 😂😂😂 Ni htr

  • @alialbertomokoshop6566
    @alialbertomokoshop6566 2 ปีที่แล้ว +1

    Ilo glasi kumepiguha

  • @dolphmusungu872
    @dolphmusungu872 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatujapigwa kwasababu diamond kubeba ile cup pengne ni kwa ajili ya biashara...lazma kulikuwa na maongezi ya kibiashara

  • @abdulkhalimjuma6925
    @abdulkhalimjuma6925 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwamba wee ni mwamba kwl kwel dah

  • @nayuyuboy6089
    @nayuyuboy6089 2 ปีที่แล้ว

    Siyo poa

  • @fatumasalumu2869
    @fatumasalumu2869 2 ปีที่แล้ว +1

    Mama wabanda lavedeo jmn🤣🤣🤣

  • @aserpmedia3439
    @aserpmedia3439 ปีที่แล้ว

    Unyama ni mwingi

  • @ramadeeboban7066
    @ramadeeboban7066 2 ปีที่แล้ว +1

    African beauty vidole vyote alikua amevaa pete hii Hadith ajavaa Pete vidole vyote

  • @hamywaya3732
    @hamywaya3732 2 ปีที่แล้ว +1

    Simbaa 😁😁

  • @afterfull-time1348
    @afterfull-time1348 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye glass hakuna cha kupigwa maana Brand ya Diamond n kubwa mara dufu na kuonekana kwa hiyo hashtag n kitu kikubwa san

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 ปีที่แล้ว

    ogg

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 ปีที่แล้ว +3

    Kumamake huyo demu kaeka kope kama mabati

  • @sharpaliofficial7455
    @sharpaliofficial7455 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona directer jina ni moja tu?

  • @RayoTz
    @RayoTz 2 ปีที่แล้ว

    Wametupiga kweny grass ya #FOA# apo

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว +1

    Diamond n mfanya biashara so anatembea na fursa

  • @queboss
    @queboss 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣wacha uongo kipusa. Huyo vixen muoga

  • @teknopoti8971
    @teknopoti8971 2 ปีที่แล้ว

    #Foa

  • @gammavirotz9
    @gammavirotz9 2 ปีที่แล้ว +1

    Hatujapigwa

  • @jumachikeni3153
    @jumachikeni3153 2 ปีที่แล้ว

    Aja pewa lakusa na basata uyo dem si mtanzania ange kuwa wambele adi titi zinge gusishwa

  • @muuevara8069
    @muuevara8069 2 ปีที่แล้ว +1

    SIKILIZA WIMBO WA MANDONGA ALIO MCHANA MWAKINYO BAADA YA KUPIGWA 👇
    th-cam.com/video/f4_I1TtBfyc/w-d-xo.html

  • @yonahtengia2797
    @yonahtengia2797 2 ปีที่แล้ว +1

    Sema na ww mtuimara punguza izo
    Changa wapi geng, kila masaa sijui nini nini geng. Inaboa

    • @amour0072
      @amour0072 2 ปีที่แล้ว

      Katombwe

  • @dunialoguelwangila5953
    @dunialoguelwangila5953 2 ปีที่แล้ว +1

    Banda lenu nilawasani tu wa WCB 😆😆😆🇨🇩

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 2 ปีที่แล้ว +1

    Owongo huwoo😂😂

  • @CHOMBOFCM24
    @CHOMBOFCM24 ปีที่แล้ว

    NMepigua

  • @youngkidy213
    @youngkidy213 2 ปีที่แล้ว

    Iyo grass ya foa tumepigwa

  • @zehe449
    @zehe449 2 ปีที่แล้ว

    Erty

  • @manenodamiano2334
    @manenodamiano2334 ปีที่แล้ว

    Tumepigwa apokwene girasi

  • @sadiabdallah2577
    @sadiabdallah2577 2 ปีที่แล้ว +2

    Tume pigwa 😂😂😂

  • @nasibsam3424
    @nasibsam3424 2 ปีที่แล้ว

    Hio ni uongo bwana

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 ปีที่แล้ว +1

    Mopao

  • @bennisanga3043
    @bennisanga3043 2 ปีที่แล้ว

    Tumepingwa🤣🤣🤣🤣

  • @Chady_Kizzo_Boy
    @Chady_Kizzo_Boy 2 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂

  • @BLINDREPORT2023
    @BLINDREPORT2023 2 ปีที่แล้ว +1

    GUSA HAPA th-cam.com/video/TNPxt7ltHSo/w-d-xo.html

  • @muuevara8069
    @muuevara8069 2 ปีที่แล้ว

    MWIJAKU KAYAKANYAGA UKO KWA MWAKINYO 👇
    th-cam.com/video/f4_I1TtBfyc/w-d-xo.html

  • @ramseydasilva
    @ramseydasilva 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂

  • @barakapalla8799
    @barakapalla8799 2 ปีที่แล้ว +2

    Hizo kope sasa 🤣🤣🤣

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣yaani kama mchawi kapotea chaka

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 2 ปีที่แล้ว

    ⏩🥰HI FRIENDS ❤️ LEO NAMTAMBULISHA MPENZI WANGU 🤣🤣🤣 SHEMEJI YENU NAOMBA USHAURI WENU HUYU APA👇
    th-cam.com/video/Pla6c5WGotA/w-d-xo.html
    th-cam.com/video/EDlvq5luglo/w-d-xo.html

  • @voicebrothers4325
    @voicebrothers4325 2 ปีที่แล้ว +1

    th-cam.com/video/1k7DzYYBYqQ/w-d-xo.html. Simba Ni mmoja tu mjini wengine wako porini

  • @jofreymilanz452
    @jofreymilanz452 2 ปีที่แล้ว

    Tumepigwa

  • @RayoTz
    @RayoTz 2 ปีที่แล้ว

    Wametupiga kweny grass ya #FOA# apo

  • @BLINDREPORT2023
    @BLINDREPORT2023 2 ปีที่แล้ว

    GUSA HAPA th-cam.com/video/TNPxt7ltHSo/w-d-xo.html

  • @tonymaster3619
    @tonymaster3619 2 ปีที่แล้ว

    ⏩🥰HI FRIENDS ❤️ LEO NAMTAMBULISHA MPENZI WANGU 🤣🤣🤣 SHEMEJI YENU NAOMBA USHAURI WENU HUYU APA👇
    th-cam.com/video/Pla6c5WGotA/w-d-xo.html
    th-cam.com/video/EDlvq5luglo/w-d-xo.html