Dah we jamaa unajua sana aise, nakushauri bro sasa ni muda wa kutengeneza filamu na kuipeleka Azam media naona itakufikisha mbali coz una talent kubwa sana plus creativity 100% safi sana bro
Natumaini uko salama. Kwa kweli tunajivunia mafanikio na mwendelezo wa tamthilia hii ya "Big Boss". Napenda kukupongeza kwa jitihada za "TEAM" nzima kwa kujenga maudhui ambayo yanavutia watu na yasio machafu kwa jamii. Ni muhimu kuendelea kuzingatia kanuni hizo za maadili katika kazi yako. Ninakutia moyo kuendelea kusimama imara na kutofautisha tamthilia yako kwa kuwa na maudhui yenye thamani na burudani ya kipekee. Kujenga mazingira yenye thamani na yanayokubalika na jamii ni muhimu sana. Endelea kusimamia viwango vyako vya ubora na kuweka maadili katika kazi yako. Ni vyema pia kuwa makini na mabadiliko yanayotokea katika tasnia ya burudani na mapendekezo ya watazamaji. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia thamani na maadili ya kitamaduni na jamii yetu. Hakikisha kuwa haupotoshi maadili ya asili na kuwakimbiza watazamaji wako walio wengi. Na endelea kushikamana na maadili haya kutahakikisha kwamba unaendelea kuvutia watazamaji wako na kupata umaarufu mkubwa. Ninakutakia mafanikio makubwa katika safari yako ya ubunifu na hasa tamthilia yako ya "Big Boss". Endelea kuwa mwangalifu na kuweka kazi yako kuwa na lengo chanya na yenye mvuto. Tunatarajia kuona mafanikio zaidi kutoka kwako na kazi zako zijazo. Naamini sio kila msanii avae nguo tofauti kufanikiwa. Kila la kheri!
Nikwer kabisaaa akiwa anachelewa na ananifanya Mimi kurudia kuingalia hii video kila baada ya siku mbil naitizama Tena Yan hainichoxhii Hana baya mwamba clam
Clam upewe maua yako,Nakumbuka enzi za miaja ya nyuma ulivyoanzaga kuigiza nilianzaga kukufuatilia maigizo yako Nikawa na imani tu utafika mbali na kipaji kipo ndani yako,..endelea kukimbiza baba na Mungu akuongoze❤❤
I swear kwa kaz kama hizi bas soko la comedy and short clip nilako #ClamVevo hapa ni mevua mpaka ndara natembea peku i do appreciate you good work iko fullcontent 🙏🙏🙏🙏
Wa Kwanza KUTOKA Kenya 🇰🇪 si mnipee likes kama mnapenda kipaji cha CLAM
Saw
Swa
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Creativity hii kubwa sana .. tunasubiri sehemu ya 5 .. clame wamoto sana mdgoangu ❤️🔥❤️🔥
🎉🎉 , nimeangalia kwa umakin hii movie , unahitaji tuzo ya uigizaj Bora wa mwezi , pambana broh ufik mbali Zaid ya hap 🎉🎉
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Dah we jamaa unajua sana aise, nakushauri bro sasa ni muda wa kutengeneza filamu na kuipeleka Azam media naona itakufikisha mbali coz una talent kubwa sana plus creativity 100% safi sana bro
Nampenda vevo natamani niolewe nae kutoka 🇹🇿❤❤❤😘😘😘😘😘
Natumia namba ya baba yangu msishangae
Wakwanza jaman kutoka Kenya msininyime likes
Asenteni kwa waliotangulia kunipa likes techezeni kama Sisi kwa kusapoti clam
Zaaa asubuhi
…
Wakenya wana upwiru sana….ahahahah
th-cam.com/video/7HnCxlBAqMk/w-d-xo.html
𝙥𝙖𝙢𝙤𝙟𝙖 𝙠𝙖𝙠𝙖 𝙠𝙩𝙤𝙠𝙖 𝙠𝙚𝙣𝙮𝙖 𝙥𝙞𝙖🎉
Jamaa, Anza kutengeneza full movie sasa ,Nina uhakika zitauzika Kila platform 👊
Nimekubali mzee
Yaaaani hii episod nimeisubiri kwa sanaaa
Oya clam uwe unajitaidi kuleta epsod haraka
Kutoa movie mpaka mtu akubali siyo mchezo
Clam you're super talented bro much love for you from D.R.CONGO. Keep up the good work 💪❤✋✋
Much love from uganda 🇺🇬 ❤
Hizi dakika ni kidogo bwana clam ongeza atleat 15min kisha una kawia episode ifuatayo
www.youtube.com/@Adolphe20
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Mmoja Kutoka Congo 🇨🇩 Kama Una Mpenda Clam Nipee Like Na Subscription 🙏🙏☺️
Jamani tukupe ww kwani ndo clam 😂😂😂😂😂
Mini wa kwanza apa Congo Kinshasa mimi apa Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩nipeni like zangu
Clam and your team kudos guys, following from Kenya
Tatizo clam unachelewa kutoa muendelezo sana kwann kaz kali sana tunakuli sana akili nyingi sana
Clam Kwa kwel sikuhiz upo🔥🔥 movie nzur sana nikiwa Kenya naomben like zenu wapendwa
Kaka wewe unajua tu hamna utata🫶❤🇹🇿…likes for love to our CLAM⚡️🙏
Claaam,,,tunataka unyayo alafu unaamua kutoka kweny gari bila ata kiuno 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🏼,,,nakupenda buree my favourite actor in East Africa 🥰🥰🥰❤️💯💯
gonga like Kam unamkubali clam vevo naunataka EP 5
Kwakwel nimzuli ila mnachelewexha Tu kululet muendelezo
Clamu chukuwa iyo❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️❤️❤️
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Natumaini uko salama. Kwa kweli tunajivunia mafanikio na mwendelezo wa tamthilia hii ya "Big Boss". Napenda kukupongeza kwa jitihada za "TEAM" nzima kwa kujenga maudhui ambayo yanavutia watu na yasio machafu kwa jamii. Ni muhimu kuendelea kuzingatia kanuni hizo za maadili katika kazi yako.
Ninakutia moyo kuendelea kusimama imara na kutofautisha tamthilia yako kwa kuwa na maudhui yenye thamani na burudani ya kipekee. Kujenga mazingira yenye thamani na yanayokubalika na jamii ni muhimu sana. Endelea kusimamia viwango vyako vya ubora na kuweka maadili katika kazi yako.
Ni vyema pia kuwa makini na mabadiliko yanayotokea katika tasnia ya burudani na mapendekezo ya watazamaji. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia thamani na maadili ya kitamaduni na jamii yetu. Hakikisha kuwa haupotoshi maadili ya asili na kuwakimbiza watazamaji wako walio wengi. Na endelea kushikamana na maadili haya kutahakikisha kwamba unaendelea kuvutia watazamaji wako na kupata umaarufu mkubwa.
Ninakutakia mafanikio makubwa katika safari yako ya ubunifu na hasa tamthilia yako ya "Big Boss". Endelea kuwa mwangalifu na kuweka kazi yako kuwa na lengo chanya na yenye mvuto. Tunatarajia kuona mafanikio zaidi kutoka kwako na kazi zako zijazo. Naamini sio kila msanii avae nguo tofauti kufanikiwa.
Kila la kheri!
Nashangaa TV nyingi zina vipindi vya ovyo wakati clam yupo kwa nini wasimchukue, huyi jamaa ni pesa ujue
keep going we love you from Australia❤️
Very creative#clam,,,kudos braza from another nation,,receive Kenyan love #clam
Nilikuwa naisubir kwa ham sana ..clam never disappoint
Kazi nzuri kaka Clam Vevo
WA kwanza Leo likes zangu from burundi 🇧🇮 ❤
Much love from kenya clam you always make our day with your videos
This clam VEVO SI slowly becoming my mentor..
He is the Game changer in the industry
Much love waiting part 5 from kenya❤❤
Nipeni maua yangu MIMI ndo wa kwanzaaaa❤
🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
@@khadijaalijuma1890 hujambo khadija
You're so talented dg I'm so proud about u from sauthafrican but my dad it from Tanzania I was Born in Tanzania❤❤❤❤❤❤
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Nimekuwa wa kwanza leo ❤❤❤😂😂😂 nakubali sna c
From the United States, Clam is an architect and I see far in the coming years
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Huyu Jamaa anatufanyaa muda wote tuchungilie kama imetoka hii movie
hakika bro nami hufanya hvyohvyo naona notification pia haitoshi
@@HusseinAmiri-pp8dy😅😅😅😅😅
Me too
@pretty masha eeeee bhn 😅😅
Mmmmh clam ww hatar lkn ni salama love you broo
nakuwaga wamwisho kwenye vidéo za Clam ila leo mi ndo wakwanza naombeni like zng from Congo 🇨🇩❤❤
Mbona nakuona wa 40😂
@@sharifahemed6328 watu wako fasta sn mi nikazani wakwanza duuh 😂😂
Kutoka Kenya am waiting for another episode it's soo lit🔥🔥
Kl
Kazi nzuri sana Clam. Waiting for part 5
Zuchu
This is F*CKING creativity...
I appreciate it..
🔥🔥🔥.
Let me keep subscribed for the part 5
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Clam I appreciate you 🔥🔥🔥
😂😂😂😂duur noma sana jamaa hii nimeielewa kinoma yani ahsante clam na washiriki wenzio kazi nzur part 5 plz🙏
Moja ya kishujaa Clam vevo ....wapi love ya Mwamba Clam wadau...
I can’t wait to see part 5❤
Namkubli Sana clam good job🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Namkubii
😄😄😄 et we mchumba! Kulee chiniii
Clam zifanye ndefu kidogoo zinaburudishaa mnoo😂❤
Saaana
Kazi Zako zina zidi kuimarika na kuboreka. huta shusha kamwe tuna kupenda sana bro ❤️❤️🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Lubumbashi
Clam japo unachelewexha kutupa burudan ila tunaona maufund na ubunifu mpya kila episode nakukubar sana❤❤
Akichelela na kazi ikawa nzuri kama hivi hana baya
Nikwer kabisaaa akiwa anachelewa na ananifanya Mimi kurudia kuingalia hii video kila baada ya siku mbil naitizama Tena Yan hainichoxhii Hana baya mwamba clam
Much love from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
like zenu Mimi paka kutoka Burundi nawapenda mnoo wa Tanzania❤❤
Burundi oyeeee
Yaan CLAM kwa ufundi na ubora huu huu ukisema utengeneze series lazma utauza tuu...
Quality ya kazi zako inazungumza lugha kubwa sana
Wakwanza kutoka Tanga town nipeni like zangu 🎉🎉🎉clam 🫡🫡🫡
Wakwanza Mimi angalia muda 🤣🤣nimekuwai mtanga mwenzangu 😂
@@bakarimusa6297 😂😂😂
watanga tujuwane, wapi like zang
❤❤❤
Representing 254 ❤️✌️ kenya
much love from Kenya
Clam nakukubali kaka ommy from 🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮
Aminia sana next iwe ndefu
Kila mtu anaomba like nami nipeni japo5 zanitosha❤❤
Tanzania to the world❤❤
love from hittoptv🇧🇮🔥
We’re waiting for part 5 🇰🇪
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Ety wa kwaza kucomedy nimepata watu kibao😂😂
Unatutesa sana toa 5upes bas kanumba wa sasa
Jaman leo wakwanza naombeni like zangu😍😍😍
DaaaH natamani iendeleee yaaaan isiishe nzuri sana
Noma sana Mzee hii kazi sio ya kitoto
Clam Vevooooooooo kutaka TANZANIA😅😅😅 wa KENYA hawakawii kusema ni wa kwao
😂😂😂😂😂jmni unyao umeshinda kichukulika wtu wametimua:;:;nawapenda nyote ❤❤❤❤muendelezo .. from Kenya ❤❤❤
Can’t wait for party 5😭😂
Wakwanza mimi nipeni likes zangu..nipo kenya
Clam babe...ahsante kwa kutupa raha tuendlee na season nzur ya bigg boss❤
If they don't play this song at my funeral, I ain't dying🎉
,,😂😂😂
🎉
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
❤p❤
Daaaa huyu jamaa anajua mpaka anakera
First one leo nipewe all from kenya tuko wapi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tuko hapa
Clam usichelew kuiachia series ijayo maana unajua sana boy🎉
Clam anajua Sanaa,tumpe maua yake Kwa likes
Am your big fan @clam vevo big creativity of you we're waiting for the next part 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love From Rwanda 🇷🇼
nick is naked mirror on hide George blue drums versus t-pan #rag3# Tpan466 oya t-pan Mussa swansea
The guy "jirani kula chuma icho" always funny with mr. Chapati na maharage😂😂
Waaahu....tunasubiri ijayo...bora uchelewe lakin ulete cha maana kuliko haraka kisichoeleweka...nakubali kaka uko juu
Isee clam wewe nihatali siyo poa nakukubali sana na umenichekesha kipindi vijana wanataka ushuke kwenye gari mkapeane mikono nibalaaah sana ❤❤❤
Gospel artist from Kenya
Clam has decided to raise the Bar higher 😂😂😂😂😂
Leo nakuwa mtu wa kwanza kazi nzuri kaka
From Congo 🇨🇩. Waiting part 5, 6 ….
Proud of you My Bro Clam
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Clam upewe maua yako,Nakumbuka enzi za miaja ya nyuma ulivyoanzaga kuigiza nilianzaga kukufuatilia maigizo yako
Nikawa na imani tu utafika mbali na kipaji kipo ndani yako,..endelea kukimbiza baba na Mungu akuongoze❤❤
Tupo tupo toka Congo 🇨🇩 🇨🇩🇨🇩 😂😂😂
daaaah leo nimekuwa wa kwanza pls clam naomba like yako
Good job clam ♥️♥️
Am the first from zanzibar naomba like zangu😂😂
Can't wait for prt 5🔥🔥🔥
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html
Much respect 🔥🔥
❤😅😅... So wicked with Magic...! Aisee. Napenda Edit mnoooooooo....!!?? 💕💕💕.... Nimeipenda hiiiiiii ... Editing are very professional 💥💥💥💥
Salute 💕
Nime furahi sana 😁😁😁😁 kashuka bira miguu
Ety we mchumba😂😂😂😂😂😂😂😂
Love from Kenya
Dah jaman hiki kaseries kinanoga sna kwenye unyayo
Next level 💯
Big up sana clam uko vzr, yaan hii ulitulia kwel kwenye utunzi
Clemo jamani I'm falling in love with your creativity 😊❤🥺
Last part killed me tho😅😅😅😅
th-cam.com/video/xY_v-f5pzwE/w-d-xo.html😅
I swear kwa kaz kama hizi bas soko la comedy and short clip nilako #ClamVevo hapa ni mevua mpaka ndara natembea peku i do appreciate you good work iko fullcontent 🙏🙏🙏🙏
Good stuff bruh 🔥🔥
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 uko mwisho ni nomaaaaaaa