Mch Moses Magembe - HAKUNA JINA JINGINE | SONGEA 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Somo: HAKUNA JINA JINGINE
    Andiko: M/MITUME 4:9-12
    Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE
    Tarehe: 23.07.2024

ความคิดเห็น • 34

  • @user-zz9gr1vd9h
    @user-zz9gr1vd9h หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu akutie nguvu mtumishi wa Bwana Kwakuwajulisha watu nini kusudi la Yesu kuja dunia Mungu akulinde

  • @OlesitonKoinasei
    @OlesitonKoinasei หลายเดือนก่อน

    Amen baba tunakufuatilia nikiwa Zambia Mungu akibariki kwa kututoa kwenye upovu wa roho ni na kutuingiza katika nuru ya kristo

  • @bettyisaack209
    @bettyisaack209 หลายเดือนก่อน

    Atukuzwe Mwokozi wetu Yesu kristo

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 หลายเดือนก่อน

    Amina namimi nakupata kutoka Tarime. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @rahelhango9236
    @rahelhango9236 หลายเดือนก่อน

    Baba Yangu
    🔥🔥🔥
    YESU AKUTUNZE KWA AJILI YA KIZAZI HIKI

  • @bensonmwaikeke5729
    @bensonmwaikeke5729 หลายเดือนก่อน +3

    Yesu ni Bwana

  • @JubeckNgalama
    @JubeckNgalama หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki Baba kwa ujumbe Mzuri

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala หลายเดือนก่อน

    Amina baba lazima ihubiriwe injir ya kweli

  • @user-qk5cd5zt8w
    @user-qk5cd5zt8w หลายเดือนก่อน

    Hapa Mozambique nabarikiwa na mahubili haya

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 หลายเดือนก่อน +2

    Tunakupata hapa America niko kazini hivi ninakufatilia hapa mchungaji wetu

  • @MusaMapinduzi-gr6zv
    @MusaMapinduzi-gr6zv หลายเดือนก่อน

    Amina baba MUNGU akubariki

  • @KyongoKyongo-rr8lm
    @KyongoKyongo-rr8lm หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @user-lt4pv6vh8g
    @user-lt4pv6vh8g หลายเดือนก่อน

    Amen mchungaji ubarikiwe

  • @FelixAbwao
    @FelixAbwao หลายเดือนก่อน

    Amen Yesu ni Bwana

  • @WegesaMuhiri
    @WegesaMuhiri หลายเดือนก่อน

    Amina baba

  • @MaryShirima-yw3kp
    @MaryShirima-yw3kp หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @user-lt4pv6vh8g
    @user-lt4pv6vh8g หลายเดือนก่อน

    Baba tuna kuombea MUNGU akupe maisha marefu ili utufunze iliyo kweli amen amen tuna kuelewa sana

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 หลายเดือนก่อน +1

    Amena amena mchungaji amena baba tuko pamoja ❤❤

  • @rastoChalo
    @rastoChalo หลายเดือนก่อน

    Nakupata vizuri pastor hapa Russia
    Yesu akutie nguvu usichoke kumhubiri tunakuelewa baba

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj หลายเดือนก่อน

    Amen Mungu akubariki mtumishi wa Mungu sana naa asidii kukupaa maarifa

  • @RehemaAmasi-o4s
    @RehemaAmasi-o4s หลายเดือนก่อน

    Haleluyaaa Songea kwa YESU KRISTO.Mungu wa mbinguni akutunze daima baba

  • @JohanesJester
    @JohanesJester หลายเดือนก่อน

    Baba mungu akubariki sana kwakaziyake skumoja naimani tutaonana

  • @reginaavit2603
    @reginaavit2603 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu utukuzwe milele. Hakika fadhili zako ni za milele

  • @judithoran
    @judithoran หลายเดือนก่อน

    Ameen
    YESU JINA LIPITALO MAJINA YOTE.

  • @emmanuelmwalembe-yd1cz
    @emmanuelmwalembe-yd1cz หลายเดือนก่อน

    YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA 🔥🔥

  • @barakakomba6087
    @barakakomba6087 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi kwa mafundisho mazuri mungu akubariki sana🙏🙏

  • @beatriceamissi5765
    @beatriceamissi5765 หลายเดือนก่อน

    Ameeena amena Njina lenye Uwezo

  • @emmanuelmwalembe-yd1cz
    @emmanuelmwalembe-yd1cz หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sanaa mchungaji wangu

  • @lukasapali505
    @lukasapali505 หลายเดือนก่อน

    Karibu Tunduru

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 หลายเดือนก่อน

    Yaani mafundisho matamu ila sauti sasa hakuna ,mara inakwaruza kupita kiasi tunaumia masikio , mimi point muhimu wala sijazipata sauti ilikatika .

  • @yudaseleman8320
    @yudaseleman8320 หลายเดือนก่อน

    Mafundi mitambo wako mchungaji wanafeli saut yako hatuipati uku vyema

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn หลายเดือนก่อน

    Baba kemea kalipia hari ni mbaya sana

  • @johnsebastian-bx6qn
    @johnsebastian-bx6qn หลายเดือนก่อน

    Amina baba