RAIS SAMIA AWAAMBIA CHADEMA - "KWA SURA NAZOZIONA, HAMNA NIA YA KUSHIKA DOLA 2025"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • RAIS SAMIA AWAAMBIA CHADEMA - "KWA SURA NAZOZIONA, HAMNA NIA YA KUSHIKA DOLA 2025"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 97

  • @basheer4278
    @basheer4278 ปีที่แล้ว +7

    Mama anatumia sayansi ya siasa ipasavyoo kwa namna hii atabeba kiurahisi sanaa

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 ปีที่แล้ว +9

    Hayo Ni mawazo ya mommy kana 25 ataongoza lakini lolote laweza kutokea. Kikubwa Ni tumehuru ya uchaguzi anaeshinda ashinde sio haramu

  • @georgemwakapalila-zj5gy
    @georgemwakapalila-zj5gy ปีที่แล้ว +7

    Nakuunga mkono mama 25 yako

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 ปีที่แล้ว +8

    Mimi naona Lema na mdomo wake, hakuelewi Mama.

  • @johakhimu.mgembe.3297
    @johakhimu.mgembe.3297 ปีที่แล้ว

    Mmmm,hh.Hofu yangu ni magoli ya mkono kuchukuliwa Mazoezi na kuandaliwa.Kipenga cha Filimbi Ni Katiba mpya na Tume Huru.Wizi wa kura ni Dhambi na Laana kwa Mungu. na Taifa.Taifa kuheshimika Duniani ni kutenda Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa Kwa Haki.mipasho si mizuri.Sura zatuwakilisha wa Upande Sauti za Mabadiriko.

  • @godfreymlula1038
    @godfreymlula1038 ปีที่แล้ว +1

    safi

  • @coin9007
    @coin9007 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mama kwa Chadema amewaweza 😂😂😂😂

  • @isakanicholaus6779
    @isakanicholaus6779 ปีที่แล้ว

    Heshima ya nchi duniani inafaida gani wakati wananchi wanamaisha magumu. Vitu vimepanda bei, matozo Kila mahali,Hela zinapigwa na madeni ya nchi yanaongezeka. Siasa ya inchi hii sijui tutapona lini . Wote wanawaza 2025 Ili wajue namna gani wataendelea kushibisha matumbo Yao. Mama endelea kuupiga mwingi hayo majamaa umesha yakamata tayari 😁🤣. Siasa ya Tanzania ni kama ugomvi wa nyumba ya urithi.

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 ปีที่แล้ว +6

    Kwa hili mama 25 una kura yangu

  • @vehaelmmari5670
    @vehaelmmari5670 ปีที่แล้ว

    I have been in justbed Hotel,there rooms er highly highgenic cleaned, very quiet, rooms tendants er obediently. The hotel is near town centre even you can walk by foot. I wish to visit again Bangkok, I shall sleep there.

  • @dalalimjinga.144
    @dalalimjinga.144 ปีที่แล้ว +2

    Nisiwe mnafiki leo Dalali mjinga nimefurahi

  • @lukafbbwebelof3874
    @lukafbbwebelof3874 ปีที่แล้ว +2

    Chadema Watahisjia mdomo kama Raila Udinga wa Kenya . Najua hiyo tarifa tosha kwa CHADEMA. Sasa mtegemee watu kutekwa na kuwawa maana wanajua hawata pata ushindi

  • @emmanuelonyangoochola9228
    @emmanuelonyangoochola9228 ปีที่แล้ว +1

    Dah Rais wetu unatupa raha burudani sana mimi ni Mwanachama wako lakini katk hili mama umevunja record safi sana umeonyesha mfano sasa wenzangu mnaopenda vya kunyonga mnatamani kufa

  • @ayoubzacharia8677
    @ayoubzacharia8677 ปีที่แล้ว +8

    Mimi n chadema lakini nimebarikiwa Sana kwa hatua hii ya maridhiano siasa sio uadui.hongera mwkt Mbowe na Hongera Mama Yetu samia

  • @halimamatola5483
    @halimamatola5483 ปีที่แล้ว

    Nchi huiwezi acha mbwembwe.

  • @rooneyasilitv7939
    @rooneyasilitv7939 ปีที่แล้ว +3

    Nimeanza Kukuelewa Mzazi

  • @mosesmwakalibule2715
    @mosesmwakalibule2715 ปีที่แล้ว +2

    HII NDIVYO INAVYOTAKAKIW

  • @schofieldodhiambo7957
    @schofieldodhiambo7957 ปีที่แล้ว +1

    This is what we call democracy. Hongera sana Mama president. Museveni anatakiwa kupata somo hapa. Wapinzani sio maadui. Ni wananchi na wenye nchi kama wale wengine walioshika dola. Michango Yao katika ujenzi wa taifa ni muhimu sana. Endelea mama kufanya nao kazi.

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 ปีที่แล้ว +1

    Mumy dola ni lako hakuna mtu atakutoa tuachie wabunge wewe zeekea ikulu atakae kupinga Sina tusi lakumpa mama lv u.....♥️♥️♥️💋💋💋

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 ปีที่แล้ว +3

    🤣🤣🤣mama unaupiga mwingi sana lema kimyaaa

  • @jamesyakusola3308
    @jamesyakusola3308 ปีที่แล้ว

    Mmh we mama kweli umenigusa uko vzr

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 ปีที่แล้ว

    Samia huna mpinzani mpaka hapo ulipofika mama piga kazi upande wa Rais niwewe tu wabunge ndio kuvumbi kitatokea wachape kazi

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 ปีที่แล้ว +5

    TANZANIA SASA HAKUNA UPINZANI NI CHAMA KIMOJA TU.. BILA SHAKA CCM 2025 ITAENDELEA KUTAWALA

  • @magokola2376
    @magokola2376 ปีที่แล้ว +3

    SIANAJUA JINSI CHADEMA WANAVYOO OMBA OMBA HELA KILA SAAAA ,VIONGOZI WOTE WA CHADEMA WAMEKULA MIRUNGULA

    • @expert5898
      @expert5898 ปีที่แล้ว

      Hahahh

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

      wapumbavu wa ccm hata mkiulizwa mlungula kias gani hujui yani ni kama zezeta limekoment.

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 ปีที่แล้ว

      @@emmapaul1766 we kuma ya mama yako ikome CCM tumesha wafira Chadomo

  • @agustmbise4195
    @agustmbise4195 ปีที่แล้ว +2

    Hawana hiyo dhamira mama hahahahahaaaa

  • @amaniluhambire5080
    @amaniluhambire5080 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Raisi Samia

  • @divaimafuru6844
    @divaimafuru6844 ปีที่แล้ว +1

    Mama,nakuita tena,mama nakupenda sana,peponi utakaa sehem ya pekee

  • @hassannassoro5542
    @hassannassoro5542 ปีที่แล้ว +4

    Sana sana nafurahi sana. Rais wangu Mama Samia

  • @kinega1029
    @kinega1029 ปีที่แล้ว +1

    Kwani wao nani kawaambiya Ccm wana sura za kuiyongoza Tanzania pumbavu mkubwa tunahitaji Katiba mpya mambo ya kifalme basi

    • @kinega1029
      @kinega1029 ปีที่แล้ว

      Kujiona wamefanikiwa kudhulumu watu wananchi wanalipa kodi na matozo tele halafu wao wanaishi bure mishahara yao haikatwi tax washenzi wakubwa

  • @reubenbushiri1753
    @reubenbushiri1753 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ndo inatakiwa sio kutafutana kama panya na paka.

  • @nemecymsanya4952
    @nemecymsanya4952 ปีที่แล้ว +2

    Mama safi sana sana

  • @johnraphar8825
    @johnraphar8825 ปีที่แล้ว

    I a preciate mama

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 ปีที่แล้ว

    Mda wote ushingi.mama yetu samiia .ongera mungu.azidi.kukuweka

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว

    Siasa ya vyama vingi ni utapeli tu wanatoka kupiga kelele wakikutana wanakuywa pamoja hii mifumo ya hovyo kabisa ya kula ruzuku bora kibaki kimoja tu

  • @isakanicholaus6779
    @isakanicholaus6779 ปีที่แล้ว

    Heshima ya nchi duniani inafaida gani wakati wananchi wanamaisha magumu. Vitu vimepanda bei, matozo Kila mahali,Hela zinapigwa na madeni ya nchi yanaongezeka. Siasa ya inchi hii sijui tutapona lini . Wote wanawaza 2025 Ili wajue namna gani wataendelea kushibisha matumbo Yao. Mama endelea kuupiga mwingi hayo majamaa umesha yakamata tayari 😁🤣. Siasa ya Tanzania ni kama ugomvi wa nyumba ya urithi.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf ปีที่แล้ว

    Hii ndio athari ya ras schools.... Common sense hainaga nafasi kwenye adopted knowledge.

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 ปีที่แล้ว

    Hiii Akili nyingi Mheshimiwe Tunakuombea Atukuzwe Bwana Mwema Atutangulia 2023 Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai Barikiwa

  • @bonabonaza5066
    @bonabonaza5066 ปีที่แล้ว

    Kwahaya Samia nimekuenda kuliko Mr wasiojurikana jpm

  • @medadmigwano-pt1jl
    @medadmigwano-pt1jl ปีที่แล้ว

    Ubinafsi ni tatizo,wote kwa Kama tukiacha katiba ituongoze bila kuiruka tanzania ni top ya matajiri duniani watu wataona maajabu,

  • @thabitikasuwi-xv9uv
    @thabitikasuwi-xv9uv ปีที่แล้ว

    Mamatutazame kama mama zilepesa ulizo SEMA tulipwe zmegeuka tatizo kakika family's nilawma tup pesa yenye laki tatu mama tunaomba utuahalie upya mama kwako Kila kitu kinawezekana

  • @raibethnicholaus1493
    @raibethnicholaus1493 ปีที่แล้ว

    Hivi nikweli kwa kipind hiki kifup nchi imepata heshima kwel au tumerudi kuwa omba omba

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 ปีที่แล้ว +7

    Kwa hili nampitisha Mama 2025 kuwa Rais😂wetu

  • @muddyso1953
    @muddyso1953 ปีที่แล้ว

    AKILI KUBWA tuko pamoja tumuombe Mwenyezi Mungu atujalie pia wakati ni sasa

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mama Samia kwa kutuunganisha Watanzania.

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 ปีที่แล้ว

    Mbowe kamaliza kazi aliyo iahidiwa

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg ปีที่แล้ว +1

    7

  • @kanaeljesus877
    @kanaeljesus877 ปีที่แล้ว

    Tz tuna bonge la rais kwelikweli

  • @sarafinayuwangi152
    @sarafinayuwangi152 ปีที่แล้ว

    Kwa mara ya kwanza nasema,I love you Samia

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 ปีที่แล้ว +1

    Ahahahahahaha

  • @godfreyvicent4718
    @godfreyvicent4718 ปีที่แล้ว +5

    Mungu wangu,njaa Madam

  • @sylvesterkwembe3686
    @sylvesterkwembe3686 ปีที่แล้ว

    DNA ya 80% kupinga vyama vingi bado ina nguvu sana 💪🇹🇿👍

  • @nasramkungwa3647
    @nasramkungwa3647 ปีที่แล้ว

    Lema bado ajamwelewa mama ninavyoona

  • @yyyyyy4144
    @yyyyyy4144 ปีที่แล้ว +2

    huyu msma anaimani na malezi ya kuwapenda wote watanzania huu ndio uislam safi mama ana nia njema kwa watanzania wote

  • @bukurutv4035
    @bukurutv4035 ปีที่แล้ว +3

    Powerful message from a powerful humble minded LEADER

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 ปีที่แล้ว

    Mimi naona Lema na mdomo wake, hakuelewi Mama.

  • @mezddimosso3318
    @mezddimosso3318 ปีที่แล้ว

    Siasa ni mchezo mama kasema

  • @kisoso890
    @kisoso890 ปีที่แล้ว

    Asante mama

  • @aswilasaif2455
    @aswilasaif2455 ปีที่แล้ว

    Nakweli 25hawawezi ch

  • @mathiasmageni-bf7en
    @mathiasmageni-bf7en ปีที่แล้ว

    Hawatarudia ujinga huo. CDM wapo chali mpaka muda huu.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

      mamayenu amepewa kadi ya chadema wajinga wajinga bakin na ujinga wenu huko limumba

  • @maryaugustor6983
    @maryaugustor6983 ปีที่แล้ว

    We kwenda turudishie mtoto wetu

    • @karimkassam571
      @karimkassam571 ปีที่แล้ว

      Hiyo ndio Ccm ina mbinu 99.9.999

  • @edwinmpepo2653
    @edwinmpepo2653 ปีที่แล้ว

    😂😂
    Mama huyu

  • @mbarouksalim1568
    @mbarouksalim1568 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah nzuri

  • @yunislemnge5558
    @yunislemnge5558 ปีที่แล้ว +2

    Mama yetu jamani nakupenda mama yetu wape

  • @phare_tz
    @phare_tz ปีที่แล้ว

    basi bana

  • @josephjohnmagesa8256
    @josephjohnmagesa8256 ปีที่แล้ว +4

    Kura yangu unayo mama

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 ปีที่แล้ว

    🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @mzalendowaasili1727
    @mzalendowaasili1727 ปีที่แล้ว

    Chadema wamekwisha aki mbona mlikuwa hamumkubali JPM au ndo alikuwa hawapi asali

    • @moniepaul8972
      @moniepaul8972 ปีที่แล้ว

      Pamoja na umauti wake bado hatumkubali pia

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

      chadema iishe kwa ujinga ulionao wewe mbona kichekesho.

    • @zakayoyohana1736
      @zakayoyohana1736 ปีที่แล้ว

      jpm alikua dkiteta

  • @saitotisaitoti9950
    @saitotisaitoti9950 ปีที่แล้ว

    hongera sana mama yetu samia

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 ปีที่แล้ว +2

    Busara ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @valerianakilumile8517
    @valerianakilumile8517 ปีที่แล้ว +1

    Dhambi ya kuiba kura kuzurumu huchomoki

  • @kisarawe-rw4io
    @kisarawe-rw4io ปีที่แล้ว +2

    Chadema wamefeli

    • @joycemfuru4752
      @joycemfuru4752 ปีที่แล้ว

      Wamefeli kivipi wakati ndo ushindi mkubwa

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 ปีที่แล้ว

    Rais mwema sana sana umeheshimisha nchi yetu, nakupenda.mama

  • @josephat66
    @josephat66 ปีที่แล้ว

    Ww ni kipindi gan nchi hii ilikua haishimiki unamanisha nchi imepata uhuru kupitia kwk

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 ปีที่แล้ว

    So amazing kwenye kitchen part.Vidume ndani.Mungu atunusuru.Boys and girls together.Mchungaji Hananja anasema Kuna vitu havikubari story.Wengine wanasema cheki mguu wa bia ule.🤣🤣🤣🤣.Natania tu. Uwo ndiyo usawa tunaotaka Yani umekaa na Wanawake alafu unajihisi wewe pia katika wao hatari Sana hii.

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 ปีที่แล้ว

    Shusha garama za vitu maliza miradi aliyoacha magufuli sio kutupigia makelele!

    • @zakayoyohana1736
      @zakayoyohana1736 ปีที่แล้ว

      kwahio we unaona anapiga unaakiri Kama ya mwendazake

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 ปีที่แล้ว

    Du Kuna kauli zinaumiza Sana! Et kwa kipindi hiki kifupi nchi inaheshimika duniani kwel? Hapo mnatupa viulizo Sana kuhusu kuondoka kwa JPm! Nchi inaheshimika na wasio iishi wananchi tunalia et nchi inaheshimika huko duniani haya Mungu yupo

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 ปีที่แล้ว

    Hongera mama nimekusoma