Mm niliota nmetupa taulo za like kwenye shimo la mtu mwingne wakati naenda kusal msikitin wakati nipo hedhin lkn nilipofika mbele nikakutana mtu lkn msikitin sikufika naomba maana yake
Asalam alaykum warahmatullah.shehe je ukiota mtu unamtolesha shahada ilhali alisha kufa je inamaana gani? Pia baada ya kuota hivyo zikapita siku km tano ukaota unakufa wewe mwenyewe
Shukrn sheikh na jee ukiota kupewa talaka
Shukran jazzillah umeniondoa tahayuri,kheir in Shaa Allah
Assalam Aleikum,, juzi niliota nimeona mbuzi mchanga ndani kwangu,,huyo mbuzi alikua mdogo sana alafu mweupe
🙏
Daah sheikh mm nliota natokwa n hedhi kbla y kuvunja ungo naomba unitafsirie hiyo ndoto yng
Nimeota nipo kwenye hidhi nanimeweka pedi kwenye mfuko choon lakini bosi wangu akawa ameingia nafundi kitu huko choon inamaana gani ?
Nimefurahi_kusikia_tafsir_hii
Mm niliota nmetupa taulo za like kwenye shimo la mtu mwingne wakati naenda kusal msikitin wakati nipo hedhin lkn nilipofika mbele nikakutana mtu lkn msikitin sikufika naomba maana yake
Mm niliota nimeenda chooni nikaona damu mingi saaaana kurudi Kwa nyumba nkaona rafiki yangu yuko na damu Kwa nguo manake nn Shekh nambie tafadhali
Shukrani jazakallahu khery
Je ukiota unaramba mabonge ya damu inakuwaje
Mimi niliota hedhi usingizini lakini sikuona but nilikua nimevaa pad na mm ni mjamzito
Mimi pia
Ustadhi mimi niliota hajaona hedhi lakin kwandoto niliota mtoto wangu umepata hedhi je hii nini
Mh mimi nimeota sana hiyo njozi ya hedhi mara kwa mara.lkn sijaona huo utajiri.ndio kwanza hali inakua mbaya
Sabri
Mimi niliota kwenye njozi nilipigajiwe nyoka badayakumaliza kupiganyoka siku juwakwenyenyoka inapotelea apoapo nikaona damu mbele n'a nyuma nikakwendacooni badayakufunguwa mlango napenyewe nikaona damu nyeusi. Pembeni pilikuwa chimo apoapo nikafika narudhinyuma kabla sijaona Shimon nikafika naona ch uma kikubwa kukatika kunichoma kumugu nikafikanakishika namono nikakitia pembeni
Ukiota usingizini unataka damu na ingali uko kwenye kipindi cha hedhi
shehe nikiota ndoto inakua kwer naweza nikaota nyumban kwang atakuja mgen alafu nikiamka kwer nnamgen
Nimeota mtoto wangu wamiaka miwili amepata hedhi, hii ina maana gani shekhe?
Naukiota ndoto alafu ina jiludia mala nyingi ina maana gani
Mimi nikitaka kuingia kwenye hedhi lazima niote km leo kesho naiyona ina maana gan
Hata mm mara chache huwa naota na inakuwa kweli
Mimi nikiota niko kwenye hethi kesho yake naiona sijui hiyo nayo ni nini shehe?
Me niliota Niko katika kundi la watu na natokwa damu kweny sehem sangu za Siri nying na kutiririrka kweny miguu yangu nikawa nashangaa
Mi niliota hedhi imenichafua nguo halafu nikajisafisha nikaondoa zile nguo
Habari, mbona ndoto yangu ujatafsiri? Au Kuna malipo?
Eee hua wanalipisha daa.
Asalam alaykum warahmatullah.shehe je ukiota mtu unamtolesha shahada ilhali alisha kufa je inamaana gani? Pia baada ya kuota hivyo zikapita siku km tano ukaota unakufa wewe mwenyewe
Kabla ya matatizo kunitokea, niliiota nikajuwa tu pengine sio nzur
Ukiota ndugu anakupigania
shekhe nimeota minyoo ile ya kwenye tope inadondoka kwa wingi kutoka kwenye ukuta wa nyumba, ina maana gani
Mimi nili ota madiri ya damu nilitoka maji kama suparm
Pengine nilichezewa kizazi
Nimeota zinatoka uko Kwa kawaida na mdomoni ina maana gani hii
Nimeota tait yangu imetoboka
Ukiota unaendesha gari na huna iyo gari maana yake nini