UKIOTA NDOTO YA NYUMBA | NA YANAYOHUSIANA NA NYUMBA | HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • UKIOTA NDOTO YA NYUMBA | NA YANAYOHUSIANA NA NYUMBA | HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS
    #MasjidMtoroTv #NasahaZanguTv #NyumbaYatibaNaDuaTv

ความคิดเห็น • 161

  • @eliaskassim5684
    @eliaskassim5684 2 ปีที่แล้ว +6

    Kaz nzur sana ..lakn jitahid uweunajib comments za watu .

  • @omanamenmct1600
    @omanamenmct1600 2 ปีที่แล้ว

    Alhamulilah niliota najenga tena nyumba ghorofa na imefika kweye paa kabisa na niko kwenye hiyo nyumba na fundi yuko juu ,mm nimeenda na daftari kuandika mahitaji ya fund anataka .Alhamdulilah

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 7 หลายเดือนก่อน

    Alhamdulillah sheikh

  • @ChazadiLumbala
    @ChazadiLumbala 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran

  • @modybazenga3230
    @modybazenga3230 9 หลายเดือนก่อน +1

    Amina yaarab

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante Shekhe mwenyezi mungu akubariki

  • @khadijaangore4408
    @khadijaangore4408 4 ปีที่แล้ว +8

    Asaalam alykum waramatulah wabarakatul. Shukran jazakaallah kheir mungu akujalie umri na afya

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 ปีที่แล้ว

      Waalaykumsalaamwarahmatu llaah wabarakatuh. amina yaarabiy

  • @MagangaMoshi
    @MagangaMoshi หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @dumasbajun0012
    @dumasbajun0012 2 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa ALLAH Shukran Sheikh

  • @sofiahamisi9373
    @sofiahamisi9373 2 ปีที่แล้ว

    Asantee shelkh

  • @twahamjanakheli4182
    @twahamjanakheli4182 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri nimeota ndoto nimenunuliwa nyumba nzuuuri sana Ila vyote ulivyo visema nisahihi kwasbabu nataka nioe Ila pia kaka ndo atanisaidia mahari na Leo eti kaninunulia nyumba nzuuri Ila kunamlango Wa Siri nikaufungua nikaingia ndani kuzuri sana Ila hakuna mwanga nikawasha taa yaa simu kuzuuri

  • @mugishanasra1919
    @mugishanasra1919 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akupe kila LA kheri chehe wetu

  • @muhsinsaleh2192
    @muhsinsaleh2192 3 ปีที่แล้ว +1

    Niliota kuna mwarabu amenitilia umeme pamoja na mapambo ndani na nje ya nyumba yangu. Nini maana yake. Shukran.

  • @Happymshana-sy9cr
    @Happymshana-sy9cr ปีที่แล้ว

    Asalam alekum shekhe mimi nmeota kaka angu amejenga nyumba na amenipa ile nyumba ananiambia nasubir iishe vizuri nikukabithi

  • @asiaoman3040
    @asiaoman3040 2 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah nakupenda sana maana me unanitabilia mambo mazuri sana naleo yanatokea kwangu

  • @tiffahkillax6267
    @tiffahkillax6267 4 ปีที่แล้ว +7

    Alhamdulillah 😪😪😪 jana tu alafu leo naangalia tafsiri hii. . mm nmeota nipo ndani ya chumba kijoja tu tena nipo na Mama yangu ni mbali na makazi ya watu yaani ni shambani kabisaa tunalimaga mpunga ni mbali mno na kijiji kilipo 😪😪😪 Alhamdulillah .. Kisha nikamwambia Mama yangu mbona amejenga nyumba mbali mno alafu ni porini akanijibu ni bora kukaa mbali na familia ambayo wanamnyanyasa na hayupo tayari kurudi mjini kabisaa

  • @binthatv2794
    @binthatv2794 ปีที่แล้ว

    Asww sheikh nimeota nimejenga nyumba ya kwetu kwa muze Sasa nyumba hiyo ilikuwa vizuri sana wenye tunatoka tumbo Moja wamaja kwingia wakaja kuingia wakanambia umejenga vizuri mudogo wetu ikabidi tuingie kwenye nyumba hiyo tumefurahi nikasema hiyi nyumba niyeyu basi tufurahiye

  • @khamisimzee6546
    @khamisimzee6546 8 หลายเดือนก่อน

    Axlm alkm shekh mimi naota mara kwa mara nyumba inavuja hadi kitanda cha lowa

  • @AshaSaid-u5n
    @AshaSaid-u5n 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam alykum Mimi shehe nimeota nyumba yangu imetandwa na mbui lakini nikawa natowa zile nyuzi za mbui nasafisha

  • @rahmakonse9518
    @rahmakonse9518 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota nyumba nyingi imejengwa mbali karibu na porini na tumehamia huko pamoja na familia na majirani wengine na hata tumeanza kupika huko pamoja na mamangu na kisha tunakosania juu ya kupika,tafadhali nahofia sana sheikh ni nini maana yke.

  • @GeoffrayBoy
    @GeoffrayBoy 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota kwamba wanajenga nyumba Kijijini kwa rafik yangu mara mbili inamaana gan sheikh

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 3 ปีที่แล้ว

    Shekh mi nimeota nyumba kubwa sana gorofa kumbwa Kwa jirani Yangu marehem Ila alojenga simjui baina ya nyumba ya marehem na nyumba yetu Ila natoka safari lile gorofa naliona Kwa mbali Ila halijatenhezwa nje tofali Tu zipo kama tofali hazina palasa ia jmba jumaba kubwa sana

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @misigarojustine3357
    @misigarojustine3357 2 ปีที่แล้ว

    Unafafanua vizur sana 👍

  • @rotundajane3426
    @rotundajane3426 3 ปีที่แล้ว +1

    Na ukiota ume ona nyumba mpya nzuri sana

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 2 ปีที่แล้ว

    Barakalahu fiku walai

  • @shufaamakame5839
    @shufaamakame5839 2 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleykum
    Jee shekh ikiwa umelala ukaota unapigiwa hodi na akaend mume wngu kuitikia hodi kurudi nikaona amerudi na kubadilika gjafla akawa ananikaba
    Nimeogopa

  • @aminamohd1510
    @aminamohd1510 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum shekh mm nimeot nyumba ambyo nilihama zaid y mwak n nimeota zaid y Mar 1 wkt kipnd ch nyuma sikuwa naiota

  • @sherrysule5998
    @sherrysule5998 4 ปีที่แล้ว +6

    Assalam alaykum.. sheikh mimi naota mara kwa mara kua baba angu anajenga nyumba kubwaa nzuri.. ila haijawahi kumalizaa.. ila huwa nafurahi sanaaa kumbe ni ndoto. Nisaidie

    • @suzansimon5296
      @suzansimon5296 3 ปีที่แล้ว

      Hyo nikama mm nmeota baba anajenga

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 ปีที่แล้ว

    Asalam aleikum warahmatullah wabarkat..!! Nmeota napita njiani mtaani huku Qatar kisha nikaona nyumba ya gorofa inajengwa mafundi ni wengi sana na gorofa imefikia gofora ya tatu kisha ghafla ikaporomoka na mafundi wote wakafunikwa na hilo jengo mawe na vyuma ila hamna ata binaadamu yoyote alieonekana baada ya kuporomokewa na hilo gorofa....naomba unisaidie kunijibia hii ndoto

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 3 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh nimeota Mimi natoka kuchota maji kisha nilipokaribia nyumbani nikaona Ile nyumba yetu inatoa ishara za kuanguka na ndani mlikua na mama na mtoto wangu nikawaita haraka nikawambia tokeni haraka nyumba yataka kuanguka

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 4 ปีที่แล้ว

    Asante sheikh ila nmeota kua nipo shule ila tulikua tuko wengiii na wasio walim Sasa tukapewa Kaz ya shamba mie nikaomba ruhusa ya kwenda kutafuta funguo yangu nilioipoteza Sasa nimeitafuta nimeipata nikarud kufungua nikaingia ndan et ndan ya nyumba iyo hakujamalizwa kujengwa nikawa namwagilia maji naomba unifahamishe ndoto hii tafadhal

  • @nusratbintabdullah5713
    @nusratbintabdullah5713 4 ปีที่แล้ว

    Thanks soo much sheikh

  • @rizikihinna92
    @rizikihinna92 4 ปีที่แล้ว +2

    Asalamu alaikum shekh mumewagu ameota amenunua nyuba alafu mm nikaeda kuigia hata back haijaisha dani vizuri

  • @AbdullamasoudHassan
    @AbdullamasoudHassan 5 หลายเดือนก่อน

    Maalimu mm nimeota kua mamaagu mzazi amenunua nyumba ila sisi wanawe hajawahi kutwambia na ameshakufa ila kuna mt ndioo akaja akatwambia na tulipo ifatilia kunaishi mt 1 mweusi yeye akasema kwavile nimekaa nayo muda mwingi itabid tugawanae kwaiyo mm nikachukua 40 na kuna mwenzangu akachukua 40 yeye akachukua 10 na kuna mt mwengine akachukua 10

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 ปีที่แล้ว

    Shukuran

  • @OmarMwishee
    @OmarMwishee หลายเดือนก่อน

    A alaikum...ustadh mbona tafseer inaegemea kwa mwanamume tu hali wanawake pia huota...?

  • @GloryMoshi-sv6ni
    @GloryMoshi-sv6ni ปีที่แล้ว

    Hua ninaota mara nyingi nimenjenga nyumba nzuri sana ya kisasa pembeni ya nyumba yangu Ina maana gani?

  • @annasebastian5827
    @annasebastian5827 ปีที่แล้ว

    Nimeota nyumba yangu inajengwa na mafund na hela ya kuwalipa sina

  • @dalinikrish9341
    @dalinikrish9341 ปีที่แล้ว

    Assalam aleykum Shekh mimi nimeota paa la nyumba yangu limeharibika

  • @zulfamwinyiathman5423
    @zulfamwinyiathman5423 2 ปีที่แล้ว

    Aslam Alykkum Naomba mtowe tafsiri ya kuota jongoo linakuuma ,kukutambaa na kadhalika

  • @YussufBayuu-k4x
    @YussufBayuu-k4x 5 หลายเดือนก่อน

    Shehe nimeota mama anajega nyumba haijesha ananionesha

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว +5

    اللهم انصرنا يارب أمين

  • @estajoan1285
    @estajoan1285 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota nyumba yangu ipo kwenye linta lakini sijamaliza lakini watu wanaivyunja wanasema ipo balabalani lakini babayangu anasema atanijengea nyingine 😭😭😭 lakini iyo nyumba ninayo kweli

    • @kaznakazn3495
      @kaznakazn3495 2 ปีที่แล้ว

      Mimi naota nyumba Yani Kwa mwezi moja nimeota mara 4 mufululuzo

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah

  • @suma643
    @suma643 3 ปีที่แล้ว

    Minimeota kwa nyati tofauti mwanzo niliota kuna nyumba ipo ufukweni mwa bahari halafu ni ya udongo kunaupepo mzuri nlikuwa naenda sana pahali hapo nikiwa usingizin siku nyngne nliota marehemu mama kanikabidhi nyumba kubwa mpya ila haijapigwa plasta nikaote tena ninakabidhiwa nyumba mpya iliyojengwa na tofali za udongo ila ubavuni kunahitaji marekebisho na nilisema hii ndio itakuwa nyumba ya mwanangu ila ndoto hii ilianzia mbali nikiwa na shida ya mtoto..maana yake ni nini

  • @lilianrichard9065
    @lilianrichard9065 11 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nyumba ni ya tope na chn hajasakafiwa na juu haijaezekwa pia chn pamelowa nikawa nafagia mle ndan na nikisema hiki ni chumba cha mama yangu nakifanyia usafi nikashtuka kutoka usingzn hii inajulisha nn jaman

  • @susanmbwali3221
    @susanmbwali3221 ปีที่แล้ว +1

    Maana kuota marehemu anakwambia nimekupa nyumba hii urthi gorofa nzuri

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 ปีที่แล้ว

    Mimi naota nimejenga nyumba nzuri na nimehamia.
    Pia naota Mara Kwa mara naongea na Marais wa Tanzania nilimuota magufuli kipindi Cha utawala wake nilimuota zaidi ya mara nne,
    Sasa hivi ninamuota Rais Samia naongea nae mara Kwa mara.

  • @minaaminaa1781
    @minaaminaa1781 3 ปีที่แล้ว +1

    Je ukiota nyumba ya chomeka

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 ปีที่แล้ว

    Maana yake ni Nini hizi ndoto zangu zinazojirudia mara Kwa mara.
    Kuwa nazungumza na viongozi (Rais) au najikuta natembea nae huku tunakagua sehemu mbalimbali hii inamaanisha Nini shekh wangu.

  • @khadijaahmada5692
    @khadijaahmada5692 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota usiku wa leo tu mamangu nimeota mimi na mamangu tumejenga nyumba mpya tena vioo vitupu ila mtoto wa mamangu mdogo amepigana na rafiki zake ,hasira zao wakaja kuivunja nyumba yetu na vioo vyote wakaviangusha chini

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 2 ปีที่แล้ว

    Shekhe kama mwanamke anaota kaona mlango inamaana gani

  • @fatmaswaleh9541
    @fatmaswaleh9541 4 ปีที่แล้ว +5

    Mm huwa naota gorofa tena inapenda kujirudiarudia yaan haipiti mwez bila yakuota ndoto izooo

    • @asyasaid6881
      @asyasaid6881 3 ปีที่แล้ว

      Asalm alykum ukiota unanunua nyumba na inamaduka manne

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nimeota seem iliyokua porin zaman saiv kumejengwa nyumba nzur Sana na Ni mpya Yan pamekua mji mpya wa kupendeza na mm nilienda huko kutembea nn maana yake jmn

  • @theworldnatureandculture5354
    @theworldnatureandculture5354 2 ปีที่แล้ว

    Kuota nyumba iliyo karibu ya mto?

  • @pendomasanja8380
    @pendomasanja8380 ปีที่แล้ว

    Nmeota njozi nmejenga nyumba mpya kwetu

  • @shamymtanda1656
    @shamymtanda1656 4 ปีที่แล้ว

    Asalam aleykum shekhe..?mim huwa nimeota zaidi yamara moja kila mwez naota nyymba yangu inapata moto chanzo umeme lkn hauendelelei lkn kila nikiota n moto unaanzia sehem hyo hyo kila naopoota n takriban mara tatu mpaka naogopa

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 ปีที่แล้ว

    mimi juzi nimeota nyumba inatembea kwakasi ikaja ika simama chini ya miguu yangu ilikuwa imejengwa kwa mabokx ilipo funguka ilikuwa na nguo ndani nika zichukuwa nikazipeleka chumbani kwangu

  • @arhamalmuntasir3912
    @arhamalmuntasir3912 3 ปีที่แล้ว +2

    mm niliota mwanaume niliyekua cjafunga nae ndoa amejenga nyumba njozi hiyo Ina maana gani

  • @muhammadabdallah755
    @muhammadabdallah755 2 ปีที่แล้ว

    Assalaam alaykum sheikh mimi nimeota nipo ndani ya nyumba ya ghorofa moja ama mbili ilo ghorofa lina vioo lakini humo ndani kuna mwanamke tuna zungumza mazungumzo ya kaida nikampa pesa yenye namba tano ikaongezeka akapata namba 7 akataka kunipa nika mwambia chukuwa hiyo ni sadaka yangu ndoto hiyo ina maana gani sheikh

  • @maryammarjan4015
    @maryammarjan4015 2 ปีที่แล้ว

    ok

  • @betridarwezahula7874
    @betridarwezahula7874 3 ปีที่แล้ว

    Ok

  • @bukhanmohd456
    @bukhanmohd456 4 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe mimi nimeota nyumba yetu ulikuja upepo mkali na ukavunja nyumba yetu yote

    • @nyumbayatibanadua737
      @nyumbayatibanadua737 4 ปีที่แล้ว +1

      Jiepushe sana na wafitinishaji wasije kukugombanisha wewe na mkeo

    • @bukhanmohd456
      @bukhanmohd456 4 ปีที่แล้ว

      @@nyumbayatibanadua737
      Shukran sana sheikh Allah s.w akubarik
      Ila pia nimeota ndoto nyegine ya nyoka mweupe alikua anataka kunishambulia ila kulikua na kaka yangu mmoja binaami ambae ni daktari alikua akinipaka kitu kama dawa kichwani sasa yule nyoka akaacha kunishambulia mie akamfuata yule kakaangu na akamshambulia vibaya sana na yule kaka yangu akaanguka akafa na mimi ilikua nikilia sanaa.....nikashuka kutoka usingizini...

  • @zainaboamani6959
    @zainaboamani6959 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @azizahassan939
    @azizahassan939 3 ปีที่แล้ว

    Mm nimeota nipo juu ya paa la nyumba

  • @vallentinemideva3557
    @vallentinemideva3557 2 ปีที่แล้ว

    Ukiota umejenga nyumba na aina mlango but unaishi ndani ina maana gani

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi mmeota nyumba kam tano zimekodishwa maeneo ya nyumbani tena zimetengenezwa zimekuwa mzur

  • @lrenjoseph1363
    @lrenjoseph1363 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimeota Niko kwenye nyumba Niko na familia yang u namume Wangu alafu nafraa Sana

  • @shunahkhalfan5593
    @shunahkhalfan5593 2 ปีที่แล้ว

    Je ukipata nyumba inavuja manake nini?

  • @rahmaabdallah9220
    @rahmaabdallah9220 4 ปีที่แล้ว

    asante shekh

    • @habibaabdi5
      @habibaabdi5 4 ปีที่แล้ว

      Ustadh je kma unaotakuwa unajenga nyumba

    • @habibaabdi5
      @habibaabdi5 4 ปีที่แล้ว

      Ustadh je kma unaotakuwa unajenga nyumba

    • @nasibujuwe3038
      @nasibujuwe3038 4 ปีที่แล้ว

      @@habibaabdi5 shekhe Mimi nimeota Nyumba ambayo kama hotel na nikawa natafuta chumba changu na ninazo funguo mkononi lakini nilipo fika kwenye kile chumba ambacho nilkuwa nahamini nichangu nikakikuta kipo wazi na mtu yupo ndani anakwenda zaidi ndani basi Mimi sikuingia nikaona kwamba sio cha kwangu nilikwenda kuangalia cha chini ni mfumo wa golofa nakahamua kuondoka hapo njei nikamuona mwanamke ambaye ninamfahamu nikamgusa mgongo akawa ananiangalia anacheka nilikuwa na shemeji yangu tukaondoka cha kushangazi wakatai naondoka nilika kitako na kuanza kuselele kama Mwenye barabara ya lami kuelekea bondeni ambayo iliyonyoka na kama Kona kidogo chini kule...je hii ndoto inamahana gani?naomba unipe mahana yake Asante

  • @irhamseif
    @irhamseif ปีที่แล้ว

    Me naota na huwa inajirudia rudia sana kuwa natoka nyumbani vizur ila kirud ndio nashindwa nakua naiona ilepale ila kuifikia sifiki naangaika sana kutafuga njia nirud lakin siwez naomba nijue ni nn maana naota hii ndoto mara kwa mara

  • @nikasdavid9338
    @nikasdavid9338 ปีที่แล้ว

    Nimeota navunja gorofa😭😭

  • @mamabestie8964
    @mamabestie8964 3 ปีที่แล้ว

    Naomba no ya simu niweze was liana na sheikh

  • @ashwramashallah7242
    @ashwramashallah7242 4 ปีที่แล้ว

    Nakuota ndoto ya kupaa ina maanagani sheikhe wangu tafazar tujue..

  • @djyondergigi1027
    @djyondergigi1027 3 ปีที่แล้ว

    A aleikum ukiota apartment mpiya umenunuwa Na ndani kuna kila kitu cha kuishi ndiyo Nini maana yake ? Shukran

  • @zammaulidi7507
    @zammaulidi7507 3 ปีที่แล้ว

    Na siku ya pili nikaota nimetoka Kwa nyumba Ila mlango wkitoka ukawq kama dirisha siwezi kutoka Ila shemeji zangu walikuwa nje ya mlango dirisha huo akanitolea waya kama nondo ya dirisha nikatoka Kwa urahisi na nyuma Yangu alikuepo mama mwanamke MTU mzima kavaa baibui la zamani ne akapita badala kupita Mie bs tujafurahi tu mana Ake nini

  • @salmachinowa459
    @salmachinowa459 ปีที่แล้ว

    Me nimeota nimejenga nyumba

  • @19noobgamer
    @19noobgamer 10 หลายเดือนก่อน

    Ivi ukitoa nyumba inavuja upande WA jikoni hii maana yake nn ostadhi

  • @ابراهيم-ض6ص6غ
    @ابراهيم-ض6ص6غ 2 ปีที่แล้ว

    Asalamu aleikum shekh mimi niliota nimenunua nyumba lakin nyumba yenyewe niyazaman ni nini maana yake shekhe

    • @ابراهيم-ض6ص6غ
      @ابراهيم-ض6ص6غ 2 ปีที่แล้ว

      Halafu kuna mtu aliniambia umenunua nyumba lakin niyazaman nikamjibu nitairekebisha polepole tena nilikua nafuraha sana nisaidie shekh wangu

  • @mariamhatib3347
    @mariamhatib3347 3 ปีที่แล้ว

    Nimeota nyumba inavunjwa anakaa mume wangu lakini so nyumba yenyewe anayokaa no nyengine pembeni Kuna nyumba anayoishi mama yangu imebomoka kizingitini inamana gani?

  • @fatmadigo6686
    @fatmadigo6686 4 ปีที่แล้ว +1

    Asalam walyekum warahmatulah wabarakatuh shekh nimeota natembea juu ya maji kisha mwisho Wa maji nikakutana na nyok mkubwa sana nikawa najalibu kujitetea lakini yule nyoka alikua ananizunguuka pasipo kunizuru nini maana yake

  • @nollinkirigo6888
    @nollinkirigo6888 2 ปีที่แล้ว

    Mimi naota ni kiwa nyumba ya matope

  • @dorinachuwa9806
    @dorinachuwa9806 3 ปีที่แล้ว

    Ukitoka unanunua vijiko vya nyumban

  • @micky_magicallyboy1768
    @micky_magicallyboy1768 3 ปีที่แล้ว +1

    Je nkiota natizama juu nkiitizama gorofa, nini mana yake!..

  • @matndaoman2983
    @matndaoman2983 ปีที่แล้ว

    Mimi niliota mvua inanyesha na nyumba inavuja wakati nyumba ni nzima kabisa

  • @happyjohn7630
    @happyjohn7630 2 ปีที่แล้ว

    Nini maan takuota nyumba uliojenga haijaisha nimelud safalini na nyumba yangu haijakwisha na nafikilia kuondoka nchi za nje ili nimalizie nyumba yangu nn maana yake

  • @MaryWainaina-j5u
    @MaryWainaina-j5u 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeota nimepata watu wasio Julika wamejenga ukuta Wa Mawe Kwa shamba yangu nikawa natafuta aliye niunzia

  • @faridaismail4041
    @faridaismail4041 ปีที่แล้ว

    Je ukiota unatembea mbele ukaona nyumba pande mbili wa kulia na kushoto

  • @iptisammohamed43mohamed17
    @iptisammohamed43mohamed17 4 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleykum shekhe mimi nineota nyumba a mbayo inaduka lamkewangu imeungua navitu vyote havipo je nini tafsuri yake

    • @hawandosi2500
      @hawandosi2500 3 ปีที่แล้ว

      Nimeota namuona mnyama anatembea juu ya maji bila kuzama kila akipiga hatua maji yanaganda ndio anaweka mguu..bila kuzama.

  • @cydohGen
    @cydohGen ปีที่แล้ว

    Ukiota shule inabomolewa kisha maji yanakuja kwa mbali tena kwa kasi tena yamechanganywa na vumbi ya black kisha watu wanaondoka barabarani kwa kasi sana kisha nimesimama tu na mtoto kando pamoja na mwanamume ambaye sio mume wangu

  • @moulinenyajuma5129
    @moulinenyajuma5129 ปีที่แล้ว

    Nimeota nimeenda kwetu nkapata nyumba ndogo imejengwa na imebomwa na matope na bati la juu lilikua mpya na ndani ya nyumba hili kuna kitanda bila godoro bali shuka nyeupe pekee kisha naskia babangu akusema kitanda nichake mtu hasikaribie naomba tafsiri yake tafadhali

  • @mildredalunga1419
    @mildredalunga1419 ปีที่แล้ว

    Mimi nimeota niko ndani ya nyumba ya kifahari na kwa ukuta picha yangu ndio iko kwa ukuta

  • @biirazainabu3513
    @biirazainabu3513 3 ปีที่แล้ว

    Uke ota uko ndani ya kabri,na umevikwa sanda vizuri,

    • @falhiyamasanyika7643
      @falhiyamasanyika7643 ปีที่แล้ว

      Asalamu alykum she Mimi nimeota nyumba iko kwenye levo ya dirisha na Mimi nikaendelea kujenga lakini nilipo pajenga kakaanguka maana yake Ni Nini shehe

  • @shezadosman1614
    @shezadosman1614 4 ปีที่แล้ว

    Mi nimeota Niko na wengine tunakimbiya kwenye nyumba tente milango mingi tunaenda kujifica mana yake nini?

  • @sadashamte6040
    @sadashamte6040 4 ปีที่แล้ว

    Mbona usemei wanawake

  • @ladylucky1714
    @ladylucky1714 4 ปีที่แล้ว

    Asalaam Aleykum Shekhe..je ukiota ndoto unapewa nyumba mpya, nzuri na ya kisasa ina maana gani?

    • @titinkuba783
      @titinkuba783 3 ปีที่แล้ว

      Mm nimeota nyumba yangu mpya kahamia mwenda wazimu na mzigo yake nilichungulia na kuondoka

  • @sumafrank2422
    @sumafrank2422 2 ปีที่แล้ว

    Nimeota nipo ulaya alafu nikaona misikiti mizuriiii

  • @magdalinejuma2028
    @magdalinejuma2028 ปีที่แล้ว

    Niliot kuwa nmejeng nyumb kubwa wanaifanyia rufen yaan wanawek mabati inamaan gn

  • @nasraalismailiy5188
    @nasraalismailiy5188 4 ปีที่แล้ว

    Shekh kama mm nimeota nimehamia nyumba nyengine na inavyumba 3 naomba tafsiri