TAFSIR YA NDOTO: MWENEYE KUOTA PERIOD USINGIZINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 45

  • @FurahaAugustin
    @FurahaAugustin ปีที่แล้ว

    Asante sana nashukuru maana ndoto zako nazi kubali sana mengi yame nitoke

  • @aminamohamed8969
    @aminamohamed8969 3 หลายเดือนก่อน

    Bismillah mashallah nimependa sana skuiz huna maongezi mengi unaenda ktk point Allah akulipe ujira wako

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 ปีที่แล้ว

    Jazaakallah khayrii

  • @NathamOmar-ls3dm
    @NathamOmar-ls3dm ปีที่แล้ว +2

    Asalam aleykum shekh Mimi niliota hedhi usingizini Alf asubuhi naamka kweli nimeingia kwenye siku inamaan gn???

  • @DianaBenedictor
    @DianaBenedictor หลายเดือนก่อน

    Mimi niotaga xan

  • @aishajuma468
    @aishajuma468 2 ปีที่แล้ว

    Asante kaka

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @MythiliBeka
    @MythiliBeka 3 หลายเดือนก่อน

    Naiyota sana hii ndoto

  • @FatmaMasiku-w6z
    @FatmaMasiku-w6z ปีที่แล้ว

    Assalamu aleykum mm sheikh nimeota nimeona damu ya hedh nyeusi

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 ปีที่แล้ว

    Mi.mbona nimesraibu video zako mpya sizipati

  • @DianaBenedictor
    @DianaBenedictor หลายเดือนก่อน

    Mimi mwenz nimeota nimeona edhi kexho yake nikaona edhi kwel

  • @HawaJuma-m9z
    @HawaJuma-m9z ปีที่แล้ว

    Asaramuareikum shehe mmnimemuota jiraniyupokwenye hedhi ndionini

  • @PaschalBayo-q8z
    @PaschalBayo-q8z 15 วันที่ผ่านมา

    M nimeota kuwa ndug zangu 3 wako period mm tu siko siku zangu naona shangaz yangu anapamba nyumba his inamaana ngan

  • @nadiaharoon9648
    @nadiaharoon9648 ปีที่แล้ว

    Asalamu Aleikumu sheikh nauliza ukiona hedhi ya mtu mwingine Inamanisha nini?

  • @mozaabdulla476
    @mozaabdulla476 ปีที่แล้ว

    A alaykm mm nmeota nimepata hedhi ila asbh yk nipoamka nmeona maji maji na cio hedhi

  • @kenyanbae2476
    @kenyanbae2476 2 ปีที่แล้ว

    Mwalimu assalam aleikum warahma tullah wabarakat mm mumewangu ndie alie niota niko kwenye hedhi je ina maana gani

  • @DianaBenedictor
    @DianaBenedictor หลายเดือนก่อน

    Aant

  • @AshaSalim-v6x
    @AshaSalim-v6x 10 วันที่ผ่านมา

    Sielewi maana ni nyingi

  • @doreenpontian8255
    @doreenpontian8255 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeona kitambaa cha piliod kinadondok mbel za watu nn maan yake

  • @gulammohammed3806
    @gulammohammed3806 ปีที่แล้ว

    A,alaikum kama mtu nimtumzima haingii tena kwenye hedhi ila kila siku anaota anaingia tafsri yake nini

  • @MarryChrispine-uy4mf
    @MarryChrispine-uy4mf ปีที่แล้ว

    me nmeona hedhi ya rafik ang inamaan gn

  • @EstherRehema-f3t
    @EstherRehema-f3t 10 หลายเดือนก่อน

    Je kuota uchi wa mama yako n vizuri kwel

    • @ZainabuSufian
      @ZainabuSufian 5 หลายเดือนก่อน

      Nivizuri usiogope

  • @mwalimungoda
    @mwalimungoda 8 วันที่ผ่านมา

    ajabu mwanaume unaota umechuchumaa unajisaidia haja kubwa ushamaliza unajiosha lakini haumalizi unaona damu zinatoka

  • @hassanalhusein1819
    @hassanalhusein1819 2 หลายเดือนก่อน

    Shekh kuota ndoto ya ndege ya raisi inataka kuanguka kisha sikuanguka then ikaondoka ila ukamwita rais ukaongea nae na kumuaga nn maanayake

  • @abdiyalove7111
    @abdiyalove7111 10 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeota mimba imeharibika natokwa na damu nyingi inamaanisha nini hiyo ndooto ?

  • @fatmakhalid942
    @fatmakhalid942 2 ปีที่แล้ว +1

    A’aleykum ustadh mim nikiwa nakaribia kuingia hedhi nakua naota kwanz alaf haichukiw mda naingia kweny hendhi

  • @ShamHassan-bv9xf
    @ShamHassan-bv9xf ปีที่แล้ว

    Ustadhi kama ukiota umeingia chooni ukakuta damu ya hedhi yamtu mwengine uka ona kinyaa ina maana gani

  • @SmilingGoBoard-bk8co
    @SmilingGoBoard-bk8co 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani wanaume wanakuywa na hedhi

  • @saraphinamyinga8773
    @saraphinamyinga8773 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani shehk na ukiota umemaliza hedhi yako na kuna mtu kaiomba ile Pedi uliyokwisha kuitumia na kuichoma moto

  • @Zeina-y9i
    @Zeina-y9i 3 หลายเดือนก่อน

    Naukiota unaona hedhi dadako inamaana gani

  • @MuasitiAboBakri-ew5mu
    @MuasitiAboBakri-ew5mu 5 หลายเดือนก่อน

    Je ukiota una mimba ila ile mimba ukawa unaitaji kujifungua upo kwenye hali ya kupush mtoto yule anayekuzalisha anashangaa mbona damu na siyo tena mimba je inamaana gani, shekhe

  • @JacklinAyubu
    @JacklinAyubu 7 หลายเดือนก่อน

    Samah shehk nimeote nipo mtoni nafua pedi napedi ilikua na dam nikaona imwekwenda na maji nini maana yake

  • @TatuSetebe
    @TatuSetebe 2 หลายเดือนก่อน

    Nmeota nakimbia huku Kuna dawa nainywa na baada ya kuinywa dawa hedh ikawa inatoka

  • @kilimoajira2457
    @kilimoajira2457 6 หลายเดือนก่อน

    Minimeota mtu kaja kaninyoa nywele kichwani alafu akachukua Pedi yangu akaondoka nayo

  • @PriscaPrincess-jn5pr
    @PriscaPrincess-jn5pr ปีที่แล้ว

    Ukiota una nunuanguo zamtumba kisha nikazifua

  • @ngusakalima9899
    @ngusakalima9899 2 ปีที่แล้ว +1

    Jeukiota umechuchumaa na unatoka hedhi Nini maana yake

    • @Christina-h5s
      @Christina-h5s 6 หลายเดือนก่อน

      Apa tupate jibu jamn hadi mimi

  • @FurahaAugustin
    @FurahaAugustin ปีที่แล้ว

    Sija elewa hiyo Namba 7

  • @aluamasudi6326
    @aluamasudi6326 3 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Asalam alaykum warahmatullah ta-allah wabarakatu. Mimi naishi Congo lakini nina kuwa naota vitu tafauti sana leo naota mimi kwanza ni mwislamu sasa naota naenda kanisani kufika kanisani nikafukuzwa pale nafukuzwa ikanza ugonvi mimi na mwanamke umoja tunaanza ku tupiana mayayi ya kuku yakuachwa kisha ule mwanamke akakimbia chumbani kwake namimi nikakimbia nikaenda kukuta kisima chamadji nikachota madji ili nidjisafishe na yale uchafu wa ma yayi hapo nikaweza kusituka uzingizini nini manayake mwalimu wangu 🙏

  • @neemaelias626
    @neemaelias626 2 ปีที่แล้ว +1

    Mi nimeona nimeona damu ya hedhi ya rafiki yangu