PART2:MCHAWI ALIEUA WATU MILIONI 2/ILIBIDI KUFANYA NA MNYAMA/WAZAZI WALINIZIKA WAKIJUA NIMEKUFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • MTU WA MUNGU KARIBU KATIKA CHANNEL YETU YA DAVISTAR MATA MEDIA KWA AJILI YA KUSAIDIA SADAKA YAKO JUU YA KAZI HII IENDELEE KUFANYIKA
    Tunatanguliza shukrani kwako na ubarikiwe sana kwa kusaidia kazi hii ya Mungu tunaomba mchango wako wa kila mwezi kwa ajili ya kazi hii iendelee kufanyika kwa sababu inagharama kubwa zilizo nje ya uwezo wetu,bonyeza link moja kati ya hizi chini kwa kiwango chako ambacho ungependa uwe unachangia kila mwezi
    KUCHANGIA TSH.3000 KILA MWEZI BONYEZA CHINI HAPA
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.5000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.10000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA TSH.20000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    KUCHANGIA 50000 KILA MWEZI BONYEZA LINK HAPA CHINI
    chat.whatsapp....
    tafadhari tuma kwa njia ya Mpesa kwa namba +255743053804 jina litakuja Dotto Mataluma/Tigopesa 0672923092 jina litakuja Dotto Mataluma na Airtel money jina litakuja Dotto Mataluma

ความคิดเห็น • 72

  • @aprilking8250
    @aprilking8250 2 ปีที่แล้ว +6

    Yesu ni BWANA wa mabwana wote juu na chini anaweza yote

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante Davistar ......hii ni 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @rahmayohana2583
    @rahmayohana2583 2 ปีที่แล้ว +6

    Nimeskiza stories nyingi ila hii ni 🔥

    • @highzacknnko9685
      @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe tushee kwa wngine wapate pia

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukiangalia wote wamepata hasara Hakuna faida yeyeto wanapata kwa shetani zaidi ya hasara

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Shetani anapenda Sana ngono

  • @priscillahkimani2098
    @priscillahkimani2098 2 ปีที่แล้ว +4

    Yani mpaka naogopa binadamu wenzangu

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa. Nipo iwambi mbeya hapa gonga like

  • @kabikamussa2393
    @kabikamussa2393 2 ปีที่แล้ว +1

    Davistar naham nikuone bro ukija kigoma aisee

  • @machiyakumalija5945
    @machiyakumalija5945 2 ปีที่แล้ว +4

    Stori hii inahuzunisha Sana bas tujikaze2

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว +1

      Kila nikisikia hizi habari nauona upendeleo mkubwa mkubwa sana, nafikiri ni majanga mangapi tumeepushwa ni wangapi wamenyonywa damu, ni wangapi wamechukuliwa matekani.Yesu ahsanteee😭😭😭

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

    Mbona sioni waislamu hapa

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani jirani Tena rafiki kile kitu anaweza kukutenda Wacha tu Wacha Mimi nifunze watoto kuisoma Bible

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 2 ปีที่แล้ว +4

    Dav andaa show mzee wadau tukutane tule nyama choma sio mbaya tukawaona akina mussa chessa na zabroni live bila chenga tukapiga nao selfie

  • @zenataashura792
    @zenataashura792 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji bana unauliza sana mpaka basi muige Jactan please

  • @chifuthedoni8889
    @chifuthedoni8889 2 ปีที่แล้ว +5

    Kama vile ndoto, Wanyama gani wanaingia ndani ya mwili wa mwanadamu na wakaishiamo? Shetani sio mtu mzuri!

    • @ashuraissa7160
      @ashuraissa7160 2 ปีที่แล้ว

      Good Question my dear. Mungu atupe wepesi

  • @winifrida8641
    @winifrida8641 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijachelewa sana

  • @upendomtui6544
    @upendomtui6544 10 หลายเดือนก่อน

    Shetani, shetani, shetani sijui nikipewa mamlaka ya kukupa adhabu na hukumu sijui naweza kufanya nini, acha MUNGU abaki mwenyewe ktk ukuu na uweza

  • @farajamkuchu8458
    @farajamkuchu8458 2 ปีที่แล้ว

    Yes kwenyekipande chamaombi nikweri kabisaa

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 2 ปีที่แล้ว

    Hatar

  • @johnwanuma7209
    @johnwanuma7209 2 ปีที่แล้ว

    Niko hapa

  • @elizabethmuia9839
    @elizabethmuia9839 2 ปีที่แล้ว +2

    Bado hajatuleza means of those Numbers🙆‍♂️

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    duuuu noma

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +1

    Shetani anawatumikisha Sana wapumbavu bila faida

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi

  • @mypsychology185
    @mypsychology185 2 ปีที่แล้ว

    Shetani ni mharibifu sanaa

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii dunia acha tu

  • @leabridget6165
    @leabridget6165 2 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰

  • @nurudaud3993
    @nurudaud3993 2 ปีที่แล้ว

    Aiseeee heeee🤔🤭

  • @robsonsadiki
    @robsonsadiki 2 ปีที่แล้ว +2

    Fichua siri za shetani

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว +2

    Gari za boss wangu namba zake 111 na 666 hii 999 anaipenda sana basi nashangaa sana Kwa nn anapenda izi namba

    • @heritier5119
      @heritier5119 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni memba huyo mali za kuzimu hizo

    • @upendomtui6544
      @upendomtui6544 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kimbia haupo na boss upo na ibilisi tu

    • @HappynessmafuruMafuru
      @HappynessmafuruMafuru 2 หลายเดือนก่อน

      Huyo bosi wako ni ajenti wa kuzimu

  • @habibasadick8263
    @habibasadick8263 2 ปีที่แล้ว

    Mhiii😭😭😭😭

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 2 ปีที่แล้ว

    Kuna movie niiona alage linaingia kwenye maji unaota mti nyumba inapanda juu sayari ingine kuna viumbe vya ajabu na mtu mmoja Ana kichwa kingine begani kinaongea jamani stori inafanania khee aya asante kwa storyMR fact

    • @karimreldalaal1387
      @karimreldalaal1387 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo movie inaitwa jack the giant slayer..niya mijitu mikubwa mno

    • @lastbornsaadah7632
      @lastbornsaadah7632 2 ปีที่แล้ว

      @@karimreldalaal1387 ndio iyo kipenzi dah kinamda story like movies jamani

  • @kulthumsaif2856
    @kulthumsaif2856 2 ปีที่แล้ว +1

    Toka nimesikia story ya kuzimu hiii ni kiboko🤔

    • @bintalmasi2393
      @bintalmasi2393 2 ปีที่แล้ว

      Mungu ampe ulinzi sana Davista, hii kazi ni zaidi ya hatari..Davista Bwana Yesu akufunike kwa damu yake, ulindwe na nguvu za Mungu, Damu ya Yesu ikufiche usionekane.
      Jamani waombaji msiache kumwombea Davista na timu yake yote.

    • @Patience.67
      @Patience.67 2 ปีที่แล้ว +1

      Yeah for sure

  • @evachuw8092
    @evachuw8092 2 ปีที่แล้ว +1

    🤭

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ปีที่แล้ว

    SHETANI NI MWONGOO.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 ปีที่แล้ว

    Et nna vidoetisa na nusu😅sicheki kwa kupenda ila ndo hvo alafu analamba midomo km jux na mond

  • @sebastianmahilane24
    @sebastianmahilane24 2 ปีที่แล้ว +1

    Uongo mtupu namfahamu sana huyo

    • @marygregory7566
      @marygregory7566 2 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo kama unamjua na kuzimu ulienda nae

    • @sarahjacobs8814
      @sarahjacobs8814 2 ปีที่แล้ว

      Tumia akili unaweza Tunga Stori kama hii

    • @GraceCharles-u6v
      @GraceCharles-u6v ปีที่แล้ว

      Kwa iyo tukusikilize wewe au

    • @HappynessmafuruMafuru
      @HappynessmafuruMafuru 2 หลายเดือนก่อน

      Unamfaham sura ila roho yake na nafsi yake huijui pole

  • @stejasatv7349
    @stejasatv7349 2 ปีที่แล้ว +2

    ACHA Hawa watu ni waongo kila anaenda kuzimu anakuja na story yake mnatuchanganya sana

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  2 ปีที่แล้ว +9

      Kuzimu sio Kariakoo useme iko moja tu,yan kama unavyoona upana wa dunia na maeneo mengi ambayo hujawahi kufika ndivyo kuzimu ilivyo ndio maana unasikia kila mmoja alienda sehemu yake japo ni huko huko kuzimu

    • @patrickmaina5459
      @patrickmaina5459 2 ปีที่แล้ว +2

      @@DavistarMataMediaDM kazi zuri Brother Mungu wa Mbinguni Akubariki na Akulinde Kwa jina la Yesu kristo 🙏 🙏

    • @christinarussambi2161
      @christinarussambi2161 2 ปีที่แล้ว

      @@DavistarMataMediaDM Mungu akulinde Dav, unafanya kazi kubwa, tunakupenda sana sana, Yesu akufunike ulinzi wake usikupungukie kila leo.

    • @hildpaul7823
      @hildpaul7823 2 ปีที่แล้ว

      @hahaha kuzimu sio kariakoo🤣🤣🙌🙌

    • @DavistarMataMediaDM
      @DavistarMataMediaDM  2 ปีที่แล้ว

      @@patrickmaina5459 Amen Amen

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa miaka 4 ameyafanya yote hayo? Anakumbuka majina ya maeneo, idadi ya watu na kila kitu. Haya bwana

    • @abdimohamed3953
      @abdimohamed3953 2 ปีที่แล้ว

      Huaminii

    • @jackal8160
      @jackal8160 2 ปีที่แล้ว +1

      una takiwa uende kuzimu uje usimlie hapa

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว

      Hussein Hussein ako na akili Sana ndio maana huyo mama jirani alimuiba

    • @kimsamespa8490
      @kimsamespa8490 2 ปีที่แล้ว

      Hussein Hussein ako na akili Sana ndio maana huyo mama jirani alimuiba

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 2 ปีที่แล้ว

      @@kimsamespa8490 Nop, akiwa mtoto wa miaka 4 alifanya mapenzi na tayari alikuwa na akili na utashi wa mtu mzima, hii ngumu kumeza plus matukio mengi anayoeleza ni yale ambayo tumeshayasikia mara nyingi.
      Inawezekana kuna ukweli kwenye hii stori yake ila utakuwa ni mdogo sana.