Ahsante kwa kutupatia chakula cha akili Broo,Endelea kuleta mambo makubuwa zaidi ,Usisahau pitia kuleta mambo yahusuyo mafanikio na watu walio Piga hatua kimaendeleo said ili nasisi tupatakujifunza zaidi #Speshokabwanga
sijakuelewa alihamia katika jiji liloharibiwa akaanza kuuza samaki baadaye akachaguliwa kuwa rais anaweza kujipigia kura mwenyewe,kwa sasa RAIA amebaki mmoja ambaye ndiye mkewe kivipi?kama katiba ya Israeli haina kipengere cha kosa la kuanzisha nchi mamlaka ya wapelestina ilipatika wapi?hebu fafanua vizuri tukuelewe ili Chanel yako tuzidi kuuamini bro.
Sauti ya dahabu shukran sna
From #+254 ..I salute you my brother
Bro mim nakupenda bure kwa unavyotup tarifa ambaz hat atujawah kuzisikia ila kwako tunazipat.
Nakukubali sana kaka jinsi unavyo tangaza
Asante kwa hatari njema
uko vzr bro
Nakukubali sana spesho kabwanga
Shukran bro kwa kutujuza 👊👊👊
safiiiii
sawa wakufollow nakubali
Kaka nakelewa sana
Nakuelewa sana
Nice
asante
pamoja sana mkuu
Ahsante kwa kutupatia chakula cha akili Broo,Endelea kuleta mambo makubuwa zaidi ,Usisahau pitia kuleta mambo yahusuyo mafanikio na watu walio Piga hatua kimaendeleo said ili nasisi tupatakujifunza zaidi #Speshokabwanga
Kama kuna bingwa dunia hii,kwangu ni wewe kaka
Uko vizuri saana
Hizi ndiyo tunatakaa
duu!! jamaa alikuwa hataki ujinga kabisa
Bro Instagram tunakupataje
Vtuko
sptephan mwanga
sijakuelewa alihamia katika jiji liloharibiwa akaanza kuuza samaki baadaye akachaguliwa kuwa rais anaweza kujipigia kura mwenyewe,kwa sasa RAIA amebaki mmoja ambaye ndiye mkewe kivipi?kama katiba ya Israeli haina kipengere cha kosa la kuanzisha nchi mamlaka ya wapelestina ilipatika wapi?hebu fafanua vizuri tukuelewe ili Chanel yako tuzidi kuuamini bro.
Marwa Bisaka huwezi kuelewa huenda utakuwa una matatizo ya ufahamu, muhimu muone daktari kwa tatizo hilo huenda Akakusaidia
Marwa Bisaka Pitia hapa en.wikipedia.org/wiki/History_of_Israel
asante sana nimeelewa bro,kwa hivyo chanzo ni ibrahimu kuzaa na mjakazi OK .
Wote ni wavamizi tu hilo ni taifa la Palestina.
duuu
Duuh
UNAFIKI TUPU HUU.
...
TIBRUCE MUSHI sijui hata wanaoamini hii stori
TIBRUCE MUSHI pumbavu
Ukiuza toa lisiti ukinunua dai lisiti tanzania ya viwanda
asante