Tunabarikiwa lakin mchungaji tunaomb uje ufundishe somo la utatu mtakatifu koz tunaambiwa akuna miungu wa tatu na akuna sehem kweny bibilia imeandik a et kuna miungu watat biblia nzima lakin ukisoma makin kweny biblia imeandikwa kwamb kuna mungu mmoja tu na bwan wetu yesu sas hii nazalia ya wasabato kwamba kuna mung bab mungu mwana na mungu roho hii imetoka wap kweny biblia naomba mtufundishe jaman
Utatu mtakatifu ni mgawanyiko wa kuonesha Kazi tatu tofauti katika nafsi tatu tofauti. Utatu mtakatifu haimanishi kuwepo kwa miungu mitatu tofauti. Mungu ni mmoja tu na hufanya kazi kwetu sisi katika nafsi tatu tofauti ambapo Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. (Mwanzo 1:26) inasema "Na tufanye mtu kwa mfano wetu” Hivyo utendaji wa Mungu unaonekana katika hizi sehemu tatu kuu katika jina Utatu mtakatifu. Wala haiwezekani kugawanisha/ kutenganisha nafsi hizi tatu na kusema kwamba kuna miungu mitatu. Mungu Baba ndiye muumbaji, Mungu Mwana aliyekuja duniani kuteswa kufa na kufufuka ili tupate ukombozi, Mungu Roho Mtakatifu ambaye ni mlinzi na msaidizi wetu ambapo kazi ya uumbaji na wokovu zinakuwa na uhusiano.
@marionmboya7219 sas je sas ivi uko mbingun izo nafsi ziko tatu kila moja na nafsi yake au zimeungana zimekuwa kama nafsi moja inayo gawanyika naomba unieleweshe yan uyo mungu baba mungh mwana na mungu roho zimeungana yan kama mwili mmoja kwa mfano au kila nafs iko peke yake sema kiutendaj ndo wanakuwa wamoja nielewesh apo kaka
Namshukulu MUNGU kwakuniunganisha nawewe tena barikiwe sana mchungaji🎉🎉
Nmefurahi ns kuzidi kujifunza kupitia hili zuri sana Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu 👏👏👏❤❤❤❤❤
Amen mungu tupe ujasiri
Amina ubarikiwe Pr
Mchungaji nimebarikiwa na mafudisho yako sana hakika nimejifunza mambo makuu mungu akubariki.
Amina, ubarikiwe Mchungaji
AMINAAA
Nabarikiwa sana na mahubir yako mtumishi was Mungu
AMEN 🙏! Thank you Pastor Mmbaga for the blessings of the word.
Amen nice teaching be blessed all the time
Mungu akubariki mtumishi ili uendelee kutumikia watu wake.
😊😊😊q😊😊😊😊😊😊😊😊
Amen!
Amina ubarikiwe sana mchungaji.
Amen
Amina
Amen 🙏 🇱🇷
Yani unafundisha vitu vya maana sana!
amen and amen
AMEN
Pr Nahitaji hizo supplement unazotumia nahizihitaji mno
Tunabarikiwa lakin mchungaji tunaomb uje ufundishe somo la utatu mtakatifu koz tunaambiwa akuna miungu wa tatu na akuna sehem kweny bibilia imeandik a et kuna miungu watat biblia nzima lakin ukisoma makin kweny biblia imeandikwa kwamb kuna mungu mmoja tu na bwan wetu yesu sas hii nazalia ya wasabato kwamba kuna mung bab mungu mwana na mungu roho hii imetoka wap kweny biblia naomba mtufundishe jaman
Utatu mtakatifu ni mgawanyiko wa kuonesha Kazi tatu tofauti katika nafsi tatu tofauti. Utatu mtakatifu haimanishi kuwepo kwa miungu mitatu tofauti. Mungu ni mmoja tu na hufanya kazi kwetu sisi katika nafsi tatu tofauti ambapo Kuna Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. (Mwanzo 1:26) inasema "Na tufanye mtu kwa mfano wetu” Hivyo utendaji wa Mungu unaonekana katika hizi sehemu tatu kuu katika jina Utatu mtakatifu. Wala haiwezekani kugawanisha/ kutenganisha nafsi hizi tatu na kusema kwamba kuna miungu mitatu.
Mungu Baba ndiye muumbaji, Mungu Mwana aliyekuja duniani kuteswa kufa na kufufuka ili tupate ukombozi, Mungu Roho Mtakatifu ambaye ni mlinzi na msaidizi wetu ambapo kazi ya uumbaji na wokovu zinakuwa na uhusiano.
@marionmboya7219 sas je sas ivi uko mbingun izo nafsi ziko tatu kila moja na nafsi yake au zimeungana zimekuwa kama nafsi moja inayo gawanyika naomba unieleweshe yan uyo mungu baba mungh mwana na mungu roho zimeungana yan kama mwili mmoja kwa mfano au kila nafs iko peke yake sema kiutendaj ndo wanakuwa wamoja nielewesh apo kaka
Aminaaa🎉🎉
Amina mchungaji
😂