ANZA KUJITAMBUA KATIKA HILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 39

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 18 วันที่ผ่านมา +8

    WEWE PASTOR MMBAGA MUNGU WANGU MIMI AKUPE MAISHA MAREFU

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 11 วันที่ผ่านมา

    Dakika 6:00 - 8:00 umefundisha kitu kikubwa mnoo. Mungu atusaidie kuielewa hiyo 'faith approach' na kuifanyia kazi.
    Hili somo leo nimelirudia mara Tatu. In less than four hours.
    Mch. Mmbaga, Mungu akutunze

  • @LukeMuriungi
    @LukeMuriungi 14 วันที่ผ่านมา

    🎉 Thanks pastor for your teaching

  • @Jerusalem_MediaTz-gc7ew
    @Jerusalem_MediaTz-gc7ew 18 วันที่ผ่านมา +2

    Pastor unanibariki na masomo yako yameniinua sana! Barikiwa! Endelea kuwa mnyenyekevu

  • @Rachelfuraha-w3s
    @Rachelfuraha-w3s 12 วันที่ผ่านมา

    Amen Pasta Mungu azidi kukulinda

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 18 วันที่ผ่านมา +1

    Amen! Thank you for the teaching. God bless you ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 11 วันที่ผ่านมา

    Mungu Baba, ahsante kwa kuwekeza kwa Mch Mmbaga

  • @AlexKedmon-e6i
    @AlexKedmon-e6i 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Tupo pamoja Pastor ❤

  • @AtuMgoba-u1l
    @AtuMgoba-u1l 19 วันที่ผ่านมา

    Amina barikiwa mtumishi wa mfalme Kwa ujumbe huu, Bwana azidi kukutumia ahsante.

  • @SabrinaFifi-m5u
    @SabrinaFifi-m5u 15 วันที่ผ่านมา

    Asante sana papan napata tenajisiyakooma kupitia himafundicho ya leo inaingia moyo kabisa nilikuwa nakosea wakati wakuomba

  • @DanielMlelwa-p6w
    @DanielMlelwa-p6w 7 วันที่ผ่านมา +1

    Cassian ajui wito wake🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️

  • @emmamwanga7774
    @emmamwanga7774 18 วันที่ผ่านมา +1

    Ubarikiwe na familia yako

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akupe afya njema Pastor wetu kwa maana mafundisho yako hutujenga files na imani ya Kweli kwa Mungu
    Mungu abariki kila hatua ya mapito yako🙏

  • @paulwambua4956
    @paulwambua4956 14 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe mchungaji naomba kujua hayo app ya simu uliyemtuma kuuliza maswali.. kama kuna mtu anaifahamu naomba kujua.

  • @NdomaSamwel
    @NdomaSamwel 15 วันที่ผ่านมา

    Mchungaji mungu akuzidishie neema na baraka

  • @KatunguMuyisa
    @KatunguMuyisa 13 วันที่ผ่านมา

    Pasta barikiwa sana,kwakutuelimisha,lakini tende ni nini?

  • @EsperenceGilbert-w4y
    @EsperenceGilbert-w4y 19 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana Mchungaji nabarikiwa sana 😊

  • @leawamukota9217
    @leawamukota9217 19 วันที่ผ่านมา

    Amen nashukuru kwa mafundisho manzuri sana

  • @RaelOtoki
    @RaelOtoki 19 วันที่ผ่านมา +1

    Watching from lraq

  • @KatunguMuyisa
    @KatunguMuyisa 13 วันที่ผ่านมา

    Pasta samahani navigation kujua vile vite ambavyo naweza kula ili niwe nauamuzi muzuri, na tende ni nini siijue niko congo drc naîtra Nadine

  • @nezerinejuma5510
    @nezerinejuma5510 14 วันที่ผ่านมา

    Amina 🙏🙏🙏

  • @malkiadidoday4661
    @malkiadidoday4661 18 วันที่ผ่านมา +1

    Got you pastor

  • @phoibekoshuma1935
    @phoibekoshuma1935 18 วันที่ผ่านมา +1

    Maisha ni kanuni nakubali

  • @BahatiJohn-zd9px
    @BahatiJohn-zd9px 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amen Amen

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 19 วันที่ผ่านมา

    Ahsante.

  • @AniniMkya
    @AniniMkya 10 วันที่ผ่านมา

    Asante mchungaji

  • @J4mohamedi01
    @J4mohamedi01 19 วันที่ผ่านมา +1

    Baba ❤

  • @asinajohn4779
    @asinajohn4779 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amen

  • @ElamJotham
    @ElamJotham 16 วันที่ผ่านมา

    Pasta nashukulu kwahilo fundisho hio yakumutuma malayika nimejalibu inafanya kbs

  • @amosmomanyi096
    @amosmomanyi096 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amen glory be to God,

  • @KauswaPhares
    @KauswaPhares 19 วันที่ผ่านมา

    Mm ni nabii ni

  • @FurahaSanga
    @FurahaSanga 9 วันที่ผ่านมา

    Tukusukulu kua elimi nzuli

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 18 วันที่ผ่านมา

    Ameen Ameen

  • @emmanuelmbwambo6571
    @emmanuelmbwambo6571 17 วันที่ผ่านมา

    😂🙏

  • @sospeterMalegesi
    @sospeterMalegesi 18 วันที่ผ่านมา

    Pastor hiyo Siri ambayo ulitamka kwamba shetani anachukia Sana tukiifahamu Siri hiyo ndio Siri ipi??

  • @DanielSamson-h4v
    @DanielSamson-h4v 19 วันที่ผ่านมา

    Pr mi nakuelewa lakini, wakati mwingine sikuelewi kwani hao malaika wa kuleta wateja wapo kweli.?

    • @brunomirambi8792
      @brunomirambi8792 18 วันที่ผ่านมา +1

      UKITAKA UMUELEWE HUYU MCHUNGAJI TAFUTA CLIP ZAKE RUDIA RUDIA RUDIA ANAWEZA AKAONGEA USIMUELEWE HATA MIMI NIMEPITA HIYO HALI SASA HIVI HAWEZ KUONGEA KITU NISIMUELEWE

    • @DanielSamson-h4v
      @DanielSamson-h4v 18 วันที่ผ่านมา

      @brunomirambi8792 sawa