Wito wenu kwa kazi ya Mungu ni wa Muhimu ... Ninatamani niwaone physically niwapongeze.... maisha yako Pr Mbwana yamenifanya nifikiri mara kwa mara hii inanikumbusha kuwa usione vinaelea vimeundwa ..... mmeupiga mwendo ..... Mama Mbwana Mungu akubariki nyie ni heroes Mungu awapiganie awatumie kwa kadri ya mapenzi yake
Wito wenu kwa kazi ya Mungu ni wa Muhimu ...
Ninatamani niwaone physically niwapongeze.... maisha yako Pr Mbwana yamenifanya nifikiri mara kwa mara hii inanikumbusha kuwa usione vinaelea vimeundwa ..... mmeupiga mwendo .....
Mama Mbwana Mungu akubariki nyie ni heroes
Mungu awapiganie awatumie kwa kadri ya mapenzi yake
Hongereni Sana Mr &Mrs Pr.G.Mbwana
Mungu akubariki Sana pr Mbwana
Naku wa Suji hongera Sana mama Mchungaji nice Calpol
Hunger pr mbwana nimafundisho mazuri sana binafisi nimejifuza kitu
Angalien focus zenu sometimes haziko sawa vijana wangu, nawafatilia sana