Nampenda sana mh, Bungara kwa amsha amsha yake na vituko vyake wakati matokeo yanatoka kila mtu anaulizia mh yule anayesema tunalianzisha upyaa amepitaa watu wengi wanakupenda sana
Bwege We love you!!😍 love from Canada that how you be loved! all over the world! We hope you will choose CCM they need your sense of humor your Mbunge of people heart ❤️❤️❤️❤️😍😍😍😂🙏😎✌️👌
@@lirastanley390 sikatai; uko sahihi. Lengo sio kazi ila ni namna ya kufanya kazi. Technology imerahisisha operational ya ufanyaji kazi. Status as mtu pia kama mbunge, sio vyema kushikiliwa mc like a child..... professionalism ni muhimu na pia tusiruhusu umaskini udictate how we should think or do certain things. Naona kuwa Millennium Developmental Goals (MDGs) na ILO bado iko mbali nasi. Ila point yako ya kazi na kula ni nzuri! But itazame pia kazi kwa jicho la HOW na sio WHY
@@sirialemmy37 sasa shida ni rasirimali pesa ndugu yangu hv unafikiri watu hawapendi vitu vzur ili wasijitese pia nakufanya media zao zionekane updated???😀PESA PESA PESA ndugu yangu ndio yasababisha facilities ziwe ndogo maana hajala hajalipia umeme hajalipia ofisi hajaweka data hajalipa anayemuhoji au hajalipa usafir n.k
Hivi najiuliza Uzalendo/Mzalendo ni mtu wa aina gani??? Huyu Mh ukumsikiliza maneno asilimia 99 anazungumzia mambo ya jimbo lake wananchi wake kwa hisia za wazi kabisa. Kwanini watu kama hawa wasingeendelea kukaa Bungeni kuwawakilisha Wananchi wao?? Huyu ni mwakilishi wa kweli kabisa wa Wananchi Bungeni eti kwa sababu tu sio wa CCM ndio maana hakushinda, CCM ni mavi kabisa
Uongozi siyo degree. Uongozo ni akili ya mtu na mazingira yanayokuzunguka . Ni kwa jinsi gani mtu/kiongozi tokea pale ulipo 7naweza kushawishi waliokuzunguka kwa hali na mali za asili zinazowazunguka kuwafungua watu macho, kujiamini, kuondoa hofu, nk. Be what you are. Surely it is possible.
ALISHINDWA KIHALALI TU MAANA UCHAGUZI WA 2020 WATU WALIKUWA WANASIKILIZA SERA SIO UCHEPE AU MATUSI AU KUPINGA KILA KITU...... WAPINZANI HAWAKUWA NA SERA WATAJUTIA MAISHA YAO.......
Kila mtu na afya yake ,wewe unayejaji afya ya mwenzako ni pimbi tena pimbi shoga, angekuwa ni baba yako ungekomenti huo usenge wako? Respect to each other
I love this man cal himself bwege but big brain thinker has been shecking inside tanzania palament bwege is nust names but whst has been speaking vsry brsuve thing into Tanzania Palament
Huyu hana ugenous wowote, ni mchekeshaji wa kawaida tu kama wachekeshaji wengine hanaga point zozote za maana zenye ushawishi bungeni mbele ya mawaziri kwa ajili ya maslahi ya watu wa jimbo lake
Huyu bwege wakenya 🇰🇪 wanamkubali mno yan mno na wanampenda kupitiliza kutokana na vituko vyake kuna clip moja ya bwege imepostiwa na ntv ya kenya ukibahatika kuiona ndo utaamin maneno yangu mpka kuna media moja ya kenya ilifunga safar ikamfata ikamhoji kipindi cha uchaguzi😅😀
Iyo kwa walewa ila kwa siasa ya upinzani hasa Tz nimaneno kweli hajakosea ukitaka kujifunza hilo angalia wapinzani ata km hajafanya kitu basi stil wakirudi na maneno wanakubalika kwa hyo bado siasa ni maneno na km hutojua kuzungumza itakushinda jifunze kwa Malim seif anavowaburuta watu
(( Coronavirus na kutangaza muujiza wa uponyaji bila chanjo wala dawa .. Imam Mahdi Nasser Mohammad Al-Yemeni. 09 - 12 - 2020 )) 👇👇 www.mahdialumma.com/showthread.php?p=340456
SEHEMU YA PILI: BWEGE NA VITUKO VYAKE/ AELEZA MAZITO BAADA YA KUSHINDWA UBUNGE th-cam.com/video/vMc4ZXdcbdc/w-d-xo.html
We all Love Muheshimwa Bwege...Salute 😍😍😍😍
Nampenda sana mh, Bungara kwa amsha amsha yake na vituko vyake wakati matokeo yanatoka kila mtu anaulizia mh yule anayesema tunalianzisha upyaa amepitaa watu wengi wanakupenda sana
Ma Sha Allahu 60yrs wainusa Allahu akuhifadhi daima
Mh, Bwege Safi sana 🔥🔥🔥🔥
Bwege uko vizuri baba
Bwege We love you!!😍 love from Canada that how you be loved! all over the world! We hope you will choose CCM they need your sense of humor your Mbunge of people heart ❤️❤️❤️❤️😍😍😍😂🙏😎✌️👌
Mh. Speaker mtamiss huyu jamaa Bwege ktk bunge la Jamhuri ya Mungano wa TZ😄😄😆😆😃😃👏🏼👏🏼🤣🤣😅😅
kuja Kenya ukuwe kavana wa Nairobi county mheshimiwa
Kavana ni nini?
😀😂nimemmis sana jamaa kukosekana mjengoni😢😢😢
Ss tunakukubar sana na utabak kuwa mbunge wangu wa moyon daima
Mbunge wa moyoni posho kiasi gani
Magufuri kaharibu siasa za Tanzania. Mr. Bwege welcome to Kenya.
Kukosekana kwa huyu bwege kumepoozesha bunge
Mzee nomaaaa sana
Mwanahalisi, mnamtesa sana mshika MC, tafuteni namna ya mwongeaji kuwa na mc yake.
Anateswa na nani wakati ndio kula yake...
@@lirastanley390 sikatai; uko sahihi. Lengo sio kazi ila ni namna ya kufanya kazi. Technology imerahisisha operational ya ufanyaji kazi. Status as mtu pia kama mbunge, sio vyema kushikiliwa mc like a child..... professionalism ni muhimu na pia tusiruhusu umaskini udictate how we should think or do certain things.
Naona kuwa Millennium Developmental Goals (MDGs) na ILO bado iko mbali nasi.
Ila point yako ya kazi na kula ni nzuri! But itazame pia kazi kwa jicho la HOW na sio WHY
@@sirialemmy37 sasa shida ni rasirimali pesa ndugu yangu hv unafikiri watu hawapendi vitu vzur ili wasijitese pia nakufanya media zao zionekane updated???😀PESA PESA PESA ndugu yangu ndio yasababisha facilities ziwe ndogo maana hajala hajalipia umeme hajalipia ofisi hajaweka data hajalipa anayemuhoji au hajalipa usafir n.k
@@lirastanley390 kiukweli ninapenda sana your matured reasoning ability. Very formal, very logical & very realistic!
@@sirialemmy37 😀much blessed
Such a rich legacy...
Kbs
Tuta kumiss sana mzee
We will miss you bwege
Yupo bungeni utamuona sana
Bwege tutakumic Sana
Bwege nimekumisi nibora wange kufikiria kwani nakufagiria sana bwege saaana urisha sikia WAP MTU kutoka cha weerisikia wap
Hivi najiuliza Uzalendo/Mzalendo ni mtu wa aina gani??? Huyu Mh ukumsikiliza maneno asilimia 99 anazungumzia mambo ya jimbo lake wananchi wake kwa hisia za wazi kabisa. Kwanini watu kama hawa wasingeendelea kukaa Bungeni kuwawakilisha Wananchi wao?? Huyu ni mwakilishi wa kweli kabisa wa Wananchi Bungeni eti kwa sababu tu sio wa CCM ndio maana hakushinda, CCM ni mavi kabisa
Tatzo Tume haikumtaka
NAMUONA OLISKIA WAPI FROM KENYA
Sio oliskia wapi ni ULISKIA WAPI
Good quality ya camera💪
Bwege ni mkweli na mpambanaji pia nimwenye huruma kwa wanyonge ata ccm wanajua hilo..
MTU kahama vyama zaidi ya mara sita halafu useme ni mkweli na mwenye huruma kwa wanyonge. Huyu ni mtu wa maslahi binafsi
@@husseinawadh4009 Mungu akusamehe tuu bure.
Kwaivo Magufuli sio mpambanaji? Hana huruma na watu?
We bado mbunge,ni ngumu jina lako kusahaulika hapo jimboni kwako.
Ukooo vzr bwegeee
Mxee akiamua kuingia katika vichekesho. Tutamsahau MZEE majuto
Bwege daaaaah issue ni vitendo
Nitakumis sana nlikuanakufatiria
Kaporwa kura sio kashindwa
Wananikera sana wanapotumia neno kushindwa wakati wanajua huu haukuwa uchaguzi bali ni madudu yaliyoanikwa hadharani.
@@muonambali Yaan sio wewe tu hata mimi inanikera sana tena sana wakati inaonyesha wazi ulikua sio uchaguzi uchafuzi mtupu
Ulishinda wewe
Mbona uyu Mzee anaonekana kama amesha Anza kupanguka kiakili..
Huku 🇰🇪 tunamtambua saaaaaaana
Uongozi siyo degree. Uongozo ni akili ya mtu na mazingira yanayokuzunguka . Ni kwa jinsi gani mtu/kiongozi tokea pale ulipo 7naweza kushawishi waliokuzunguka kwa hali na mali za asili zinazowazunguka kuwafungua watu macho, kujiamini, kuondoa hofu, nk. Be what you are. Surely it is possible.
Bunge la msimu huu halitakuwa na msisimko maana hakuna kubishana kwa hoja tena.
Bwege tunaona leo wabunge mizigo
mjawapo ndurane mzigo tena mzigo kweli kweli.
Bwege hakushindwa Uchaguzi, isipokuwa ccm waliiba kura.
Hukushindwa
Alishindwa hata kama uchaguzi haukuwa haki lakini hata kama uchaguzi ungekuwa huru na haki pia tena angeshindwa
@@husseinawadh4009 ww hujui siasa kama unaamin bwege alishindwa
ALISHINDWA KIHALALI TU MAANA UCHAGUZI WA 2020 WATU WALIKUWA WANASIKILIZA SERA SIO UCHEPE AU MATUSI AU KUPINGA KILA KITU...... WAPINZANI HAWAKUWA NA SERA WATAJUTIA MAISHA YAO.......
@@KS-iw7qv ukapimwe akili wewe
Haaaa mtume jaman bwege Wangu mbona mmemtoa ubunge mmmm nauzuni sana naomba mmludishie cheo chake msema ukweli uyu jaman mmm
Tume haikumtaka arud bungen
Tunataka kazi saivi siyo maneno
We will miss this guy
Bora angeapishwa mjomba wangu Bwege
Kila mtu na afya yake ,wewe unayejaji afya ya mwenzako ni pimbi tena pimbi shoga, angekuwa ni baba yako ungekomenti huo usenge wako? Respect to each other
haki or mandeleo...yani hakuna kitu amefanya haki unaweza nyanga sana
Yaani wote wangeshindwa akabaki bwege Niko tbr kakini bwege anaijua siasa
Aisee Ila sema kweli anachangamsha Sana bunge kwa misemo Yake, tutakumis Sana Mzee bwege
@@johncondrad6258 tutavimis Sana hivi vitu
Mtangazaji kawa mheshimiwa
Tulimoenda saba bwana bwege ni jina tuu lakini anaakili kubwa sana
Anapendwa sana Kenya kuliko TZ
I love this man cal himself bwege but big brain thinker has been shecking inside tanzania palament bwege is nust names but whst has been speaking vsry brsuve thing into Tanzania Palament
Ingiiiiia ccm bwegee ujegombania jimbooo languuu
We ulisikia wapi 😆😆😆😆
I would like to meet the man I like him
Bwege kutoka bungeni miezi 2 umesha chakaaa
Hapa kazi tuu!
Wewe una umri gani?
Mbunge mzee nasharo tz ndo huyumana pmba zke co mchezo WEEE ULISKIA WAPI?
Bwege aliibiwa kura alishinda
Huyu jamaa ni genous ila watu hawamwelewi tu.
anatoa ujumbe huku anawatania
Huyu hana ugenous wowote, ni mchekeshaji wa kawaida tu kama wachekeshaji wengine hanaga point zozote za maana zenye ushawishi bungeni mbele ya mawaziri kwa ajili ya maslahi ya watu wa jimbo lake
@@husseinawadh4009 Hana jipya zaidi ya upumbavu,anatetea tumbo lake tu.
Huyu mchekeshaji na misifa tu
@@vincentcharles4385 sasa ulitaka atetee tumbo lako kabla la kwake, we ulisikia wap!!!!!!!
Huyu ni genius ila watanzania wanataka kiongozi sio comedian
TUTAKUMISS BUNGENI BWEGE.
Mimi na penda sana vituko vyako ukiwa bungeni
Namuelewa sana
Tume ya uchaguz haikutaka arud bungen
Watu wengine hawakuwa wabunge
Ila?
Ww acha wivu pambania hali ulio nayo na ww 2kuone
@@ernestnyamachoma5112 wivu gan tena, mi si nmetoa mawazo yangu! We choko kweli
Tuna mpenda bwege
Historia yake inasisimua😥😥
Uko vizuri ndugu.
Huyu bwege wakenya 🇰🇪 wanamkubali mno yan mno na wanampenda kupitiliza kutokana na vituko vyake kuna clip moja ya bwege imepostiwa na ntv ya kenya ukibahatika kuiona ndo utaamin maneno yangu mpka kuna media moja ya kenya ilifunga safar ikamfata ikamhoji kipindi cha uchaguzi😅😀
Wanamkubali sana hata sisi wa tz hatuwawezi MTV wanamjua huyo
Bwege huku Kenya anapendwa sanaa
Tunamtambua Sana huku kenya
I wish angekuwa kwenye kundi fulani la comedy😂😂😂
Huyu mzee angerud bungeni kungenoga
Bwege kama bwege
Bunge limepoteza ladha ,
Miezi kadhaa tu nje ya mjengo keshachoka duh!
Umeonaeee!
Huyu sijui kama si mchawi,maana kakaa kibwege bwege hasa.
Hahaha
Huyu ni sawa na mzazi wako jitahidi kua na hekma
Kama una nasaba na ile familia ya sheikh Mbukuzi wa kigogo basi ujue utakuwa umewakosea sana.jitahidi kuwa na hekma ndugu yangu.
Wadigo wajinga sana
@@hemedmtunguja9788
Ndo walewaleee?
Bwege
Hila kiukweli umekuwa mweupe.....Bwege
namkubalig saan hta cjui kwann kapigwa chin comedian ztapotea
Uchaguz ulikua kituko kila mahali
Acngewza kushnda hata km angepigiwa kura na dunia nzma
No one like bwege, in tz
Bwege nimekupenda bure unabusara sana na akili nyingi sana wakurudishe ungeni Viti maalumu
Sikupingi bwegee
Wee ulisikia wapi wee ulisiikia wapi jamani
Yaani bunge kimepooza sana km maboga ya chumvi.... Jamaa ana elimu ila anawatumikia watu wke ipasavyo.
Hana elimu siyo ana elimu
@@allymngwaya1369 haya mwalimu wa kiswahili nmekuelewa.
Sijamaloza kuangalia ila tayari waandishi kona nyingi
Ukweli uchaguzi ulikuwa wa haki usidanganye watu magu kafanya mazuri kwa wananchi wake
Kama si msukumo wa upinzani unge hona nn wewe?
Wewe Kama hujaona sisi tumeona Kila kitu kilichotoke
Ruzuku imeisha imebaki ndanda kosovo
Ila hulingani nae
@@ernestnyamachoma5112 wewe wasema jina la mbunge wako we.
th-cam.com/video/wSLC2a5HQrU/w-d-xo.html nikikohoa unaitika 👆👆👆😷
Bwege siasa ni vitendo,sio maneno na ndilo lilokuponza
Iyo kwa walewa ila kwa siasa ya upinzani hasa Tz nimaneno kweli hajakosea ukitaka kujifunza hilo angalia wapinzani ata km hajafanya kitu basi stil wakirudi na maneno wanakubalika kwa hyo bado siasa ni maneno na km hutojua kuzungumza itakushinda jifunze kwa Malim seif anavowaburuta watu
unaumwa wewe
Hv kazi za mbunge ni zipi labda na mtendaji hasa wa sera ni nan,,,,hebu njoo o tjadili hili uniambie pia hayo maneno unayoyasema ni yapi
@@jkOmar2024 vilaza wengi wanakaririshwa kila wanachofikiri kukifanya usimshangae Hugo juma
@@marcokaroje8980 poa 👍
Nilikua nikisililiza sana hotuba zako ulikua ukinifuraisha sana nilitamani uwepo tena kwenye bunge ili la 2025 ila sio zali
Uyu jamaa apewe kazi bhn
Watu wa kilwa kwa kweri tumepotezaa mbungee anaejielewa na mwenye uchungu na wanamchii wakee
Hela haina maana kabisa, juzi Tu lakini ameshakonda
Umri umesonga,usimchuklie poa
Lini umemwona akiwa mnene uyo bungara tokea nianze kumuona yupo ivo ivo hajawai badilika
Uyo mbunge ni fundi
Kura za uraisi zikiwa nyege nanikasikia
(( Coronavirus na kutangaza muujiza wa uponyaji bila chanjo wala dawa ..
Imam Mahdi Nasser Mohammad Al-Yemeni.
09 - 12 - 2020 ))
👇👇 www.mahdialumma.com/showthread.php?p=340456
Muacheni ale pension
Kaz ipo
Kwa nini magu hampendi
Hujui sababu jina lake linaonesha, haitwi Jonh, ndio maana, kwasababu hii atampenda kwa lipi ?
ebuana wee 😂😂😂
Ufanye mpango uje CCM tu ndio habari ya mjini Kwa sasa
Babu sitahafu.....vema....
Aanzishe kikundi cha comedy
KUMBE CCM IMEKULETEA MAENDELEO SAFI BWEGE
Mizengwe mnasubiri nn kumchukua huyu mzee? Hiki nikipaji mithiri ya mzee matata
Vp
Ki vp
Mzee bwege mahali ulipo hakuna vinyozi kweli dodoma mjengoni patamu
Waachie vijana nao wafanye kaz
Nyoa ndevu bsi faza kukosa ubunge ni gemu tu kama gemu ya mpira wa miguu aidha ushinde au ushindwe ila ktk ubunge droo ndio hakuna!
Heshima ndevu unataka anyoe afanane na zuchu
Tz
Na nyie waandishi ebu hoji maswala yenye manufaa kwa nchi sio mna Concentrate kwenye vitu vidogo na vya kipuuzi visivyo na msingi wwte
We ulisikia wapi kuwa watu wanapenda vitu vya msingi