I am a Tanzanian aged 46 years and I live here in Iringa, Tanzania. I have never voted before BUT this time round I said I must vote ... you know I voted for who? .. I VOTED FOR JOHN POMBE MAGUFULI
Tunafuatilia sana siasa za Kenya Vidole vilimponza Chriss Msando, Kenya kuna two sitting president Kenyata sworn in by a judge and Odinga sworn in by Miguna wa miguna, BBI chakacha na reggae Matiagi anakaimu Vice President na yule aliechaguliwa kikatiba yupo,Attwoli mzee wa minyororo anatukana Vice President na hachukuliwi hatua yani Kenya mko juu sana kwa Demokrasi ukabila ndio usiseme Ouko anaokotwa kwa shamba tunafutilia sana ila hatuwezi Kigamboni siasa zenu mkitaka Tundu Lisu tunawapa bure sisi ni majirani na ni ndugu kutoka kwa mungu hamuwezi kutu push out na pia hatuwezi pia tunawapenda sana wakenya that’s why hatuingiliagi siasa zenu COVID-19 coast mama amepikia watoto wake mawe,Mungu awa bariki Magufuli Miatano tena whether you like it or not have a good day sweetheart 🇹🇿🇹🇿💪🏿
What's a constitution? It's not a holy script! As such, it will never be perfect no matter how you design, redesign and "un-design" it (if there's such a word). It's not a constitution that matters most, it's the quality and wisdom of the leadership. You may have the most elaborate and inclusive constitution, and yet a country may be poorly run. Do we follow the Holy Koran and the Bible to the letter? Be your own judge!
Because of only Bwege defeated! People can't vote for a candidate who can't work for his promises. Many things done by Magufuli during his 1st term which influence people to elect for the 2nd term. Election is over, let people work for their citizens.
Kenya must have its share of negative things but you gotta agree it's level of democracy is high than most African countries. Tanzania you can't even appeal !!!!!....too bad.
Bora wew umesema ukweli maana kenya wanajiona wamesonga mbele kwenye siasa wakati hali halisi ni kwamba ukabila ndo unawaumiza sana mpaka kuumiza watu wasio na hatia. Unaposema siasa zenu ni safi wakati mmefikia hatua mpaka kumwaga damu wakati tz tunafanya uchaguzi na kuisha kwa amani hapo wapi kuna siasa safi? Asee wafumbue macho wenzako ndugu yangu wajue kuwa siasa za kenya zimetawaliwa na koo mbili ya kenyatta na kabila lake vs odinga na kabila lake
Wakenya mnamsifu magufuli sanaa ila Raiti mngejua ukatili wake yule kiumbe 😭😭😭😭😭kazima taifa zima hakuna kumkosoa uchaguzi huu wabunge 2 wa upinzani ktk history ya Tanzania kafanya ushetani mkubwa kuhalibu uchaguzi Mungu yupo atatufuta machozi dhulumaa aliyo tufanyiaa sisi tutazidi kumkosoa na kumwomba Mungu kafungu watu sanaa
Kenyans always concerned about mediocre stuff .. -they can not talk about our SGR, -our NYERERE Hydro Electric Power Dam, -Our Natural Gas Pipeline from Mtwara - Our Oil Pipeline with Uganda -Our unforgettable tourist destinations of Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro and Zanzibar -Our recent middle income status - Our Highways that are largely free of potholes unlike theirs which are full of potholes - Our Great Political Leadership under JPM (always concerned about his negatives)
Lakini tuwapongeze Watanzania, walifanya uchaguzi na akuna fujo nyingi kamavile tuki shuhudia KENYA wanavyo fanya maratu wakiwa na uchaguzi, wengine watu wanakuwa wakimbizi. Uchaguzi wote Duniani una gubikwa na matatizo. DONARD TRUMP ana dahi amehibiwa kura na ameshinda uchaguzi kabya ya matangazo, na ni rais wa Umerekani(Ameerica). Kwaiyo amani ni muhimu kuliko vyote. Hongereni sana Watanzania.
Mimi nilijua hutoboooi 😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬😬
Am impressed by Anne Kiguta's swahili......awesome!!
Ann's swahili is quite par. Always fresh with sth new, great job!
Safi beautiful Swahili we ulisikia wapi pole sana Mzee
Wewe! Kumbe Anne ni mnoma hivo! Wow!
Ulisikia wapi!
Bwege aje nrb tumpe cheo cha governor huku kwetu
I love your Kiswahili Anne, hongera.
Aty kila mtu anaweza shinda uchaguzi "olisikia wapi"
I love this man, he should be a double citizen and via for MP..
We oloskia wapi asimilia 99% kura inashindwa na ccm 😁😁🤣🤣 I swear bwege I'm gonna miss you
Kiukweli uliibiwa wallah, yaani siezi nkakubali huo uchaguzi
Wee ulisikia wapi police akikimbia na box lakura ,
We Ulisikia wapi siyo (OLISKIA WAPI)
Mheshimiwa simu yako ilizimwa? Ooliskia wapi?!
I am a Tanzanian aged 46 years and I live here in Iringa, Tanzania. I have never voted before BUT this time round I said I must vote ... you know I voted for who? .. I VOTED FOR JOHN POMBE MAGUFULI
pointless
@@emollyedwin Thanks ... But I Happily voted for John Pombe Joseph Magufuli
@@kimkell6922 that's none of our business
You voted in vain! It was not counted.
@@emollyedwin Ok! I thought you are a Tanzanian talking about Tanzanian election in a negative way ... sorry!!!
Pole ndugu yangu bwege mjipange wakati ujao na mfanye mabadiliko katika siasa zenu
I love your Swahili Ann... Kudos gal
ety akuna haki huko,kujeni muandamane huku tutawapatia tire
😂😂😂
😂😂😂 wacha uchochozi my friend
Mimi nipo Singida Tanzania daah Bwege imeniuma sana kukosekana Bungeni yaani 😢😢
Hata wewe Ann ungekuwa mTz ungempigia nani? Lets Talk common sense?
Ann ,this is nice. I am happy
Surely.. Tumepoteza mcheshi bungeni😂😂😂😂
Mcheshi bwege hana maendeleo.
Siasa zenyu zipo vizuri. Wacheshi wa hapa kwetu huenda barabarani kurusha mawe 🤣wengine hupiga ngumi ukuta wakitaka kubomoa nyumba! Wenyu wapole sana!
@@picsandvidstv1348 Tz ni kisiwa cha amani
Bwege safi
Good jobs speaking up my.brothe bwege
Tunafatilia sana uchaguzi wa 🇰🇪
Anne's kiswahili skill are quite impressive and comendable
She's reading
Nimepatwa na mshangao jinsi ambavyo Ann anaongea kiswahili sanifu
Love you sister, from Tanzanian,
CCM made sure that they campaigned against him forcefully.
He just confirmed tz iko nyuma kabisa 😂
Ok
Absolutely
🤣🤣
🤣🤣🤣
Kawaida
Effects za network ya Airtel is clearly evident na vile "Oliskia Wapi" anakatikakatika
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Oliskia wapi
@@wesongajunior5963 😂😂😂😯
Ulisikia wapi sio olisikia wapi?
@@chriss6321 ni Oliskia wapi si uliskia wapi. That is where the comedy is
Shukrani Sana kwa kujiungana nasi🙉😜
Well come to Jubilee Mr.Bwege.
KUMBE WEWE BWEGE KWELI USIJIITE ILO JINA MANA UMEKUWA BWEGE
Nasikitika! pole for the lose Mheshimiwa Bwege. Wewe ni wetu bado💪
Yeah,niwenu kenya ,sisi huku nikazi tu nasio misemo tu.
Uyu Jamaa ni kama bifwoli wakwoli Wa kenya alafu Tanzania pia kuna wezi😂😂😂😂
Wewe oliskia wapi 😂😂😂sijaskia mimi
Mwambie mbege twampenda saaaaaaana. tena sana.
Ann it is good but you dont ask a guest "mtafanya nini?,''better ask ''mtachukua hatua gani?''
Sio mtachugua bali mtachukua
Ahhh mtachugua tena 🤣
It seems Ann thinks in English. "Wakenya hufuatilishia kikaribu" basically "following closely"
Hahaha, Kiswahili cha Kenya, bure kabisaa...
Aende kuvua samaki kilwa . Au afanye usanii kwenye radio na tv. Yeye msaliti kangojea bunge liishe halafu kakimbia CUF.
Tunafuatilia sana siasa za Kenya Vidole vilimponza Chriss Msando, Kenya kuna two sitting president Kenyata sworn in by a judge and Odinga sworn in by Miguna wa miguna, BBI chakacha na reggae Matiagi anakaimu Vice President na yule aliechaguliwa kikatiba yupo,Attwoli mzee wa minyororo anatukana Vice President na hachukuliwi hatua yani Kenya mko juu sana kwa Demokrasi ukabila ndio usiseme Ouko anaokotwa kwa shamba tunafutilia sana ila hatuwezi Kigamboni siasa zenu mkitaka Tundu Lisu tunawapa bure sisi ni majirani na ni ndugu kutoka kwa mungu hamuwezi kutu push out na pia hatuwezi pia tunawapenda sana wakenya that’s why hatuingiliagi siasa zenu COVID-19 coast mama amepikia watoto wake mawe,Mungu awa bariki Magufuli Miatano tena whether you like it or not have a good day sweetheart 🇹🇿🇹🇿💪🏿
Hata ueleweki, ati mama kampikia mtotoye jiwe! Ki vipi, ebu fafanua. .
HE IS COMEDIAN AT ZE PARLIAMENT
He is not a comedian he had got the talent in persuading crowd listling to him
@@ukhtyalpha1344 tumieni kiswahili jamani tunatamani tujue maoni yenu wengine sisi wasoma coment tu
Mgombezi ndo mgombea shikamoo kenyas swahili
Pole Sana bwege
Wa kenya tuelewane kidogo hapo huo msemo hautamkwi ivo we OLISIKIA0WAPI, bali unatamkwa hivi WE ULISIKIA WAPI...just put U instead of O
Ujaluo uta wa ua
Wewe kweli Ni bwege
Tunakupenda Sana
Without a new constitution and independent election committee, free and fair election will never happen in Tanzania.
Fact
Sure your right brother
What's a constitution? It's not a holy script! As such, it will never be perfect no matter how you design, redesign and "un-design" it (if there's such a word). It's not a constitution that matters most, it's the quality and wisdom of the leadership. You may have the most elaborate and inclusive constitution, and yet a country may be poorly run. Do we follow the Holy Koran and the Bible to the letter? Be your own judge!
Because of only Bwege defeated! People can't vote for a candidate who can't work for his promises. Many things done by Magufuli during his 1st term which influence people to elect for the 2nd term. Election is over, let people work for their citizens.
What a false theory? What would you say about the USA;when Trump is crying foul? Tanzania has the best democracy in the world? Keep on lamenting.
We bwege tu
Ulisikia wapi na sio olisikia wapi
Kiswahili safi Anne Kiguta pongezi
Whenever i see this guy I cant stop laughing...😂😀 sorry for the loose mheshimiwa
Kenya must have its share of negative things but you gotta agree it's level of democracy is high than most African countries.
Tanzania you can't even appeal !!!!!....too bad.
Wewe fikra za kikoloni zitakumaliza....tuko mbele kidemokrasia vipi....which high end politician has ever been convicted in Kenya....
Habari zakenya watamaliza Kenya habari zatanzania watamaliza Tanzania
Dah,kumbe Tzn munaona sisi Wakenya kua waadilifu kwa maasala ya uchaguzi, dah kweli kila jini lina mbuyu wake🤦
Bora wew umesema ukweli maana kenya wanajiona wamesonga mbele kwenye siasa wakati hali halisi ni kwamba ukabila ndo unawaumiza sana mpaka kuumiza watu wasio na hatia. Unaposema siasa zenu ni safi wakati mmefikia hatua mpaka kumwaga damu wakati tz tunafanya uchaguzi na kuisha kwa amani hapo wapi kuna siasa safi? Asee wafumbue macho wenzako ndugu yangu wajue kuwa siasa za kenya zimetawaliwa na koo mbili ya kenyatta na kabila lake vs odinga na kabila lake
Hapo ameulizwa kulikuwa vipi kapoteza kiti cha ubunge , karibu aseme oooooliskia wapi
Umeona eeeee!!!
@@egideniyonkuru9705 kabisaaa
Daah ni shiida
@@polytarimo324 🤦🤦🤦🤦
Ooolisikia wapi?👍👍👍k24 mbn hamna runinga yenu hapa TH-cam
Bwege naweee kimbilia Kenya
Unajipya tatizo LA kupigwa chini
My favorite mp in tanzania
Maskini pole for the loss mhesh
She is killing the Swa! Dope asf!
I like u folks from Kenya
Wewe kweli Bwegeeeee
Wenzetu wa Kenya mpo vizuri sana kwa Demokrasia, kwa Tz huu haukuwa uchaguzi bali ulikuwa ni Uchafuzi.
MWAMBIE AKUPENI URAISI KAMA MTETEZI
Kenya??? Daily wanalia we kiazi kweli
Hyu mtangazaji ni ndgo Na zuhura yunus kweli? Mbona anaongea Kiswahili saf sana San!!!!!!
Kiswahili kina mtatiza wewe wacha...
:Tunaskia ulipoteza kiti cha Ubunge
:Mliskia wapi?! Kiliibio 😂
Kujiungana nasi?? 😂😂
Wacha kucheka nagufu ci makosa yetu kiswahili ci ulimi chetu 😁😁
Pelekesheni huko, democracy hailetagiaendeleo
Pole muheshimiwa bwege Mimi naamini wewe ni bwege😂
😂😂😂😂
Trump ....ameangukia pua....ulisikia wapi!!?
Unajua kiswahili Sana ,good
Afadhali kenya 😍😍😍😍😍
Tanzania is ruled by a despot
Wewe acha uchwala
Despot ndio nini??
@@mpendakiswahili3053 Ni Zamani 😂😂😂 I never knew what I was talking about 😅
ulisikia wapi uchaguzi ukarudiwa ulisikia wapi
Kujiungana nasi🤔🤔🤔🤔🤔
Mimi hata taarifa za habari nisikilizaga za Kenya tu kila siku maana vyombo vya habari vya Kenya havina upendeleo wa vyama wala kwa watawala
Ni Ulisikia wapi? Siyo Olisikia wapi?
Tz tuko vizuri ki democracy
Kumbe Ann unaweza ongea swahili sanifu.HEKO.
Si sanifu, wewe ndio hukifahamu Kiswahili
"nilijua tu hautoboi"😂😂😂
Weed
Ulisikia wapiiii alikosaa kura Huyo???
Ann unasoma mahali au sio?
Wewe. Kweli bwege
Ulisikia wapi?.. Kwanini mnaandika Olisikia wapi, Akili finyu..
Wakenya mnamsifu magufuli sanaa ila Raiti mngejua ukatili wake yule kiumbe 😭😭😭😭😭kazima taifa zima hakuna kumkosoa uchaguzi huu wabunge 2 wa upinzani ktk history ya Tanzania kafanya ushetani mkubwa kuhalibu uchaguzi Mungu yupo atatufuta machozi dhulumaa aliyo tufanyiaa sisi tutazidi kumkosoa na kumwomba Mungu kafungu watu sanaa
Kenyans always concerned about mediocre stuff ..
-they can not talk about our SGR,
-our NYERERE Hydro Electric Power Dam,
-Our Natural Gas Pipeline from Mtwara
- Our Oil Pipeline with Uganda
-Our unforgettable tourist destinations of Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro and Zanzibar
-Our recent middle income status
- Our Highways that are largely free of potholes unlike theirs which are full of potholes
- Our Great Political Leadership under JPM (always concerned about his negatives)
Akili ndo huna 🤣🤣🤣 nyie hata highway hamna
Ann's swahili just good,..
Mhesh Bwege try next time
HuYOMKENYA HAWASAIDII LOLOTE NDOMANA NIKAMUONA BWEGE KWELI
Tutakumiss Sana mzee bwege...Bora nusu ya shari ukubaliane na matokeo..ungana na CCM ili tukuone bungeni tena...
Bweeeeegeeeeeee duuuuh safi
Mkaribisheni aje kenya
Karibia angemwambia huyo Dada we ulisikia wapi nimeshindwa
Ikishinda fresh....ukishindwa then hakuna haki.
Pewa soda 🤗
Mlikosea hamkufanya kazi majimboni mlikalia ubishi tu
Wakenya mmetuzidi mbal kwenye democracy
Msituharibie kiswahili inapaswa kufanya hata tafiti ndogo "OLISIKIA" ndio kitu gani..?
Bwege hamia Kenya
Siasa za Kenya ni ukabila kikuyu against wajaluo
Anne kwa nn hujamwuliza maana hilo neno bwege
Tutakumiss Sana aisee
Ulisika wapi amenimaliza