Wakili Rungwe acharuka uchaguzi TLS, amtaka Mwakyembe asiwavuruge

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 24

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 7 ปีที่แล้ว +1

    simple speech, mifano ya kutosha, full clarification, well understood to laymen like me

  • @alliibrahim5931
    @alliibrahim5931 7 ปีที่แล้ว +2

    binafsi nimekuelewa sana Mr rungwe mana umeeleza vzr sana

  • @kebo2155
    @kebo2155 7 ปีที่แล้ว +1

    ...wanasheria wasijiingize na Siasa.... . full stop ....

  • @castrolk.ezekiel7426
    @castrolk.ezekiel7426 7 ปีที่แล้ว +1

    Wkt mwngine kchaa huongea ukweli,hata kama CCM huona kua wapnzan ni vchaa lkn kat ya vchaa hao wapo wnye ushauli wa maana!+%

  • @edwardlijawa6458
    @edwardlijawa6458 7 ปีที่แล้ว +1

    rungwe umeeleza Kitu sahihi ktk nchi yetu kwamba kukabidhi wizara kiolela

  • @realngauwizy9812
    @realngauwizy9812 7 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌 mzee rungwe

  • @shadrackkihwaga6609
    @shadrackkihwaga6609 7 ปีที่แล้ว +1

    Umeeleweka Mheshimiwa

  • @agustinnocent9841
    @agustinnocent9841 7 ปีที่แล้ว +1

    mzee wangu..uko SAWAA....

    • @kinanaalli9950
      @kinanaalli9950 6 ปีที่แล้ว

      mzee rungwe yaani mungu amekujalia hekima mpaka raha

  • @athonyfrancis8889
    @athonyfrancis8889 7 ปีที่แล้ว +1

    yaani nachompendea yuko free sana hana ng'ata ng'ata ya maneno atoa speech nyepesi mdomoni hadi ubongoni

  • @abduladhimually3542
    @abduladhimually3542 7 ปีที่แล้ว

    nchi hii tunao akina mh maghufuli wengi ambao kiukweli wangepewa nafasi ya kuhudumu pahala nchi yetu ingelikuw hata devlopd country

  • @sulleysonmishlaymishlay7233
    @sulleysonmishlaymishlay7233 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mhe nimempenda kabisa

  • @gracealex8772
    @gracealex8772 7 ปีที่แล้ว +1

    wataelewaga tyu

  • @sifamkumula2388
    @sifamkumula2388 7 ปีที่แล้ว

    sahihi Mr Rungwe

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 7 ปีที่แล้ว

    Akiri ya kuambiwa changanya na yako,ukopouwa babu.

  • @ferdinandnkamu8638
    @ferdinandnkamu8638 7 ปีที่แล้ว +1

    Tuseme ukweli. Ukweli tu. japo ukweli unauma. Chombo kinachosimamia masilahi ya watu wote bila kujali itikadi za wateja wao kisiasa, kikabila, dini ama mazingira yo yote ya kiukanda yanayopingana na haki za binadamu kisheria na taratibu zilizopo kwa kumpa mamlaka yakusimamia haki mtu mwenye mvuto wa waziwazi kupendelea na kutetea maslahi ya chama chake, dini yake, kabila lake ama ukanda wake kwa kweli hata kama hatakuwa na mtazamo huo lakini wale wa upande wa kushoto hawatamwamini. Hali hiyo tayari inakiweka chombo hicho kukosa imani kwa watu wengine wakati upande wake wakisherehekea ushindi. Hali hii imeonekana wazi wazi mfano katika Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu. Kiongozi wa Kituo hicho kama alivyo Lissu anaushabiki wa ksiasa na itikadi za kisiasa na kikanda dhidi ya serikali. Kitendo cha Kumwadibisha Waziri Mkuu Mstaafu kwa kumpa siku 7 awaombe radhi watanzania kulilidharilisha Shirika hilo na watanzania walioupande wa kushoto hawana tena hamu na Kituo hicho. Lissu kumwita Mkuu wa nchi Dikteta kwanza siyo heshima kwa kiongozi wako hata kama ni Dikteta kweli. Hilo Mkuu wa kutetea Haki za binadamu hakuliona hilo kama ni kosa wala hakumtaka Lissu afute kauli zake za kumdharau, kumfedhesha mkuu wa nchi kwa watu waliomchagua tena kwa kura nyingi.Sasa mtu huyo ni Rais wa chombo hiki kinachotegemewa na Watanganyika wote. Je Makonda akienda TLS kuomba msaada wa wakili na akamwomba Lissu asimamie kesi yake na Cloud TV dhidi ya Gwajima, unategemea nini kama siyo Makonda kuhukumiwa hata kabla hajafikishwa mahakamani? Hiyo ndiyo ilikuwa concern ya Mh. Mwakyembe na sisi wananchi tuliliona hilo. Lengo la TLS halikuwa la kisiasa. Kuna haja sasa Kuanzisha Kituo Kingine cha sheria na Haki za Binandamu ,pamoja na Lawyers Society nyingine ambacho hazitakuwa na matakwa ya wanasiasa tofauti na hizi.

    • @renaldakamugishazeramulake940
      @renaldakamugishazeramulake940 6 ปีที่แล้ว

      Ferdinand Nkamu gazeti gani hili?

    • @simonjohn45
      @simonjohn45 6 ปีที่แล้ว

      Bro ujaelewa mamb bado .......fatilia kwa undan utaelewa Mara ngap viongoz wa selikali wana Fanya siasa kit ambach sheria hairuhs ten kwa Ku simam majukwaan ... Waachen TLS wafany ichagiz huru na haki

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว

    swali moja lina 9 min mpeni mda wamaswali ajibu yote 😍atoe siri zote 😂😂😂😂😂

  • @isayambuba3335
    @isayambuba3335 7 ปีที่แล้ว +2

    huyu Mzee amesema machache Kati ya mengi

  • @dicksound1838
    @dicksound1838 7 ปีที่แล้ว +1

    Hakika huyu mzee kuna mengi ambayo anayajua kuhusu drama drama za wanasiasa wa nchi hii, lakini pia ana style fulani ya kuchekesha katikati ya maongezi, angekuwa Rais wengi tungefurahi 😂😂😂😂😂😂