Rungwe mvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 ปีที่แล้ว +3

    safi saana MH Rungweee.

  • @frankmanga3721
    @frankmanga3721 7 ปีที่แล้ว +6

    mzee rungwe nnaimani watu wengi awaja kuelewa ila watakuelewa

  • @toshort2296
    @toshort2296 7 ปีที่แล้ว +2

    mzee kumbe kichwaaa kinomaaaaaaaaaa

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +2

    Shikamoo Mh.Rungwe . Baba Unatufaa sana unaongea with factsnaamini Mkuu amekusikiana na atakuelewa

  • @abdullmohdy5278
    @abdullmohdy5278 7 ปีที่แล้ว +1

    rungwe www ni nomaaa ww ni sahiih umesoma sheria na hukufoji vyetiii

  • @rechochofrank2953
    @rechochofrank2953 7 ปีที่แล้ว +10

    mzee yuko sahihi na si mchochezi anaongea haki kabisa ukweli makonda mchapakazi hatubishi vyeti Sasa kwani hii sawa na baba mwenye wake wawili anatenda haki kwa wake zake lakini anawasaliti watafuta ule wema wake

  • @dottomwashilindi169
    @dottomwashilindi169 7 ปีที่แล้ว +1

    Mzee yuko sawa kabxa

  • @mwanaishakareem2069
    @mwanaishakareem2069 7 ปีที่แล้ว +1

    hata wengine walifukuzwa kazi nawengine wamefungwa sio kama siowachapa kazi bali nishelia nanikuwa mfano kwawajao iliwasifoji vyeti nakama aiwezekani kwabahadhi yawengine kufukuzwa bc walewalio fukuzwa nakufungwa warudishwe kazini. ila ukweli nikwamba haki kwamungu sio dunia so bora liende. mtazamo tu sina ubaya namtu nawapenda wote ahsante

  • @zuweinaalhabsy8046
    @zuweinaalhabsy8046 7 ปีที่แล้ว +1

    yes umesema kweli.huwezi kumtangaza mwizi mwizi atakimbia sasa utamshika aje.siasa iliotumika haikufaa.

  • @dismasalex5064
    @dismasalex5064 7 ปีที่แล้ว

    Rungwe Huwa unaongea mambo kama mzaa hivi ila yanagusa sana aise Big up Mzee

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 ปีที่แล้ว +6

    hahahaha kubembelezwaaaa. kama mjukuu

  • @davyndonga
    @davyndonga 7 ปีที่แล้ว +2

    Mzee umetisha

  • @leilamohamed950
    @leilamohamed950 7 ปีที่แล้ว +2

    Hahahaaa hahahaaa, tishaa mbaya mzeeee 😁😁😁😁😁

  • @izoboydahustler3423
    @izoboydahustler3423 3 ปีที่แล้ว

    Sikupingi mzee Rungwe

  • @andrewtamba6671
    @andrewtamba6671 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 aache kulialia aonyeshe tu makaratasi

  • @mkwechemedy9929
    @mkwechemedy9929 7 ปีที่แล้ว +4

    Kweli babu unacho sema

  • @khalingumu9999
    @khalingumu9999 7 ปีที่แล้ว +2

    hahahaha amenifurahisha sana...eti anaogopa nini?? aongee 2 KAMA LBDA LILIKUA JINA LA KUOGERE AHAHAHA...RAISI WANGU MH.. RUNGWE 2020 INSHAALA ...HAHAHAHAHA

  • @lukasnkane2919
    @lukasnkane2919 7 ปีที่แล้ว +3

    eti jina la kisanii,......kwakwakwakwa!!! Rungwe bana, huo ni #uchochezi

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 7 ปีที่แล้ว +2

    Viva Makonda Viva

  • @aggykasim2464
    @aggykasim2464 7 ปีที่แล้ว +2

    baba upo sawa kabisa amaliz utata atoe vyet

  • @abdallahkisuda4859
    @abdallahkisuda4859 7 ปีที่แล้ว

    mtangazaji kazidiwa!

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    muone vile mbona huwasakami walioiba mali zatz?.mtizame mzee mzima kazi kusema uongo

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    marawatu wanakufa na njaa tunaraisi waajabu leo unampetipeti magu unasema unaamini yuko hodari atamfukil makonda

  • @josephmarwa3924
    @josephmarwa3924 7 ปีที่แล้ว +2

    TUNATAKA KUONA VYETI.. VYA MAKONDA..!!!! UWEZ KUSAFISHA JIJI KWAKO KUCHAFU

  • @zainul-hassanhussein
    @zainul-hassanhussein 7 ปีที่แล้ว +3

    Vyeti baba

  • @gastonestor9408
    @gastonestor9408 7 ปีที่แล้ว +5

    Ni kitu kidogo ku publicize education certificates au anasubiri DPP ipeleke mashtaka mahakamani ? Tutakua na imani nae zaidi kama ata air out certicate zake na kuendelea kujenga taifa.

  • @tamicambega5132
    @tamicambega5132 7 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki Makonda katika jina la Yesu. unafanya kazi ya Mungu. wacha waseme lakini Jicho la Mungu linakuchunga. PSALMS 23 all..

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว

      Tamica Mbega ya Mungu tumpe Mungu na ya kaisari tumpe Kaisari. Atoe vyeti

    • @haimonmputanyirenda9899
      @haimonmputanyirenda9899 7 ปีที่แล้ว

      Tamica Mbega hafanyi kz yamungu sio mchungaji weka vyeti

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

      I love Jesus hei kama wasrmavyo kutoa siutajili bac pia kufanya kazi suvyet bali numoyo

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

      Haimon Mputa Nyirenda wanaotumbuliwa mbona wanavyeti orijino? so kulikon makonda uwezo wake hauitaji vyet

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

      Haimon Mputa Nyirenda kufanya kazi nikarama yamtu

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว +3

    kwenye bashite tu umenikosha .....

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 7 ปีที่แล้ว

    hayachelewi kumkamata kesho au keshokutwa na kwenda kumpekua nyumbani eti ni mshirika wa madawa ya kulevya

  • @franklawrence9512
    @franklawrence9512 7 ปีที่แล้ว +2

    nmegundua kitu mahaba yakizidi upeo wa kufikiri na kuelewa unapungua kama c kuisha kabisaaaa... if you want to make a good decision stand between...

  • @agustinnocent9841
    @agustinnocent9841 7 ปีที่แล้ว +1

    mh rungwee uko sawasawa....

  • @AdnanMbaehmahmoud
    @AdnanMbaehmahmoud 7 ปีที่แล้ว

    Deep

    • @amossymajinge6320
      @amossymajinge6320 7 ปีที่แล้ว

      Adnan Mbaeh NI AIBU KUBWA SANA HIZ .....

  • @johsure5023
    @johsure5023 7 ปีที่แล้ว +5

    True story, Makonda ni mchapa kazi n we all see that. But the thing is,
    THEY started that operation ya kutafuta walofoji vyeti n stuff like
    that. There were hard working people who unluckily had fake academic
    certificates, they were all punished accordingly. In my opinion, i don't
    think this operation has to affect only a certain class of people, it
    has to apply to everybody and i mean EVERYBODY. Kama wanaamua kuwaacha
    wachapa kazi wenye vyeti fake then iwe kwa kila mtu. What example do
    they set?? what is happening right now is nonsense ( as far as the
    Makonda issue is concerned ). People need to know be it the truth or
    not. Maybe am wrong but being a hard worker is NOT an excuse. A crime is
    a crime. It's so painful to see how those in power play with our minds
    and some of us are happy about it! ( juc my opinion )

    • @gastonestor9408
      @gastonestor9408 7 ปีที่แล้ว +2

      POINT

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +1

      Truth with facts joh sure

    • @johsure5023
      @johsure5023 7 ปีที่แล้ว +2

      @Rose Hillary, kweli ... it's so painful! it seems like nchi ni ya baadhi ya watu tu!(( laws have no boundaries! am sure ingekuwa ni certain bank clerk is accused of the same thing, isingechukua hata wiki, wangemfata atoe vyeti wahakiki but eeeeeehhh!! NO WORDS TO DESCRIBE THIS!

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 7 ปีที่แล้ว +1

      Acha tu

  • @jacobmashaur5740
    @jacobmashaur5740 7 ปีที่แล้ว

    shida yetu sisi wasukuma ni ubabe kwa kila kitu hebu fikiria kauli hii "makonda wewe chapa kazi"

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 ปีที่แล้ว

    ata mimi sielewi kabisa

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 7 ปีที่แล้ว +1

    sijui kwann hawa wasomi wagumu kuelewa? yaan hata rungwe hujui kama kafoji au na ww unatembelea matukio?

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 6 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa anaonheaga km mzaha ila madini

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 7 ปีที่แล้ว

    kweli dada

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    mtizame toka lini jpm akawahodari kwako? mbinu zako zote unazomkusudia makonda zifezeheshe

  • @suleimanmohammed5344
    @suleimanmohammed5344 7 ปีที่แล้ว +1

    Kuna watu humu huwa wakiona kichwa cha habari na jina la Makonda tu wananza kukoment sana sana utaskia makonda mchapakazi lkn hasikilizi hata hiyo video inaeleza vipi...Kama umemsikiliza Rungwe basi utamuelewa anachozungumzia.

  • @dismasbijandi3922
    @dismasbijandi3922 7 ปีที่แล้ว +1

    aje aseme aonyeshe vyeti haache kutumalizia mb

  • @avitimushi1541
    @avitimushi1541 7 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa mchezo wa utoto!!

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 7 ปีที่แล้ว +2

    Makonda mchapakazi. Hata kama jina sio lake, He's a special leader

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 7 ปีที่แล้ว

      Sadock Sebastian Ooh yeah he is, i agree with you 100/%, but using someone certificates is a crime! law is law, haiangalii sababu!

    • @aaroneu07
      @aaroneu07 7 ปีที่แล้ว

      +I love Jesus ukienda Magereza utawakuta wafungwa wachapa kazi sana. Kwani wao hawana haki!?

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

      Kamanda wafungwa waliopo magereza wanachapa kazi coz wanaogopa azabu makonda anachapa kaz pasina kusulutisha amejitoa sadaka

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    kama waliotajwa naunga wameonewa kwakigezo cha wamepimwa sasa nani anaeleta tz unga?

  • @theresias5289
    @theresias5289 7 ปีที่แล้ว +2

    Mzeee kalale mwache Makonda achape kazi

    • @charitythegolden729
      @charitythegolden729 7 ปีที่แล้ว +2

      fungua ubongo, tumia reasoning and not emotion

    • @dadyhamisi6450
      @dadyhamisi6450 7 ปีที่แล้ว +1

      bado huna elim, nenda class kwanza alaf urud ktk Comment na wasomi hz. Huyo mzee ana elim sana huwez kum-dis kijana, kwa kila anayetetea vyeti feki 100% hana elim ndo maana hajui thamani ya Chet OG.

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 7 ปีที่แล้ว +1

    wewe n hamorapa

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 7 ปีที่แล้ว

    halafu huyu babu naona anauza unga maana anataman wananchi wamshitaki makonda ushindwe naulegee muone vile naona umeutumia ujana vibaya ndio maana hukupata uzee mwema

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 6 ปีที่แล้ว

      we umetumwa na most likely umelipwa na sio mtanzania na bendera yako ya kishambenga. tumia hizo pesa kujielimisha, ubongo mtupu.

  • @sadocksebastian7620
    @sadocksebastian7620 7 ปีที่แล้ว +2

    Piga kazi Makonda. Ziba masikio, fanya kazi ulopewa na Mungu

    • @theresias5289
      @theresias5289 7 ปีที่แล้ว

      Sadock Sebastian Umesema point,huyo mzee sijui anasema nini,naona kapitwa na wakati

    • @rechochofrank2953
      @rechochofrank2953 7 ปีที่แล้ว

      mungu anatoa ukuu wa makoa du baba ww mtanzania halisi

    • @mkwechemedy9929
      @mkwechemedy9929 7 ปีที่แล้ว

      Sadock Sebastian mungu kampa kazi makonda??

    • @gastonestor9408
      @gastonestor9408 7 ปีที่แล้ว

      sadock lisemwalo lipo kama halipo linakuja, ila nina mpongeza kwa kazi nzuri aliofanya na hakuna nchi duniani ambayo mpiganaji kama paul hapingwi , kutishwa na kuekewa vikwazo katika maisha yake .kwa vile yeye ni hodari anapewa shutuma za jina bandia n.k hivyo basi shutuma ndogo kama izo angezimaliza haraka sana na kuendelea na mambo muhimu.

    • @johsure5023
      @johsure5023 7 ปีที่แล้ว +3

      True story, Makonda ni mchapa kazi n we all see that. But the thing is, THEY started that operation ya kutafuta walofoji vyeti n stuff like that. There were hard working people who unluckily had fake academic certificates, they were all punished accordingly. In my opinion, i don't think this operation has to affect only a certain class of people, it has to apply to everybody and i mean EVERYBODY. Kama wanaamua kuwaacha wachapa kazi wenye vyeti fake then iwe kwa kila mtu. What example do they set?? what is happening right now is nonsense ( as far as the Makonda issue is concerned ). People need to know be it the truth or not. Maybe am wrong but being a hard worker is NOT an excuse. A crime is a crime. It's so painful to see how those in power play with our minds and some of us are happy about it! ( juc my opinion )

  • @amadeusmrope4953
    @amadeusmrope4953 7 ปีที่แล้ว +1

    kwa maombi kwa Jina la YESUi +255753743165

  • @zainul-hassanhussein
    @zainul-hassanhussein 7 ปีที่แล้ว +2

    Vyeti baba