Martha Mwaipaja - Najulikana Mbinguni (Official Music Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Wakati wengine wanafurahia kujulikana duniani na kuwa maarufu sisi tuliokoka tunajivunia kujulikana mbinguni kwa Baba yetu.Usiangaike kutafuta umaarufu kwa watu fanya bidii sana katika kumjua Mungu aliyekuumba na hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni.#Najulikana#MarthaMwaipaja#MusicVideo

ความคิดเห็น • 1K

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia2169 3 ปีที่แล้ว +281

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪👈kama unajijua unajulikana MBINGUNI na unaendelea vizuri na YESU.Naomba nipeni likes za Dadetu martha mwaipaja tukisonga mbele🙏🙏🙏🙏🙏

  • @fionahnyongesa9362
    @fionahnyongesa9362 3 ปีที่แล้ว +172

    Wale tumetambulishwa na Mungu tuseme Amen

  • @vailethmwaisumo
    @vailethmwaisumo 3 ปีที่แล้ว +57

    Ninajulikana Mbinguni kwa hakika, barikiwa Mtumishi wa MUNGU.

    • @joshuawanjala1549
      @joshuawanjala1549 3 ปีที่แล้ว

      What a powerful song, God bless you Martha

    • @sikuzankalaita2316
      @sikuzankalaita2316 3 ปีที่แล้ว

      Mungu akubariki sana

    • @Williamskenya5228
      @Williamskenya5228 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen..mtumish..naomba usinyamaze ...✨❤️🙌

    • @benlongo3653
      @benlongo3653 3 ปีที่แล้ว +1

      Napenda wimbo wa atafanya njia wa vaileth.. .such an inspirational and a blessing may the good Lord bless u abundantly

  • @julietpato2516
    @julietpato2516 2 ปีที่แล้ว +17

    My role model my everything, i love you mum beyond measures,,, my only artist in universe ,,, Team martha gonga like tukienda,,🥰

  • @ellenmhango6858
    @ellenmhango6858 3 ปีที่แล้ว +96

    Apart from being blessed by her music, I also noted that her dressing style is simple but very smart.

    • @LOJ123
      @LOJ123 3 ปีที่แล้ว +1

      Very true☺️style on point

    • @jescaelias9680
      @jescaelias9680 3 ปีที่แล้ว +2

      Exactly... She looking Verry smart

    • @nellychero1462
      @nellychero1462 3 ปีที่แล้ว +4

      I thought am the only one who has noticed that ❤️❤️❤️the outfit is ever smart

    • @rosekadzokadzo1401
      @rosekadzokadzo1401 3 ปีที่แล้ว

      Likewise is very smart

    • @gabrielmapunda6017
      @gabrielmapunda6017 3 ปีที่แล้ว

      Absolutely trueth.

  • @anganilekalinga9574
    @anganilekalinga9574 2 ปีที่แล้ว +1

    Walisemezana tusimkubali huyu😩nimekubaliwa na BABA👌👍👍👍

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 ปีที่แล้ว +9

    Ooh najulikana mbinguni Amen blessed song ooh 💕💕💕🇰🇪🇰🇪 nipewe likes

    • @carolinekifuso8604
      @carolinekifuso8604 3 ปีที่แล้ว +1

      Sister 😊😊😉😘😘😍

    • @esthermutua1287
      @esthermutua1287 3 ปีที่แล้ว +1

      @@carolinekifuso8604 yess I see you 😂😂💞💕💕💕💕

    • @carolinekifuso8604
      @carolinekifuso8604 3 ปีที่แล้ว

      @@esthermutua1287 100% wacheza na kujulikana mbinguni😁😁😁😊

  • @marycruxewabuko8111
    @marycruxewabuko8111 3 ปีที่แล้ว +36

    Najulikana binguni asante dada kwa wimbo mzuri love from Kenya 🇰🇪🥰

    • @jedidakimotho6421
      @jedidakimotho6421 3 ปีที่แล้ว +1

      Amina

    • @vivianamani2310
      @vivianamani2310 2 ปีที่แล้ว +2

      Greetings from Kenyans in Germany.
      Natambulika sana mbinguni na mumba wangu...💃💃💃💃

    • @rachaelmuzembi
      @rachaelmuzembi 2 ปีที่แล้ว

      Really he knew me before I was born nice song.greetings from Kisumu.

    • @bettymbaruku4273
      @bettymbaruku4273 2 ปีที่แล้ว

      Thanks Martha

    • @guillaumebuuma5503
      @guillaumebuuma5503 2 ปีที่แล้ว

      Ameeen,Asante sana dada ,lazima.uwe na uhakika kwanza mweyewe

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +72

    Ndio maana nakuitaga muinjilist maana huendagi mbali na uinjilist, acha dunia iwajue wakwake Mimi na matha tunajulikana MBINGUNI kwetu kwa baba

    • @jkjk-cq9ij
      @jkjk-cq9ij 3 ปีที่แล้ว +2

      Ameen,ata mm wa tatu najulkana😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +4

      @@jkjk-cq9ij 💪

    • @yasintadamian226
      @yasintadamian226 3 ปีที่แล้ว +1

      Nampendaga sana huyu Dada,mungu anamtumia sana

    • @esupatmolel7481
      @esupatmolel7481 ปีที่แล้ว +2

      Amina,,,,mimi pia nipo kati yenu

    • @lidyammari3384
      @lidyammari3384 ปีที่แล้ว +2

      @@gosbertmuta5421 à

  • @user-fj7bm7co2m
    @user-fj7bm7co2m 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ninajulikana mbinguni lakini nimetambulisha mbinguni , mungu abariki huduma yako

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 ปีที่แล้ว +13

    Whoever reading this, God is going to big hug you so tight that all your broken pieces will fit back together. Just trust in him 🙏🙏💖💖...

  • @aminamony2142
    @aminamony2142 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii nyimbo nimeixikiliza nikiwa kwenya gari nikahixi mbingu inaxhuka amani kwangu mi nimwixlamu lakini nabadili dini umeniguxa xana moyoni mwangu ubalikiwe niombe na mim nimjue zaidi mungu

  • @alexmuli9617
    @alexmuli9617 3 ปีที่แล้ว +12

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 represented. 🔥🔥🔥 Najulikana mbinguni

  • @angelvictory6169
    @angelvictory6169 2 ปีที่แล้ว +1

    Napata meseji nzuri na Nina sikia midundo mizur yenye utukufu😊🤭🥰🥰🙏🏾

  • @mosesekunoit696
    @mosesekunoit696 3 ปีที่แล้ว +5

    Amen najulikana mbinguni tew nampenda tew dada martha Mwaipaja nkiwa kenya

    • @chrispinuswere2328
      @chrispinuswere2328 3 ปีที่แล้ว

      Am from kenya martha ninabarikiwa sana na nyimbo zako

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +2

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ nakupenda Hadi shetani anajua Hilo najulikn mbinguni kweli kabisaaa jomooon❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @susanmuthoni5564
    @susanmuthoni5564 3 ปีที่แล้ว +11

    Ninajulikana mbinguni kwa hakika...Be Blessed Kwa huu wimbo Mzuri.Much Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dennismusili100
    @dennismusili100 3 ปีที่แล้ว +1

    I love this song soon much...kujulikana mbinguni si rahisi wasee😍😍😍

  • @jennifermururu7880
    @jennifermururu7880 2 ปีที่แล้ว +4

    I am known in heaven despite all the things I go through😭

  • @hitherekhakuya8312
    @hitherekhakuya8312 3 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo umenigusa nakumbuka familia ilivyo nitenga apo awali but God alinikumbuka manake najulikana mbinguni naendelea na yesu😢😢🙆🙆🙏🙏🙏

  • @annesonye4977
    @annesonye4977 3 ปีที่แล้ว +16

    Mayoooo this woman of God is too much oooo.... Am touched 😭😭😭 it's well with my soul

  • @juliusmgolitv6830
    @juliusmgolitv6830 3 ปีที่แล้ว +1

    Najulikana na Mungu
    Hata msiponichagua
    Nimechaguliwa mbinguni
    Thank you Dada mwaipaja
    I love you so much
    From 🇦🇮🇦🇮🇦🇮🇦🇮🇦🇮

  • @beritawambani5748
    @beritawambani5748 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen dada umenihubiria kweli najulikana mbinguni hallelujah.🇰🇪🇰🇪

  • @nyansongofredeerick1006
    @nyansongofredeerick1006 3 ปีที่แล้ว

    Nami pia nimetambulishwa Mbinguni Kwa Mungu.kwa Matendo yake kwangu,kweli Baba anastahili Sifa .Amina Kwa Wimbo mzuri sana

  • @missreal4329
    @missreal4329 3 ปีที่แล้ว +11

    Such a blessing song,, najulikana binguni my lov for Martha from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪

  • @siwemamsesa520
    @siwemamsesa520 ปีที่แล้ว +2

    Asante Yesu kwakuwa najulikana mbinguni, Mungu akubariki sana Dada yangu kipenzi kwa wimbo wako mzuri, pia nyimbo zako zote ni nzuri sana Dada yangu zina upako wa ki Mungu

  • @mindworks6543
    @mindworks6543 3 ปีที่แล้ว +3

    kama umechaguliwa na mumgu nipe likes tusonge mbele

  • @estherngoya1084
    @estherngoya1084 ปีที่แล้ว

    Kwa kweli dada nimefarijiwa na nyimbo zako ninawomba mungu azidishe tena neema yake kwako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @richardelisha9698
    @richardelisha9698 2 ปีที่แล้ว +4

    What Wonderful song. Nyimbo zako huwa zinanijenga , zinanifariji na kunibariki sana. I've Never see muimbaji mzuri than you. Mungu wangu akubariki na aendelee kukupa ufunuo amen. Richard from Democratic Republic of Congo.

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka 3 หลายเดือนก่อน

    Hata wanadam wasipotijua sisi twakulikana kwa baba ameeeeeen ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ptheservant8974
    @ptheservant8974 3 ปีที่แล้ว +9

    Amina Amina kazi nzuri mtumishi Martha neema zaidi iwe juu yako... Upendo ❤ na maombi 🙏 apo toka Nairobi Kenyan 🇰🇪

  • @leonardmsita4673
    @leonardmsita4673 3 ปีที่แล้ว

    Waooooooo jamani kua ndani ya yesu in raha sana aysee toka nmeanza kumjua uyu yesu hajawai kuniaibisha waliokataa kunichagua kazi wanayo mwenzao najulikana MBINGUNI, ,,,

  • @nellychitera9065
    @nellychitera9065 3 ปีที่แล้ว +7

    Haleluyaaaa. Umenibariki tena leo mtumishi wa Mungu. Nakuombeya Mungu aendeleye kukufunuliya nyimbo ili kutujenga kila siku.
    Mungu akulinde nakuku inuwa juu zaidi.

  • @getrudekgospels8885
    @getrudekgospels8885 ปีที่แล้ว

    Amina Dada, ni kweli mbinguni makao yetu ya kweli, aliye tuita ni mungu, safari yetu anaiongoza Hadi atakapo ikamilisha,,,

  • @margaretanyiso481
    @margaretanyiso481 3 ปีที่แล้ว +11

    Wow I love this song. No matter how they humiliated you, am known in heaven and moving on with Jesus🙏🙏🙏with all their hatred 😢😢

  • @neemarobert7847
    @neemarobert7847 2 ปีที่แล้ว

    Nipo zangu naimba na kumchezea Mungu wangu kwa maana najulikana Mbinguni....."Walisemezana tusimtambulishe huyu,amenitambulisha baba..."
    Barikiwa Martha Mwaipaja.

  • @happykimario8145
    @happykimario8145 3 ปีที่แล้ว +3

    Najulikana na Mbinguni 🎵🎶 naheshimiwa na MUNGU nasikiza kutoka south Asia 🌏

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 3 ปีที่แล้ว

    Tanzania Utambulisho mpya wa 2021, tunakukubali Martha kwa jumbe zako za kutujenga Kiroho bila kuchoka tubaki na yeye Baba wa Mbinguni.

  • @gaudenciamaghanga
    @gaudenciamaghanga 3 ปีที่แล้ว +11

    Am from Kenya,this🇰🇪🇰🇪 song gives me butterflies😍

  • @makitibasima4500
    @makitibasima4500 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sisi wa Congo mani tunakupenda Sana!!!!!!!!!!!!!!!????

  • @evansonoundo5455
    @evansonoundo5455 3 ปีที่แล้ว +17

    What a wonderful blessing song, Evanson nabarikiwa na huu wimbo nikiwa Nairobi kenya

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninachojua ni kuwa najulikana mbingun 🙏🙏🙏

  • @rozienas6277
    @rozienas6277 3 ปีที่แล้ว +11

    I love this woman of God ❤️❤️ from kenya

    • @joycenseya9348
      @joycenseya9348 2 ปีที่แล้ว

      I love this woman if God🥰🥰 from Congo D.R.C🙌🙌

  • @edwardsostenes8048
    @edwardsostenes8048 3 ปีที่แล้ว

    najulikana umeniheshimisha hata kwa wale walio nitakia mabaya..............Amen Baba

  • @shujaawayesu-christinesuza9383
    @shujaawayesu-christinesuza9383 3 ปีที่แล้ว +10

    Yes, am known in heaven...when I saw Angels coming down to remove me from the pit, I realized am recognized in heaven. I love the song, its my testimony.

  • @jastintyoza2274
    @jastintyoza2274 3 ปีที่แล้ว

    Hauja wahi kuimba vibaya mdada. Mungu akuzidishie kipawa cha kutuhudumia kupitia nyimbo.

  • @beverlyneotieno3841
    @beverlyneotieno3841 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninajulikana kwa Baba Juu .Martha Mwaipaja Mungu hazidi kukuinua katika huduma .🙏❤

    • @Revnakokuabwa
      @Revnakokuabwa ปีที่แล้ว

      Good Martha mungu azindikukutiaguvu

  • @levaniawilliam7109
    @levaniawilliam7109 3 ปีที่แล้ว

    Tunaojulikana mbingni tujuane kwa like jmn blessings you sister matha

  • @laurakitagwa2683
    @laurakitagwa2683 3 ปีที่แล้ว +6

    Heri nijulikane mbinguni kuliko ulimwenguni, blessed by this song and many others

  • @josephalude3285
    @josephalude3285 3 ปีที่แล้ว

    Najulikana kutoka kwa baba asante nawimbo mupiya dada Marta mungu akujaliye nehema maman angu tena akupe pumuzi yauzima nanguwu nakufata 5/5 kutoka RD Congo

  • @beatricenyasili7213
    @beatricenyasili7213 3 ปีที่แล้ว +3

    Hapo sawa 👍 mametu nilikuwa nimeutegea wimbo huu. Wonderful song, kongole🇹🇿🙏

  • @anganilekalinga9574
    @anganilekalinga9574 2 ปีที่แล้ว +1

    Waliposemezana wasinitendee mema😒nimetendewa na YESU😁

  • @selinezeline7172
    @selinezeline7172 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice song ,ninajulikana mbinguni ,ninaendelea na Yesu ,,,,ubarikiwe mtumishi 🙏🙏

  • @amisaa5910
    @amisaa5910 3 ปีที่แล้ว

    Tunajurikana mbinguni mimina Mpendwawangu martha so mungu muwezayote akupe maisha marefusan pia abaliki kazihii ❤ martha hatamavaziyenyewenima zuli yamenipendeza mno From 🇧🇮🇧🇮

  • @mercytee1942
    @mercytee1942 3 ปีที่แล้ว +3

    Ninajulikana mbinguni ninaendelea na yesu🙏🙏🙏Amen

  • @GroliaNzisabira
    @GroliaNzisabira 15 วันที่ผ่านมา

    Amena ubalikiwe tena Martha wangu moyo wangu unakupenda saaanaa❤❤❤❤❤

  • @peterblessofficial7115
    @peterblessofficial7115 3 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂 Nani anarelate Ati waliseme wasikusaidiye umesaidiawa na Mungu.. 🔥🔥🔥🇰🇪

  • @annanyoni1981
    @annanyoni1981 3 ปีที่แล้ว

    Hujawah kosea dada Martha kweli umetambulishwa Na Mungu mwenyewe,,utoe kazi za kutufariji mpendwa wetu

  • @aickapropita
    @aickapropita 3 ปีที่แล้ว +22

    We will be watching right from Kenya. God bless you

  • @bonfacewabomba8852
    @bonfacewabomba8852 3 ปีที่แล้ว

    Wimbo unaonitia nguvu na matumaini karibu tena Jesus healing center Nzoia sugar Bungoma kenya

  • @metrineomukatia3685
    @metrineomukatia3685 3 ปีที่แล้ว +6

    Slow but sure sister in Christ 🙏 big up

  • @lydiaokobi1702
    @lydiaokobi1702 2 ปีที่แล้ว

    Asante huu mwimbo umetoa wakati muafska kwangu na kunijibia kila tu🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @clerinah19438
    @clerinah19438 3 ปีที่แล้ว +4

    I would love to meet this blessed woman of God in person how can I reach her. Kila wimbo huniguza sana haswaa huongelea maisha yangu na hivyo nazidi kujipa moyo nikisonga mbele. Mama barikiwa jamani na Mungu akupe maisha marefu ili wale hawajazaliwa wapate kuinuliwa 🙏

  • @eliasndegechacha9245
    @eliasndegechacha9245 3 ปีที่แล้ว

    Ubalikiwe xana mtumixhi wa Mungu kutufikixhia ujumbe huu na Mung azid kukufunulia leo hata na kexho na hata xiku zijazo ili sisi vijana wake tupate kuwa na nguvu mbele zake.

  • @djbethuelmediaproduction1928
    @djbethuelmediaproduction1928 3 ปีที่แล้ว +4

    Martha Indeed you are very inspiring,,,,,Kuna Kipindi mtu anaweza Pitia Magumu Na Kama Sio Mungu Kumtetea Hali huwa Ngumu #Ninajulikana Mbinguni

  • @kelvinikungura581
    @kelvinikungura581 3 ปีที่แล้ว

    Usiache kuimba watuwanaokolewa kupitia nyimbo zako waliokosa matumaini unawatia moyo

  • @danieladienge9857
    @danieladienge9857 3 ปีที่แล้ว +11

    What a song? This lady is a super blessing to our generation.

    • @mariammwashibanda7289
      @mariammwashibanda7289 3 ปีที่แล้ว +1

      Amen hakika nimechanguria na Baba angu wa Mbinguni

    • @magretimrema1726
      @magretimrema1726 2 ปีที่แล้ว

      Nice song kweli nina julikan mbinguni napenda Sana nyimbo zako zinanifanya kuwa na Aman muda wote ubarikiwe Sana 🙏

  • @judithadede3394
    @judithadede3394 3 ปีที่แล้ว

    Najulikana mbinguni.....nimechaguliwa mbinguni.....neema ya baba.....🌌🌌🌌🌌🌌......nimetambulishwa mbinguni .

  • @marcelinabilombele1758
    @marcelinabilombele1758 3 ปีที่แล้ว +4

    Still looking young mama❤️❤️❤️ love the song keep it up

  • @Teophile
    @Teophile 10 หลายเดือนก่อน

    Toka Congo kwa town ya Bunia tuko pamoja nawe🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤❤❤
    Mungu wa roho muzuri akulinde💝

  • @Williamskenya5228
    @Williamskenya5228 3 ปีที่แล้ว +3

    Mamaa❤️✨🙌

  • @tendaimavhe2869
    @tendaimavhe2869 2 ปีที่แล้ว +1

    There is one thing I luv the most about you Martha ...Your Dressing ...all your Videos ....I luv you so much ....😍From Zimbabwe😍...I luv you 😘

  • @mercywambani589
    @mercywambani589 3 ปีที่แล้ว +5

    Hallelujah

  • @anganilekalinga9574
    @anganilekalinga9574 2 ปีที่แล้ว

    Wameambizana wasinisaidie mimi😏😏😏nimesaidiwa na BABA🤩mbingu yanijua wooooh

  • @winnyrocha1361
    @winnyrocha1361 3 ปีที่แล้ว +6

    Love this lady so much God bless you for spreading gospel

  • @christineuwimana6091
    @christineuwimana6091 3 ปีที่แล้ว

    Mdongoyangu Nakupenda sana Mungu azindi kukuinua kambisa unasema maneno yangu yote .ila unan8kumbusha usumbui wa leo kua Mbingu inanijua Amen🙏🏿🇧🇮

  • @aliathuman696
    @aliathuman696 3 ปีที่แล้ว +3

    Martha is a singer who sings heart touching songs God bless her

  • @ireneatieno4282
    @ireneatieno4282 3 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana sana.....nikiwa Knya but I like you in short hair hua unapendeza kabsaa

  • @freestaressymusic
    @freestaressymusic 3 ปีที่แล้ว +4

    Ooh Yes nimewekwa na Mungu na Amenitambulisha, nimekubaliwa hallelujah 🙌🏻🙌🏻

  • @user-jx6uo3hm3m
    @user-jx6uo3hm3m ปีที่แล้ว

    mungu azidi kukupa kipaji kizidi najickia raha kwa nyimbo zako mpaka najiona mwema nikikusikia ilove you martha 💔❤

  • @TheMwanZ
    @TheMwanZ 3 ปีที่แล้ว +3

    God bless you, Dada. We love you pamoja na kazi ulio pewa na Mungu

  • @wordsofhopewestpalzab4875
    @wordsofhopewestpalzab4875 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani mama, huduma hiii si kwa nguvu zako, ila aliyendani mwako. Kwani uyanenayo ni maisha yangu kabsaa. Tunzwa n'a Mungu

  • @joycetuwei2877
    @joycetuwei2877 3 ปีที่แล้ว +6

    The way I love you Martha Mwaipaja only God knows.be blessed, I wish to meet you one day, am from Kenya

    • @adriannajoelq38
      @adriannajoelq38 2 ปีที่แล้ว

      Amen najulikana mbinguni niende kwa nani naendelea na YESU

  • @ambonizerboy3787
    @ambonizerboy3787 3 ปีที่แล้ว +1

    ahsante kwa wimbo mzuri sana dada

  • @lovey5591
    @lovey5591 3 ปีที่แล้ว +12

    Your voice is on another level May God continue uplifting you spiritually

  • @aderinacharles9415
    @aderinacharles9415 3 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana barikiwa mpendwa

  • @mercynekesa2542
    @mercynekesa2542 3 ปีที่แล้ว +4

    My favourite person both in ministry and of course dress code is always on point 😍😍😍😍🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @allynjenje
    @allynjenje 3 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi jitambulisha mwenyewe jamani,Nimetambulishwa na baba🙏🙏

  • @elizabethagala5903
    @elizabethagala5903 3 ปีที่แล้ว +7

    All your songs are so blessing and the message in the songs very true, be blessed as u continue blessing me

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 ปีที่แล้ว

    Namu hatuna mwingine zaidi ya MUNGU wa mbingu na NCHI Ila nakupenda acha MAWIGI hayo na kuacha hizo tafadhali nakupenda Sana MAANA una vitu vya MUNGU NDANI MWAKO

  • @Jimmy_Carter
    @Jimmy_Carter 3 ปีที่แล้ว +4

    Thank you God for using your servant Mwaipaja to remind us we are known by you God.

  • @user-vn3ye4ok6j
    @user-vn3ye4ok6j 3 ปีที่แล้ว

    Najulikana mbinguni na baba like zenu jamani kwa sister martha

  • @jenipherachieng6278
    @jenipherachieng6278 3 ปีที่แล้ว +3

    Martha I can't stop watching your sang am blessed by the message God bless you

  • @violaaa5164
    @violaaa5164 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mimi ninani nisiposkiza nyimbozako hakika upo kwa ajili ya ukombozi wetu yani dada mungu aendelee kukunawirisha nakwombea sana kwa kazi nzuri hakika nyimbo zako huuliza mwoyo wangu kwa furaha

  • @Faithful3user
    @Faithful3user 3 ปีที่แล้ว +8

    Everything is on point. From the message in the song, dress code, that infectious smile 😍.. Blessed woman of God. Keep up the good work 🙏.

  • @michelineniyonzima3433
    @michelineniyonzima3433 2 ปีที่แล้ว

    Asante my sister kunikumbusha kwamba najulikana mbinguni. Micheline from Burundi 🇧🇮

  • @daisymusenga6249
    @daisymusenga6249 3 ปีที่แล้ว +5

    God bless you so much Martha...This song is a blessing to me such a wonderful song healing a soul ...

  • @reginahmanamba8354
    @reginahmanamba8354 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana kipenzi mi pia napitia magumu but nyimbo zako zinanifariji mno mungu azidi kukupa maono ya mbinguni I love you more my sisiter

  • @humphreysiwale2528
    @humphreysiwale2528 2 ปีที่แล้ว +4

    what a great blessing, when i listen to this song i see the power of God

  • @oliviershadrack1620
    @oliviershadrack1620 ปีที่แล้ว +1

    wimbohu kabisa umenibariki sana Mungu akuongezeye mibaraka