Amina kesho yangu ni bora kuliko leo haijalishi yale yote nimepitia kimaisha nazidi kuweka imani yangu kwa Yesu maana najua ako na mipango miema juu ya maisha yangu na kwa yeyote anayesikiliza nyimbo hizi
Amina mungu ni mungu waja mungu asiti kukupa kibali kwa ajili ya nyimbo zako unamusifukila wagati waja mungu asiti kukutia ngufu kwa ajili ya kibali alikuba
Mungu akutunze na akufadhiki Mather unaimba sana ,Ile wimbo wako unaimba ukieleza mambo yangu eleza ya sasa nimesikiliza mpaka umeniliza sana kwa furaha lakini maana nilipita sana sasa Mungu amenikumbuka na mm❤❤❤
Ah i like this part for Mungu ni wakwetu baba inanipa nguvu za ki roh atungupe kweli pole sana kwa Wimbo uhu mama martha gisi wimbo inatubariki pia ubarikiwe
Je suis gabonaise et j'apprécie bien les louanges de cette jeune dame mais le comble,je ne comprends pas rien.qu'a cela ne tienne quelques dieu la bénisse et longue vie à elle merci.
Sio wewe mwenyewe. Martha mungu aendeleye kukupa kibali. Nyimbo unazo ziimba zina nitiyaka moyo na siku moja tutaona mungu. Ni yusufu rdc sud Kivu Bukavu
Niko Mombasa nampenda sana nyimbo zako dada Zina mafundishona pia zamutia mtu msukumo Fulani kwa neno la Mungu dadangu barikiwa sana na akufungulie mipaka mingi kwa maisha Amen

Hizinyembo.huwa zinatoa machozi ubalikiwe.sana.
Nimekukubali Kwa nyimbo zakoooo
Amina mungu ni mungu waja mungu asiti kukupa kibali kwa ajili ya nyimbo zako unamusifukila wagati waja mungu asiti kukutia ngufu kwa ajili ya kibali alikuba
God bless you nyimbo hizi zinanitia moyo sana
Aksante, nyimbo zako zanipa moyo
Huyu dada kwa ukweli hana mfano
Mungu akupe maisha malefu
Mungu akutunze na akufadhiki Mather unaimba sana ,Ile wimbo wako unaimba ukieleza mambo yangu eleza ya sasa nimesikiliza mpaka umeniliza sana kwa furaha lakini maana nilipita sana sasa Mungu amenikumbuka na mm❤❤❤
Hallelujah napenda uyu mutowamungu kabisa nyimbo zake nazipendasana kabisa
Mungu aki jaze daima,, unanibariki Eh Mukazi wa Bwana!
Can't be downloaded please tuma link I feel more blessed
Ubarikiwe mama nakupenda sana kamama mama angu mngu akupiganie namaadui mamy
Ah i like this part for Mungu ni wakwetu baba inanipa nguvu za ki roh atungupe kweli pole sana kwa Wimbo uhu mama martha gisi wimbo inatubariki pia ubarikiwe
Haleluyaaaàaa ubarikiwe sana mutumishi wamungu kwanyimbo nzuri zinaturiza mioyo yetu mungu akujarie maaranyingi
Amen
Amina mtumishi
Ubarikiwe mama
Nmebarikiwa mwaipaja mungu azidi kukuinua nmefarijika kabisaa
Ubalikiwe sana mtumishi wa mugu tu nakupenda sana
❤❤❤❤❤❤❤unanifariji. Sana sana
Ubarikiwe dada Martha aksate sana.
Nyimbo zako ni za baraka kwangu na kwa wengine.Fumilia maisha ya Dunia hii ambayo wema.I need your phone if only you wish .God bless you.
Je suis gabonaise et j'apprécie bien les louanges de cette jeune dame mais le comble,je ne comprends pas rien.qu'a cela ne tienne quelques dieu la bénisse et longue vie à elle merci.
Sio wewe mwenyewe. Martha mungu aendeleye kukupa kibali. Nyimbo unazo ziimba zina nitiyaka moyo na siku moja tutaona mungu. Ni yusufu rdc sud Kivu Bukavu
❤
love you more from Sierra Leone
Nyimbo zako zina tia nguvu sana ubarikiwe maamaa
May our dear Lord continue using you to uplift all the brokenhearted
Ibarikiwe daima n'a Bwana.
Napenda sana nyimbo za Martha sana sana 😘😘💕👌🙏
Yeye n mungu akipanga amepanga nice song
Mix ya martha mwaibaja iko on top big up dj💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks
My best miscian
Haki watu walinitoroka woooote wale nilikuwanga nikusaidia nikabaki peke yangu washirika wakatoroka wote. Lakini Mungu Ni Mungu tu
Amen nakupenda sana mimii
Usituache mungu 🙏🙏🙏🙏
Amen mungu na abaki mungu Kwa ujumbe wako mama barikiwa ❤🎉
Me watching 2nd Dec 2024 from Nairobi kenya.may God bless My role model Martha Mwaipaja
muguakubariki mama.nimutumishi.kutoka kongodiyarsi.
Ni kwel anaepanga ni mung
Mungu abariki kazi yake nzuri unayofanya dada amen
Selection safi!
Mungu ampe maisha marefu Martha, ili aendelee na injili yake mwokoz
Amen 🙏
Mum kweri nakupenda Santa.
Kazi njema sanaaaa...keep th fire burning 🔥 😍 Dj Jemo
That's the spirit 👏
Kweli kabisa hallelujah ameen ✋🙏❤️♥️ good work
Nampenda Mwimbaji Martha, nice beats and very encouraging songs❤️❤️❤️🌹🔥🔥🔥🙏
She's the best 👌
This mix should have more likes and views than this. This is a masterpiece
Dada yangu Martha Mwai paja ubarikiwe n'a Mungu
Kama tungekuwa na waimbaji wenye hekima na hofu ya Mungu kama wewe jina la mungu lingeinuliwa sana.mungu akutunze.by.mch.magreth.unanibarik.mno.
Mungu aendelee kukutumia
Uuuuuuuuuwii siwezi kosa kuskia hata siku moja inaninabariki❤❤❤❤❤
D j.nimekukuba
Asante sana mama congo nzima inasema amen ubarikiwe milele 👏👏🌲🌲🇨🇩🇨🇩
Martha Nakupenda saana barikiwa saana...Dj James God bless you too.😇❤️🙌🙏🇰🇪
Niko Mombasa nampenda sana nyimbo zako dada Zina mafundishona pia zamutia mtu msukumo Fulani kwa neno la Mungu dadangu barikiwa sana na akufungulie mipaka mingi kwa maisha Amen
Nyimbo za Martha, Sauti yake iko na upako. Zimo utulivu, zinavutia saana.
Mungu akubariki ❤
Nakupenda saaana, ninavyo omba nikwamba Mungu akukuze juu sana.
Ninyimbo xako xanipaa nguvu mungu akubariki
Best DJing woow Adante❤❤❤❤❤❤❤❤❤
hongera saana ndugu zangu
God bless you sis nyimbo zako unitia nguvu sana 🙏
Amena unanifaliji sana sana
So powerful and soul enriching..
May God bless you all listeners and Mwaipaja
Ubarikiwe.sana.mtumishi.wamungu
Mungu.nimwema.rafiki
Asante dada unakuga unanifariji nanyimbo zako dada mungu akubariki
Amen. Mungu ni mwaminifu
Always
Asanti mungu kwahupendo akulinde martha🙏 kutoka Congo 🇨🇩🫶❤
Wimbo umenibariki sana ubarikiwe dada Martha mwaipaja I Love you so much 💖 🎉❤
Barikiwa sana nyibo zako huwa zinanitia nguvu shida hatuezi
Martha wangu. Nakupenda sana Mungu ndio anajua
Nyimbo zako zinanipa Upako sanaa 🙏
You really inspire me with your songs Martha❤❤❤ be blessed woman of God
Your songs are touching my life ❤
Mama.asant.mungu agusaidiye.mama
❤i live you matha mungu akulinde
Nyimbo zako Zina nijenga moyo sana nigependa NAMI unifundishe kuimba please let me know kama inawezekana na nehema ya yesu ikuinuwe
Ingia choir
Namjua Mungu atakuinua
Asante kwa kunipa tumaimi kwa kupitia nyimbo zako mtumishi
Nimebarikiwa sana na hizi nyimbo..mungu akuinue matha🙏
Amen 🙏
@@DJJamesTheRockstarTV viviana from nairobi kenya l love the mix tspe and the singer
Your songs really bless me Martha ,.🙏🙏🙏🙏
Very great gospel singer, Mungu akubariki sana dada mpendwa, nampenda nyimbo zako Zina bariki nyoyo za watu wengi.
Keep praising God you're blessed
MUNGU aku ongezeya tena karama
Mama ni mama kweli
Mix Nzuri Sana brother
Asante
Great job mama tumebarikiwa kubarikiwa
Nabarikiwa Sana na nyimbo zako
John kaloki from msa kenya nimebarika sana mungu akubariki
Martha you are the best ever to me. Be blessed tusana for touching our hearts ❤️🙏❤️
Am being blessed by your songs,be blessed 🙏 Tmwaliki from PBC
Nyimbo zako hunitia moyo
Am blessed
I love 💕💕💕 you mummy with your nice songs may God bless you
mama mungu akubari sana wimbo zako zani farinji aki ubarikiwe ❤
Ndio,,, tumtegemee Mungu tu
Kweli naiona kesho yangu
Kesho iliyobarikiwa
Amina
Uwimbo waniliza hki nkikumbuka niliyo yaptia munguu akupe nguvu mathaa juu nyimbo zako zatiiaa moyo sana 🎉🎉🎉 nkupenda sana dada
Ninajulikana mbinguni ninaendeleaa na yesuu....
Love this mix, thank you for sharing. God bless your ministry ❤
. Mashallay Mashallay ❤❤❤ nkuaminia sana mwenyenzi mungu akuepushe na hasadii na asidii zaduniaa ❤❤ nkupenda sana
Am blessed by your song's every day ❤❤❤
am motivated to all says and messages for madam martha am overjoyed to feel born once more,,,thanks so much dj
Thanks Martha for your healing songs keep going God is protecting you
Mungu akubalike