Martha Mwaipaja-Nimesikia Sauti (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • ni maombi yangu wimbo huu ukuhudumie Sauti ya Mungu iponye maisha yako #marthamwaipaja#NimesikiaSauti#OfficalVideo

ความคิดเห็น • 836

  • @bonfacesdream
    @bonfacesdream 2 ปีที่แล้ว +11

    Kama umebarikiwa na huu nyimbo....PIGA LIKE hapa...Nimebarikiwa

    • @musimwabarhahiga7811
      @musimwabarhahiga7811 5 หลายเดือนก่อน

      Amina muimbaji una tu bariki sana n'a nyimbo zako.
      Mungu aku zishiye nguvu

  • @lydiashisia2169
    @lydiashisia2169 2 ปีที่แล้ว +54

    Kama ulisikia sauti nyingi na hazikukusaidia, lakini pindi uliposikia tu sauti ya YESU ukaponywa.Naomba nipeni likes za dadetu martha mwaipaja tukisonga mbele 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @RachelErickana
      @RachelErickana ปีที่แล้ว +1

      Namwelewa sana da martha

    • @PaulinaMlelwa-pv9fw
      @PaulinaMlelwa-pv9fw ปีที่แล้ว +1

      Amina sana dada 🙏🙏🌹🌹

    • @datiuscharles
      @datiuscharles ปีที่แล้ว

      kiukweli huu wimbo umenigusa nilikosa usngiz sasa nimepata usingiz mngu akubaliki kwa ujumbe wako dada matha

    • @user-mj2lh7ps7k
      @user-mj2lh7ps7k ปีที่แล้ว

      🎉🎉🎉

    • @IgnatiusWanyama-oe3op
      @IgnatiusWanyama-oe3op 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli

  • @joskyshams4758
    @joskyshams4758 2 ปีที่แล้ว +66

    Timely song! Kenyans mko wapi? 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @esthermusaliaofficial1245
    @esthermusaliaofficial1245 2 ปีที่แล้ว +72

    Wow more grace my sister,Tunabarikiwa saana na nyimbo zako hapa kenya and we love you so much ,wapi likes za martha from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 2 ปีที่แล้ว +14

    This one blessing one nimesikia .sauti ya Yesu🎻🎻🎻🎻🎻🎻🤗💞💞💞💞🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 WaPi likes za wakenya tukisonga

  • @langatevanskitolindet8675
    @langatevanskitolindet8675 2 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi likes za Martha mwaipaja???
    Hongera sana dear!

  • @praiseandworship6293
    @praiseandworship6293 2 ปีที่แล้ว +87

    Heavenly Father I pray you keep the person reading this alive, safe, healthy & financially blessed. Amen

  • @celine7422
    @celine7422 2 ปีที่แล้ว +3

    Kama umetamani kunyoa nywele kama mwaipaja gonga like.
    Mum you look so lovely in short hair❤❤❤❤

  • @josphinemutai5649
    @josphinemutai5649 2 ปีที่แล้ว +161

    Kenyans let's show love to the gospel queen, I love your songs Martha God bless you🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @hadlightabisai6533
      @hadlightabisai6533 2 ปีที่แล้ว +6

      Sorry to ask but is Martha Mwaipaja a Kenyan

    • @amaradave
      @amaradave 2 ปีที่แล้ว +1

      @@hadlightabisai6533 she's Tanzanian

    • @kasayadolphine3781
      @kasayadolphine3781 2 ปีที่แล้ว +4

      Am here. This is my great gospel artist

    • @irenemmbogo4101
      @irenemmbogo4101 2 ปีที่แล้ว +3

      Am always blessed being here

    • @kasayadolphine3781
      @kasayadolphine3781 2 ปีที่แล้ว +1

      @@irenemmbogo4101 I too

  • @johnsayaya8922
    @johnsayaya8922 2 ปีที่แล้ว +5

    Much ❤❤ frm kenyans if you feel the prophetic words Pita na likes plz✔✅✔

  • @Keringalex
    @Keringalex ปีที่แล้ว +1

    Bwana Yesu, unaposikika katika Nyika ya Tanga🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿, Naomba usikike nchini Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.
    Sikika pia ulimwenguni kote ewe Yesu. Waokolewe wote watakaoamini. Upendo wako ni WA wote.

  • @nancykinyua1201
    @nancykinyua1201 2 ปีที่แล้ว +7

    Nimesikia sauti nyingi iliyonipinya niya yesu. Hii wimbo kwangu ni kama maombi 🤲🤲🤲🙏🏾🙏🏾

  • @therencewatara1770
    @therencewatara1770 2 ปีที่แล้ว

    Mama nakufuatilia nikiwa Burundi nchini kwetu tuna kupenda sana kwa kazi nzuri ya mungu(Imana irakuzi kandi iguhezagire cane sana)

  • @jescahwendo7537
    @jescahwendo7537 2 ปีที่แล้ว

    Woow !!! Napenda sana nyimbo Sako lakini hii it's the best one naparikiwa sana ,,,,,endelea kusonga mbele dada uko mmmwuu,,,,

  • @sammuelngei9009
    @sammuelngei9009 2 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana kiimbie ka wwe mtumishi wa Mungu

  • @adambinsmith6201
    @adambinsmith6201 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe dada martha mungu wangu akuzidie siku nyengi duniani dada,Adam bin Smith from drc congo 🇨🇩 beni tawn

  • @athangaomar8128
    @athangaomar8128 2 ปีที่แล้ว

    I am patrice from DRCongo,tunajengwa zaidi na nyimbo zako martha,ubarikiwe sana unatujenga huko congo

  • @agnessahia415
    @agnessahia415 2 ปีที่แล้ว

    Vile ujumbe unaovyo nigusa asante Sana dda Angu Martha napenda uimbaji wako nyimbo zako zinatia faraja na kunifanya niinuke tena pale ninapo anguka Mungu azidi kukuinua mpaka Viwango vya juu zaidi

  • @ernestmwanalinze2612
    @ernestmwanalinze2612 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wakike unasauti nzuri sana nyimbo zako ninzuri tangu album zako za kwanza zote moto.....nabarikiwa sana kwa nyimbo zako Martha Mwaipaja ....God abariki kazi zako

  • @seraphin_kalend
    @seraphin_kalend 2 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe kwa maman Martha kwa abari djema ulyo tangaza kipitiya nyimbo zote

  • @dottomvunyenge2988
    @dottomvunyenge2988 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana'dada Martha Mwaipaja, endelea Kujifunza ukimtegemea Yesu

  • @getrineshuma32
    @getrineshuma32 2 ปีที่แล้ว

    Hallelujah nakupata vizuri kutoka kenya 🇰🇪 🙌 👏 😍 🙏 👌 🇰🇪

  • @evancejohn5853
    @evancejohn5853 ปีที่แล้ว

    Mimi Nina flash Ambayo nijimbo zako tu Ubarikiwe San Mtumishi unuiliwe San

  • @happymbuhe8731
    @happymbuhe8731 2 ปีที่แล้ว

    Ahsante Mami,,,,,,,, nakushauri uwe mwombaji saaana mambo Yako mazuri saaana,, vita Yako kubwa , Bwana akukumbuke mtu wa Mungu

  • @lidiaingaiza5302
    @lidiaingaiza5302 ปีที่แล้ว +1

    Wauuu napenda nyimbo zako zote maana zanibariki mno

  • @joyceabeli3787
    @joyceabeli3787 ปีที่แล้ว

    Hakika unaendelea kutufariji kwa nyimbo zako tam tam za yesu

  • @callebyobesh1472
    @callebyobesh1472 ปีที่แล้ว

    Wakati niko down, nikisikisha nyimbo za Martha I feel so much blessed 🙏🙏🙏

  • @susaningaiza6718
    @susaningaiza6718 2 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana dadangu na kuinuliwa kupitia nyimbo zako uinuliwe zaidi na mungu.

  • @mwombekifersian4519
    @mwombekifersian4519 2 ปีที่แล้ว

    ATUKUSWE MUNGU ARIYE KUMPA KIMPAwA CHEMA🙏🙏🙏🙏 ASANTE DADA ANGU KWA KAZI ZURI nimimi mtazania moja MUNGU AKUINUE ZAINDI🙏🕊️

  • @domniconyango3122
    @domniconyango3122 2 ปีที่แล้ว

    mapenzi tele toka Kenya..ni ombi langu siku moja ni shiriki pamoja na wewe

  • @lornawanzala2321
    @lornawanzala2321 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana na pia bombs siku moja niimbe Kama were from mombasa

  • @glorysarah_Music
    @glorysarah_Music 2 ปีที่แล้ว

    Enyewe Mimi najua sauti ya yesu ni tosha,asante dada martha mwaipaja.nakupenda

  • @user-ci2si7ul3z
    @user-ci2si7ul3z 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana my love kwakweri unanifaliji kupitiya nyimbo Zako Burundi twakupenda❤

  • @harantechesa4702
    @harantechesa4702 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuzidishie neema akuinue
    Kutoka KENYA tunazidi kubarikiwa na nyimbo sako
    Dada Martha Mwaipaja 🙏🙏

  • @wabindukabala6773
    @wabindukabala6773 ปีที่แล้ว

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuna penda nyimbo zako saana ina tufariji sana Mungu asifiwe Aku bariki saana

  • @bassasamuel9281
    @bassasamuel9281 2 ปีที่แล้ว

    Napenda zaidi odio hii leo ni video nashukuru kwa kazi nzuri Amen 🙌🇨🇩🇨🇩

  • @selinanguku
    @selinanguku ปีที่แล้ว

    Nyimbo.zako.martha.mwaipaja.zinanitia.nguvu.ubalikiwe👍🙏

  • @alindawillisonibanza454
    @alindawillisonibanza454 2 ปีที่แล้ว

    barkiwa saan mtumishi wa mungu wimbo unagusaa saut ya yesu isikike kwa mwezi wa11 love cospel marth mwaipaja😘🙏🙏

  • @patrickmakhapila2698
    @patrickmakhapila2698 2 ปีที่แล้ว

    Baba akubariki Sana, nyimbo zako Sina ubako. Nimebarikiwa nazo, kutoka Kenya---Mwangale

  • @groupemessianiquegromubute7365
    @groupemessianiquegromubute7365 2 ปีที่แล้ว

    Amen Mama MARTHA Kwa mwimbo. Mimi ni muimbaji Inchini CONGO-Butembo.

  • @maureenatieno007
    @maureenatieno007 2 ปีที่แล้ว +36

    FULL LYRICS
    ohh hallelujah
    Nimesikia sauti nyiingi
    Iliyoniponya ni ya YESU
    Nimeambiwa habari nyiingi mimi
    Iliyo nivusha ni ya YESU
    Nimesikia sauti nyingi sana mimi
    Iliyo ni ganga moyo ni ya YESU
    Nimeambiwa vitu vingi sana
    Nilipo ambiwa na YESU nikapoona
    ( Aaah! ) YESU ni tumaini,
    mahali pamepoteza tumaini
    Nilipaza sauti ili watu wanielewe
    Akanielewa Masia
    Nikajaribu jitetea watu wajue
    Akaniambia nimekutetea mwanangu
    Akaniuliza una msikiliza nani
    Nisikilize mwanangu utapona
    Akasema ondoa kusikiliza wengine
    Ukinisikia mimi utaishi
    Nimesikia sauti za watu wengi
    Lakini ya YESU ikaniponya eeeh
    Nimesikia ( Sikia ) sauti nyiingi
    ( Ikiniambia ) iliyoniponya ( endelea )
    ni ya YESU ( nimeponywaa ehh )
    Nimesikia ( eeeh) sauti nyiingi
    ( sauti ya YESU ) Iliyoniponya ( Ni ya upole )
    Ni ya YESU uuh!
    Aaaah ahsante YESU wangu
    Umeponya moyo wangu Baba
    ohhhh hallelujah
    YESU wewe ni wa wote
    Naomba Baba sikika kwa wengi
    Wengi wamekosa, pakuelekea
    Wakikusikia wewe watapona
    Wameambiwa hawataweza kabisa
    Wakikusikia Masia wataweza
    wameambiwa hawana tumaini
    Ukisikika kwao wataishi
    Uliposikika Israeli walitoka Misri
    uliposikika goliathi aliangushwa
    uliposikika Joshua akasimamisha jua
    sikika na kwa wengine wataishi
    uliposikika Eliya alishusha moto
    uliposikika Danieli hakuliwa na simba
    sikika kwa Watanzania wote yesu
    sikika kwa mataifa yote waishi eeeh
    nimesikia(ahhh) sauti nyingi(imeniponya)
    iliyoniponya (ni ya Yesu)ni ya Yesu
    (Nililia) nimesikia sauti nyingi,(ilibaki mwenyewe)
    iliyoniponya (imeniponya) ni ya Yesu
    (Nimetetewa) nimesikia (na sauti,sauti yake )sauti nyingi,
    iliyoniponya (imeniponya) ni ya Yesu
    (Ningeenda wapi) nimesikia (ningefanya nini)sauti nyingi,
    (hallelujah)iliyoniponya (nimeponywa) ni ya Yesu
    th-cam.com/video/3yEzZ1yaE4Q/w-d-xo.html

  • @susannduku243
    @susannduku243 2 ปีที่แล้ว

    Wangapi wanasikiliza maubiri kwa njia ya wimbo wa Martha...wimbo wa kutia watu moyo

  • @teribihzande9799
    @teribihzande9799 ปีที่แล้ว

    Mungu abariki sauti Yako dadangu...asante kutubariki...wa Congo tunakupenda sana...

  • @user-ki5oj6cl3y
    @user-ki5oj6cl3y ปีที่แล้ว

    Martha nakupenda sana.siwezi kuamka bila kusikia sauti yako ya ujumbe wa injili. I love u mamy.

  • @nancychiboi7133
    @nancychiboi7133 ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah hallelujah 🙏 Asante baba maana sauti Yako ilitenda Kwa MAISHA yangu ,,,barikiwa mum

  • @johnsonnzaro8201
    @johnsonnzaro8201 2 ปีที่แล้ว +4

    Napenda jinsi unavyoabudu, umejua kutofautisha sauti yako wakati wa praise na wakati wa deep worship. Vyauteka moyo wangu katika kujumuika nawe kwenye ibada.

  • @annayuda6158
    @annayuda6158 2 ปีที่แล้ว

    Nimeskia saut nyng mno lakin ya yesu imeniponya mno,daaa!ww dada mungu akuweke kwa ajil yang,nakpendaga mno

  • @estermpwan4739
    @estermpwan4739 2 ปีที่แล้ว +12

    Nimesikia sauti nyingi ila iliyoniponya ni sauti ya Yesu, hallelujah 🔥🙏, ubarikiwe Mtumishi wa Bwana 🤝👏

    • @ISRA720
      @ISRA720 4 หลายเดือนก่อน

      Ubarikiwe dada

  • @MeshackLashaki-wg3nc
    @MeshackLashaki-wg3nc ปีที่แล้ว

    Mimi napenda sana nyimbo zako siku moja nitaonana nawe haki napenda sana kusikia nyimbo zako zote ubarikiwe xana my sister marta..

  • @MauriceByamunguamani
    @MauriceByamunguamani หลายเดือนก่อน

    Ongera dada iyi nyimbo kiukweli inanibariki mno ❤

  • @nurunyarusi9766
    @nurunyarusi9766 2 ปีที่แล้ว

    Umenibariki sana,Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuickia sauti ya Yesu pekee!hapo kushinda n i lazma kipenz martha

  • @opwokodiana3407
    @opwokodiana3407 ปีที่แล้ว

    Malkia wetu twakupenda🌹🌹🌹huku Kenya nyimbo zako zatubariki

  • @vinnyraji4271
    @vinnyraji4271 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo za mama martha huwa zinanibari sana🙏🙏🙏🙏

  • @simphoslyvia2570
    @simphoslyvia2570 2 ปีที่แล้ว

    Nafarijika sana na huu wimbo asante sana nimehis uponyaji ndani ya nafsi yangu am blessing ,God bless you too .

  • @ReginaRombo-ug7uj
    @ReginaRombo-ug7uj ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa mungu endelea kuponya roho ya watakatifu

  • @nabilabiemily9354
    @nabilabiemily9354 2 ปีที่แล้ว +5

    God bless you abundantly 🙏🙏 watu Wa 👉🇺🇬 Uganda tunapendda Wewe sana

  • @abbaskizya890
    @abbaskizya890 2 ปีที่แล้ว

    i;m from tanzania martha mwaipaja almighty god blessing you to more love this new song nafarijika kwa kila hatua nilipo pita hd hapa nilipo fika hapa wimbo huu nafarijika sana natamani usihishe ni bora ungekuwa mrefu kdg unanibarki sana mungu akuzidishie maarifa hayo n utashi pia

  • @user-pv6md1jk2i
    @user-pv6md1jk2i ปีที่แล้ว

    God continue blessing Martha mwaipaja to her ministry kweli baba sikika kwa wengi😢😢😢😢

  • @user-nt3me2be9x
    @user-nt3me2be9x 5 หลายเดือนก่อน

    Sikika kwa wa Rwanda🇬🇦 Yesu🙏🤦

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 2 ปีที่แล้ว

    Hongera Dada Martha MUNGU akupe maisha marefu ili tuzidi kubarikiwa na wewe nakupenda Dada

  • @pastorbarakangata606
    @pastorbarakangata606 10 หลายเดือนก่อน

    mini skirt haina ushuhuda Mungu akusaidie kwa jina la yesu

  • @janetkerubo7320
    @janetkerubo7320 2 ปีที่แล้ว +10

    Martha I love your songs so much.... They lift me up every day, Ohoo lord nimesikia sauti iliyoniponya Ndio yesu🙏🙏🙏

  • @phinammbando7876
    @phinammbando7876 ปีที่แล้ว

    Unanitia sana Moyo Da Martha,natamani kukuona live.Nasikia sauti nyingi lakini nimejifunza kikubwa sana kwenye huu wimbo

  • @jumachango
    @jumachango 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure, hakika Mungu azidi kukuinua viwango vya juu sana unanibariki sana

  • @lifeasamaina6326
    @lifeasamaina6326 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilisikia sauti nyingi lakini niliposikia sauti yako nilipona

  • @DayAna-hs7bd
    @DayAna-hs7bd 2 ปีที่แล้ว

    napenda nyimbo zako zotee because zinanibariki sanaa mungu akubariki sanaaa nakupendaa sanaaa

  • @titokalinga8111
    @titokalinga8111 ปีที่แล้ว

    Nakupenda @Martha mwaipaja na napenda uimbaji wako toka moyoniii❤❤❤❤❤❤

  • @jayeventstv313
    @jayeventstv313 2 ปีที่แล้ว

    Amaizing 💕💕💕❤️yaani unaniingia rohoni huu wimbo mtamu Kweli na una ka_emoshonal kiasi 😀

  • @robertmwendwa7167
    @robertmwendwa7167 2 ปีที่แล้ว

    Yesu ndiye tumaini langu Ubarikiwe sana nice song.

  • @raphaelymsilu6691
    @raphaelymsilu6691 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi wa mungu kazi nzuri sana,ubarikiwe

  • @barakalivingstoneofficial7888
    @barakalivingstoneofficial7888 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu uliguza moyo wangu kabla ya video hii pindi ndugu yangu aliponichochea kazini.barikiwa dadangu

  • @premmyhamisi4578
    @premmyhamisi4578 2 ปีที่แล้ว +2

    Baraka tele Dada Martha Mwaipaja huu wimbo Ni wa Baraka sana Nimesikia sauti ilioniganga Moyo 💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🎵🎵🎵🎵🎵🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @rachaelkandie6227
    @rachaelkandie6227 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana maana huwa unainua imani yangu wakati karibu nazimia .loves your songs so much. Rachael from Kericho kenya

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 2 ปีที่แล้ว

    Amin nimesikia sauti nyingi iliyo niponya ni ya
    Yesu barikiwa da matha

  • @barikimmbando3711
    @barikimmbando3711 2 ปีที่แล้ว

    Dah, Ahsante Yesu Kwa Baraka za huyu dada ktk maisha yetu.....

  • @sharmatbraids5890
    @sharmatbraids5890 2 ปีที่แล้ว

    Nyimbo zako huponya moyo wangu na kunipa tumaini...Nakupenda sana mama

  • @vumiliajohn
    @vumiliajohn ปีที่แล้ว

    Nakupendaga bure da Martha mungu wa mbinguni akutunze

  • @faithli3426
    @faithli3426 2 ปีที่แล้ว

    Huu wimbo unaimba maisha yangu kabisa😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @user-eh1rc8ef1z
    @user-eh1rc8ef1z ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa wakati Fulani baada ya kumpoteza mpendwa wangu na rafiki yangu nilipitia wakati mgumu sana mpaka niliposikia sauti ikisema nishukru tu mimi ndo nimeruhusu hilo

  • @scotsmartfurnitures3859
    @scotsmartfurnitures3859 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba sikika kwa wakenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wote, sikika kwa kila maisha yetu ,mungu sikika kwa the waiting wombs mums!

  • @zawadichanga5757
    @zawadichanga5757 ปีที่แล้ว

    Upo viziri sana dada matha ubalikiwe mtumishi wamungu

  • @KINGPOWER-pb4ii
    @KINGPOWER-pb4ii 2 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mwaipaja kwa nyimbozako nakupenda sana👏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏

  • @mungaieve12
    @mungaieve12 2 ปีที่แล้ว +79

    Organic love from Nairobi, Kenya. Your songs are just woow, I normally feel blessed and rejuvenated listening to the deeply filtered message in your music. Ombi langu kwangu nikukutana na wewe siku moja ili niweze kuiona kesho yenye baraka.

    • @belindagiliard8977
      @belindagiliard8977 2 ปีที่แล้ว +10

      Your msg starts well, but saying you want to see her so that you'll have a blessed tomorrow, that's wrong

    • @geraldinagaiomuse6977
      @geraldinagaiomuse6977 2 ปีที่แล้ว +2

      My spiritual mentor...much love frm Kenya..Praying one day will attend u r church...

    • @dannykalex
      @dannykalex 2 ปีที่แล้ว

      @@belindagiliard8977 maybe she meant kuonana na Yesu🙏

    • @nellyshantel1001
      @nellyshantel1001 2 ปีที่แล้ว +4

      Sisi wa tz hatujaelewa kiingereza kaka

    • @jaelsila9003
      @jaelsila9003 2 ปีที่แล้ว +2

      Martha unaimba poa sana endelea kutubariki

  • @ericnimpojeje9432
    @ericnimpojeje9432 2 ปีที่แล้ว

    Amen MUNGU akubaliki sana tena sana unajenga myoyo yetu kiloho

  • @omothohuru2475
    @omothohuru2475 2 ปีที่แล้ว

    Naupenda wimbo huu sana. Nainuliwa kuabudu kila ninapoisikia

  • @peternjagi9948
    @peternjagi9948 2 ปีที่แล้ว

    Napenda anavyoimba Martha,....Loud and clear from mt.Kenya

  • @michaelmochama8398
    @michaelmochama8398 2 ปีที่แล้ว +2

    Good work kp it up 👏

  • @SaymonSimkonda-is1fp
    @SaymonSimkonda-is1fp ปีที่แล้ว

    Mungu abariki huduma yako nakupenda bure dada angu by naomy

  • @veronyanganda2166
    @veronyanganda2166 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu nimeukubali zaidi ya saana kwani unanibariki.

  • @nelsonbreidon6600
    @nelsonbreidon6600 2 ปีที่แล้ว

    Amen mtumishi. Kazi vzr my sister Mungu akubariki

  • @josebinta8892
    @josebinta8892 2 ปีที่แล้ว

    Nimependa vyombo sana walivyopiga hongera sana mdada

  • @jemimmahachieng5592
    @jemimmahachieng5592 2 ปีที่แล้ว

    Amen . Sauti ya yesu imeniponya...imeniganga.......nimepona

  • @phaniceiminza6914
    @phaniceiminza6914 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda mama,mbingu zinufaike kwa huduma yako

  • @happymrema1115
    @happymrema1115 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana nakupenda mnoooo nyimbo zako zinanipa tumaini kubwa mnoooo

  • @pharesbhoke7339
    @pharesbhoke7339 2 ปีที่แล้ว

    Uje ututie moyo kandahar ya kusin Mtw ,Lindi na Ruvuma

  • @nancyomunga2981
    @nancyomunga2981 ปีที่แล้ว

    Iam Nancy arivitsa gospel singer and I love you I love your songs 🙏🙏 when I was young you blessed me🙏🙏🙏

  • @helenamwashivyala3315
    @helenamwashivyala3315 ปีที่แล้ว

    Ameen mtumishi matha mwaipaja Mungu akubariki sanaaaa Mungu akuinue sanaaa

  • @user-dy5oc6xu7x
    @user-dy5oc6xu7x ปีที่แล้ว

    Ameen sauti ya yesu ni.tosha kwangu ndio imeniponya moyo.wangu

  • @sherinngala4252
    @sherinngala4252 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana Marthar from kenya so much gratitude .
    yaaanaa napendaaa🥰🥰🥰🥰
    Nyimbo zanipa more than joy
    ASHUKURIWE MUNGU KWA KUA NI MWEMA👏🙌

  • @philipomasai9830
    @philipomasai9830 2 ปีที่แล้ว

    Mungu Aendelee kukupa sikio la kusikia Neno Lake