Huyu golo ni mpotoshaji,maana hadithi hii imetiwa nguvu na maneno ya ALLAH ktk kitabu chake cha kitukufu QUR'AN,kwamba ALLAH yupo juu mbingu,tena kwenye ARSHI yake!! AYA ni nyingi mno za kukubali ALLAH yupo juu mbinguni, Surat mulku ALLAH anasema;-
Watu wa maulid kaeni chini msome na muitambue hakki mnakalilishwa na mashekhe zenu kuchukia haq pasipo kujuwa hii ni hakki lait mbgejuwa mashea walivyomkufuru Allah na mtume na wala msingekaa nao karibu mnao waona wabaya ndo wazuri kwenu na mnaowaona rafiki kwenu ndo maadui kwenu ketini msome ndo mtajuwa itikadi za mashea shekhe zenu si wanawaficha kazi kuwasomesha mashahili ya maulid tuu na kuchukia mawahaby we umeona kelele za watu wanafukuza mwizi na ww unaunga kukimbiza hujui huyu mtu kaiba kweli au kazuliwa
Hii ni dalili yakuonyesha kuwa itikadi za kiwahabi zinayumbayumba kwasababu hazijengwi juu ya misingi imara. Kwanza matni ya hadithi si sahihi.hiyo siyo lungha ya mtume kuwauliza watu mungu yuko wapi. Pili jamaa anadai eti ni mtihani.Hivi mtume atampa mtihani mtu kitu ambacho hajamfundisha. Je kwamfano ukimuuliza mtu mungu yuko wapi ukasema sijui ndo unakwenda motoni? Yani hoja za kiwahabi ni za kitoto sana. Alafu huyu jamaa anamsingizia uongo sheikh shafii.sheikh shafii hakusema kuwa hadith ahadi haifanyiwi kazi.alichokisema sheikh shafii nikwamba hadith ahadi haiwezi kutumika kwenye akida.Hii ni dalili kuwa mawahabi ni waongo sana
Mawahhabi sio Ahlusunna. Mnawapiga vita Ahlussuna. Sasa mnachukia kuitwa Mawahhabi ndio mnajidai na nyie ni Ahlus-Sunna. Kila mnakojipachika hamtoshi. Laanatullaah.
Wewe kweli chuki zimekuzidi mpaka hata hujui ukisemacho Mashia ndio Ahlu Sunnah sasa kwa kua mmewapa maulidi khitma arobaini hawli na qaswida Imam Shafii amewaita masufi ni punda wa Mashia naona hata hujielewi
Ama hawa wajinga na wapotofu waache na upotofu wao, hatuna dawa ya kuwapa waache ujinga na upotofu, Wameamua kuacha itikadi sahihi ya asli ambayo ameifundisha Mtume Swallallaahu Alayhi Wasallama, wakabeba mizoga ya mu'tazila na jahmiyyah na shia
@@ramadhanimtetu3656 Hapa hoja za Kielimu tu ndio ufumbuzi.Bila hivyo SHAFII atawakomesha Mawahhabi na Mungu wao mwenye mikono miwili, anaeruka na ubawa wa mbu.
@@ramadhanimtetu3656 Hoja Ibn Taymiya Sheikh wa Mawahhabi ni KAFIR haina majibu toka Kwa Mawahhabi mpaka Leo. Alhamdulillah, Bora huyo SHAFII anatoa hoja vitabu vya Mawahhabi wenyewe. Allah (SWT) Amzidishie uwezo mpaka Mawahhabi wakimbiane. Na hivi Sasa wenye busara wameanza kuuhama UWAHHABI na kurejea kwenye UISLAM.
alhamndulillaah shekhe wetu kwaelimu nzuri unayo toa
Majibu mazuri sana ya kirlimu maashaa Allaah
Ajifanya mtu wa mambrui ati mtumiii 😂😂😂😂😂😂 khurafi kisha mshia golo golo... 😅😅😅😅
Hahahahaha
Huyo dogo ni bwege kweli
Alafu kana kwamba anatumia kemikali za kuchubua ngozi
Huyu golo ni mpotoshaji,maana hadithi hii imetiwa nguvu na maneno ya ALLAH ktk kitabu chake cha kitukufu QUR'AN,kwamba ALLAH yupo juu mbingu,tena kwenye ARSHI yake!!
AYA ni nyingi mno za kukubali ALLAH yupo juu mbinguni,
Surat mulku ALLAH anasema;-
Sema" sheikh " usiseme mpotoshaji au kwa sababu hakubaliani na itikadi zako ndio maana akawa mpotoshaji?
Wewe nawe waona shekhe hapo ama msaka Tonge??? 😂😂😂😂😂😂 alafu shkh nnani kwenu??? Maana Sudan hata punda ni shekhe...😅😅😅😅😅
@@مبغضالبدع-ع9ص.... Sheikh Shafii ndio sheikh na uyo mwengine ni juha
Huyo sio Sheikh ni SHIA GOLO
Watu wa maulid kaeni chini msome na muitambue hakki mnakalilishwa na mashekhe zenu kuchukia haq pasipo kujuwa hii ni hakki lait mbgejuwa mashea walivyomkufuru Allah na mtume na wala msingekaa nao karibu mnao waona wabaya ndo wazuri kwenu na mnaowaona rafiki kwenu ndo maadui kwenu ketini msome ndo mtajuwa itikadi za mashea shekhe zenu si wanawaficha kazi kuwasomesha mashahili ya maulid tuu na kuchukia mawahaby we umeona kelele za watu wanafukuza mwizi na ww unaunga kukimbiza hujui huyu mtu kaiba kweli au kazuliwa
Hii ni dalili yakuonyesha kuwa itikadi za kiwahabi zinayumbayumba kwasababu hazijengwi juu ya misingi imara. Kwanza matni ya hadithi si sahihi.hiyo siyo lungha ya mtume kuwauliza watu mungu yuko wapi. Pili jamaa anadai eti ni mtihani.Hivi mtume atampa mtihani mtu kitu ambacho hajamfundisha. Je kwamfano ukimuuliza mtu mungu yuko wapi ukasema sijui ndo unakwenda motoni? Yani hoja za kiwahabi ni za kitoto sana. Alafu huyu jamaa anamsingizia uongo sheikh shafii.sheikh shafii hakusema kuwa hadith ahadi haifanyiwi kazi.alichokisema sheikh shafii nikwamba hadith ahadi haiwezi kutumika kwenye akida.Hii ni dalili kuwa mawahabi ni waongo sana
Mawahhabi sio Ahlusunna. Mnawapiga vita Ahlussuna. Sasa mnachukia kuitwa Mawahhabi ndio mnajidai na nyie ni Ahlus-Sunna. Kila mnakojipachika hamtoshi. Laanatullaah.
😂😂😂😂😂😂😂 naam naam shkh wa vichochoroni...
Ahlu sunna nikina nani kma simawahabi???
Wewe kweli chuki zimekuzidi mpaka hata hujui ukisemacho Mashia ndio Ahlu Sunnah sasa kwa kua mmewapa maulidi khitma arobaini hawli na qaswida
Imam Shafii amewaita masufi ni punda wa Mashia naona hata hujielewi
Ama hawa wajinga na wapotofu waache na upotofu wao, hatuna dawa ya kuwapa waache ujinga na upotofu,
Wameamua kuacha itikadi sahihi ya asli ambayo ameifundisha Mtume Swallallaahu Alayhi Wasallama, wakabeba mizoga ya mu'tazila na jahmiyyah na shia
Mawahhabi mwogopeni Allah. Hadith hiyo haiwezi kuwa sahihi hata kidogo. Nyie Mawahhabi mwogopeni Allah (SWT). Mtachomwa moto Siku ya Kiama nyieeeee!!!
Kasome dogo huwajuwi mawahabi acha kufuata vitu kwa muhemeko
Allymahaba 3425 4w @
Kaa pembeni kidogo wewe Mtoto
Wacha Sheikh amkande huyu SHIA GOLO
@@ramadhanimtetu3656 Hapa hoja za Kielimu tu ndio ufumbuzi.Bila hivyo SHAFII atawakomesha Mawahhabi na Mungu wao mwenye mikono miwili, anaeruka na ubawa wa mbu.
@@allymahaba3425
Huyo sheikh wako ni Lopolopo tu Hana alijualo njaa inamsumbua alafu Mwambie aache tabia ya kujichubua