Mashekh wetu Allah awahifadhi biidhinih, kweli mlitutoa kwenye jaa, tulikaa Sana na masufi na mahizibi wakatupotezea umri na mda wetu, hatukusoma kwao uislam wa sawa, walillahi lihamdu mmetutua mzigo wa viza. Namuomba Allah ajaalie jitihada zenu hizi ktk mizani ya mema yenu siku ya qiyama.
Zamani wanazuoni wengi waafrika wa mashariki walisoma hapa hapa Africa ya mashariki na kisha kuenda kusoma Arabuni mfano wao ni kina sheikh abdallah bin Muhammad bakathir mwanafunzi wa baba wa harakati za elimu Africa ya mashariki Al habib swaleh bin alwiy Jamalullayl,kina sheikh Abubakar bin Muhammad al maawiy,kina al habib Abubakar bin abdrahman manswab,kina al habib alwy bin Abubakar ashaatwiry na wengineo wengi tu katika mabingwa wa kiilimu wa Africa ya mashariki,hawa walisoma makkah kwa mufti wa makkah wa wakati huo assayyid ahmad zain dahlan, mwenye kitabu maarufu cha dahlan,kina sheikh Muhammad bin said babsweyl alikuwa pia mufti wa makkah kina asayyid Abubakar bin Muhammad shattwa mwenye إعانة الطالبين na vitabu vingine hawa ni baadhi tu ya wanazuoni wa makkah walowahi kuwasomesha wanazuoni wetu hao wakubwa tulowataja,upande wa yemen ni kina al habib Ali bin Muhammad al habshy,kina al imam asayyid Aydarus bin umar,kina al habib abdrahman bin Muhammad al mash-hur.hawa walikuwa wanazuoni walokubalika ulimwengu wa kiisilamu wakati ilmu ilikuwa imezagaa.licha ya yote hayo,wanazuoni wetu wa Africa ya mashariki wengi wao kutoka kisiwa cha lamu kenya na wengine unguja waliporudi kutoka arabuni hawakuwadharau walimu zao wala kujiona eti wao ndio wanajuwa sana,bali heshima yao ilizidi kwa walimu zao na walielimisha jamii toka miaka hiyo mpaka sasa ilmu ya afrika ya mashariki yatoka kwao na makkah na yemen.leo akija mtu kama kassim mafuta na mfano wao na madai eti masalafi mara ilmu swahihi,ni fujo tu kwa jamii na utovu wa nidhamu.Afrika ya mashariki ilmu na uisilamu sahihi uko toka zamani huu upuzi awababaishe wasojuwa na wahabi wenziye,kama ni kusoma njee walitangulia zamani wanazuoni wengi waafrika wa mashariki,eti historia ya kusoma kwake!!lipya ni lipi hapo?au cha ajabu?bali kuonesha utovu wa adabu miaka nyingi amesomeshwa na mashekhe wa kisufi kisha hawaombei rahma akiwataja na kuwashutumu kila wakati,toka kuanza kusoma kwake mbona hasipelekwe kwa masalafi?walikuwa wapi?
@@abuuayoubayoub9260 ahahaha ety mbali na Allah, jahil wewe, wewe ni nani kwa Allah mpaka ujue watu wako mbali naye?, Wewe una haki ipi kwa Allah mpaka ujue walio karibu au mbali naye?, Au una dalili ya Hilo? Itaqillah yaa Abuu Jahli
Alosoma hajisifu wala hasemi kama kasoma Ila anajulikana na watu kama msomi.ww mafuta inaonesha kichwa cheupee hata mungu humjui unasema Allah anamikono miguu vidolee Kakaaa kitako mbingunii hayo si maneno yakisomi.
Subhanalah anawatharau na kuwakejeli maulamaa wakubwa kama abdulmajid zindani na yusuf alqarthawi na sleman al udah na nabil alawadhi na........ Ni Nani weye na muruwsibitha wenzako
@@صالحمولد-ب1ط Nipe dalili kwenye qurani na sunah kuwa salman al udah na yusuf alqardhawi na abdul majid zindani na......... ni makhawarij Na ikiwa hukupata dalili kwenye qurani na sunah niambie ni kitu gani kilichokufanya wewe uwaeke kwenye kundi la khawarij?
@@aidathsued9938 Nakushukuru sana kwa nasiha yako lakini mpaka sasa sijapata dalili kwenye qurani aw sunah kuwa mashekhe hao ni makhawarij, na wala sijapata vipimo ambavyo vilikufanyeni muwaeke kwenye ukhawarij Nakilini nami nakunasihini sana sana kuwa neno khawarij kihistoria lilitumika kisiasa, kila mpinzani anamtuhumu mpinzani wake kuwa ni makhawarij ili kumpaka matope na kumuondolea sapoti kwa waisilam. Kama leyo linavyo tumika neno ugaidi ( irhab) Ukhawarij ni sifa fulani zikiwepo ndio unaweza kusema kuwa fulani ni kharijiy, sasa je nisifa gani za kikhawarij zilizopo kwa mashekhe hao? Mfano selmani al audah yupo jela, je alie mfunga ni mcha mungu? Aw ni mwanasiasa mpotofu? Ndio maana nakunasihini kuwa tujaribu kuchambuwa baina ya aqidah na siasa, kwani upotofu wa siasa umefekenyezwa kwenye dini, na hicho kitu kimeanza tokea enzi za bani umeya
Wewe hujasoma kwaajili ya kupata radhi za Allah s.w bali umesoma ili tu kupata sifaa kwa watu basi hunajengine na ndio masalafi mulivyoo sifa nyinyi na kibrii basi hamuna jengine
Hivi nimeonee wivi mtu anaeshindana na salum Barahiyan kuwa Nani kaleta ulokole ( manhaj ya kisalafy) tz...ndio dini imetufundisha upuhuzi labda kwanyinyi viraza sio mimi
😂😂😂 Hana elimu Moja acha kumsifia ,angekuwa anaelimu kweli basi asingesubutu kuwachafua waislamu wenzake ili apate kusifiwa yeye na angeheshimu khilafu za wanachuoni ambao wakubwa ambao hata robo za elimu zao hawezi kuwafikia alafu munamsifia anaelimu 😂😂 ni mpuuzi tu Hana elimu Moja kazi sifa nyinyi basi hamna kitu
yaan tunauumiwa ni ss tunaoanza kufata quran na sunna,,,,za kisalafi ilaa sasa ndo unakuta hawa masheh ndo wanatoleani tofauti kabisa na kuzihirisha kama wana ugomvi kabisa,allah awajalie waweze kujua jinsi gani wanatuvuruga sisi beginers,,allah awalipeni heri sababu wote mnfanya hayo kwa ajili ya allah.hapa wengine hatujui tushike lipi.anyways :namuomba allah aniongoze kwenye njia ilio sahihi...na hii haihusiani na hio video hapo juu
Umesoma dini lakini Allah s.w hajakupa takwa huna uchaamungu kazi yako kubwa ni kujisifiaa na kuwachafua waislamu wenzio ambao wanamtazamo mwengine ,na kuleta vurugu basi huna jengine 😢
Mariam unauliza ukisoma kwa masufi unasoma dini gani ?? Marima uko mbali kweli na mambo ya kielim hiv ujui kuna ushia kuna ukadiani ulshabab ambao ni ukhawariji kuna ujahmiyya kuna uashaira hayo yote ni makundi katika dini ya uislam je we wasoma uislam wa kikadiani au upi ?? Lazima ujue baada ya mtume صلى الله عليه وسلم Kufariki waislam waliingia kwenye fitna wakauliwa baadhi ya makhalifa kama vile Othman na waislam wakasambalatika wakaingia watu wa ovu ndani ya dini yetu kwa kupitia mwanya uo na wakaweka myenendo ndani ya dini yetu tukufu ambayo si myenendo ya mtume na maswahaba wake wakaanzisha fikra ndani ya dini zinakwenda kinyume na dini ya mtume na maswahaba wake kama vile kadariyya khawariji murjiya shia wote hawa wamezua mambo kwenye dini maswahaba hawakuridhia walipingana nao lkn wapi moto ulishawaka wakapata nafasi na wao hivyo uislam una njia sahihi na mbovu kwenye kuusoma .
Asalam alekum warahmatullah wabarakatu ustadh mwenye ilimu hajisifu husifiwa pili mwenye elimu hakosowi watu mitandaoni sasa mm sina ilimu lakini mafuta wanitia wasi wasi elimu yako ndogo
@@مبغضالبدع-ع9ص Mjinga ni weye ulio tiwa ujamu ukawa unabururwa na mijitu ya fitna iliyo kuwa haina elimu , Na kujipa ruhusa ya kufanya ujinga badhi ya wakati, hiyo ni dalili tosha ya kubobea ujinga wako Hata honi haya
@@hijjafadhili8873 Unajuwa sisi wale wajinga ambao wanabakia na ujinga wao kwa nafsi zao tu sisi hatwaulizi, lakini wajinga hao wakatumia ujinga wao wakanza kuwashambulia wengine huwa tunawabainishia watu kuwa hao ni wajinga, kwani wenye elimu huwa wanaheshimu rai za wengine na hujiepusha na kujenga fitna kwa hoja za kusema kubadilisha munkar
Huna mpango hata mmoja zaidi ya kujisifu. Kazi yako fitna mara useme maibadhi uwatukane kwa sababu hawafungi mikono .sasa sisi tuweke mikono wapi karibu ya shingo kwrnye kifua .juu ya kitovu au chini ya kitovu maana ukiingia msikitini kila mmoja kaweka mikono srhemu mbali mbali
Mtu hajisifu mwenyewe Bali husifika ukimuona mtu ajisifu mwenyewe ujue hamna kitu kichwani inawezekana umesoma sana lkn hujafahamu kitu kwani kusoma na kufahamu ni vitu tofauti
Yaani had raha nikustafid tu elimu ya qasim bin mafuta Allah akihifadhi shekh let la nguvu afu na nyie washamb kama hamjui ki2 kuhusu din fungen midomo yenu so kutoa maneno ya kashfa
@@مبغضالبدع-ع9ص Mimi mijitu ya fitna kama hiyi huwa ninaichukia sana, na sichiki kwa upotofu wa manhaji aw aqida zao lakini naichukia kwa fitna zao, kwani kazi yao ni kufuatilia mitelezo ya wengine na wasipo pata hujitungia
Kumbe kujigamba kwote huko ulisoma kwa ahlu twariqa, kisha leo unawaponda.kiukweli twariqa ndio walioeneza dini khususan katika Africa mashariki ukiwemo wewe qassim mafuta.nahakuna mtu ovyo kama wewe.
Moja ya matatizo ya usufi unaweza kusoma mda mrefu lkn maarifa ukawa hauna sasa hata tofaut ujaiyona kua kuna vitu kavijua haviko sahihi kaviacha ? Ili ujalisikia kama vile akida ya kiashaira maulid nk unaoneaje ivyo sasa kama unazoakili za kuelewa ?? Inaonesha hata maneno uyaelewi sasa uwo ndio usufi unamsikiliza mtu mwanzo mwisho lkn huelewi kitu.msiba kweli wallahi nami nilikua ivyo ivyo zamani Allah atuongoze
@@saidibaraza1379 Kwavile anakunyosheni lazima mumchukie walillahi Lhamdu tumewagundua waislam walio na fikra za kikhawariji za kishia za kijahmiyya za kimuutazila tumewajua makadiyani na tumewajua Ahlu Sunnah wa kweli na wanaharakat we baki ivyo ivyo kua kama mwehu hata ujijui manhaji gani ukisema uislam hauna makundi tunakuambia makundi yapo yalitabiliwa na mtume na yalishatokea kitambo kirefu tangu kuuliwa kwa Othman ibn Affaan kama unaporojo zako lete nakusubir najua makhurafi hanaga hoja mnaporojo za namrudh
Omar: majigambo hayapo ila kakuzidi sana ki-elimu kikusumbuacho ni Husda-roho yskuuma sana, halafu mi nakufahamu toka shuleni,uwezo wako ulikuwa chini sana
Unaweza ukasoma sana lakin huku elimika hivi leo mnawalingania watu waingie katika kundi na mnasema kua kundi fulani ndo lilo ongoka umeona wapi mambo ayo walinganieni watu waingie kwenye dini sio kuwaita watu katika makundi
Hassan wewe mbumbumbu kaa kimya wenzio tulivyokua wajinga tulisema kama wewe lkn baada ya kujitambua tumejua makundi yapo na haya kayasema mtume kama ujui kaa kimya. Utatukana bure kwa ujinga mwisho udhurike
Wakati umeanza kusoma ulikuwa dhehebu gani?tatizo lenu wote mlikuwa njia iliyonyoka ilipofika miaka ya tisini na ndo yameibuka hayo madhehebu yenu ya kuzusha eti salafii,Salafi wa ukweli washapita zama hizo nyinyi wa Leo ni njaa na jeuri tu na mmezusha mambo mapya ktk dini ndo mnaleta habari zenu za usarafi
MashaAllah nimepata kujifunza kitu Alhamdulillah 🤲🏿 niingie mzigoni sasa InshaAllah ✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
Jaman mim natangaza hadharani mim nampenda sana shekhe wangu huyu allah amuifadhi tuzid kustafidi
Ww tangaza ila uyo si shekhe
@@nabillkhamis8188 Ninani .?
Mashekh wetu Allah awahifadhi biidhinih, kweli mlitutoa kwenye jaa, tulikaa Sana na masufi na mahizibi wakatupotezea umri na mda wetu, hatukusoma kwao uislam wa sawa, walillahi lihamdu mmetutua mzigo wa viza. Namuomba Allah ajaalie jitihada zenu hizi ktk mizani ya mema yenu siku ya qiyama.
Jazakallahu khairan
@@kassimkilwiye4742 amiin wa iyyaka
Allah akubarik sheikh QASSIM Mafuta Allah akupe umri na afiya njema akupe mwisho mwema YaaRab
Allah akuhifadhi sheikh wetu,Na baada ya Tawfyq ya Allah tumeijua haqq kupitia ww
Sheikh kassim mafutaa " mashallah " , sijamsahau Babu yangu sheikh twaha pongwe , wako kassim Bakari Bindo kutoka kigamboni dar es salaam.
Utamu Umekatika Njiani Haikuisha Mpaka Mwisho...ALLAH Akuhifadhi Sheikh Qasim Na Akupe Umri Wa Kheri
Aamin yaa rabbal aalamiin
Allah atujaalie na ss wengine tuwe mfano wake na ss
Masha Allah Sheikh Qassim Mafuta Allah akuhifadhi
Tafadhali Twaomba mwisho wa kisa Chako chakusoma eilm. ALLAH AKUHIFADHI
Mashallah, Allah akuhifadhi sheikh wetu Qasim mafuta na akuzidishie ilm
allah akuhifadhi sana maasha Allah nakupenda sana kwa ajili ya allah
Mashaallah Allah amekuhifadhi akhyy
Naam very good mafuta allah akuhifadhe
Allah akuhifadhi sheikh wetu
Maasha Alla😂😂 mpaka nimeona wivu jmn Allah akuhifadhi shekhe wetu
Sheikh kuelezea kusoma kwake lengo ni kututia jazba na hamu ya kutafuta ilm. Allah amhifadhi
Very beneficial may Allah reward you jannatalfirdaus Al Aalaa. Shekhe qasim mafuta and all salafy brothers
Yes May Allah reward him JAHANAMA
Allahuma amiin, My Allah reward you the same also.
برك الله فيك
Baaraka Allah fiyka wa jazaka Allah khayran sheikhanaa Abul Fadhwil.
May Allah bless you always Ameen Yarrab
Allah akuhifadhi shekhe
Mashallah Elmu, kajifuze kuwa na thawaadhu, pamoja kuwa na Hikima na Busara.
Allah atulinde na Shari za mawahabi na hao waliopandikizwa mbegu za chuki dhidi ya waislamu
Kufa na chuki Yako!!!
Huna shukran na mashekh zako walokusomesha kwakutaka ukubwa nyinyi mawahabi ni walokole ktk din hii kila jambo mwajiona mko Sawa kuliko wengine
JazakAllahu Khairan
Mashaallah sheikh Qaaim Mafuta Allah Akuifadhi
Ma Sha ALLAH umejaaliwa ilmu, shida ni umenyimwa hikma,faman utal hikma faqad uutiya khairan kathira,sasa huko kujisifu ndio kukosa hikma
Hajisifu Bali anaelezeaa history ili watu waige mema ..mkasome na nyie
Hujui maana yahikma ndo maana ukasema hayo,Allah atuongoze
Huelew unachoongea! Na kla unaloongea ujue wapo malaika juu yako wanadhibiti. Usimuongelee mtu usiyo mjua.
Barakallah fikum wajazakallah khaira shykhe wangu
Mimi napenda kumuita Gogo la Tanzania Allah akuhifadhi Sana kama Kuna mtu ana namba zake nahitaji kumsalimia tu!
Ma shaa Allah shekh wangu tunaomba muendelezaa shaa Allah Allah akuifadhi Amiyn
ماشاءالله تبارك الله... الله يحفظك
Mashallah, kwa wale hawakusoma muda bado upo tusikate tamaa.
Maashaallah good massage my brother kassim mafuta
Inshaaaalah na mie nitakuwa zaid yako
Allah akuhifadhi
❤
Alla amuhifadhi
Allah amzidishie elim shekhe wet
لا يجرمنكم شنآن قوم على ان لا تعدلوا اعدلوا هو اقرب للتقوى
Mashaallah
Our beloved brother, Shaykh Kassim Mafuta حفظه الله
Wewe ume acha nuru na kufwata jiza za Muhammad abdul wahabu mwenyezi mungu akuongoze katika kupotea kwako.
Zamani wanazuoni wengi waafrika wa mashariki walisoma hapa hapa Africa ya mashariki na kisha kuenda kusoma Arabuni mfano wao ni kina sheikh abdallah bin Muhammad bakathir mwanafunzi wa baba wa harakati za elimu Africa ya mashariki Al habib swaleh bin alwiy Jamalullayl,kina sheikh Abubakar bin Muhammad al maawiy,kina al habib Abubakar bin abdrahman manswab,kina al habib alwy bin Abubakar ashaatwiry na wengineo wengi tu katika mabingwa wa kiilimu wa Africa ya mashariki,hawa walisoma makkah kwa mufti wa makkah wa wakati huo assayyid ahmad zain dahlan, mwenye kitabu maarufu cha dahlan,kina sheikh Muhammad bin said babsweyl alikuwa pia mufti wa makkah kina asayyid Abubakar bin Muhammad shattwa mwenye إعانة الطالبين na vitabu vingine hawa ni baadhi tu ya wanazuoni wa makkah walowahi kuwasomesha wanazuoni wetu hao wakubwa tulowataja,upande wa yemen ni kina al habib Ali bin Muhammad al habshy,kina al imam asayyid Aydarus bin umar,kina al habib abdrahman bin Muhammad al mash-hur.hawa walikuwa wanazuoni walokubalika ulimwengu wa kiisilamu wakati ilmu ilikuwa imezagaa.licha ya yote hayo,wanazuoni wetu wa Africa ya mashariki wengi wao kutoka kisiwa cha lamu kenya na wengine unguja waliporudi kutoka arabuni hawakuwadharau walimu zao wala kujiona eti wao ndio wanajuwa sana,bali heshima yao ilizidi kwa walimu zao na walielimisha jamii toka miaka hiyo mpaka sasa ilmu ya afrika ya mashariki yatoka kwao na makkah na yemen.leo akija mtu kama kassim mafuta na mfano wao na madai eti masalafi mara ilmu swahihi,ni fujo tu kwa jamii na utovu wa nidhamu.Afrika ya mashariki ilmu na uisilamu sahihi uko toka zamani huu upuzi awababaishe wasojuwa na wahabi wenziye,kama ni kusoma njee walitangulia zamani wanazuoni wengi waafrika wa mashariki,eti historia ya kusoma kwake!!lipya ni lipi hapo?au cha ajabu?bali kuonesha utovu wa adabu miaka nyingi amesomeshwa na mashekhe wa kisufi kisha hawaombei rahma akiwataja na kuwashutumu kila wakati,toka kuanza kusoma kwake mbona hasipelekwe kwa masalafi?walikuwa wapi?
Nimekukubali ndugu yangu wewe sio elimu wewe umepata elimu ya hufahamu kutoka kwa Hawa masalafy wasaka tonge...
Allah atunufaishe kwa barka zao aamin aaamin aaamin aaamin
Kufa na chuki zako!!! Maulamaa wa Yemen wanajulikana Wacha kutaja wanazuoni masufi na makhurafi!
mimi niko nairobi napennda kumsiakiza sheikh hafidhahullah
Allaah akuhifadhi akufanyie wepesi
@@Heiswatching. amiin ndugu yangu tuko wengi tunataka tuje tusome uko inshaallah
@@yahyamohamed4862 Allaah عز وجل , atawatakieni kheri tu.
@@yahyamohamed4862 dua
@@Heiswatching. amiin ndugu yangu Allaah akuhifadhi nawewe
Nakupenda kwaajili ya allah
Allah akuhifadhi shekh wetu mlezi
Mm nampenda shekh wangu huyu Allah amuhifadh na mahasidi
Aamiin
Hata shukran huna .ngojea hisabu yko.من لا يشكر الناس لا يشكر الله
Abdulkareem:Ulitaka awe na Shukran kwa nani zaidi ya kwa Allah. Unapogundua njia potofu mahali lazima uhame kwa ajili ya kumhofu Allah: We vipi bwana!
@@selemanimartin1081 Kwa hivo Sufi ni wapotofu kwa hivo siwaislamu.?
@@mohamedasaid7910 hawana jambo hawa mawahabi ndo maana kila siku wako mbali na Allah
@@abuuayoubayoub9260 ahahaha ety mbali na Allah, jahil wewe, wewe ni nani kwa Allah mpaka ujue watu wako mbali naye?, Wewe una haki ipi kwa Allah mpaka ujue walio karibu au mbali naye?, Au una dalili ya Hilo?
Itaqillah yaa Abuu Jahli
@@mohamedasaid7910 nani kasema sio waislamu?, Wana makosa sio kufru, Sasa kwanini wasijirekebishe?
Penda sana shekh wangu ..allah akuifadhi
Allah ambaarik sheikh wet
Mbonaa masheikh zako unawaita vijana???
Upo vzr
Allah akuhifadhi shaykh..
Ummjua mwenyezmungu kupitia mashekhe wa kisufi sai unwatukana n haki kweli
Wahiyo ulutaka abaki kwenye batili kwakuwa ndio walio msomesha ?
Alosoma hajisifu wala hasemi kama kasoma Ila anajulikana na watu kama msomi.ww mafuta inaonesha kichwa cheupee hata mungu humjui unasema Allah anamikono miguu vidolee Kakaaa kitako mbingunii hayo si maneno yakisomi.
Ila mungu katuchoka no sawa iyooo we nyamaza hujui kitu
Allah amuhifadhi sheikh wetu sisi twampenda sana kwa maana anaongea kutoka kwenye kitabu na sunna hatutaki chuki za watu binafsi
Subhanalah anawatharau na kuwakejeli maulamaa wakubwa kama abdulmajid zindani na yusuf alqarthawi na sleman al udah na nabil alawadhi na........ Ni Nani weye na muruwsibitha wenzako
Wewe unawkubali makhawariji hujielewi
@@صالحمولد-ب1ط
Ni nani makhawarij?
@@khamisptrany9393 yusufu qardhawi salmanil,auda
@@صالحمولد-ب1ط
Nipe dalili kwenye qurani na sunah kuwa salman al udah na yusuf alqardhawi na abdul majid zindani na......... ni makhawarij
Na ikiwa hukupata dalili kwenye qurani na sunah niambie ni kitu gani kilichokufanya wewe uwaeke kwenye kundi la khawarij?
@@aidathsued9938
Nakushukuru sana kwa nasiha yako lakini mpaka sasa sijapata dalili kwenye qurani aw sunah kuwa mashekhe hao ni makhawarij, na wala sijapata vipimo ambavyo vilikufanyeni muwaeke kwenye ukhawarij
Nakilini nami nakunasihini sana sana kuwa neno khawarij kihistoria lilitumika kisiasa, kila mpinzani anamtuhumu mpinzani wake kuwa ni makhawarij ili kumpaka matope na kumuondolea sapoti kwa waisilam. Kama leyo linavyo tumika neno ugaidi ( irhab)
Ukhawarij ni sifa fulani zikiwepo ndio unaweza kusema kuwa fulani ni kharijiy, sasa je nisifa gani za kikhawarij zilizopo kwa mashekhe hao?
Mfano selmani al audah yupo jela, je alie mfunga ni mcha mungu? Aw ni mwanasiasa mpotofu?
Ndio maana nakunasihini kuwa tujaribu kuchambuwa baina ya aqidah na siasa, kwani upotofu wa siasa umefekenyezwa kwenye dini, na hicho kitu kimeanza tokea enzi za bani umeya
Hukwenda kusoma umeenda kutembea tu.Miezi sita unasoma nini?wenzio kima Cha chini ni miaka miwili.
Nami natamani niwe kama uyu sheikh hapa qasim mafuta
Wewe hujasoma kwaajili ya kupata radhi za Allah s.w bali umesoma ili tu kupata sifaa kwa watu basi hunajengine na ndio masalafi mulivyoo sifa nyinyi na kibrii basi hamuna jengine
جفظه الله تعا لى
Hivi nikitaka niwe kama sheikh Qasim Mafuta nitakuwa?
Allah akuongoze au akuvunje mgongo tubia uongo wako dhidi ya watu wa haki
Hapa shekhe anaongea nawatu wenye ajili haongei na machiz
Allah akupe hekima katika elim yako
Kila nikikaa muda natamani kusikiliza hii historia ya Sheikh Allah amuhifadh
Allah atupe ilimu na ufahamu tusiwe kama kina hawa masheikh wanaowadharau waliowasomesha
Tatizo kasoma lkn hakupewa hufahamu wa alichokisoma......
Abdallah; Hiyo chuki binafsi kwa Sheikh wetu, kakuzidi ki-Elimu wewe na wenzako:
We Muongo, wivu unakusumbua kakuzidi sana ki-elimu
Hivi nimeonee wivi mtu anaeshindana na salum Barahiyan kuwa Nani kaleta ulokole ( manhaj ya kisalafy) tz...ndio dini imetufundisha upuhuzi labda kwanyinyi viraza sio mimi
@@abdallahrajabu4401
Wewe hujielewi ungejielewa usinge sema maneno hayo allah akuongoze
😂😂😂 Hana elimu Moja acha kumsifia ,angekuwa anaelimu kweli basi asingesubutu kuwachafua waislamu wenzake ili apate kusifiwa yeye na angeheshimu khilafu za wanachuoni ambao wakubwa ambao hata robo za elimu zao hawezi kuwafikia alafu munamsifia anaelimu 😂😂 ni mpuuzi tu Hana elimu Moja kazi sifa nyinyi basi hamna kitu
yaan tunauumiwa ni ss tunaoanza kufata quran na sunna,,,,za kisalafi ilaa sasa ndo unakuta hawa masheh ndo wanatoleani tofauti kabisa na kuzihirisha kama wana ugomvi kabisa,allah awajalie waweze kujua jinsi gani wanatuvuruga sisi beginers,,allah awalipeni heri sababu wote mnfanya hayo kwa ajili ya allah.hapa wengine hatujui tushike lipi.anyways :namuomba allah aniongoze kwenye njia ilio sahihi...na hii haihusiani na hio video hapo juu
Na hii dhimma uliojibebesha na izi fitna na ubaguzi ulizo zianzishaa ukasababisha waislamu leo kutengana ipoo siku zitakutokea puwani 😢
Umesoma dini lakini Allah s.w hajakupa takwa huna uchaamungu kazi yako kubwa ni kujisifiaa na kuwachafua waislamu wenzio ambao wanamtazamo mwengine ,na kuleta vurugu basi huna jengine 😢
Sheikh anajisifu Sana na anakufurisha mpka walimu wake duh hatari hiii
Anatia moyo watu wajitume sio kucheza pia kwenye elimu Allah ndie mjuz zaid
Anwajibu waona kazuka tu
kwan ukisoma kwa masufi wanasomesha dini gani ?
Mariam unauliza ukisoma kwa masufi unasoma dini gani ?? Marima uko mbali kweli na mambo ya kielim hiv ujui kuna ushia kuna ukadiani ulshabab ambao ni ukhawariji kuna ujahmiyya kuna uashaira hayo yote ni makundi katika dini ya uislam je we wasoma uislam wa kikadiani au upi ?? Lazima ujue baada ya mtume
صلى الله عليه وسلم
Kufariki waislam waliingia kwenye fitna wakauliwa baadhi ya makhalifa kama vile Othman na waislam wakasambalatika wakaingia watu wa ovu ndani ya dini yetu kwa kupitia mwanya uo na wakaweka myenendo ndani ya dini yetu tukufu ambayo si myenendo ya mtume na maswahaba wake wakaanzisha fikra ndani ya dini zinakwenda kinyume na dini ya mtume na maswahaba wake kama vile kadariyya khawariji murjiya shia wote hawa wamezua mambo kwenye dini maswahaba hawakuridhia walipingana nao lkn wapi moto ulishawaka wakapata nafasi na wao hivyo uislam una njia sahihi na mbovu kwenye kuusoma .
@@mahengomwenyewe4204 Sasa ya Masufi ndio umehakikisha wewe ndio miongoni mwao hizo elimu zisizofaa? Uko tayari ukawe shahidi wa hili mbele ya Alla?
Wanasomesha Usufi! Tatizo hamtaki kusoma, tutawajibu hivihivi
Asalam alekum warahmatullah wabarakatu ustadh mwenye ilimu hajisifu husifiwa pili mwenye elimu hakosowi watu mitandaoni sasa mm sina ilimu lakini mafuta wanitia wasi wasi elimu yako ndogo
Kasome ili asijutie waswas man kukosa elmu pia nitatizo mana lazima Ibliis akutie waswas
Naomba yote, imekatika
Kujisifu tu hata mashekhe walio msomesha hivisasa anawakufurisha
Bado anakiri hata kwenye masomo alikuwa anapigana na wenzake tena ugenini
Kama ni mjinga si unyamaze tu, una ruhusa kuwa mjinga wakati mwengine lakini usitumie vibaya ruhusa hiyo, ukawa mjinga kila jambo wataka kutia lako.
@@مبغضالبدع-ع9ص
Mjinga ni weye ulio tiwa ujamu ukawa unabururwa na mijitu ya fitna iliyo kuwa haina elimu ,
Na kujipa ruhusa ya kufanya ujinga badhi ya wakati, hiyo ni dalili tosha ya kubobea ujinga wako
Hata honi haya
Kwani wewe una elmu kiasi gani mbona kina siku mnaawambia watu hawana elmu jiangalie maana miongoni mwa kibli mtu kujiona yeye Ana elmu kuliko wezake
@@hijjafadhili8873
Unajuwa sisi wale wajinga ambao wanabakia na ujinga wao kwa nafsi zao tu sisi hatwaulizi, lakini wajinga hao wakatumia ujinga wao wakanza kuwashambulia wengine huwa tunawabainishia watu kuwa hao ni wajinga, kwani wenye elimu huwa wanaheshimu rai za wengine na hujiepusha na kujenga fitna kwa hoja za kusema kubadilisha munkar
Mafuta ya taa haya
Wivu wakusumbua
Allah akuongoze uwe hizbih!!!
Shukra mkuu
ww kasim mafuta kwangu si shk kabisa
😁😁😁😁
Bade tusome shekh mafuta
wacha kwa na hasid
Mashallah jazzakallah khair.
Hata Mimi ntashangaa ukisema nishekh wako twakuona umepinda hivyoo...wanafunz wakasimu mafuta Allah amuhifadhi wote wamwnyooka maashaallah.....
HUNA LOLOTE WEWEEE
Huna mpango hata mmoja zaidi ya kujisifu. Kazi yako fitna mara useme maibadhi uwatukane kwa sababu hawafungi mikono .sasa sisi tuweke mikono wapi karibu ya shingo kwrnye kifua .juu ya kitovu au chini ya kitovu maana ukiingia msikitini kila mmoja kaweka mikono srhemu mbali mbali
Na wewe jisifu tuone basi au ni chuki tuu
Mtu hajisifu mwenyewe Bali husifika ukimuona mtu ajisifu mwenyewe ujue hamna kitu kichwani inawezekana umesoma sana lkn hujafahamu kitu kwani kusoma na kufahamu ni vitu tofauti
Alhamdulillah twamsifu shekhe wetu mpka bac Yani adi raha Allah amuhifadhi na husda za makhawaarij
Yaani had raha nikustafid tu elimu ya qasim bin mafuta Allah akihifadhi shekh let la nguvu afu na nyie washamb kama hamjui ki2 kuhusu din fungen midomo yenu so kutoa maneno ya kashfa
mtu ambae ni wafitna huyo bado hajasoma kitu wala hana elimu yoyote
Naomba nambar yako habiib
@@tawfiqathman2045
تفضل karibu
Duh na wewe umesomea wapi kaka? Ingawa comment zako ni kama wewe ni guta kiasi.
@@مبغضالبدع-ع9ص
Mimi mijitu ya fitna kama hiyi huwa ninaichukia sana, na sichiki kwa upotofu wa manhaji aw aqida zao lakini naichukia kwa fitna zao, kwani kazi yao ni kufuatilia mitelezo ya wengine na wasipo pata hujitungia
Alie kuwa nyuba yake mi yakiyoo hawalengi wengine mawe
Kwhyo usalafi umeanza juzi tu afu mnaona ndio dini pumbavu
Bingwa wa kuwafanyie waislam wenzake kiburi, madharau, kejeli na kufuatilia aibu zao
Mafuta hanaa adabu hata chembe
@Juma Naso kwani huo uislamu unao utaja umetufunza kukashifiana from ur comments?
@@omadal1
الجزاء من جنس العمل وكما تدين تدان
Upo sahihi uliyetoa maoni yako...Mafuta shida yake kubwa kanyimwa HIKMA,NA BUSARA...nahisi ujana bado unsumbua
Mpofu ww kaa chni usome tena kwa masuf
Muongo , Jamani acheni kuwaongopea watu , wewe Mafutaa wewe uongo huu wewe PEPO uipate wake , wewe Mafutaa weweeeeeeeeee ACHA KUWAONGOPEA WASIOKUJUA WEWEWEWE KUWA NA KHOFU WEWEWEWEWEWEWE
uongo wake ni jambo gan hapo??
Nanini!!!!!!
Sifa zako za riyaa
Muongo
Hio ni ria tu
Kumbe kujigamba kwote huko ulisoma kwa ahlu twariqa, kisha leo unawaponda.kiukweli twariqa ndio walioeneza dini khususan katika Africa mashariki ukiwemo wewe qassim mafuta.nahakuna mtu ovyo kama wewe.
Moja ya matatizo ya usufi unaweza kusoma mda mrefu lkn maarifa ukawa hauna sasa hata tofaut ujaiyona kua kuna vitu kavijua haviko sahihi kaviacha ? Ili ujalisikia kama vile akida ya kiashaira maulid nk unaoneaje ivyo sasa kama unazoakili za kuelewa ?? Inaonesha hata maneno uyaelewi sasa uwo ndio usufi unamsikiliza mtu mwanzo mwisho lkn huelewi kitu.msiba kweli wallahi nami nilikua ivyo ivyo zamani Allah atuongoze
إنه من جهلاء الأمة الإسلامية في زمننا هذا ومثله يتشابه بالعالم بل إنه رجل بليد
@@saidibaraza1379 Kwavile anakunyosheni lazima mumchukie walillahi Lhamdu tumewagundua waislam walio na fikra za kikhawariji za kishia za kijahmiyya za kimuutazila tumewajua makadiyani na tumewajua Ahlu Sunnah wa kweli na wanaharakat we baki ivyo ivyo kua kama mwehu hata ujijui manhaji gani ukisema uislam hauna makundi tunakuambia makundi yapo yalitabiliwa na mtume na yalishatokea kitambo kirefu tangu kuuliwa kwa Othman ibn Affaan kama unaporojo zako lete nakusubir najua makhurafi hanaga hoja mnaporojo za namrudh
Omar: majigambo hayapo ila kakuzidi sana ki-elimu kikusumbuacho ni Husda-roho yskuuma sana, halafu mi nakufahamu toka shuleni,uwezo wako ulikuwa chini sana
Kumbe ndio huyu Sheikh anaetukana watu, embu wekeni picha yake tumuone
Alafu inasaidia nn ukimuona
@@saamiaabdallah2160 mimi najua nini itabisaidia ntumie tu picha yake nimuone
@@saidsuleiman1753 كل تسوير حرام
Picha haramu
@@saamiaabdallah2160 kumbe
@@saidsuleiman1753 ndy Kaka
Unaweza ukasoma sana lakin huku elimika hivi leo mnawalingania watu waingie katika kundi na mnasema kua kundi fulani ndo lilo ongoka umeona wapi mambo ayo walinganieni watu waingie kwenye dini sio kuwaita watu katika makundi
Hassan wewe mbumbumbu kaa kimya wenzio tulivyokua wajinga tulisema kama wewe lkn baada ya kujitambua tumejua makundi yapo na haya kayasema mtume kama ujui kaa kimya. Utatukana bure kwa ujinga mwisho udhurike
Muongo mkubwa, acha kijicho
We Endelea kudharau Watu ndio ushehehe
Kamdharau nani,kumrudisha mtu mstarini ndo kumdharau?
Imamu wa mtoro huyu
Uyu sio imam wa mtoro ni kassim mafuta yupo pongwe tanga ndio markazi yake ilipo uyu ni salafi sio sufi wa kwa mtoro
Wakati umeanza kusoma ulikuwa dhehebu gani?tatizo lenu wote mlikuwa njia iliyonyoka ilipofika miaka ya tisini na ndo yameibuka hayo madhehebu yenu ya kuzusha eti salafii,Salafi wa ukweli washapita zama hizo nyinyi wa Leo ni njaa na jeuri tu na mmezusha mambo mapya ktk dini ndo mnaleta habari zenu za usarafi
Kwhyo usalafi umeanza juzi tu afu mnaona ndio dini
wee punguza kuvuta Bamgi ukubwani
ety Shekh Khamis Ame mwanafunzi wako hahahaha
unajitetea kisa anakukosoa mienendo yako?
Allah Amuhifadhi Sheikh Wetu Abuu Usaamah Khamiys Ibn Ame.
Hakuna hatia kuwa mwanafunzi wake, pia ukimsikia shkh khamis anakaa ni mwanafunzi wake.
Kakuzidi wewe na Huyu umpendae
@@selemanimartin1081 katuzidi nini?
na ww ndio mtoaji mpaka useme katuzidi??
Nyie baraamika mtihani sana na oftenly huwa hamjielewi mnacho kiongea
Nini faida ya kutaja ilmu yako?
Nashangaa ma huyu kijamaa .ndio ahsantae ya punda ni mateke .eeeeeer kweli
Umeelimika na chochote au umekusanya mielimu tu