Wallah Nimesikiliza kwa umakin mkubwa sana juu ya hii Mada , Mwenyezimungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele Ustadh , Hakika Wamepata Hasara Waliokosa Radh za Wazazi , na Vile Vile Wamepata Sahal waliopata Radh za Wazazi🤲🏻! Mwenyezimungu Atujalie tuwe miongon mwa watakaofuzu kupata radh za wazee wetu Amiin Amiiin !
Shukran sheikh jamaludin Allah akuzidishie elimu na akupe umri tawaal, atujalie umati Mohammed niwenye kuipata jannatul kwa kutendea wema wazazi wetu inshallah
Allah awarehem wazazi wetu waliotangulia mbele za haki yaraby......tuzidi kiwaombea Shekh wetu na Allah azidi kutupa pa muelekeo mwema kwenye vizazi vyetu.... shukran zetu nyote Allah awaweke mutupe muogozo zaidi kwavizazi vyetu..
Kwanza: kumfanyia ihsani mzazi- 1) kwa neno IHSAN kwa maana kumpendekeza au kumchagua kuwa kiongozi wako; yaani kumchukua\ au kumfanya mzazi wako kuwa kiongozi wako ewe mtoto kwa kurithi kwake mila ya Mtume; hapo utakuwa umemfanyia mzazi ihsani
Assalam aleykum kuna mtihan ninao mwangu anachukuliwa na wachaw usiku nakufundishwa uchaw naomba msaada juu ya hili yan nin na kama dua ni dua gan au nifanye nn ili nimtoe mwanangu ktk mtihan huu
@@aishajumaa6089 acha kutOa fatwa aMbazO hauna iLMu naazO DaDaanGu ,, tuwatwii wazazi wetu iLa katika Maasi ya kuMkOsea ALLah hapaana usiwafate Lakini waOnGOze na uwaLinGanie ,, sasa ikiwa Mtu kasiLiMu aMefanya kheeri kubwa Lakini Mzazi hataki na anaMnyiMa Raadhi hapO ALLah aMesha ahiiDi kwaMba hufai kuMtwii Mzazi kwa kubakia kwa ukafiri kwahiyO hajakOsa Radhi baLi Mzazi nDiO yukO seheMu isiyOkua sahiihi kwahiyO MtOtO aMLinGanie Mzazi waake kwa hekMa na siO kuMkOsea aDabu
Wallah Nimesikiliza kwa umakin mkubwa sana juu ya hii Mada , Mwenyezimungu akupe maisha marefu na yenye baraka tele Ustadh , Hakika Wamepata Hasara Waliokosa Radh za Wazazi , na Vile Vile Wamepata Sahal waliopata Radh za Wazazi🤲🏻! Mwenyezimungu Atujalie tuwe miongon mwa watakaofuzu kupata radh za wazee wetu Amiin Amiiin !
Maashaallaah shukran sana mungu akuweke akuzidishie elimu na baraka kwaukumbusho mnzur
Jazakallah kwa mawaidha nzuri
MASHALLAH jzk
Ya Allah usirufishe na wazazi wetu hali ya kua hatujapata radhi zao,,Allah akujazeni kheri mashekhe wetu,awapeni umri mrefu na ulmu zaidi
Masha Allah, 😭😭😭 Ya Allah wape wazazi wetu umri mrefu In Sha Allah 🙏 ameen
C p p
MashaAllah
رب رحمهما كما ربيني صغيرًا
بارك الله فيك
جزاك الله خيرا كثيرا
Mashallah jazakallah kher
Allhamdullaah maashaallaah Allaah atujalie pamoja na wazazi wetu tuwafanyie wema shukran sana shekhe wangu mungu akuzidishie Dunia na khera Amiin
Allah Akbar
Hii mada ni muhimu Sana ktk jamii 7bu hii ni njia mmoja kuingizwa Janat na ni nambali mmoja.
K
Mwenyezi mungu akuzidixhie kila la kher kwa ukumbusho huu kwang na waislam wote kwa ujumla
Masha Allah. Natamani WAISLAMU wote tuisikizie hii video. Allah atujaalie tuwe wenye kupata pepo kupitia wazazi wetu
Ameen yarabil alameen 🤲🤲
jazakum llah Allah akulipe shekh darasa zuri ishaalah
Dah sisi wengine tunamsomea dua kila Mara kwasababu mama yetu ndio aliyesababisha tusome ila dah kuna vitu vinaumiza
Mashaallah nimejifunza nanimejionea kwa familia yangu mwishoe anasema amelogwa 😭 nakumkashfu mama yake kwamba anamloga kumbe niradhw tu yamzaz
Allah AKUZIDISHIE shekhe duniani na AKHERA na awasamehe wazi wetu wawili
Mashaa Allah... Baraka Allahu fiyk
Mashallah...My sheikh my ustadh May Allah bless uh wherever u r..And give u strength of giving Daawah to people❤
Allaah Awaswameh kutokuwa nanafasi kuwaangaliyaaa wazazi wao shauri hawakuwaeleeeyaaa
Amina kwa mawaitha mazuri
Mashallah..yarabi tujalie tuwe wenye kuwalea wazee wetu🤲
Ameeeeen masharllah mawaitha mazuri yenye mafunzo
Mashaallah
Shukran sheikh jamaludin Allah akuzidishie elimu na akupe umri tawaal, atujalie umati Mohammed niwenye kuipata jannatul kwa kutendea wema wazazi wetu inshallah
Ma-sha-Allah. I have learned a lot. May Allah bless you.
Allah awarehem wazazi wetu waliotangulia mbele za haki yaraby......tuzidi kiwaombea Shekh wetu na Allah azidi kutupa pa muelekeo mwema kwenye vizazi vyetu.... shukran zetu nyote Allah awaweke mutupe muogozo zaidi kwavizazi vyetu..
Yaa Allah tupe mwisho mwema na wazazi wetu inshallah 🙏❤
Seed 1 for
sheikh mawaidha mazuri sana mungu akuzidishie elimu
Mashaalla nimejifunza kitu juu somo hili
ManshaAllah sheikh, Tunaomba Allah atujalie kuichunga haki hii.
MashaAllah barakAllahufiikum Ahlan
MashaAllah shukranii sana jazaka allahu kherii Allah akuifadhi
🥰🥰🥰Maashaallah baaraka Allah fiik.shukran kwa maidh mazur alhamdullillah ninejifunza kitu muhim sana kweny maish
Allahubarik tuwe wenye kusikiza na kufwata suna za mtukufu wa daraja aamiin shukran
Allah akubarik na akuzishie elimu zaid Inshaallah
Eehmwenyeximunguusinitengenawazaziwanguinshaalah
Sasahapohujasomasanaupohivyojeukizidishaelimuitakuaje
Asante ustdh jamaldin kwa ukumbusho
Allah atujalie mwisho mwema
Shukran sna sheik mungu akupe.kher utuelimishe napenda mawaidha yko
M.a my fav sheikh
shukran jazakallah ulkheir
Mashallah mashallah mashallah
mashaallwah mmungu akulinde
Amiin yarab shukran sana jazzaka llahu kheir
Yaa Allah warehemu wazazi wetu
Mashàhala na kupata vizuri
Mashalla jazakallau kheiran
Amiin jazakallah kheyr
Aslm alkm ww..... Masha Allah!!!!! Shukran sana sheikh, jazakallah kheir. Allah akulipe jannah firdaus Kwa hilo ya Rabb.
Shukurani
Shukran Kwa hutba nzuri.
Shukran
Sheikh kwa ukumbusho
Allah akufifadhi na akubariki
Shukrani.kutuelimisha
Yaa Allah nakuomba umpe umry twaweel Mamaangu 🤲
Wonderful
Maashaallaah
May Allah guide us
Allah bless u sheikh
Allahi barik. Allah yahfadhak
Maasha alaah tabaara ka laah
Jazakhala khairun
Jazakkallahul kheiri
Alihamudulilah rabla Alamein 🙏☝️
Daaaah nimejifunza som hap lakin nimelia 😭😭 mung akupe umr mrefu uendelee kutoa daras
Ok ok kkk in jb be blblamana it
JazakaAllahu khair❤❤❤
0:29 Allha akujalie her
maashaAllah sheikh
Daah!! Mawaidha kama haya tunaomba na huku kwetu muje
MashaAllah. Jazāk Allāhu Khayran.
ما شاء الله ، جزاكم الله خير
Shukran
Amini
Masha'Allah TabarakaAllah ❤️🕋🕌
Mashaallah❤❤
Thanks for u a preaching
Masha Allah shukurani.
Ostaz tunaomba na huku kwetu muje waisllam tupo ktk kiza chonde chonde
Mashaa Allah tabarakallah
Ameen yarabil
Masha Allah mashe zetu.
Manshaallah
Amiin yaarabi
Shukran
takbir
Ukweli hiyo sheikh
MashaAllah
Insha Allah
Wali wa choko
M.a
Mungu ajalie mamayangu awe mtu wa peponi 😅
Mashallah
💞💞❤️❤️❤️
Masha allah
Mashalah
SUB-HANA ALLAH
🙏🙏🙏
Kwanza: kumfanyia ihsani mzazi-
1) kwa neno IHSAN kwa maana kumpendekeza au kumchagua kuwa kiongozi wako; yaani kumchukua\ au kumfanya mzazi wako kuwa kiongozi wako ewe mtoto kwa kurithi kwake mila ya Mtume; hapo utakuwa umemfanyia mzazi ihsani
Mashallah😂😂
Assalam aleykum kuna mtihan ninao mwangu anachukuliwa na wachaw usiku nakufundishwa uchaw naomba msaada juu ya hili yan nin na kama dua ni dua gan au nifanye nn ili nimtoe mwanangu ktk mtihan huu
Daaah:
🤲🤲
😭😭😭😭😭
1) Kumfanyia ihsani ni nini?
2) kumshukur Mungu na kumshukuru Mzazi ni nini?
Kumfanyia WEMA mzazi wawili ni nini?
@@kajiarashid2752 kumtii na kumsikiliza
Na ww
Tueke,wazi,shekh jihadi,ya,ainagani,hawa,wanaokwenda,somolia,hinayo,nijihadi,yahaki,ebunifahamishe
Vipi hukumu kwa wale ambao wazazi wao makafiri na watoto wao wamekosa radhi juu yao kisa wamebadiri dini????
Hawatapata radhi za Allah
@@aishajumaa6089 acha kutOa fatwa aMbazO hauna iLMu naazO DaDaanGu ,, tuwatwii wazazi wetu iLa katika Maasi ya kuMkOsea ALLah hapaana usiwafate Lakini waOnGOze na uwaLinGanie ,, sasa ikiwa Mtu kasiLiMu aMefanya kheeri kubwa Lakini Mzazi hataki na anaMnyiMa Raadhi hapO ALLah aMesha ahiiDi kwaMba hufai kuMtwii Mzazi kwa kubakia kwa ukafiri kwahiyO hajakOsa Radhi baLi Mzazi nDiO yukO seheMu isiyOkua sahiihi kwahiyO MtOtO aMLinGanie Mzazi waake kwa hekMa na siO kuMkOsea aDabu
Mimi nina tamani niogeye na wewe sheikh sina no. Yako nipo na maongezi kuhusu hiyo mada
.
Uboo.
Manshaallag
L