Mashallah hunaga mbaya kipenz nimefanya hiyi cake yani n nzuri sana sana Alhamdulillah Allah akulipe kher inatoka soft nimejifunza mengi na napata riski kupitia hapo
Baking soda inasaidia kulainisha na baking powder inasaidia kuvimbiasha. Sio cake zote zinatumia baking soda ni cake zenye vitu vya ukali yaani acid kama matunda na chocolate ina ukali na maziwa ya mtindi yana ukali ndio maana baking soda inatumika kwnye recipe hii
Wa aleikum Musalaam. Mimi recipe zote natoka vipimo kwa vikombe au gram kama huna mizani ni vizuri kupata vikombe vya kupimia vinapatikana kila mahali siku hizi. Gram 1000 ni kilo, gram 500 ni nusu kilo , gram 250 ni robo kilo sasa ikiwa 300 au 400 ni vigumu kufahamisha
Mashallah hunaga mbaya kipenz nimefanya hiyi cake yani n nzuri sana sana Alhamdulillah Allah akulipe kher inatoka soft nimejifunza mengi na napata riski kupitia hapo
Shukran, alhamdulilah Allah akufunulie milano ya kehri
Amin amin amin y rabb
That cake looks so yummy; chocolate is my favorite. Thank you for sharing your recipe.
My pleasure 😊
Masha Allah.. shukran habibty
Mashaallah. Inshaallah will give it a trial saturday
Mashallah
I need to try this one 😋
Sure 😊
Nzuri saaaana! Nitaijaribu hii pia. Your recipes always come out perfect whenever I try them ❤️
Alhamdulilah
mashallah. luv ur recipes. Allah azid kuibarik mikono yako
Shukran, amin kwetu sote
Masha Allah..keki nzuri mbona sikuona ulivyotia Ile mtindi kwenye keki yko?
Nimechanganya mtindi na coffee halafu nimetia hapo nilipokua na weka unga
Nimependa nzuri sana
Mashallah Mimate yananitoka😋🤤😂
Nafaham kabisa😂😂
Nzuri sana 😋
Masha Allah bless you always 🙏 My sister
Shukran, Amin
Jazakallah khayran
nice mashallah am gonna try it
Thanks for liking
Walyem mssalam warramathuallah wabarrakathu mashallah
Nzuri.Naweza punguza sukari kidogo? Nakupendaga kila unachoelezea au kufanya unasema na sababu hongera.
Shukran,unaweza kupunguza lakini sio sana kwasabau texture itakua tofauti
MashaAllah I love it ❤
Another mouth watering recipe 😋 Asante Dada kwa mapishi mazuri. Allah baarik🤲❤
By the way nice henna😁
Thank you 💗
You are welcome 😊
Asalam aleykum shukran kwa mapishi naomba kuuliza baking soda inasaidia nn kwenye cake
Baking soda inasaidia kulainisha na baking powder inasaidia kuvimbiasha. Sio cake zote zinatumia baking soda ni cake zenye vitu vya ukali yaani acid kama matunda na chocolate ina ukali na maziwa ya mtindi yana ukali ndio maana baking soda inatumika kwnye recipe hii
@@aromaofzanzibar shukran sana nimefaidika kwa kweli, Allah akubarik
Asalam aleykum naomba VIP imo vya hii cake
Assalm Alykum bluband waeka robo
Tafadhali Angelia viungo na vipimo halo chini kwenye description box
Can I twist this by using cooking oil instead of butter? If yes, how much oil?
This is a pound cake it does not have oil , you can twist it or use another chocolate cake recipe and add ginger
Aslaam alaykum Allah azidi kuubariki mkono wako, shida yangu ni mojo huwa mkisema grams 400 ao 300 huwa sielewi naomba msada unifahamishe ile nikiskia grams 400 nijue unakuwudia nini please 🙏🏻 💖
Wa aleikum Musalaam. Mimi recipe zote natoka vipimo kwa vikombe au gram kama huna mizani ni vizuri kupata vikombe vya kupimia vinapatikana kila mahali siku hizi. Gram 1000 ni kilo, gram 500 ni nusu kilo , gram 250 ni robo kilo sasa ikiwa 300 au 400 ni vigumu kufahamisha
Masha'Allah...hapo kwa measurements umetumia the same measuring cups both kwa butter, sugar and flour?
ndio
😋😋😋😋😋
Safi sana receipe zako huwa ni nzuri na hukosei.... Ila Kuna kitu sijafahamu kwanini kwa pembeni keki yangu inakuwa kavu???
p̶r̶o̶m̶o̶s̶m̶ 🙌
IF YOU WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH th-cam.com/video/PGZFL09GSuA/w-d-xo.html
Mashallah 😋 😋 😋