Asante sana kwa tips nzuri. Ningependa kufahamu unapo bake cake una anza na moto wa chini na juu au una anza na moto wa chini halafu unaweka wa juu. Shukran
Asante sana love kwa mafunzo yako ,mimi shida yangu nikipika keki ya mchanganyiko wa nusu huwa natoaga maugali ila nikipika vipimo vya robo natoa keki nzuri sijui na feli wapi 🙏
Umeangalia ubora wa baking Powder yako? - Umefuata sheria za upishi? Ipo video yake kaicheck -Unatumia recipe iliyokamili? Fuatilia vizuri na kwa umakini kisha niletee mrejesho wako hapa.
shukran sana mziwanda bakers lkn swali lang ni kuwa niliwahi kupika cake nikaweka maji instead ya maziwa lakn cha ajab cake ilikuwa inachemka maji jikon kanakwamba nmeweka maji kwenye cake.. naomba kujua hapo tatz nn
Me naswal mfano umekoroga mkorogo mwngn kuliko uwezo wa oven yako je ule mkorogo unaweza ifadh? Na je ni kwa muda gani? Na je nje ya frge au ndan ya frige Ahsante dia
Kwa unga robo Ni tini gani sahihi kutumia? (Yenye ukubwa gani ?)maana natamani kupata cake isiyokuwa na kilima _dome.evweytime I bake lazime kilima kitikee nisaidie tafadhari
Me naomba kujua kwann sometimes cake yng ikiwa ndani ya jiko inavimba vizuriiii ni ya kupendeza na wala haipasuki mpk inaiva naitoa iko vzr lkn sasa nikishaitoa pale naiwacha ipoe bac nikenda isharudi japo c sana lkn c km ilivokuwa?
Nikipika keki yangu na sukari ya kawaida ile light brown (kama unayotumia) sio deep brown, keki yangu ndani inakuwa Brown haiwi nyeupe km za wengine shida nini?
@@mziwandabakers8297 huwa nablend sukari sababu sina mixer, Je hiyo ndo sababu? Na ukisema kupiga ule mchanganyo unamaanisha kuupiga sana ndo kunaweza pelekea keki kuwa ya Brown ndani?
@@gloryjoshua1801 Piga sana sukari na blueband hapo kwenye matokeo ya keki nzuri...ukipiga sana inalainika kabisa na inakuwa kama ice cream hivi kama povu,halafu ndo uendelee na process nyingine, Sukari na blueband ndo itafanya cake yako iwe laini, nzuri...Sukari isage kwenye blender ya vitu vikavu.
Kipenz naomba msaada wako me nikipika keki inanionesha kama ishawiva nikiitia kijiti lkn nikiitoa na kuikata chini inafanyika haijawiva keki inajigawa cjui nn ttz
Asantee dada,
Ili cake ichambuke vzrii unafanyaje. Tunaombaa darasa la uchambukaji wa keki
Asante yani najarubu tena nione matokeo sikati tamaa hadi nijue
Asante kwa darasa zuri sana,bado kwenye swala la kupasuka juu.
Masha_Allah
Asante sana Mungu akuinue
Asante kwa darasa
Asante dada keki yangu inakua na mlima nainapasuka dalasa nizuli
Nakupenda sana dada yan unaelekeza kiundan sana had sis wenyevchwa zigum tunakuelewa kwakweli
Dada Mimi Natak kujiunga Na Darasa online
Shukrani dada.... nimeipenda ovena yako ni kampuni gani
Shukran kwa elimu
Asante kwa darasa zuri nimejua kasoro yangu!
Asante sana kwa elimu yako.Mungu akuinue zaidi
Keki inakata kama sima
Mwalimu makini sana dada
Naomba unijuze handier ipi ni nzuri
Asante sana umenisaidia sana.
Asante sana kwa tips nzuri. Ningependa kufahamu unapo bake cake una anza na moto wa chini na juu au una anza na moto wa chini halafu unaweka wa juu. Shukran
Lazima temperature iwe both sides, juu na chini.
Asante sana love kwa mafunzo yako ,mimi shida yangu nikipika keki ya mchanganyiko wa nusu huwa natoaga maugali ila nikipika vipimo vya robo natoa keki nzuri sijui na feli wapi 🙏
Ìiijjjhhgģģhhğģ
Asantee kwa SoMo mie maswali apoo kwenye moto wa oven upii unatakiwa
Nikipika cake intokaa kama simaaaa
Asante sana nimeongeza kitu dada.
Habari
Nataka kujifunza Kwa vitendo...
Piano tunaomba visitors via cake kuanzia 250g make just yake
Kwann keki inachambuka sana mpaka inashindwa kuchomeka kwenye kijiti
Ulipata majibu?
Thanks
Thanks dear tunapona
Mpaka nimesusa kupikaa keki na jiko nikauzaaa
naomba kujua custard powder inasaidia nn ktk cake
Asante sana kwa mafunzo. Nafuatilia kutoka Kenya
Shukran sanaa
Asante sana dada mziwanda kwa darasa zuri, ubarikiwe sana. Je ni baking powder ipi inafaa kwenye keki? @mziwanda bakery
Hello karibu, baking Powder zote nzuri kikubwa ujue unaitumia kwa kiwango kipi na ubora wake pia na rangi yake ni muhimu
@mziwandabakers8297
Nini kinafanya keki ichambuke Sana !! Had ukishindwa kukatika vizuri
M ntmn kupk cak ambay juu inapasuka kutokan n sok lang ndo lnatak hvyo je nfanyaje
kwann nje iko sawa ila ndani haijaiva
Dah leo nimepata kutatua tatizo langu.ubarikiwe mnoooo.nilikuwa nateseka sana cake inakuwa sponge vizur ila inadumbukia kati.ntafanyia kazi
Hii nitaifanyia kaz dada
Asantee
Oven nimeipenda,inauzwa bei gani?
Naomba kujua kwa nn keki yangu haichambuki na kuwa sponji vzr
Habari, Asante Sana dada, keki yangu inakuwa ngumu ndani aina unyevu unyevu ndani pia haiumuki ninavoweka inakuwa hvhv inaumuka katikat tu kidogo sana
Umeangalia ubora wa baking Powder yako?
- Umefuata sheria za upishi? Ipo video yake kaicheck
-Unatumia recipe iliyokamili?
Fuatilia vizuri na kwa umakini kisha niletee mrejesho wako hapa.
Mziwanda nauliza kuhusu kusagika kwa sukar mana celew natumia sukar ya brown
Asante sana my love 💕
Mi natak kujua je ni mayai gn mazury kupikia keki
Shukrani Dada. Naomba msaada naweza pata wap oven kubwa ambayo naweza kubake mikate na bei yake
Asante sana mi nahitaji kujua kupamba cake je unawrza kunifundisha?
Inapendeza
Asante kwa mafunzo ila mimi nina shida jiko langu ni la gas na halina taa walahalionyeshi kiasi gan kwel sijalielewa
Keki inawekwa nin ili ichambuke ?
shukran sana mziwanda bakers lkn swali lang ni kuwa niliwahi kupika cake nikaweka maji instead ya maziwa lakn cha ajab cake ilikuwa inachemka maji jikon kanakwamba nmeweka maji kwenye cake.. naomba kujua hapo tatz nn
Sijaelewa swali maji umeweka au umeweka maziwa yakawa kama umeweka maji??
niliweka maji ktk mchanganyko wa cakee
Jmn keki yang vaiv ndani inakuwa kam ugali naju inakuwa ngumu yn inakauka je shd nn dad
Meh najifunz kpika keki kw mkaa ila haichambuk
Teach me hole at middle
Mashaallah
Asante dada Mungu akubariki nauliza kama unagroup la watsup la kufundihia
Yangu haichambuki mbna
Hili jiko sh ngapi?
Mm naweka baking powder kwakiac, cfunui mpk dakika dakika 40 lkn cake inaumuka mpk inadumbukia ndan yenyew, hii inanikosesha sana amn
Pia na mm huwa nizitengeneze keki haipandi inabaki vilevile zaidi inavimba katikati
Ambao hatuna vipimo maalum ni changamoto na Mimi mara nyingi ndani inakua kama ugali
Me naswal mfano umekoroga mkorogo mwngn kuliko uwezo wa oven yako je ule mkorogo unaweza ifadh? Na je ni kwa muda gani? Na je nje ya frge au ndan ya frige
Ahsante dia
Uweke kwenye chombo chake tayari kwa kubake,ulizoweka zikiiva ingiza hiyo ingine, usiweke kwenye fridge acha tu kawaida
Madarasa yako wapi
Mi nikipika keki inanata ndan af kwa nje imeiva je naweza kuirudisha jikon????? Asante pia kwa som
Angalia sheria za upishi wa keki Mziwanda Bakers utapata kitu
Asante Sana dada kwa madarasa haya unatubariki Sana umekuwa msaada mkubwa
Ameen
Kwa unga robo Ni tini gani sahihi kutumia? (Yenye ukubwa gani ?)maana natamani kupata cake isiyokuwa na kilima _dome.evweytime I bake lazime kilima kitikee nisaidie tafadhari
Dada mimi nikipika keki inapusuka sana sana juu na katika unakuwa uji tu una mwagika plz msaada 🙏🙏
Hello dear ni laziima kuweka hizo cooling racks?
Panaposumbua ni vipimo mfano unga 250 baking powder kiasi gani.......
Asante, lakini mimi keki yangu haidumbukii huku juu. Huku pembeni inaingia katikati inaleta shape ya kinu. Shida ni nini?
Angalia vipimo😌
Mama haitham takuja kujifunza
Karibu kipenzi
Nini kinafanya cake iwe nyeupo ndani
Elimu konkiiiiiiiiiii
Me naomba kujua kwann sometimes cake yng ikiwa ndani ya jiko inavimba vizuriiii ni ya kupendeza na wala haipasuki mpk inaiva naitoa iko vzr lkn sasa nikishaitoa pale naiwacha ipoe bac nikenda isharudi japo c sana lkn c km ilivokuwa?
Keki hazipandi sanaa shida nn??
Keki yangu nikipika inakua na uchungu shida nn
Dada mziwanda. Samahan uzito wa mchanganyiko hauwez kufanya keki kuwa ngumu? Na je mchanganyiko wa 500gm barking powder n kiasi gan?
Pia kek inadumbukia Kati sababu ya kukosea vipmo vya unga mm mara ya kwanza ilkuwa inantokea nlivoenda Sawa na vpmo haikuwah nsumbua tena
Ni kweli hongera sana
Jaman m hzo mixer znakufa sana yaan unakuta inalia 2 ila ivo vchuma havizunguki nakosea wap alaf n mda. mfupi 2 nanunua ten inginee
Usiizungushe muda mrefu ikachemka sana huwa zinakosa uimara ikipata moto mkubwa
Shukran dada
Kwanini keki inakuwa kama ina maji ndani na sijaweka maji?
Kipikia sufuria dogo
Kwa jiko Hilo unaloonesha settings zake zinatakiwa ziweje?
vipimo sijaelwa na kupima moto
Mm naomba uzito wa kila tin inakua kg ngapi km tin ya inch 7 kg nhpi inch 4 kg ngpi na darasa la vitendo lini uko wapi
Samahani, sukari ya kawaida inachelewa Sana kuyeyuka wakati wa ku cream cake, je naweza kuweka mayai bila sukari kuyeyuka kabisa kwenye mchanganyiko?
Blend sukari itakua unga na itakupa matokeo mazr😌
Kipimo Cha robo kinatumia kiasi gani baking powder?
5
5gram
Me naomba uelekeze kwann margine inakatika nikiwa naweka mayai
Kama natumia raising flour inakuwaje?
Na cake ikiwa mbichi katikati shida inakua nini
kipenz naomb namb yako maana nataka kujifundisha kupika kek
Bless you dr
Napataje oven kama hiyo kubwa
jamani mi sijaelewa hapo ukitoa huo ute inamaana huu tumii tena
Asant sana kipenzi mimi sijawah toa keki isio na kichuguu yani
Jitahidi kufuata sheria
Dada unga kilo moja unaweka beking pouder kiasi gani
Hongera dada kwa ukufunzi nimependa sana! Na je izo oven napata kwa sh. Ngapi?
Hizi deck moja zinasimamia 1.4milioni nakuendelea inategemea na kampuni
Dada naomba namb ya madarasa watsp
Nifanye nini ili keki yangu isipasuke na kuwa na mlima!
Natamani nije kujifunza kabisa maana sometime napata changamoto ya keki kutochambuka
Nilioka keki ikawa mbichi katikati shida itakuwa nn?
Bakin tin imekuwa ndogo kuliko mchanganyiko
Madame naomba namba Yako
Naomba uniwekee saizi ya inch ya sufuria na kiasi Cha unga kinachoingia
Please naomba dada nisaidie
7" weka gram 650
8" weka 750
Asante
Asante
Kwann keli inakuwa kama ugali tafadhali dada tueleweshe plz
Unajiunga kwa sh ngapi
Samahan dada, keki ya robo inatakiwa mayai mangap?
Unaweza tumia 4 mpka 6
Nikipika keki yangu na sukari ya kawaida ile light brown (kama unayotumia) sio deep brown, keki yangu ndani inakuwa Brown haiwi nyeupe km za wengine shida nini?
Angalia namna unavyopiga mchanganyiko wako pia njia unayotumia huenda inakuletea matokeo hayo
@@mziwandabakers8297 huwa nablend sukari sababu sina mixer, Je hiyo ndo sababu? Na ukisema kupiga ule mchanganyo unamaanisha kuupiga sana ndo kunaweza pelekea keki kuwa ya Brown ndani?
@@gloryjoshua1801 Piga sana sukari na blueband hapo kwenye matokeo ya keki nzuri...ukipiga sana inalainika kabisa na inakuwa kama ice cream hivi kama povu,halafu ndo uendelee na process nyingine, Sukari na blueband ndo itafanya cake yako iwe laini, nzuri...Sukari isage kwenye blender ya vitu vikavu.
Kipenz naomba msaada wako me nikipika keki inanionesha kama ishawiva nikiitia kijiti lkn nikiitoa na kuikata chini inafanyika haijawiva keki inajigawa cjui nn ttz
Oven inapitisha moto vizuri?
@@mziwandabakers8297 ndio lkn moto wake unawaka na kuzima
@@haithamshein7726na mimi hilo tatizo linanichanganya inazima na kuwaka
Asante