mashaaAllah Allahibariqfii habibbty nice recipe for my Eid cake ,it's looks yummy &moist can't wait to surprise my family this Eid 😍😍EID MUBARAK TO YOU &YOUR FAMILY IN ADVANCE INSHAAALLAH #Stay safe
Assallam aleykum leo nimeona video kwenye Tbc yako ambayo ulipika maini nikajiuliza jee uliwapa lesence ya kurusha video zako ? samahani nataka tu kufaham sababu mm nafanya kazi kwenye ofisi ya copy right society zanzibar
Aleikum Musallam, ahsante sana mie hao watu siwajui wala sijawahi kuwasikia. Mara nyingi hupata taarifa mambo kama haya hutokea sehemu mbali mbali Tanzania lakini I have no where to reach them. Video yangu ya maini ni katika recipe zinazotizwa sana yaani ni top 3 in my list. Nashkuru sana kama utaweza kunisaidia hili jambo. Ubarikiwe
@@aromaofzanzibar Nahisi ni kuongea na Mkurugenz wangu na tuone jinsi gani tunaweza kukusaidia.. sababu kwenye hili we are using different law na ile ya Tanzania bara. Na Tbc ni ya Tanzania Bara sio Zanzibar.. But all in all nitalizungumzia hili tujue tunafanyajee.
Inategemea na u ga dear Mie napima kwenye scale wakati huku naweka kikombe cha unga , kila unga upo tafauti dear, standard kikombe 1 ni 120gms. 250 inayoandikwa kwenye measuring cup ni ml yaani kwa vitu vya maji sio vikavu kama unga au sukkari
IF WISH TO WATCH THIS RECIPE IN ENGLISH KINDLY FOLLOW THIS LINK th-cam.com/video/V89cXE3FVxA/w-d-xo.html
Shukran mumy, yaani skuu ya mara hii ushindwe wwe 2 mapishi ni mazuri masha allah
Wow nimejaribu kutengeneza hii keki mashaallah so it so soft shukran aroma you are the best
Alhamdulilah, hongera. Eid Mubarak!
Mashallah keki nzuri sana Allah akubarik
Thanks so much habibty inaonekana tamu sana I can't wait to try this barakallahu fiyk Fathiya
Hope you enjoym shukran
Asalam aleikum habibty shukran it real made may Eid very special,Shukran Allahu barik in sha Allah.
Aleikum Musalaam, Alhmadulilah am so happy to hear that. Amin ya Rabb
safi sana kwa upishi bora
MashaAllah jaman unajua kupika hadi raha Allah akuzidishie nasi tunapata kujua kupitia kwako shukran kwa kujitolea
Alhamdulilah, amin kwetu sote
MashaAllah mummy wa mm Lv u my mom Ahsnt sn hii inahusu watu washasema ipikwe hii.....Idd njema yenye kheyr.....Lv much more
Ahsante sana, watoto hapa wamependa sana tushapika mara 2 imekwisha haraka sana
Umeonaeee inaonekana nitamu sn ...Ss huku kwangu kina somo fathihia sijuwi kama haitokuwa keki ya kila siku anapenda
Mashaallah shukran. Idd Mubarak to you dear and family 🥰
Mashaalla
nimeijaribu hii leo jamani cake ni tamu ajabu asante sana dear @Aroma of Zanzibar
Hongera
Nice !!!napenda kwl kukufatilia maaan naelewa vzr kwl na napenda mapishi
Ahsante sana, nashkuru
Mashaa Allah yummy yummy
Asante ubarikiwe sana kwa kutufunza,Naomba unisaidie kupika nyama ya kima na spaghetti
Inshallah nikipata fursa ya kupika nitawaleta
@@aromaofzanzibar Asante role model wangu
Maashaallah Allah akupe umri mrefu na wenye kheiri tele wewe na familia yako ahsante Sana Sanaa dada ake mapishi murua Sana nakupenda sanaaa
Alhamdulilah, amin kwetu sote. 😘😘
Very nice
Thanks for sharing
Shukran dear
Na kwenye jiko natumia Moto kiasi gani .
Shukran.
Kwenye jiko vipi sijafaham
@@aromaofzanzibar jiko la mkaa,Moto natumia kiasi gani
Hiyo hakika ina ladha nzuri sana
It looking good
Mashallah. Im definitely going to cook this tomorrow
Eid mubarak in advance ❤️
Masha Allah tumekuelewaa.... yaan ckukuu hii cjui ntapila nn niache nn 😆😆😆maana kila cku mambo mazur yanaongezeka😍😍😍
Asante na ww pia Eid njema!
Alhamdulilah
Ma sha Allah I will try it , the day of Eid , in sha Allah Thank you so much , May Allah bless you ❤💖💟.
My pleasure 😊
mashaallah keki nzuri
Ahsante san
Mashaa Allah
Mashallah pambeee shukran Allah akubarik
mashaaAllah Allahibariqfii habibbty nice recipe for my Eid cake ,it's looks yummy &moist can't wait to surprise my family this Eid 😍😍EID MUBARAK TO YOU &YOUR FAMILY IN ADVANCE INSHAAALLAH #Stay safe
Thank you so much , Eid Mubarak to you and your loved ones😘😘
Mashaallah
MASHALLAH v.nice
Shukan
Masha Allah 🤩🤩🤩amaizing as always 👌🏼👌🏼👌🏼
Thank you so much 😊
Mashallah,shukrani sana my dear,mimi na familia yangu tunakutakia heri tuumalize salama mwezi mtukufu na uwe nasikukuu njema na familia yako.😘
Amin kwetu sote. Ahsante sana
Shukran
Wao really good I tried it really sweat thanks mamy
Most welcome 😊
Thanks
Mashaallah. Eid Mubaraak kwako pia
Assalam aeikum warahmatullah mashaa Allah mapishi mazuri nimependa sana mashaa Allah
Wa Aleikum Musalaam, alhamdulilah. Shukran
@@aromaofzanzibar Afwni
Mashallah
Mashaallah Eid mubarak
Mashallah habibty
Shukrani Sana
Mashaallah mapish
MashaAllah 👌
Shukran habibty
insha'Allah
Thank much and it's the right time):(
You to my dear sister happy Idd Mubarak be bless and safe with you family.....
Thank you!
مشأالله تسلم يدك
This is a must do on This coming Eid in shaa Allah. Thank you Hiyya Allah bless u ukhty
You are most welcome
looks yummy and easy to make😍😍
Very easy if you are organized
Aa.am new to baking but ineed to try this .how long do I preheat my oven?the 47min u bake na moto wa chini or up and down?what about the upper colour
Baking cakes always moto wa juu na chini please. Uta bake between 50-60 minutes it depends on your oven.
Cake ina mambo mengi hyo ila iko very mashallh dada ww n moto
Lazima wakati mwengine tujitume kidogo lakini hutokuwa dissapointed
Mashallah nawe pia edd iwe yenye furaha kwako na familia na waslam wote kwa jumla
Amin kwetu sote
MashaAllah👌😋
I am making this now thanks sis
Hope you enjoy
Assalam aleykum mbona nikipika keki ina fura kisha Niki towa Kwa oven ina fifia
Moto mkali sana
Masha Allah Napenda upishi wako dear👌♥️
Ahsante sana
Mashaallah so nice 😍unaweka moto wa juu tu ? Ama u start wa chini then juu? 😘
Upikaji wa keki daima ni moto wa juu na chini pamoja mwanzo mpka mwisho
Which brand of butter u use
I think I used AlMarai or lupark I can't remember but those are the two brands that I use here in Oman
Na kwako pia eid mubark💖💕
Salaam... nina swali kikombe kimoja cha unga si sawa na robo kilo
Kilo moja ni vikombe 8
Nakuwa nimekosea wapi kma cake yangu imekuwa nzito ndani baada ya kuepua?yaan haijachambuka vizuri na nimetuma recipe hiyohiyo cjaongeza chochote msaada please
Moto sio sahihi mkali sana au kidogo sana
Kazi nzuri sana Madam...
Ahsante sana
Kwenye sukari ni lazima sukari iwe nyeupe?
Y abrown unaweza lakini texture itakua tofauti
Sawa shukran, Maa Shaa Allah
Mashaallah, eid Mubarak.
Wish you the same
Always love your recipes. Eid Mubarak to you❤
Thanks a lot
Nzuri sn.Ukikoroga sana inakuwaje?
Inakuwa kavu
@@aromaofzanzibar Thanks
Eid Mubarak dada
Ahsante sana
Aunt nafatilia cn mapishi yko but nilikua cjawah kucoment, natamani kukuona live insha Allah nikupe zawadi yk expensive, Allah barik mom.
Ahsante sana Hamida , kwani wewe upo wapi dear
Me nipo daa Aunt.
thanx alot Aunt kwa kujibu, I'm so hppy, Allahumma barik.
@@hamidasalum1232 nikijaaliwa kuja Dar nitakushtua
Nice
Thanks
Hivi sister keki ya mayai 12 kipimo sahihi cha unga na siagi ni kipi hasa ili keki itokee vzr
Unga gram ngapi Aunty?
Thank you so much
You're most welcome
Mashallah hy siagi gram ngapi
Tafadhali angalia description box nimeandika viungo na vipimo vyote
Halafu nilikuwa naomba ricipe ya macho ya ngamia🙏🙏
Mimi sina chuma cha macho ya ngamia dear
Thank you my dear 🥰
You are so welcome
Thanks Fathiya, may Allah shower his blessings on you forever. Happy Idd 🤲💕
Thank you dear, amin. Take care, Eid Mubarak to your family too
Asalam alaykum...Nimejaribu kupika ila yangu imebonyea katika cjui shida likuwa wapi ebu naomba msaada plz 🤣🤣
Moto sio sawa ni mkali au umefungua oven kabla haijakua tayari
@@aromaofzanzibar Labda n huo moto lkn kufungua niliacha mpk ikaanza kupiga brown juu ila ikawa hivyo ntajaribu mda mwengine inshaaAllah asante dadaa
Assallam aleykum leo nimeona video kwenye Tbc yako ambayo ulipika maini
nikajiuliza jee uliwapa lesence ya kurusha video zako ?
samahani nataka tu kufaham sababu mm nafanya kazi kwenye ofisi ya copy right society zanzibar
Aleikum Musallam, ahsante sana mie hao watu siwajui wala sijawahi kuwasikia. Mara nyingi hupata taarifa mambo kama haya hutokea sehemu mbali mbali Tanzania lakini I have no where to reach them. Video yangu ya maini ni katika recipe zinazotizwa sana yaani ni top 3 in my list. Nashkuru sana kama utaweza kunisaidia hili jambo. Ubarikiwe
@@aromaofzanzibar
Nahisi ni kuongea na Mkurugenz wangu na tuone jinsi gani tunaweza kukusaidia.. sababu kwenye hili we are using different law na ile ya Tanzania bara. Na Tbc ni ya Tanzania Bara sio Zanzibar.. But all in all nitalizungumzia hili tujue tunafanyajee.
@@hidayamzee5539 Ahsante sana , nahskuru sana msaada wako . Ubarikiwe
Long time no see mamake
Am here, looks like you are missing in action
Wewe Dada wewe g 200 ni vikombe viwili kasoro
Kikombe kimoja si g 250
Inategemea na u ga dear Mie napima kwenye scale wakati huku naweka kikombe cha unga , kila unga upo tafauti dear, standard kikombe 1 ni 120gms. 250 inayoandikwa kwenye measuring cup ni ml yaani kwa vitu vya maji sio vikavu kama unga au sukkari
@@aromaofzanzibar sawa dear Mimi ni mbishi sana tutabishana apa mpaka mwakani 🙌🏼
Hamna tabu 😂😂😂
Mashallah
Mashallah