Biblia hairuhusu kuachana kwa waliokwisha kuoana inaruhusu kuachana kwa waasherati na siyo uzinzi kuna tofauti ya uzinzi na uasherati uzinzi ni kwa waliokwisha kwisha oana na uasherati ni kwa wale ambao bado kuoana so Yesu aliruhusu kuvunja uchumba siyo ndowa Asante
Mambo ya Walawi 20:10 SRUV Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa. Hii sheria bado Ina tumika ?
Pastor ndacha I d rather you do more of this than mhadhara..This is soo educative than mhadhara , juu katika mhadhara kuna ushujaa mingi... please come up with various topics especially ya MATOLEO KWA MUNGU which is so confusing to many.. in This teaching I have learnt a lot.. consider please
Hivi kama mwanamke anajuana na wazee wengi sana tu na hukujua nawe ulitunza sana ujana wako ukaja kukuta umeunganishwa na yeye HAPO ukijua baadae na uko na yeye tayari nini kinapaswa kitendeke kwa sheria ya MUNGU msinipotoe mnifundishe nahitaji nijue
Iam looking more of this episode Ndacha I can't get enough of this message please update more details about marriage # Mmmmmmmmmmmh Don't worry about what people say behind your back because they are the people who are finding faults in your life youngmen instead of fixing their own..Next time stop laughing too much on the platform and in such-and-such podium
Nakuliza wewe unasema muke mumoja sawa nipe idadi ya wana wake duniyani na wa name mufano.wanawake wako amusini 50 na wanaume tuko 30 sawa je awa wanawake ishirini watakwenda wapi? Ina mana wataku mashogah sababu nawe nyewe wana hitaji misuguwano ndani ya mwili wake
Ameeen. Ameeen. Powerful Sermon. Tupende tusipende ni hivyo vile Teacher Ndacha amevundisha. Hakuna kuachana.
Hukumu yahao wenye wakezaidiya mmoja mungu anajua na wameonekana mungu hakuwabagua alifanyanaokazi.
Nimependa sana hii
Barikiwa sana kaka ndacha Mungu azidi kukubariki
Biblia hairuhusu kuachana kwa waliokwisha kuoana inaruhusu kuachana kwa waasherati na siyo uzinzi kuna tofauti ya uzinzi na uasherati uzinzi ni kwa waliokwisha kwisha oana na uasherati ni kwa wale ambao bado kuoana so Yesu aliruhusu kuvunja uchumba siyo ndowa Asante
Uongo yesu akuondoa taraka
Ndacha kwahiyo mada umechemka wewe nenda kwa waisilam ndiko huduma yako inafanya vizuri kwahiyo mada unachanganya maandiko acha somo hilo limekushinda
Achaa kudanganya waumn,,mwalm ndachaa muogope,,mnguu,,,somen nyakt 2 13_21,, uone mngu anavyosema kuhs ndoa ya wake wengii,,mwambuen huyoo ndachaa atoe Aya inayosema mngu kasema mwanaume akiowa wake weng anapta dhambi,,somen achenii kuwadangnya waaumn haoo ambao wnaftria wasilojuwaa,,Inabd waumn,,wawe,,wanauza maswal ili wajuweee,,
Amna ilo Andiko
2Mambo ya nyakati. 13:21
@@lenardkenedy542 kasome vizur.. 2mambo ya nyakat. 13:21
Musa alioa baada ya Sipora kufariki
Kiongoz wa makhafiri... Kasome (2mambo ya nyakat)13:21
Kwatamaa ya zinaa hutasikia mambo ambayo ana fundisha
Mambo ya Walawi 20:10 SRUV
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mwanamume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
Hii sheria bado Ina tumika ?
Pastor ndacha I d rather you do more of this than mhadhara..This is soo educative than mhadhara , juu katika mhadhara kuna ushujaa mingi... please come up with various topics especially ya MATOLEO KWA MUNGU which is so confusing to many.. in This teaching I have learnt a lot.. consider please
Blessed man of God ndacha kapewa ama akatabua vipawa vyake
Sauti haitoki vizuri ina shaa! nyingi
Hiyo ni mvua 😁😁
Acheni Kuwachafuwa manabii wa mungu sasa leteni aya inaosema ibrahim mungu anamwambia ibrahim kakosema
Leteni aya mungu amawambia mitume wake wamekosea sio mnawapa njambi
Mwalimu,na ikiwa mke ameokoka na mume hajaokoka anampinga hata asiende kanisani hiyo familia itasaidika
Ndacha say hey 👋to Mr shivachi
Hivi kama mwanamke anajuana na wazee wengi sana tu na hukujua nawe ulitunza sana ujana wako ukaja kukuta umeunganishwa na yeye HAPO ukijua baadae na uko na yeye tayari nini kinapaswa kitendeke kwa sheria ya MUNGU msinipotoe mnifundishe nahitaji nijue
Sauti jameni tengenezeni!!
Iam looking more of this episode Ndacha I can't get enough of this message please update more details about marriage # Mmmmmmmmmmmh Don't worry about what people say behind your back because they are the people who are finding faults in your life youngmen instead of fixing their own..Next time stop laughing too much on the platform and in such-and-such podium
Sawa,,,
Waj leo nijue ukweli kuhuzu hili jambo
Kabisa
Waaa, hii mada ni kali, yani Nimecheka huyu ndugu aliyetoa detronomy 24, yani ni hatari🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
36:54 nimesoma kitu mpya kuhusu Yesu na mwanamke msamalia 😇😇barikiweni sana kwa hilo somo hata sikujua Musa alikuwa na wake wawili.
Nakuliza wewe unasema muke mumoja sawa nipe idadi ya wana wake duniyani na wa name mufano.wanawake wako amusini 50 na wanaume tuko 30 sawa je awa wanawake ishirini watakwenda wapi? Ina mana wataku mashogah sababu nawe nyewe wana hitaji misuguwano ndani ya mwili wake
Kama wanawake wengekuwa wachache unge kubari mke wako aolewe na mwanaume mwengine ili mwanaume mwenzako apone
Kwende wewe basta kwongo
Wewe muhamad kakuongope utaingia jahanam ya moto
🤣🤣🤣😭Wewe hata kuandika ni shinda, utafahamuje yenye (basta) anasema 😆😆😆
Can someone kindly help me with ndachas number
Ulipata?