Pastor Bwana yesu asifiwe! Napenda mafundisho yako, na unaonekana vema wa heshima ukiwa madhabahuni na suti tofauti na jeans halafu ya kubana sana haiko vema Mtumishi, ukiona vema chukua hii.
Mtumishi kwakweli najivuniya kukufwatiliya kwasababu lika siku huwa najiongezeya kutona na marifa aliyo kupeya Mungu, sikupendi wewe kwasababu sifahamu gisi ulivyo bali napenda ulicho pewa nakutupeya sisi wenye uitaji
Mchungaji mi nimekuelewa vzr sana, sijiu wote tumemuelewa, hasa pale aliposema Bible inasema ukitaka kusali funika kichwa chako, je niwangapi wanapotaka kusali huwa wanafunika vichwa vyao?
Ha😂Ha 😂niatari kweli kabisa yaani ni kraka, Mungu njo muanzilishi wa ndoa
Mwalimu wangu my mentally nakupenda Sana naomba mawasiliano ya pastor naitaji kumtembelea
Pastor unaweza ukawa na akaunt yak lakn wanaume wngne ni majanga
Pastor Bwana yesu asifiwe!
Napenda mafundisho yako, na unaonekana vema wa heshima ukiwa madhabahuni na suti tofauti na jeans halafu ya kubana sana haiko vema Mtumishi, ukiona vema chukua hii.
Hiyo Kichwa chake kumbe ni Mume Asante Kwa huo Ufahamu Pastor
mtumishi wa mungu nakupenda Sana unajuwa kunufundisha sana
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
Asante ubarikiwe sana mtumishi
Amen 🙏 nimejifunza ktu
Amen pastor nikwel Kbs
Asante pastor neno hili limenifungua
Hakika ushauri pamoja na ufunuo tulioupata hapa umetujenga vilivyo. Mungu akuzidishie upako Mchungaji wa kufunza kizazi hiki.
Waoooh , Yaan unatufungua mno ,barikia
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu aliye juu nabarikiwa sana
Ameen mtu wa Mungu Mungu akubariki sana
Unaongea point asante nimejifunza kitu
Mimi ni muislamu lakini huwa ninakufuatilia sanaa
Amina pastor. Kwaujumbe mzuri
nimebarikiwa mnoo
God bless you pastor l really learnt alot from you 🙏🙏🙏
Mim nimekuerew mtumishi mungu azid kukulinda
Mafundisho mazuri sana
God bless you pastor 🙏🙏🙏
Asante mchungaji
Nayapenda mafundisho yako kiongozi
Thank you and amen
thanks again pastor Tony God bless you.
Thank you for sharing. I will share this to many other married friends.
Wouw...i needed this🥳🥳🥳👏
God bless 🙏💞
Nampendaga huyu baba
Holy Spirit, 🙏🏼
🙏🙏🙏 Tony...
Wow, amazing message
Mtumishi kwakweli najivuniya kukufwatiliya kwasababu lika siku huwa najiongezeya kutona na marifa aliyo kupeya Mungu, sikupendi wewe kwasababu sifahamu gisi ulivyo bali napenda ulicho pewa nakutupeya sisi wenye uitaji
Mchungaji ni mwembamba huyu lakini rohoni Ana kitambi hatari hivi ndiyo wapentecoste wanavyotakiwa kuwa
Thanks pastor
Mchungaji mi nimekuelewa vzr sana, sijiu wote tumemuelewa, hasa pale aliposema Bible inasema ukitaka kusali funika kichwa chako, je niwangapi wanapotaka kusali huwa wanafunika vichwa vyao?
Amen🙏🏿
Asantemchungaji
Ameen🙏🙏🙏
Amen Amen amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🏾🙏🙏🙏🙏🙏🏾🙏🙏🙏🙏🙏🏾
Amen 🙌🙌🙌
Be blessed
Una akili sana.mungu akutunze
Noted..
This one here
Hakika baba
Amen
Nikweri baba amene
Nice 👍👍👍👍
AMEN AND AMEN
😍😍😍😍😍😍❤️
Where can I find this sermon in full length?
Where is this pastor in this City
Am in dar
Ubarikiwe sana pastor Tony
Mbezi beach karibia na njia kuelekea kunduchi
Naweza kupata namba yako mtumishi
Powerful...and naked truth.
Bwana nipe mtu siku sote atakayonisaidia
Nl lol in no
God bless you pastor 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Ameeen
Amen.
Amen
Amen
Amina
Amen