Paul Clement - Zawadi ( Official video ) SMS SKIZA 9841788 to 811
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- #zawadi #Paulclement #amefanyaMungu
The song ZAWADI is one among 19 songs in the current released Album of minister Paul Clement Titled ZAWADI.
Stream now Zawadi album on all digital Platforms by clicking link Below
linktr.ee/paul...
Audio producer: Gripa Music
Video director: Eyan mwaura
Utakayeangalia 2090, mimi nilikuwepo kipindi hii inatoka.
Mungu awabariki.
Tuna kushukuru Mungu kwa ZAWADI ya uhai na afya njema
Paul Clement's songs bless me.... your voice is powerful. You are blessed🙏🏾🔥 God is great🙏🏾🔥
Ayubu 14:1
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke
siku zake ni chache nazo zimejaa taabu."
Asante mungu kwa zawad ya uhai na afya njema nashukuru sana bla mungu nisingekuwepo
Kiukweli kila mtu Ana kila sababu ya kumshukuru Mungu kila siku kwa zawadi ya uhai hasahasa mm Asante Yesu
Yesu kristo muokowe ngugu huyu zaidi sana ninakuomba umupe mwisho muzuri, sikuyamwisho aingiye paradiso
Siku ya Leo moyo wangu ulikuw mzto san ..... Kazn nimepigaaaa hiii nyimbo huku nikipray; Aiseeeee join nmegongwa na pikipiki & I'm totally FINE: Asante GOD kwa ZAWADI ❤❤
Mi nakupenda mdogo wangu!!!Mungu aendelee kukutunza
Kaka Mungu akuinue zaidi kiukweli unanibariki
Namshkuru Mungu Kwa kunipa zawadi ya mtoto wa kike..Mungu akabariki kila tumbo la mwanamke akapate mtoto Amen🧘❤
Barikiwa sana Mtumishi
Asante MUNGU wangu kwa wema wako umenipa uhai na na afya hakika kama sio wewe baba nisingekuwepo🙏🙏🙏
Asante mungu kwa zawadi ya uzima na afya sitasubiri kuwanavyo vingi uzima na afya niving
Namshkuru Mungu kwa kila jambo ktk maisha yangu its by his grace mercy and favour
Nakushukuru MUNGU Wangu ❤
Above all God maintained me on difficulties he has proven to be my Ebenezer!..my life is a living sacrifice for you God😭❤
Zawadi!!! Ya uhai na Afya njema. Dear GOD…..
Brother kazi tamu sanaaa
Ahsanteee sana Mungu kwa uhai na afya njema❤❤❤
Hakika ni ahsante ,🙏🙏 kwake atupae uhai na afya njema
Mungu amekuwa mwema kwangu na kwa familia yangu hii ni zaidi ya zawadi kwangu 🙏🙏🙏
Hallelujah 🙌🏽🙌🏽🙏🙏. Mungu nashukuru kwakunipa Neema yakuona siku nyingine tena.
Mungu ni rehemu maana sometimes I take my blessings for granted🙏🙏😢
5:30
Wow Kweli twapaswa Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai haijalishi..mapito ,madhaifu n.k
Mradi niko hai BWANA Asante kwa zawadi ya uhai🙏🙏🙏🙏🙏
asante Mungu hata kwa uhai huuu kaka japo nimechelewa ila unajua
naamini katika hilo maana pasipo yy cwez ishi,.uhai .,,
Shukurani ni sauti ya imani🙏#ZAWADI
Hata tukikosea Bwana anatupa zawad ya uhai😭🙏
asante kwa zawadi ya uhai na afya njema❤️❤️
Amen Hakika Ni zawadi tosha mbele za Mungu
Nabarikiwa sana my brother
Asante kwa zawadi ya uhai na afya njema
Asante YESU❤
Bado dakika 6tuy wee
Ameen uhai ndo kila k2 barkiw San mtumish paul
Minister Paul, Mungu Azidi Kukubariki, This is an everyday song!!! Yanii tusipuuze uwezo Mungu anatupa kila siku,Zawadi Kila Siku Kwa Uhai na Afya Njema......I am so Grateful to God!!!
Im back again with a testimony 😂😂😂. God has done it again and im thankful.I feel like an eagle 🦅 right now soaring higher in faith and happiness.God has remembered me.When i remember the things ive done i deserve to die but God's grace has kept me alive.Thankyou God.
Isaiah 40:31
[31]But they that wait upon the LORD shall renew their strength; they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall walk, and not faint.
Asante Mungu Kwa Afya na Uhai
Asante Mungu wangu Kwa uhai na afya njema kwangu na mwanangu🙏Paul you are blessed,Kazi Yako ni njema asante sana
Ubarikiwe sana mtu wa MUNGU WA ISRAEL
Sitasubiri mpaka niwe navyo vingi💥💥💥namshukuru Mungu❤🎉
It deserves more views than " amefanya Mungu" seriously Mungu abarriki unyeyekevu wako 🙏🙏🙏Paul
Sema we jamaa unajua bana 🙌🏿
Asante Mungu kwa zawadi ya uhai na afya njema
Thanks you Jesus for my life I say a big thank you my king Jesus 🙏🙏🙏
Nashukuru Bwana kwa zawadi nyingi ulizonibariki maishani mwangu ….am gratefull🙌🙌
Amen Amen
Barikiwa sana Mtumishi
Listening this song just few minutes to 2024 i thank God for everything .Asante for carrying me through Jesus
Nashukuru kwa zawadi EE BWANA
Asante Yesu kwa zawadi ya uhai, afya na kila kitu kibaya na kizuri kwenye maisha yangu 🙏 am grateful 🙏
Mungu akubariki sana Man of God
Hata upoteze vyote,ukiachiwa uhai na afya then u can surely get up..my favorite song❤
Thank you God for my life and Good health you gave me
Thanks My LORD for this gift of survival
Key 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ya sauti bro umeweza sanaaa . Mungu akubariki
Neno asanti halitakosa kinywani mwangu ....baraka tele mtumishi 🙏
Asante Mungu kwa uhai na afya njema.
Beautiful song.
Amen amen amen ubarikiwe mutu wa Mungu
Thanks God for the gift of life and good health
Dah Mungu azidi kukupa afya njema kila siku Mtumishi wa Mungu🙌🏽🙌🏽Asante kwa ujumbe wa nguvu sana🔥🔥🔥🙏🏽🙏🏽
I'm just seeing this song after one hour of thanking God in tongues.God thankyou for the gift of life and eternal life.
Ahsante Mungu kwa zawadi ya uhai na afya njema❤
Good song Bro
itabidi uachie na muvi Moja aiseeh unajua ku act😂😂
kila jambo mungu analofanya kwenye maisha yetu ni zawadi NASHUKURU KWA ZAWADI👏👏👏
Hakika unajua mtumish nakukubar sana
A good reminder not to take life and good health for granted
Paul clement I a monument for generations to behold and see Christ. I love you sir
Fact, Uhai nilionao n zawadi toka kwa MUNGU
I love this song even i don't understand the words. Sending love from GH🇬🇭
Nashukuru kwa zawadi ya uhai na afya njema 🥲🥲🥲🥲🥲
Was looking for another Paul Clement song and found this a few hours old. Tears of gratitude flow. God bless Paul Clement
Wimbo umenibariki mnoo
Atamm jaman
Where is your generation of songs going
Nyimbo nzuri Sana inatia faraja unapokuwa katika changamoto fulani ni jambo jema kumshukuru mwenyezi mungu kwa kutupatia uhai na afya njema.
Asante kwa zawadi 🙏🔥🔥🔥
❤️❤️my favorite song..ubarikiwe mtumishii
Beautiful song!
It sounds like those songs sang by the seventh day Adventist Church, the sweetness 😊
Love from Kenya
Thanks God for this song from paul clement lts a Good song for me and for us God bless you Paul for this s Good work ✊✊👃
Asante kwa zawadi ya uhai na afya njema 🙌
Nashukuru Daddie
Sina mwingine kama wewe☺️😇😇😇💪
For eternal life and divine health. Thank you Jesus🙇🏾♀️💃💃
Amen amen
Mungu aendelee kukutumia kutukumbusha Yale mungu amefanya kwetu
Your songs are so timely. I have come to know the value of good health and I will be forever be grateful
Nikweli uhai nizawad maana kwangu ni ushuhuda nilipo mjamzito niliumwa mpaka nilikata tamaa na wakati najifungua nilipata changamoto kubwa mtt alizaliwa halii ilichukua takribani dakika30 hadi kurespond hivyo namshukuru kwa afya na uhai mtt yupo salama na mimi pia nikweli kama sio wewe Mungu nisingekuepo nashukuru kwa zawadi hii pekee Amen
Mr Clement u’re really a blessing to us🇧🇮🇨🇭🙏 Asante Baba Yahweh🙏
Daddy nashukuru kwa Uhai na afya
Asante kaa hii zawadi pia😢😢😢
Ni kwel katika uhai Kuna kila kitu !!
Ameeen.... since I lost my best auncle, I appreciate being alive daily
Asante God🙏🙏
Stay blessed man of God, asante Kwa Zawadi ya kutukumbusha juu ya Shukran zetyuu Kwa Mungu. I'm so blessed with this powerful song🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Am here to watch the testimony cause it's a gift from God🙏
Quality music like this is so touching
Asante kwa Afya na uhai Yesu🙌🙌🙌😘😘
Vingi vipo kwenye Afya na Uhai ZAWADI TOSHA ASANTEH MUNGU KWA ZAWADI........☺
Nashukuru kwa zawadi ya uhai🤗 na afya njema
ZAWADI YA UHAI ASANTE MUNGU
Thank you Jesus for the gift of life and good health,Nashukuru Mungu 🙏🥰
Hallelujah
Ubarikiwee saana kaka paul
Blessed up, my brother! One of the very few worshipers we have in Tanzania. I pray many more will be raised through you in Jesus' name.
He's a psalmist ❤🎉
Ahsante Mungu